HII NDIYO HOTUBA YA MWISHO YA MSTAAFU BENJAMIN WILLIAM MKAPA, UZINDUZI WA IKULU CHAMWINO DODOMA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025
- HII NDIYO HOTUBA YA MWISHO YA MSTAAFU BENJAMIN WILLIAM MKAPA, UZINDUZI WA IKULU CHAMWINO DODOMA
Hakika Rais mstaafu Benjamin Mkapa atakuwa amepumzika kwa amani baada ya miaka zaidi ya 50 ya kuwatumikia wananchi wa Tanzania. Ndoto yake ya kuona ikulu na serikali nzima inahamia Dodoma ilitimia kabla mboni zake hazijafunga na zaidi alipata fursa ya kuzindua na kuhutubia pia.
BURIANI MHE. BENJAMIN W. MKAPA
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Proud of you grndp
Daaah! Pumzika mzee wetu mzee Mkapa..... Mungu akuweke pema peponi....
My great mentor ✨✨ RIP..
God is good...
Mzee alikuwa akijua kupangilia maneno, kila neno kwenye kauli yake limepimwa!
na sauti yake ni ya kimamlaka.
RIP
mungu akupumzishe kwa amani
Pumzika kwa amani baba yetu.😭😭😭😭
Sina la kusema kwa kweli!rip mkapa"!kweli wema hawana maisha"!!.
Rest in peace
R.i.p mzee wetu mkapa
R I P Mkapa
Dah RIP Mzee wetu
R. I. P Mzee wetu MKAPA
R.i.p mkapa
Rip
Tumtakie baba aende salama
@@devymaiko267 amina
R.i.p.kilanafsi itaonja umauti
Hakika kifo ni fumbo pumzika kwa aman
What a loss to Tanzanians