RC MWANRI AIBUKA UPYA "WOTE SUKUMA NDANI HAIJAKABIDHIWA MNAPITISHA MIFUGO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 340

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 4 ปีที่แล้ว +13

    Mkuu mchapa kazi sana!
    Asante Yesu, Tanzania inahitaji vipaji kama hivi!

  • @fenrickmsigwa7437
    @fenrickmsigwa7437 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuwa napenda sana style ya mzee, ameiweka vyema mkoa wa Tabora, i wish awe waziri kabisa ingawa tumeskia anastaafu, ni moja ya watu walio msaidia sana Mh Raisi wetu Dr JPM

  • @christophermachonchory4500
    @christophermachonchory4500 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahah RC mwanry ni the best. Mwenyekiti kashindwa kugombeza bhana 😊😊😊😊

  • @alfredmakoba
    @alfredmakoba 4 ปีที่แล้ว +3

    Mzee ana mkwala unaeza sema unafungwa kifungo cha maisha... sema ngombe wanaheshima wametulia wenyewe

  • @drnyakiema8581
    @drnyakiema8581 4 ปีที่แล้ว +10

    Kwa wale msiofahamu, mifugo haitakiwi kutembea kwa kufuata barabara, Bali inaruhusiwa kuvuka barabara tena kwenye vivuko vilivyo ainishwa. Hapo RC yupo sawa kabisa. Lakini pia kwa upande wa Animal welfare/ Haki za wanyama ,hao wanyama anawaumiza kwato na pia hawapo huru.
    Huyo mwenye ng'ombe kavunja sheria mbili kwa wakati mmoja.
    1. Animal welfare act
    2. Road reserve.

    • @estebantate6436
      @estebantate6436 3 ปีที่แล้ว

      I guess Im asking the wrong place but does anyone know a way to log back into an Instagram account?
      I was stupid forgot the login password. I appreciate any tips you can give me

  • @nyakangamagombo4426
    @nyakangamagombo4426 4 ปีที่แล้ว

    Mungu Akubaliki, nikiongozi unaefaa kuigwa kwa viongozi wote, maana kila kona upo kuhakikisha haki za wananchi.

  • @evelyinipaja1202
    @evelyinipaja1202 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani tuwe wastaarabu , njia zikiwa mbaya hao hao watalalamika barabara mbaya, leo barabara zinatengenezwa mnapitisha ngombe, hii siyo vizuri.

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 4 ปีที่แล้ว +1

    RC kamahuyu nimuzurisana naona uonevu mwingi na dhuluma zingekwisha kabisa wote wekandani 👊🏻💪

  • @aliebrahim9423
    @aliebrahim9423 4 ปีที่แล้ว +12

    Barabara hiyo imejengwa kwa tope au kwa uji wa muhogo, kwato ya ng'ombe itaharibu barabara kweli.Madaraka noma sana.

    • @mamahance9049
      @mamahance9049 4 ปีที่แล้ว +2

      Ali Ebrahim Jamani ,,,mbona sasa ni shida wapae juuu

    • @fristonactary1371
      @fristonactary1371 4 ปีที่แล้ว +1

      Dah yan mpka nashangaa.🤣🤣🤣 huyu mzee bangi mbichi

    • @getmotivated3619
      @getmotivated3619 4 ปีที่แล้ว +3

      Hata kama imetengenezwa kwa chuma... unajua nguvu ya kwato ya n'gombe wewe... sasa zidisha mara n'gombe elfu moja... unahisi itabaki salama?... hiyo sio sheria ya huyu RC bosi yangu.. ni sheria iliopitishwa na bunge.. kwa hio wabunge wote wamelewa madaraka??... tusiongee tu kwa mihemuko..

    • @francisruambothetechnician
      @francisruambothetechnician 4 ปีที่แล้ว +1

      We ujui tulia wataalam ndo tunaelewa, ng'ombe ni wazito especially wakiwa wengi, wanaharibu ila kikawaida huwezi amini lakini ni kweli

    • @safarikikaadrien108
      @safarikikaadrien108 4 ปีที่แล้ว

      Jiongeze ndugu,ngombe wananguvu yakuharibu barabara usikatae

  • @ashleympomo9536
    @ashleympomo9536 4 ปีที่แล้ว +1

    Natamani Kama ungukua mkuu wetu wa mkoa wa Dodoma mzee upo very clear

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +5

    Mpambanaji sana huyu baba

  • @gracelauzi9746
    @gracelauzi9746 4 ปีที่แล้ว

    🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️Waaa mbavu zangu waaa kumekucha 💃💃💃💃💃💃

  • @rayyannaceeb9991
    @rayyannaceeb9991 4 ปีที่แล้ว +2

    Waay mi sipend sifa sasa ngombe wapite wapiii? Tuliotokea familia za wafugaji gonga like hapa kuoyesha hatupo pamoja Na mheshimiwa

    • @jaylosalphonce9659
      @jaylosalphonce9659 4 ปีที่แล้ว

      Rayvn we pimbi kwel kwani ng'ombe amakua gar mpka apite balblan

    • @rayyannaceeb9991
      @rayyannaceeb9991 4 ปีที่แล้ว

      @@jaylosalphonce9659 kuma la mamako acha shobo unafirwa Malaya wew

  • @flova7022
    @flova7022 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyo anaharibu Toronto na anatesa mifugo

  • @adamjoseph9370
    @adamjoseph9370 4 ปีที่แล้ว +5

    2021 ateuliwe tena, tena mkoa wa dar 😁😁😁

  • @davidsalikoki6319
    @davidsalikoki6319 4 ปีที่แล้ว

    Hapa mheshimiwa cjaelewa vizur fundi wangu

  • @richardsizya5214
    @richardsizya5214 4 ปีที่แล้ว +13

    Best RC 2015-2020 Tz akifuatiwa na Antony Mtaka

    • @danieldaniel-lb2on
      @danieldaniel-lb2on 4 ปีที่แล้ว

      Hakika!

    • @inspirationmessages8420
      @inspirationmessages8420 4 ปีที่แล้ว +1

      Anthony mtaka ndo mamba 1

    • @danrevelian
      @danrevelian 4 ปีที่แล้ว

      @@inspirationmessages8420 Yeah Mtaka ndio namba 1 aiseeee

    • @thegreatsource2953
      @thegreatsource2953 4 ปีที่แล้ว

      Yupo mwingine Albert Chalamila😀😀😀

    • @abduljvo5549
      @abduljvo5549 4 ปีที่แล้ว

      @@inspirationmessages8420 mtaka ni wa mkoa gani samahan

  • @Bongovillagex
    @Bongovillagex 4 ปีที่แล้ว

    Barabara MPYA hiyo bado ijafunguliwa wenyewe wanapitisha ngombe choma ndani

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 24 วันที่ผ่านมา

    Mh Mwanri urudi tu, unafaa. nimekuona karibuni bado una nguvu. uliwahi kuwa Naibu waziri TAMISEMI mwishoni wa awamu wa Kikwete. tamisemi ilinyooka nayo na hata Bungeni ilipokea mawazo mazuri ya wabunge na kuahidi kuyatumikia.

  • @jumatarabeni9753
    @jumatarabeni9753 4 ปีที่แล้ว

    Chukua fomu rais wa zanzibar safi sana mkuu

  • @hidoxtz3559
    @hidoxtz3559 4 ปีที่แล้ว +5

    Kama umesikia athumani nuzu msumbufu wa barabarani wek like yak hap chin🤣🤣🤣 ila hao wananchi wamenivunja mbav zang jmn😂😂😂😂

  • @omarymcharo6193
    @omarymcharo6193 2 ปีที่แล้ว

    Zanzibar wapo wengi sana Hadi kero

  • @denismassawe9255
    @denismassawe9255 4 ปีที่แล้ว

    Mm mwenye nimewahi kukoswa koswa na mgombe kama hao wenye mkokote nikitokea tabora mjini njia ya bukene kuelekea kahama nilikutana na ng'ombe katikati ya barabara na aliekua nao anaona gari lakini akawaacha ng'ombe nilikua hatari sana. Kwahiyo ng'ombe barabarani ni hatari sana

  • @makkamadinnah9586
    @makkamadinnah9586 4 ปีที่แล้ว +8

    Maskini Ng'ombe hata hawaelewi kitu kinachoendelea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanajiendea tu!!!

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 4 ปีที่แล้ว

    Kawagombeza hivi Ngombe Nyuma geuka! wagauka. mbele tembea! wakatembea.mwili legeza bana kushoto! wakabana na miguu wanamsikiliza mkuu

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 4 ปีที่แล้ว

    Kwanza wanachafua barabara... Ng'ombe wanatembea huku wanakunya... Barabara itakuwaje.. Halafu mbaya zaidi ..barabara haujakamilika.. Halafu zaidi na zaidi.. Wanakula miti iliyopandwa.. Wacha mkuu wa mkoa awake tu

  • @binbaya923
    @binbaya923 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu Mh. kiboko!!! Ng'ombe aharibu barabara labda kusema kuchafua jamani sio kuharibu 😁😁😁😁🇹🇿🇦🇷

  • @JOYTZD
    @JOYTZD ปีที่แล้ว

    Kiongoz anatakiw ashi n jamii km mfano ila sio hvi 😊

  • @geofreysimpepo9945
    @geofreysimpepo9945 4 ปีที่แล้ว

    Hahahahahahaah eleza utakavyo wagombeza,....Mwanri nakukubali sana mzee

  • @jumannea9050
    @jumannea9050 4 ปีที่แล้ว

    Jamani watanzania nihivi barabara bado haijakabidhiwa ili ianzekutumika nazani hilo ndokosa kubwa au nimeelewa tofauti

  • @viviankangara7492
    @viviankangara7492 4 ปีที่แล้ว

    Watu weng hatujui namna gan ng'ombe wanaharibu barabara so ss wafugaji tutajua tunaonaonewa, n vzr elim ikatokewa namna mifugo inavyo haribu barabara zenye kiwango Cha lami

  • @dicsonernest4446
    @dicsonernest4446 4 ปีที่แล้ว +15

    Hahaha huyu RC ni mtata kinomaa et ebu eleza utakavowagombezaa

    • @michaelchiwalo8444
      @michaelchiwalo8444 4 ปีที่แล้ว

      Na alieleza vizuriii kwelii yulee dada

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mansooralmahruqi885
    @mansooralmahruqi885 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu ,Naomba kabla hujatoa uamuzi jiulize hao wanakijiji wapitishe wapi ngombe zao?
    Hao ndio wenye kujiji,walikua hapo kabla ya CCM ,leo msiwanyanyase,wao ndio Raia wenye mamlaka na eneo hilo,kwa hio ili watii amri yako,wawekee njia mbadala.
    Wanahitajia usafiri huo ili wafanye shughuli zao za kilimo,wateke maji,wabebe nafaka N.K
    Kama kuna tatizo wao kutumia barabara sababu za kiusalama kwa magari yapitayo hapo,basi ingependeza ulete greda iwakwangulie barabara ya pembenei ili wasitumia barabara kuu,vile vile uwawekee eneo maalum la kuvusha ng’ombe hizo ikiwa atataka kwenda upande wa pili wa bara bara.
    Unapendwa na watu,hivo wewe isiwe ndio kikwazo kwa watu,Mungu atakuuliza siku ambayo huna nguvu ya kwamba kwanini uliwatesa viumbe vyake kwa sheria zako zisizo kua na uadilifu

  • @benedictojanuary5222
    @benedictojanuary5222 4 ปีที่แล้ว

    N kweli kabisa tatzo, Serikali inapaswa kufundisha wananchi wote sheria za nchi maana wengi hawafahamu kabsa sheria ndio maana tunakuwa na mambo ya hovyo hivi

  • @oneclick2023
    @oneclick2023 4 ปีที่แล้ว +13

    😂😂😂😂 nacheka ila napagopa ,,,eti Sema utakavyo wagombeza😂😂😂 dah...natamani kuwa mkwe wa huyu mzee 😂😂

    • @dullyyesu9036
      @dullyyesu9036 4 ปีที่แล้ว +1

      utateseka hatar

    • @oneclick2023
      @oneclick2023 4 ปีที่แล้ว

      @@dullyyesu9036 😂😂😂

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 4 ปีที่แล้ว

    Vizuri mhe kazi nzuri lakini kosa lenu hamjaweka vibao vya kuonyesha ngombe wasipite na muhimu kufunga semina muwaelemishe hawa Watu. Wengine hawajui jamaaa na vichwa vigumu.

  • @denismassawe9255
    @denismassawe9255 4 ปีที่แล้ว

    Ngombe anapukutana na lami ambayo haijakomaa kama inavyotengenezwa hapo unaharibu lalini pia ng'ombe wanasababisha ajali sana tena kama hao wakiwa na mkokoteeni hua wanasababisha ajali sana

  • @ambiahirsi943
    @ambiahirsi943 3 ปีที่แล้ว

    Hapo mwisho ''Hebu niambie vile utakavyowagombeza wanavijiji'' Ha.Ha.Ha

  • @karimyunus9120
    @karimyunus9120 4 ปีที่แล้ว

    MTU huyu safi Sanaa aje dar

  • @IssaMRajab-su5lh
    @IssaMRajab-su5lh 4 ปีที่แล้ว +4

    Hua hana kazi yakufanya

  • @ibrahimjobu9141
    @ibrahimjobu9141 4 ปีที่แล้ว

    Natamani Hata angekuwa Mkuu wa Mkoa Mbeya huyu Mzee maana yupo active sana hana mchezo kabisaaaaah

  • @ahz6907
    @ahz6907 4 ปีที่แล้ว

    Huyu ndo rais wetu sasa 😀

  • @hassanrahe1397
    @hassanrahe1397 4 ปีที่แล้ว

    😀😀😀nacheka tu kwa speech hii ya mkuu. sawa

  • @grantmsengi3619
    @grantmsengi3619 4 ปีที่แล้ว +6

    Hivi malori na ng'ombe kipi chenye uzito

    • @francisruambothetechnician
      @francisruambothetechnician 4 ปีที่แล้ว +2

      Lenye uzito ni lori,kwani meli na sindano kipi kizito

    • @hadijalukas5959
      @hadijalukas5959 4 ปีที่แล้ว

      goi👍👍👍👍

    • @eliakimkengia6702
      @eliakimkengia6702 4 ปีที่แล้ว

      Phyzx... hapo tu pressure boc unakwama wapiii.eneo dogo presha kubwa na kinyume chake.

    • @hebronmarco5891
      @hebronmarco5891 4 ปีที่แล้ว

      😂😂 kijana inaonekana physics uliikimbia ng'ombe wakipita kuene rami makundi makundi n mwezi1 tu inaanza viraka

    • @ahz6907
      @ahz6907 4 ปีที่แล้ว

      Ng'ombe wanakwatua rami kwakuwa wana kwato.malori hayana kwato 😊

  • @douglaskomba2304
    @douglaskomba2304 4 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo tuelewane kabisa dc karibu

  • @zenj1986
    @zenj1986 4 ปีที่แล้ว +4

    Sasa ngombe apite wapi???

  • @dennisstafford450
    @dennisstafford450 4 ปีที่แล้ว

    Athumani Muzu mshenzi sana

  • @jumamadili3035
    @jumamadili3035 4 ปีที่แล้ว +1

    Izo ng'ombe pia hua znaxababixha ajari

  • @kenyalatelyupdatestv9770
    @kenyalatelyupdatestv9770 4 ปีที่แล้ว +10

    sasa ng'ombe zinaharibu barabara kiaje?

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 4 ปีที่แล้ว

      Kwanza inaweza sababisha ajali muda wowote usiwe mwanachochoko...

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 4 ปีที่แล้ว

      Wajengee barabara ya ng'ombe!

    • @Chilumedia
      @Chilumedia 4 ปีที่แล้ว

      Barabara haijafunguliwa

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila Wafugaj hawanaga ustaarab haoni hasara kuingiza hata kwenye shamba la MTU na ukiwakataza hawaelew kesho wanarud tena

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 4 ปีที่แล้ว +2

    Jmn mapovu ynatoka cz hamjui Sheria Kuna maeneo sahihi y kuvusha ng'ombe syo kila mahali unaweza fnya ivo

  • @abdulmembe2349
    @abdulmembe2349 4 ปีที่แล้ว

    Hawezi tutia hasara baba aaah atukubali

  • @NOVATISIYAME-w5u
    @NOVATISIYAME-w5u ปีที่แล้ว

    Tanzania tunawaitaji wazalendo kama hawa

  • @NOVATISIYAME-w5u
    @NOVATISIYAME-w5u ปีที่แล้ว

    Ungekuwa wazili mkuu au rais kwakweli ingekuwa vyemaaaaa

  • @kasukahabari327
    @kasukahabari327 4 ปีที่แล้ว

    Gombeza tunakusikiliza wananchi kitogoji

  • @gideonmwanzia9249
    @gideonmwanzia9249 4 ปีที่แล้ว

    Na Sasa barabara za kupitisha mivungo ziko wp

  • @tanzania_celebs
    @tanzania_celebs 4 ปีที่แล้ว

    mkuu tetea point yako vzur

  • @debbymwaka4048
    @debbymwaka4048 4 ปีที่แล้ว

    Zanzbar hii Ni kawaida saana huyu mzee akienda Zanzibar atafunga zanzibari yote

  • @kiariedavid8370
    @kiariedavid8370 4 ปีที่แล้ว

    Toronto haikubaliki ngombe balaaaa

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 4 ปีที่แล้ว +10

    Mkuu wapitishe wapi ngombe angalia mkuu usije ukatumbuliwa!

    • @hamisisaidimasoud7013
      @hamisisaidimasoud7013 4 ปีที่แล้ว +1

      Kuna njia wamewekewa kwa ajl yao awajakurupuk mkuu jamaa yuko tmam alafu anatembea na sheria saan

    • @amanimanase5794
      @amanimanase5794 4 ปีที่แล้ว +1

      Na ww elewa ni kwamba hizi barabara bado zinatengenezwa sio kama tiyari zisharuhusiwa

    • @saidnoumani7244
      @saidnoumani7244 4 ปีที่แล้ว

      @@amanimanase5794 sawa Amani nimekufahamu kila la heri.

  • @vintz338
    @vintz338 4 ปีที่แล้ว

    Mnaouliza hao mifugo wapite wapi..,jibu nikwamba wanatakiwa kuvuka barabara nasio kutembea Kama magari nandiomaana hua Kuna alama za barabarani zinaonesha hapo wanavuka wanyama

  • @mansoulismail8868
    @mansoulismail8868 4 ปีที่แล้ว

    Nikweli

  • @jamalsalimkajia2656
    @jamalsalimkajia2656 4 ปีที่แล้ว +1

    Noma Sana hiyoo

  • @mohdshebe5640
    @mohdshebe5640 4 ปีที่แล้ว

    Duhhh huyu mkuu noma nauliza ,huyu mkuu alikua mwana jeshi nini kabla ya ukuu wa mkoa ?

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 3 ปีที่แล้ว

    Ila kweli maana unakuta ng'ombe zimekunya kunya kwenye lami,

  • @mustaphersamson6174
    @mustaphersamson6174 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu wafugaji Hao,wasamehe.

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 4 ปีที่แล้ว

    NG'OMBE WATASABISHA AJALI NA MKUUU KUFANYA HIVYO AMEWASAIDIA WAFUGAJI WAEPUKE AJALI NA PIA NISHERIA NG'OMBE WAPITISWE KWENYE PARIO SIO LAMI WANANCH WENZANG

  • @frankryricstv129
    @frankryricstv129 4 ปีที่แล้ว

    ilakawaoneatu kwanikwatoza ng'ombe zinahalibunn katikalami ilatanzania tunaonewa sanaa

    • @twalibmfaume3179
      @twalibmfaume3179 4 ปีที่แล้ว

      Jua Sheria ya barabara ndo utajua Kama wanawaonea au lah

  • @jamesuronu1306
    @jamesuronu1306 4 ปีที่แล้ว

    Mimi najiuliza Millard ayo huwa anatembea na huyu Mh, maana matukuo kama haya ni ya kushtukiza

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahhhhhh wananchi badala ya kuteteana wanachomana🤣😂😆

    • @hadijalukas5959
      @hadijalukas5959 4 ปีที่แล้ว +1

      si mafara tu hao hata hawajuwi wanachokijibu wanaburuzwa wanaenda

  • @jumamadili3035
    @jumamadili3035 4 ปีที่แล้ว

    Hahahahaaaa afu mama ni noma aise, anaonekana ni mtaalam wa kuchongea

  • @jenipherjerry7444
    @jenipherjerry7444 4 ปีที่แล้ว +1

    Swali nikwamba wapite wapi? Wapewe elimu yakutosha wengine hawajui haswa watu wavijijini hawajui iyo gharama wanachojua nibara bara.

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 4 ปีที่แล้ว

    Huyu baba huwa nampenda sana 😃😃😃😃😃

  • @abdulkillya2655
    @abdulkillya2655 4 ปีที่แล้ว +1

    Ukisikiliza maoni ya wananchi unagundua hawana elimu, sasa ng'ombe ndo mzito kuliko hizo scania za trailer zinazopita.
    Hapo tatzo ni barabara kutumika kabla haijarasimishwa matumizi yake na serikali. Lakn sio ng'ombe ndo tatzo kupita barabara na kama hamtaki tenga vivuko

  • @marcokanyama4533
    @marcokanyama4533 4 ปีที่แล้ว

    Ngoja niwaelimishe kidogo
    Shida sio kwama jina la wote ni mkokoteni hiyo sio tatizo
    Tatizo ni Ng'ombe wanapita na kunya pamoja na kukojolea lami mkojo unaharibu lami
    Hata gari ukikutwa umedondosha au kumwaga mafuta juu ya lami ni kosa pamoja na gari lako hapo kosa ni mavi ya Ng'ombe na mikojo yana haribu lami ile Acid yake ni kali

  • @Ishengoma1
    @Ishengoma1 4 ปีที่แล้ว

    Athumani uwiii wanakujia sasa hivi kimbia

  • @pascalngowi2483
    @pascalngowi2483 4 ปีที่แล้ว

    Huyu mama anacomment inaonekana ana chuki binafsi....

  • @paulheavyrain9584
    @paulheavyrain9584 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona magar yanapita.???

  • @omaredhasaidal.obthani4775
    @omaredhasaidal.obthani4775 4 ปีที่แล้ว

    Sawa ngombe asipite barabara ya lami sio km wanaharibu barabara ni usumbufu wa wanyama na magari .... Lkn kwato ya ng'ombe iharibu lami ...mkuu wa mkoa unatuaibisha sasa

  • @adbashtv6701
    @adbashtv6701 3 ปีที่แล้ว

    Eleza utakavyowagombeza 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mohammadkiliwa5483
    @mohammadkiliwa5483 4 ปีที่แล้ว

    Watu tabora wamepata mkuu wa mkoa

  • @anthonygasper239
    @anthonygasper239 4 ปีที่แล้ว

    Hayo makwama yanahalibu Toronto yetu Tbr

  • @hassanmsangi1155
    @hassanmsangi1155 4 ปีที่แล้ว +4

    mheshimiwa naomba uwape elimu kwanza hv kwato kwel zinaharbu barabara lakn nmtazamo tu

    • @salimmohamed694
      @salimmohamed694 4 ปีที่แล้ว

      Sio kweli sasa anazidi sifa

    • @kelvinjonas6215
      @kelvinjonas6215 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli, ng'ombe ni miongon mwa wanyama wanao-ongoza katika uharibifu wa Barabara.
      Jamaa yupo sahihi

    • @suzyjoseph3989
      @suzyjoseph3989 4 ปีที่แล้ว

      Ww itakua umeishia la pili, hujasoma mmomonyoko wa ardhi

    • @uledimtumwa2406
      @uledimtumwa2406 4 ปีที่แล้ว

      Msangi na ng'ombe wapi na wapi!!?? Kuna vivuko maalum vya Mifugo sio kupitisha tu,ndio maana kuna sheria ya barabara kaisome.

    • @kelvinjonas6215
      @kelvinjonas6215 4 ปีที่แล้ว

      @@suzyjoseph3989 kwamba Mifugo haiwezi kupelekea Mmomonyoko wa Ardhi. IPO hivi
      mifugo huzidisha matatizo haya; kuondolewa kwa mimea huongezeka kwa mmomonyoko.
      Nenda kasome Mada zote zinazohusu Mmomonyoko wa Ardhi uangalie vyanzo/visababishi kama hautakuta Mifugo/Ng'ombe

  • @danieldaniel-lb2on
    @danieldaniel-lb2on 4 ปีที่แล้ว +1

    Natamani kuhamia Toronto kabisa!

  • @abeljoshuamtweve5788
    @abeljoshuamtweve5788 4 ปีที่แล้ว

    Kwama jamani sio zuri,.. Linafungisha.

  • @ephraimisaya5027
    @ephraimisaya5027 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyekiti hajui lolote

  • @mudhihirikipande2316
    @mudhihirikipande2316 4 ปีที่แล้ว

    Vipi gari yako haiharibu barabara ng'ombe anauzito gani wa kuharibu

  • @kalbymax7262
    @kalbymax7262 4 ปีที่แล้ว

    Mkuu Leo umechemka. Kaa makini utatumbiliwa

  • @pascoalphonce2911
    @pascoalphonce2911 4 ปีที่แล้ว

    Tupitishie wapi?

  • @HamiduChamboko
    @HamiduChamboko 4 ปีที่แล้ว +3

    Ng'ombe kama anaelewa hivi anavyobaniwa asipite Barbara ni.yupo makini kusikiliza

  • @michaelkyando9131
    @michaelkyando9131 4 ปีที่แล้ว

    kwan uzito wan ngombe na magari ya ya mizigo kipi kizito

  • @afandechanel1507
    @afandechanel1507 4 ปีที่แล้ว

    Kumbe utamu wa hii video ipo kwenye huku mwisho

  • @stephanochungu5959
    @stephanochungu5959 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo nichuki bina fus wana nchi hapo ng'ombe ndoo anaumia kwenye rami huo niuonevu

  • @mohamedbakar41
    @mohamedbakar41 4 ปีที่แล้ว

    Sifa zingine. Pesa zenyew za wanainchi hujatoa za kwako mbona shida

  • @sadickrashid328
    @sadickrashid328 4 ปีที่แล้ว

    Hhaha kwato inachimba barabara daahh noma kwer😀😀😀

  • @carofatma8110
    @carofatma8110 4 ปีที่แล้ว +3

    Waelimishe jamani kwa leo ili wasirudie tena Mkuu 🙏

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 4 ปีที่แล้ว

    Wanyamwezi wapishi sn kama wapemba naona ht wapemba afadhali yaani mzee ww ndio unawaweza maana vichwa vigumu kweli .muheshiwa muongozee muda muda kuongoza asaidie tabora ipate maendeleo mweeeeeee.

  • @shabanimwema7334
    @shabanimwema7334 4 ปีที่แล้ว

    Sijaelewa uzito wa ilo gari likipita na hao ng'ombe kipi kizito

  • @clethbarnaba923
    @clethbarnaba923 4 ปีที่แล้ว

    Ng'ombe na gari ipi inayoharibu barabara. Mbona gari zinapita

  • @madundolucas4420
    @madundolucas4420 4 ปีที่แล้ว

    naiman sana na mkuu wa mkoa wa tabora rais angekuamishia mkoa wa tanga