We dada salama unaakili mpaka nahisi kama ni usalama wa taifa yani maswali yako nimasito sana tambwewenyewe anatetemeka mpaka unampa msosi tambwe nikali wa kujibu ikileta asiye jielewa hapo itakua uvurundo safi sana umeeanza na mtu mwenye upeo dada usituletee mambumbu kwenye kipindi wa pili mfanye mwana fa watatu niki wa pili
#SalamaNa bonge moja la presenter na nusu one of best presenters wa kike kuwahi kutokea on Tv kwenye Nchi hii ya Tanzania proud of you malkia wa NGUVU 🤗🤗🤗
I see me......kupitia Hussle za lil ommy ndo maisha na ishi this time kupitia hii interview salama na lil ommy inanifanya nisi give up kwa kile nachotaka kufanya inshallah ntakuwa kama nyie au zaidi#YAHStoneTown
Interview imerejeyaaaaa. ...... mkaliiii wa zile mambo karudi kwenye kiti chake. Igeni tena atususie tutaandamana.#SalamaNa. Nakukubali kitoho kubwwwaaaaa
Salama nime subscribe channel yako bila kuchelewa. Nimependa biograph mwanzoni kabisa, keep this consistently , hopefully you will add value to our bongo youtube chanells, wasanii wetu wa bongo wana upload nyimbo hata mashairi hawaweki.
Watanzania nidhamu ni fundo linalotumaliza na kutulazimisha kufanya yasiostahiki Salama hata mimi nakupenda napenda jinsi unavyojituma kwa kweli mmekutana wajuzi wa vyungu na na vikaango hii ni elimu na watanzania hatujiheshimu wala hatuheshimu nafasi tunazopata tunahitaji kuwa na heshima ya nafasi na kazi zetu Lil ni mmoja kati ya watu wanaoweza kusimamia kitengo kwa uaminifu kabisa watanzania tujiamini na tujiamini.
Interview nzuri saana ..pia lil ommy huna majivuno maana wangekuwa wengne kwa level zako asingekubali kuja hapo ukulinganisha kipindi kimeanza juzi kati tu hapa...ila salama nachukia hicho kiring ambacho kiko PUA yaan namchukulia kama mtu mwngne kabisa!!
nikiwa naangalia vipindi vya salama nakuwa kama naona nipo UNIVERSITY salama ni levo za Lecturer yule professor kabisa ukiwa ni mtu ambae upo kujifunza na una ndoto za kuingia kwenye hiki kiwanda cha burudani haswa podcasting basi hii ni OPEN UNIVERSITY, nashauri ungeweka na option ya kulipia ada kwa mihula ili ukusanye mapato yako vzuri kwa Sisi wanafunzi.
Kwenye playlist yangu kuna moja nimeandika INTERVEW SCHOOL ,mule kuna interview za salama tuu zile za Mkasi na zingine hata ulizohojiwa wewe sitaki kuzungumzia jinsi ulivo shape game ya bongo fleva kuanzia video review kule east Africa nk manake huko nako kuna lundo la maajabu yan salama is a UNIVERSITY
skupingi da salama na mtoto wangu wa pili anayefuata nitampa jina lako #salama ili nikuenzi kwa vitu adimu unavyotugea watu wako tunaokujua na kukufuatilia tangu zile za kipindi kile cha mazingila yale ya pale kwenye 1 na 2
What took you so long, Salama? I was a loyal fan of the Mkasi show which ended abruptly. Hopefully you're going to be consistent with this one. Love from Kenya. Godspeed!
We dada salama unaakili mpaka nahisi kama ni usalama wa taifa yani maswali yako nimasito sana tambwewenyewe anatetemeka mpaka unampa msosi tambwe nikali wa kujibu ikileta asiye jielewa hapo itakua uvurundo safi sana umeeanza na mtu mwenye upeo dada usituletee mambumbu kwenye kipindi wa pili mfanye mwana fa watatu niki wa pili
#SalamaNa bonge moja la presenter na nusu one of best presenters wa kike kuwahi kutokea on Tv kwenye Nchi hii ya Tanzania proud of you malkia wa NGUVU 🤗🤗🤗
Geoffrey Calvin asante mwanangu
#SalamaNa kipindi kizuri nimependa quality ya video na sound safi Kabisa congrats guys
# nimekubaliii sanaa hikii kipind coz mnatupaa hamasa Na SS
Hii bonge moja la kitu, nmeipenda ni mkasi flaani kwa dzain mpya. Iko vzur sana
Ttrue
Tambwe
I see me......kupitia Hussle za lil ommy ndo maisha na ishi this time kupitia hii interview salama na lil ommy inanifanya nisi give up kwa kile nachotaka kufanya inshallah ntakuwa kama nyie au zaidi#YAHStoneTown
Interview imerejeyaaaaa. ...... mkaliiii wa zile mambo karudi kwenye kiti chake. Igeni tena atususie tutaandamana.#SalamaNa. Nakukubali kitoho kubwwwaaaaa
Hivi ndo vipind vya kuangalia sas. vipind vya kuinsipire vijan kam sis hongera sana salama
Salama huyu jamaa ni kam motivation speaker anaongea n kutek hisia za kila anaetak kufankiwa he is genious
Rashidi Makka hatari sana! Mwanangu
I like the show Salama...and i also like the fact that you actually reply to viewers comments compared to other channels♥️....
Mmekutana presenters wenye madini ya kizazii sana show Kali sana
#SalamaNa is a very Creative package... Hongereni sana..
kuna hako ka background ni reggae fulan ya kizazi sana💥
@@innocentmushi1550 umeonaee
kabisa
ChumaYao Investment asante
This guy is genius in 10 years time atakuwa na media house yake
Very very very Creative Salama hii ni one of a kind i see this being even bigger first ever to happen in Tanzania 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
mm ni mtu wa kwanza kutoka arusha kukoment hapa
Dah mbona kipindi kitamu hivi Jamani 🥰🥰 hayo mambo yakula sasa😋😋😋😋 da salama tunatamanishana😆😆😆
Salama. Wewe unajua, kipindi kiko poa sana ..... Unafunza mengi. Wewe mpaka kipindi chenyewe
MADAME najifunza vingi vizuri kwenye kipindi hii 🖐madame salamaaa...
Very nice nimekupenda buree LilOmy unanyoosha maelezo🤒
T-shirt za hiyo log yako Salama zitakuwa moto 🔥🔥, kipindi kizur sana. Bigup 👏🏽👏🏽👏🏽
Nimeanzaa kukufatiliaa kitambo sana sister salama
Awesome! Thank you for this Salama....x
Kizazi sana hio Meza huku mbele utakimbia bei yake aise
Salama kipindii cha kizazii sanaa tunaomba kiwe kiendelezii zaidii inshaALLAH
Daaah! Nistory ambayo imenifanya nirudi nyuma sana, hometown Tabora
Salama nime subscribe channel yako bila kuchelewa. Nimependa biograph mwanzoni kabisa, keep this consistently , hopefully you will add value to our bongo youtube chanells, wasanii wetu wa bongo wana upload nyimbo hata mashairi hawaweki.
salama uko fundi sana...unajua kuchagua wageni unajua kuuliza maswali pia uko deep katika industry miaka yote....
Ommy is very smart. Ukimsikiliza unaondoka na madini mengi sana👏🏼 Na hapo mmekutana Two smart heads🔥🔥
My role model Salama. Hongera sana kwa kipindi kizuri.
Kipind n kizur da salama,nmeanza kukupenda Ila tuna omba offline tuweze ona
Nakuli sana ommy
Salama you very gudy girl ...yuu inspired me since long time ago up to date ...yuu Gudy salama
Wow salama Na is💥💥💥
''Wanakwambiaje?''. That was a very important question, Salama. Vijana wengi wenye uwezo na vipaji wananyimwa nafasi za kutoka.
Lil ommy alimuhoji Salama leo salama ana muhiji Ommy...Life ndo hilo bhn....Kusapotiana!
Watanzania nidhamu ni fundo linalotumaliza na kutulazimisha kufanya yasiostahiki Salama hata mimi nakupenda napenda jinsi unavyojituma kwa kweli mmekutana wajuzi wa vyungu na na vikaango hii ni elimu na watanzania hatujiheshimu wala hatuheshimu nafasi tunazopata tunahitaji kuwa na heshima ya nafasi na kazi zetu Lil ni mmoja kati ya watu wanaoweza kusimamia kitengo kwa uaminifu kabisa watanzania tujiamini na tujiamini.
Dope Sana💋💋salama
Wamekutana wakali sana...💥💥💥
Interview nzuri saana ..pia lil ommy huna majivuno maana wangekuwa wengne kwa level zako asingekubali kuja hapo ukulinganisha kipindi kimeanza juzi kati tu hapa...ila salama nachukia hicho kiring ambacho kiko PUA yaan namchukulia kama mtu mwngne kabisa!!
Hongeren sana kwa saut iko fresh ile mbayaaa
Salama nakupendaga vibaya sana.
Nimejaribu sana kukutafuta bila mafanikio.
Ivindovipindi vyakuangalia🙌👏👏👏👏👏👌❤❤🔥
kubar show 👏👏👏👏👏
hujui kukosea et duh!! 🙌🙌
Tambweeee my best presenter over
Salama hajawah kuniangusha💪💪💪
Hongera sana kuzaliwa siku moja na me
nimemis sana salama jabir nakukubali sna maana ata bongo star srh sikuipenda kwa kuwa aupo iki kipindi ntakifatilia sn
here we gooooo..... in fabrizio romano voice
Nakupenda sana coz Ww ni Ww na unajiamini kwa kila jambo
Big time mzazi swali lakwanza uliloulizwa umejibu vizury
nikiwa naangalia vipindi vya salama nakuwa kama naona nipo UNIVERSITY salama ni levo za Lecturer yule professor kabisa ukiwa ni mtu ambae upo kujifunza na una ndoto za kuingia kwenye hiki kiwanda cha burudani haswa podcasting basi hii ni OPEN UNIVERSITY, nashauri ungeweka na option ya kulipia ada kwa mihula ili ukusanye mapato yako vzuri kwa Sisi wanafunzi.
EPIC MEDIA TANZANIA real talk
The sound is so Lit Yo 💯❗️❕
Salama upo vzur congrats kwako
We jamaa upo vzr Sana bado sijaona zaidi yk br "kizazi Sana"
Nice message from lil omy
Salama I love you ❤️😘
Kwenye playlist yangu kuna moja nimeandika INTERVEW SCHOOL ,mule kuna interview za salama tuu zile za Mkasi na zingine hata ulizohojiwa wewe sitaki kuzungumzia jinsi ulivo shape game ya bongo fleva kuanzia video review kule east Africa nk manake huko nako kuna lundo la maajabu yan salama is a UNIVERSITY
I really admire ur vibes. . U r an inspiration to many . U r ourself n on point.. kip moving ma prayers. . Bravooo
Mkasi iko hewani tena love you salama wanting
skupingi da salama na mtoto wangu wa pili anayefuata nitampa jina lako #salama ili nikuenzi kwa vitu adimu unavyotugea watu wako tunaokujua na kukufuatilia tangu zile za kipindi kile cha mazingila yale ya pale kwenye 1 na 2
Ki ukweli huyu kaka hata mm nampenda sijawahi kumchukia na daima namuona anajiheshim Sana kuliko sana
Naqubali salama toka planet Bongo 🔥🔥🔥💖
Nimependa sana hii interview, kijana anajielewa sana.
Wooooh lilommy unajibu maswali hadi raha
Wenyeji maranyingi wanabweteka wana jua wapo homu mgeni anakua hana ndugu lazima akaze kizazi sana
Wapo kwa ajili ya kuburudisha wageni, yaani singeli, vingoma na ushenzishenzi mwingine
Uyoo salama mzanzibar au maana mzur vbya sana
Dazz Wazenji Nahapo umri umeenda ni fire
YESS THIS IS GOOD 💥🙏💥❤️Love You both 🙌💥🇰🇪❤️🇹🇿
Lilommy namjua toka nipo sec mabama Tabora akiwa vot fm.
Uyu jamaa namuelewa sana
Lil Ommy half man half amazing kizazi sana💪
This is 🔥🔥... naamini now wabongo tunazid kufika mbali zaid katika suala la utangazaji na media kwa ujumla.. big up #SalamaNa
Salama naomba ufanyie interview na watu wengine ambao sio maarufu labda wana stories za kushare na jamii,
Ukikubali anza na MIMI.
😄
Hata mimi naunga hiloo
Queen September niandikie story yako! Pengine itanivutia #Salama
@@YahStoneTown OMG siamini kama Salama kanijibu ahsante sana, lakini sijajua nakutumia kwenye nini?
My email; dreamlatty16@gmail.com
Queen September yahstonetown@gmail.com
Kweli kabisa
😚😚big up salama
Mm naomba na success please kama Fred vunja bei
jamaa anajua sana halafu ommy hana nyodo
ila kachemsha kwenye cheers dharau kubwa kueka glass chini
@@zuleikhakhamis3303 km huwa hatumiii unlazimisha? ACHA KUISHI KWA MAZOEA NI USHAMBA WA HALI YA JUU
Adam Idrisa Wanyamwezi jamii ya wasukuma hawana majivuno
@@veronicadaniel1122 usiwafananishe wanyamwezi na vitu vya ajabu
Salama nakupenda Sana kipindi bila makeup hongera Sana dear
>>>Salama na Mkali WA hiz kazi
creative work
Safi sana.. toeni ivo vitambaa kwenye mike hizo bas vinaleta bad impression
JOHN JOHN baridi mwanangu! mic haziwezi kuvumilia
@@YahStoneTown 😁😁😂🙌 pamoja
JOHN JOHN Vitambaa vinawanyima amani jamani
@@veronicadaniel1122 ndio
Omy mkali acha#salama anajua anamucha mtu anaejielezea mpaka raha yani kama ommy akihoji
Gud idea madam,uwa nakukubari zaidi ya sana.....
Podcast needs deeper and expert conversations, am waiting kusikiliza
Salama uko vizuri dear
Kama unakubarii hii aidia teyar jonijoo alixha fanyaga kwenye the bartender gonga like
Hahahah salama mbunifu sana mic zimefunikwa yn zimefungwa ushungi aisee raha sana nimependa kwakweli
Hahahaha
Nimekipenda sana icho kipindi ili nifanikiwe nifanye nn?
Hongera kipindi kizuri sanaaaaaaaaa
Hii ya kizazi sana brother Tambweeeee!!!
🙏🙏🙏Ahsanta sana
Salama hujawahi kuniangusha toka enzi za MKASI😘
Salam na nimeipenda salama wew ni mbunifu sana
Salama anajua sanaaaaaaaaa 😊😊hakazeeekiiii
Tambwe kizaz sana bro
Kalinye
Namkubali sana Huyo kizaz
hongera sn Ms.J or S.J
What took you so long, Salama? I was a loyal fan of the Mkasi show which ended abruptly. Hopefully you're going to be consistent with this one.
Love from Kenya.
Godspeed!
Nilimiss sana vipindi vyako
sema ivyo vi tambaa kwenye maic ata sjapenda
Big up salam jabir ukoseagi mzee
Wow ommy nic story about your family