"من أصغى بسمعه إلى صاحب بدعة ، وهو يعلم : خرج من عصمة الله ، ووكل إلى نفسه. وعنه: من يسمع ببدعة فلا يحكها لجلسائه لا يلقيها في قلوبهم". ثم قال: " قلت : أكثر أئمة السلف على هذا التحذير ؛ يرون أن القلوب ضعيفة، والشبه خطافة " انتهى من "سير أعلام النبلاء" (7/ 261). وفقنا الله وإياك لما يحب ويرضى. والله أعلم.
الحمد لله. أولا: لم يقل ابن تيمية رحمه الله إن الله يجلس نبيه محمدا صلى الله عليه وسلم على العرش، وإنما نقل أثر مجاهد في ذلك، ونقل قبول السلف له. وأثر مجاهد في إقعاد النبي صلى الله عليه وسلم على العرش، رواه أبو بكر الخلال في "السنة" عن غير واحد عن محمد بْنُ فُضَيْلٍ، عَنْ لَيْثٍ، عَنْ مُجَاهِدٍ قال في قوله تعالى: (عَسَى أَنْ يَبْعَثَكَ رَبُّكَ مَقَامًا مَحْمُودًا) الإسراء/ 79 ، قَالَ: " يُجْلِسُهُ عَلَى الْعَرْشِ". وفي رواية: قَالَ: "يُقْعِدُهُ عَلَى الْعَرْشِ". وينظر: "السنة للخلال" (1/ 213) وما بعدها. قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله: " حدث العلماء المرضيون وأولياؤه المقبولون: أن محمدا رسول الله صلى الله عليه وسلم يجلسه ربه على العرش معه ، روى ذلك محمد بن فضيل عن ليث عن مجاهد؛ في تفسير: عسى أن يبعثك ربك مقاما محمودا وذكر ذلك من وجوه أخرى مرفوعة وغير مرفوعة. قال ابن جرير: وهذا ليس مناقضا لما استفاضت به الأحاديث من أن المقام المحمود هو الشفاعة باتفاق الأئمة من جميع من ينتحل الإسلام ويدعيه لا يقول إن إجلاسه على العرش منكر - وإنما أنكره بعض الجهمية- ولا ذكرُه في تفسير الآية منكر" . انتهى من "مجموع الفتاوى"(4/ 374). وينظر كلام ابن جرير رحمه الله في تفسيره (17/ 531). كما ينظر: كتاب "السنة" للخلال، وكتاب "العرش"، للذهبي (2/ 273 - 282)، ففيهما النقل عن جماعة من أئمة السلف ، ممن قبل هذا الأثر، منهم أحمد بن حنبل، وإسحاق بن راهويه، وأبو عبيد القاسم بن سلاَّم، وغيرهم. وأما رأي شيخ الإسلام نفسه، فيؤخذ من قوله: " وإنما الثابت أنه عن مجاهد وغيره من السلف، وكان السلف والأئمة يروونه ولا ينكرونه، ويتلقونه بالقبول. وقد يقال: إن مثل هذا لا يقال إلا توفيقاً، لكن لا بد من الفرق بين ما ثبت من ألفاظ الرسول، وما ثبت من كلام غيره، سواء كان من المقبول أو المردود" انتهى من "درء التعارض" (5/ 237).
ينسب إليه في هذه المسألة، حتى يظن الظان أن ابن تيمية يشبه الله بالشاب الأمرد. وإنما هذه رؤيا منام، في حديث يرويه الأئمة، فلا لوم على شيخ الإسلام في روايته. قال رحمه الله : " فالإنسان قد يرى ربه في المنام ويخاطبه ، فهذا حق في الرؤيا . ولا يجوز أن يعتقد أن الله في نفسه مثل ما رأى في المنام ، فإن سائر ما يُرى في المنام ، لا يجب أن يكون مماثلا . ولكن لا بد أن تكون الصورة التي رآه فيها : مناسبة ، ومشابهة لاعتقاده في ربه . فإن كان إيمانه واعتقاده مطابقا ، أتي من الصور، وسمع من الكلام: ما يناسب ذلك، وإلا كان بالعكس . قال بعض المشايخ: إذا رأى العبد ربه في صورة كانت تلك الصورة حجابا بينه وبين الله . وما زال الصالحون وغيرهم يرون ربهم في المنام ، ويخاطبهم ، وما أظن عاقلا ينكر ذلك ؛ فإن وجود هذا مما لا يمكن دفعه ... وليس في رؤية الله في المنام نقص ولا عيب ، يتعلق به سبحانه وتعالى ، وإنما ذلك بحسب حال الرائي ، وصحة إيمانه وفساده ، واستقامة حاله وانحرافه. وقول من يقول : ما خطر بالبال أو دار في الخيال ، فالله بخلافه ، ونحو ذلك إذا حمل على مثل هذا ، كان محملاً صحيحاً ، فلا نعتقد أن ما تخيّله الإنسان ، في منامه أو يقظته ، من الصور : أن الله في نفسه مثل ذلك ، فإنه ليس هو في نفسه مثل ذلك ، بل نفس الجن والملائكة لا يتصورها الإنسان ويتخيلها على حقيقتها ، بل هي على خلاف ما يتخيله ويتصوره ، في منامه ويقظته ، وإن كان ما رآه مناسبا مشابها لها ، فالله تعالى أجل وأعظم ". انتهى من "بيان تلبيس الجهمية" (1/ 325).
لَرِزْقُنَا مَا لَهُ مِنْ نَفَادٍ ) ص/54 . فتسلسل الحوادث في المستقبل، لا يمنع من كونه تعالى هو الآخر، وكذلك تسلسل الحوادث في الماضي لا يمنع من كونه هو الأول. والقول بحوادث لا أول لها، أو بالقدم النوعي للحوادث لا محذور فيه، كما نص على ذلك غير واحد من محققي المتكلمين ، كالأرموي، والدواني، ومحمد عبده، ومحمد بخيت المطيعي، بل هو مقتضى أسماء الله وصفاته وأنه لم يزل خلاقا عليما، ونكتفي هنا بنقل كلام المحقق الدواني. قال رحمه الله: "وأنت مما سبق خبير بأنه يمكن صدور العالم ، مع حدوثه على هذا الوجه، فلا يلزم القدم الشخصي في شيء من أجزاء العالم، بل القدم الجنسي، بأن يكون فرد من أفراد العالم لا يزال على سبيل التعاقب موجودا" انتهى من "شرحه على العضدية" ص 10. والنصيحة لك أن تقبل على تعلم العلم النافع- لا سيما وأنت في هذه السن المبكرة- وألا تنشغل بالشبهات والردود، فإن هذا يصد عن كثير من العلم. فاحرص على قراءة كتب السلف، وتلقي العلم على أيدي الثقات، واحذر الشبهات والنظر في كتب المخالفين ومواقعهم، فإن القلوب ضعيفة والشبه خطافة. قال الذهبي رحمه الله ، وساق قول سفيان: "من أصغى بسمعه إلى صاحب بدعة ، وهو يعلم : خرج من عصمة الله ، ووكل إلى نفسه. وعنه: من يسمع ببدعة فلا يحكها لجلسائه لا يلقيها في قلوبهم". ثم قال: " قلت : أكثر أئمة السلف على هذا التحذير ؛ يرون أن القلوب ضعيفة، والشبه خطافة " انتهى من "سير أعلام النبلاء" (7/ 261). وفقنا الله وإياك لما يحب ويرضى. والله أعلم.
Jazakallahu kheyra,Ustadh Allah Akulipe hadi uridhie ,We love you too in shaa Allah, Allah Akuhifadhii na Husdah Usichoke Kumkosoa Kasuku Na Pia Shiekh Kishki Akosea Sana Na Yeye Anapenda kutoa hukmu huku Akisingizia wanavyuoni ja Maswala ya Arafa na mengineo plz Shiekh wetu Usichoke Plz! plz!! Allah Atakulipa in shaa Allah kwa kazi nzuri hio
Shukran shehe wangu :Muhamad Bachu hanachochote cha kusema katika dini , hana vyombo va kielimu venye kumsaidia katika kuogelea katika bahari ya elimu. Namuomba al-akh muhamad bachu asione aibu arudi darasani asome tena lakini pia sisi sote tuzidi kusoma ili tukisema ,au tukifanya tujue twafanya nini
@@musakulapha9882 tuweni watu wa kutofautisha kati ya ufasaha katika kuzungumza na ufahamu wa kielimu kupitia vyombo va kielimu ,sikila mfasaha huwa ana elimu na sikila mwenye elimu anaweza kuwa mfasaha katika kuongea lakini upo uwezekano mtu akawa mfasaha na akawa na elimu, muhamad bachu anaufasaha katika kuongea lakini hana vyombo va kielimu venye kumpitisha mapito ya kielimu nawala simdharau illa, ila kama hio ya kutojitambua kuwa kitu flani hajui anayo na mtu kujijua kuwa kitu flani sina sio aibu bali aibu nikuongea kitu bila ya ufahamu mkubwa wa kile kitu kisha ukadai kuwa hivo unavoelezea ndivo sawa wakati sivo kiuhakika
Asante sana shekh haji ume ongea vzr sanaa. Mm kila siku mm nasema uyu Bachu nimpotoshaji mkubwa ila kwanza baba yak kupotosha watu Zanzibar na yy Afuatilia uovu
UPEPO BACHU UPO NAE ZANZIBAR MIAKA YTE KWANINI USIWEKE MNAKASHA TU MPKAAA BACHO ATOKA HAPO NA KWENNDA TANGA NA MOMBASA WEWE KAZI KUJIFUNGIA CHUMBANI NA MKE WAKO UKAJIRIKODI KISHI WATU KWENYE MITANDAO HII NIDHAMU YA KIKE WEKA MEZA 2 TUMALIZE UTATA ACHA KUTIA HURUMA UPEPO
@@AliKhatib-vy1oj wahabi ni systems iliyo weka na watawala wa kiyahudi ili waweze utawala mfano ipo leo tunamuona mafuta na genge lake likiwashutumu n kuwalaani waarabu na kuwasapoti mayahudi
Hii ni hazina yetu, Allah akupe umri mrefu afya na tawfiq ya kubainisha hila zao hawa. Binafsi nilisoma kwao ila nilishindwa kuelewana nao Mwisho nikasamehe
Sheikh Haji upepo Mimi nimefahamu zaman sana Muhammad Bachu hamna kitu ni debe tupu kichwa kitupu na hata Hawa wanaomsapoti pia ni vichwa maji hawajielewi wanafuata upepo tu mwalimu wao hajasoma na hao wafuataji nao hawajasoma ni porojo tu kwenda mbele na kufru zao hao mawahabiiiii
Asante sana alhaji upepo kwa ufafanuzi wenye ufasaha mkubwa kwa aliekua na akili atafahamu la kama atakua ni mtu wa jazba na kufata mkumbo haoni kitu hapa mimi nilichojifunza hapa leo hii miwahabi wao wanachokisema hará kama si mtume basi hicho ni sahihi Lakin wanazuoni wengine wakisema wasiokua wao hao wazushi dahh acheni haya mambo miwahabi
Jazakallahu khaira shekh, kazi nzuri endelea kutufundisha shekh, mana hata hao mawahabi wafata mkumbo hawajui siri au lengo hasa la mawahabi. ALLAH atuongoze njia ilionyooka.
BACHU HAKATAI HAO WANAZUONI,,,MUNGU AMETUPA AKILI,,KUNA VISA UKISKIA HADI AKILI YENYEW INAGOMA,UNAONA KABISA HIKI KIMETUNGWA...NA NDO POINT KUBWA YA BACHU
Ktk Quran Tukufu na Sunnah tumefundishwa namna bora ya kukosoa. Misingi ya kulingania inapaswa kufauatwa na walinganiaji wote ili kupata kuridhiwa na ALLAH SUBHANAHU. WATAALA..
Makhuraf acheni ushabiki hii nidini hiv daliligan hapo kaitoa kuthibitisha yale bacho alio sema kua niongo??! Mh allah atuongoze kuifuata sunnah na kuachana na bidaa
Bachu katanguliwa na mwanachuoni gani akasema kuwa ni uongo?. Bachu si ndio aliosema kwenye mnaqasha wa MAMBRUI kuwa hakuna mwanachuoni aliosema kuwa ni uongo wala hajaona yeye, ILA KAONGEA KWA SHAHAWA ZAKE, SASA KAMA SHAHAWA ZAKE NDIO DALILI KWENU MAWAHABI BASI SAWA😁
Katika maisha nimeyaelewa makundi mawili ndo yenye kuuchafua uislamu.Kundi la Masufi na kundi la Mashia.Makundi hayo yote wanapenda kuzichafua ibada alizotufundisha Mtume wetu na kuweka zao remix ilikuzichafua ibada tulizofundisha na Mtume Muhammad ().
Assalaam Aleykum, sheikh hapo kidogo umenichanganya, vipi unataka dalili (Hadith) ya Tauba ya Nabii Adam wakati imeelezewa kwa vizuri katika Surat Aaraf aya 23. Asaa umepitikiwa, Mola awaongoze masheikh wetu nyote wewe pamoja na Muhammad Bachu ila nawausia muwe na uslubi mzuri wa mijadala Mambo ya kutusiana hayaleti faida kwa Umma
tatizo lenu hamjitambui mnalazimisha maneno ya watu kuwa kweli ya mungu punguzeni sifa kwahiyo Adam alimswalia Muhammad vitu vingine tumieni akili nionyesheni nabii aliyemswalia Muhammad punguzeni utahira
Shekh zangu waislamu wenzangu mtume Muhammad s,a,w hiv kweli ndo alivyo tufundisha kuwa muislamu mwenzako anapokosea unamsema mbele ya hazara jmn tunaelekea wapi ndug zangu jaman man sikuhz mashekh zetu hiyo tabia imeenea san mtu akikosea kitu kesho yake wampost na kumsema hiv kweli jamn waislamu mashekh zetu jamn
UNGEACHA UJINGA UKAACHA UPUMBAVU, UKAACHA UCHAWA KWA MASHEKH WENU WA KITWARIQA. BASI UNGEKUWA KIJANA MZURI MBELE ZETU NA MBELE ZA MUNGU. ILA WEWE UPO TAYARI KUFANYA JAMBO LA KUWAPENDEZA WATU ILIMRADI WAFURAHI ILA UMCHUKIZE ALLAH NA MTUME WAKE😢😢😢
Shekh haji nipo na wewe na unaenda vizuri ila wasia wangu jitahidi usijifunze kupoteza dakika kwenye kulaumu au kusimanga au kurefusha maneno kwasababu waskilizaji Alhamdulillah tuna akili vizuri basi weka point bila kuchelewa iwe faida tupu ili tupende kurejea clip kusikiliza. Weka point yake kisha weka jibu kwa ufupi kabisa.
Shekh comment yako nzuri lakin hata wao mawahabi hawana point pekeake ispokua anaongea Sanaa sasa lazima nasisi tuende vile tunavyoona inafaa kuendanao hivyo shekh haji upepo endelea hivyo hivyo hawajamaa lazima wajibiwe Ila wasitukanwe tu.
@@barzaqtradingcompany8541 UNGEJIBU HOJA BASI TUNGEFAHAMU, MAZALI HOJA ZIMEKYSHINDA NA HUTAKI KUWA SUFI BASI WEWE NI SUMMUN BIKMUN UMYUN. maana umepewa hoja una masikio ila husikii na hoja huna.
Kwa uislaam hakuna wa haabi wala maulidiyyi ni kufata quran na sunnah ya mtume swa Pia weewe ugopa Allah wee hajji na pia kua na ikhlaas huna ikhlaas kwa maneeno yaako tafuta ilmu Miimi sisapooti mtu yeyoote katika nyiinyi
SIKUZOTE ANAE ZUNGUMZA UKWELI HUITWA MWEHU. ILO SI AJABU KWA WATU WASUNNAT KUPOKEYA MATUSI. NYINYI NI WATU WA UZUSHI NYINYI SI AHLI SUNNAT ACHANI KUJIWEKA SEHEMU MUSIO IPENDA UJIITE MTU WA SUNNAT NA WEWE HUTAKI SUNNAT .
Sh said kwann usende moja kwa moja juu ya alichokisema sh bachu kuhusu mahari je kapatia ama kakosea ili kma kumraddi umraddi hapa coz hapa ndipo alipoogelea yeye
Bona na kajibu hayo nimane ya wanavyuoni kuhusu ya kweli au c yakweli hayo hajacbiti ya hayana manufaaa kwetu waislam ukiyakubali sawa ukiyakataa sawa Mana hayaaneno ni wanachuoni hamna Mana yakumgobeza anaye kubali na kukataa
Rudi surat aaraaf..aya 23 upate majibu ya manen ya tauba aliyosema nabii adam na mkewe hawaa na wala hayo s manen ya wanazuon... inaonekan qur an hujakhitimu akhy wewee.
sio kweli! masalafi uchwara wote wanaamini maneno ya Ibn Taymiyya na wanayakubali na ni ktk Aqida yao kuwa Mtume atapewa kisehemu ktk Arshi ya Allah!! niletee nukuu moja tu wameyapinga hayo maneno!!
Duh mwanzoni bachu ilikuwa na muwelewa sana lkn kila siku zikienda naanza kufamu kama anatupeleka siko na mpotoshaji na nikimtazama machoni tu namuona kuwa ni muongo
@@jakuabdull34 binafsi namuelewa sana Muhammad Bachu maneno mengi akiongea ananukuu vitabu hawa wengine naona mengi wanayizungumza yanatoka vichwani mwao hasa kwenye jambo la ufahamu wa Kitabu na Sunna
@aymanmangube4092 c kumuelewa mtu kubwa nikutafuta haki kwa hili nimekaa nikatafakari nikaona ananitoa kwenye haki na kubwa zaidi naangalia mantik za hoja hoja zake nyingi c za kujenga umoja wa kiislam bali ni kuvuruga umoja wa kiislam
Jamani mashekh tafadhalini mbona Kuna watu wabaya na wapotoshaji hamutoki povu kuwaraddi munakosowana wenyewe Kwa wenyewe Kwa faida ya Nan ,ivi mitaala hii ya kukashifiana,kutukana kutiana aibu mmetoa wp ktk dini?
kwani mmekosa mada za kuzungumza mitandaoni zaidi ya kukosoana kila siku nawaomba fanyeni kwa vitendo ili tupate kujifunza kwenu kwa matendo punguzeni mijadala mitandaoni
Mm ni shk Fareed kutoka Kenya nakufunza kidogo ujuwe viyumbe vyote wanamkimbiliya Allah mimi nakufunza Allah Anamtaka mtume mohamed s. a. w. Nitafute nikupe Aya 3
Tatizo mnajizim data kweli nyie ayo maneno unasom ila kwenye vitbu vimendikwa dalili yhayo maneno kuwa ylitokea iko wap mtume kaysem kam kiongoz wetu kiwa Nbii Adam kaoa kwa mahr ya kumsalia yy sasa kupokelew tu
Sheikh samahani huyu mtoto wabachu usimvishe jina la Muhammad,hata kama ni jina lake ,Bora umuite mtoto wa bachu.kama alivyoitwa Muhammad bin abdulwahabi akaitwa wahabi,na huyo aitwe mtoto wa bachu inatosha,lkn ukimuita Muhammad mna confuse watu.
Mimi ulivyomtusi shaykh ibn uthaymeen… heshima imeisha. Wamjua ,al-allaamah, al-imam a-shaykh ibn uthaymeen ni nani?? Wewe hata ukatwikwa vitabu vyake huwezi inuka… na aqeedah yake saafi katika manhaj ya maswahaba… wawezaje mtuhumu kwa mambo hata kuandika siwezi… keti usome ibn uthaymeen ni nani….rahimahu Allah. kweli aliesema wewe na family yako hamfiki hata ndevu moja ya ibn uthaymeen kasema ukweli. Wewe ni nani??? Waislamu wmefaidi nini kutoka kwako??? Ibn uthaymeen na wewe wapi kwa wapi. Kisha ash’ari…??? Madh’hab ambayo kwa asli yake ishaangushwa kwa dalili wazi za quran na sunnah! Allah atuongoze na aniepushe na kizazi changu na ashari.. na anilinde na upotevu wa watu wa bidaa
Maneno hayo unayo zungumza juu y Muhammad Bachu fahamu kuwa sisi tuna akili ww ndio unatakiwa upuuzwe kabisa maana uongo na uzushi wa masufi, masheikh kibao wakisufi na wapiga ramli mtaani ushirikina wa wazi kabisa utawadanganya hao hao waganga wenzako ila sio watu wenyeakili timamu
Ww ndio huna akili kabisa mana hujui haki iko wapi na hutaki kusoma ukaijua haki munachagua vitabu vya kusoma ndio ujinga wenu kwa maana hiyo kila kitu kitakua bidaa kwenu kumbe muna uchache wa elimu
Kweli nineamini watu wa bida,a hawana elimu l!hakuna la maana alilo ongea! Nimijitu yenye husda sana kwawatu wa zuna,juweni kwamba suna inasonga mbele na bida'a inakimbiwa,ww haji upepo wote huo ni uwoga unajihami tu,usipojirekebisha ukaacha kuwatukana watu wa suna mwisho wako ni mbaya sana,
Hivo wewe hufahamu kua bachu ni mgonjwa wa akili umekaa ati bachu atasikilizwa Mpaka kiama bachu Hamna kitu hajui hata hukumu za Hadith ni dude lipo tu na makelele mengi basi
Huwa nakufatilia saana ila kwenye mada zako nying sion zaid ya kutengenez malumbano yasio ya msing bahathi zako nying zipo kuangalia makosa ya watu tu ,pia makosa mengine sio msing wa dini
Jamanini huyu mtu , muachani, hata hajui anacho kisema na yaonekana atafuta tu umaarufu , hebu ona anavyo sema , anadai kua mahari hayo ya Aadam alayhi ssalaam yanayo daiwa kisa chake haina sanad , Na hicho kisa alicho kisema Ibnu taymiyah nacho hakina sanad na ukiongezea hilo ( latokua na sanad) ni ukafiri , aki maanisha tuiamini kuhusu kile kisa cha mahari ya Aadam alayhi ssalaam, kwa kua pia Shaykhul islaam rahmatu llaahi alayhi , nae ana kisa katika kitabu chake kisicho kua na sanad pia, na tukikataa basi tuvikatae vyote , haya sasa , ikiwa tutavikubali vyote na nyie ndio mtavikubali vyote pamoja na hicho mnacho kisema ni cha Ibnu taymiyyah ? Ambapo ni ukafiri kama ulivyo sema? Hili ni baadhi ya matatizo ya masufiy huo unavyo mrekebisha kosa lake hujitahidi nae atafute dosari kadri awezavyo ili akuambie nawe unalo hata kama hauna ili tu umuache na uzushi wake, nikama wauvu na bila shaka pia nao ni waovu maana kumsemea Allaah uongo bila yaelimu ni uovu mkubwa , ukimwambi mtu usinywe pombe anakuambia nyie wenye kuswali hamfanyi dhambi ? Ukisema hakuna asie fanya dhambi , isipokua manabii anakuambia kwa hiyo umeona dhambi yangu yako haujaiona 😂😂😂😂😂 Ndio watu wabid’aa walivyo ukimwambia wewe acha bid’aa akuambia wewe mwenyewe ni bid’aa kwa sababu haukua kipindi cha mtume, aah mie nakusudia katika ibada ? Si viwili wili !!! Akuambia pia nyie mwaadhini kwa spika na adhana ni ibada. Wewe utadhani kazungumzia ibada ya adhana kumbe , nukta ya shubha hapo ni neno spika ndio ileee ajitahidi angalao apate bid’aa kwako ili muwe sawa , usimkataze mnyamaziane , ndio anacho kifanya huyu mtu , ndio maana akatoa maneno anayo dai kua yamo katika kitabu cha shaykh Allaah amremu
Mtu anaefahimishwa haki akaikataa ni zindiq,na huyu kijiustadh uchwara,anaeligeuza la haki,kwakulibabaisha,Hana tofauti tabia za kuyahudi,za kupinga jambo,halafu akasema uwongo,huku akijua Hilo,hawa wengine wanafuata mikondo kwa kutafuta sifa,alimradi na wao wasifiwe na wazandiq wenzao
Hafahamu alichosema haji apo ...anachosema haji riwaya ata kwa ibni taymia zipo mbona hasemi kua shiriki . Fahamu anachosema mckilize vizur sana utamuelewa
Bacho kaishiwa Hana tena yakuongea Ndio MAANA ANAKOSOA MANENO BAADAE YEYE MWENYEWE ANAINGIA HAPO HAPO 😂😂😂😂😂😂😂😂 WALLAHI INAONEKANA NI ZAIDI YA CHIZI 😂😂😂😂😂😂
Hawa watu wa tarika uwongo wameuweka mbele,wacheni kumkufuru Allah,msimzulie Allah uwongo,Hilo ni kosa kubwa,msitake kumshirikisha Allah na binaadamu,keshasema hana mshirika,wacheni unafiki,wewe bado ni kitoto,kuwa kwanza halafu tena,naona mapema
Mbona hukuenda kwenye mnakasha km ww unaona ni halali hayo maulid. mashekh mmekua ovyooo hasa nyie vijana.mnajifanya mnajua,mnapenda shari,kwni ww mpaka umtaje jina lake huyo bachu
Mnajitahidi sana kuharibiana nakuvunjiana heshima huku mnaacha wavulana wanalawitiana nawengine wanauana ....acheni maneno matupu hayafai fajyeni vitendo .mnatutia aibu tu hakuna ufahari katka dunia mcheni mungu
Haji Upepo. Nenda kasome kijana mdogo ELIMU YAKO NI NDOGO N DUNI MNO. CC MASALAFY HATUNA MASHAKA NA MASHEIKH ZETU
EEE ILA MNA MASHAKA NA MASHEIKH WA WENZENU,
WAO PIA HAWANA MASHAKA NA MASHEIKH ZAO ILA MASHAKA NA MASHEIKH ZENU.
"من أصغى بسمعه إلى صاحب بدعة ، وهو يعلم : خرج من عصمة الله ، ووكل إلى نفسه.
وعنه: من يسمع ببدعة فلا يحكها لجلسائه لا يلقيها في قلوبهم".
ثم قال:
" قلت : أكثر أئمة السلف على هذا التحذير ؛ يرون أن القلوب ضعيفة، والشبه خطافة " انتهى من "سير أعلام النبلاء" (7/ 261).
وفقنا الله وإياك لما يحب ويرضى.
والله أعلم.
الحمد لله.
أولا:
لم يقل ابن تيمية رحمه الله إن الله يجلس نبيه محمدا صلى الله عليه وسلم على العرش، وإنما نقل أثر مجاهد في ذلك، ونقل قبول السلف له.
وأثر مجاهد في إقعاد النبي صلى الله عليه وسلم على العرش، رواه أبو بكر الخلال في "السنة" عن غير واحد عن محمد بْنُ فُضَيْلٍ، عَنْ لَيْثٍ، عَنْ مُجَاهِدٍ قال في قوله تعالى: (عَسَى أَنْ يَبْعَثَكَ رَبُّكَ مَقَامًا مَحْمُودًا) الإسراء/ 79 ، قَالَ: " يُجْلِسُهُ عَلَى الْعَرْشِ".
وفي رواية: قَالَ: "يُقْعِدُهُ عَلَى الْعَرْشِ".
وينظر: "السنة للخلال" (1/ 213) وما بعدها.
قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله: " حدث العلماء المرضيون وأولياؤه المقبولون: أن محمدا رسول الله صلى الله عليه وسلم يجلسه ربه على العرش معه ، روى ذلك محمد بن فضيل عن ليث عن مجاهد؛ في تفسير: عسى أن يبعثك ربك مقاما محمودا وذكر ذلك من وجوه أخرى مرفوعة وغير مرفوعة. قال ابن جرير: وهذا ليس مناقضا لما استفاضت به الأحاديث من أن المقام المحمود هو الشفاعة باتفاق الأئمة من جميع من ينتحل الإسلام ويدعيه لا يقول إن إجلاسه على العرش منكر - وإنما أنكره بعض الجهمية- ولا ذكرُه في تفسير الآية منكر" . انتهى من "مجموع الفتاوى"(4/ 374).
وينظر كلام ابن جرير رحمه الله في تفسيره (17/ 531).
كما ينظر: كتاب "السنة" للخلال، وكتاب "العرش"، للذهبي (2/ 273 - 282)، ففيهما النقل عن جماعة من أئمة السلف ، ممن قبل هذا الأثر، منهم أحمد بن حنبل، وإسحاق بن راهويه، وأبو عبيد القاسم بن سلاَّم، وغيرهم.
وأما رأي شيخ الإسلام نفسه، فيؤخذ من قوله: " وإنما الثابت أنه عن مجاهد وغيره من السلف، وكان السلف والأئمة يروونه ولا ينكرونه، ويتلقونه بالقبول.
وقد يقال: إن مثل هذا لا يقال إلا توفيقاً، لكن لا بد من الفرق بين ما ثبت من ألفاظ الرسول، وما ثبت من كلام غيره، سواء كان من المقبول أو المردود" انتهى من "درء التعارض" (5/ 237).
ينسب إليه في هذه المسألة، حتى يظن الظان أن ابن تيمية يشبه الله بالشاب الأمرد.
وإنما هذه رؤيا منام، في حديث يرويه الأئمة، فلا لوم على شيخ الإسلام في روايته.
قال رحمه الله : " فالإنسان قد يرى ربه في المنام ويخاطبه ، فهذا حق في الرؤيا .
ولا يجوز أن يعتقد أن الله في نفسه مثل ما رأى في المنام ، فإن سائر ما يُرى في المنام ، لا يجب أن يكون مماثلا .
ولكن لا بد أن تكون الصورة التي رآه فيها : مناسبة ، ومشابهة لاعتقاده في ربه . فإن كان إيمانه واعتقاده مطابقا ، أتي من الصور، وسمع من الكلام: ما يناسب ذلك، وإلا كان بالعكس . قال بعض المشايخ: إذا رأى العبد ربه في صورة كانت تلك الصورة حجابا بينه وبين الله .
وما زال الصالحون وغيرهم يرون ربهم في المنام ، ويخاطبهم ، وما أظن عاقلا ينكر ذلك ؛ فإن وجود هذا مما لا يمكن دفعه ...
وليس في رؤية الله في المنام نقص ولا عيب ، يتعلق به سبحانه وتعالى ، وإنما ذلك بحسب حال الرائي ، وصحة إيمانه وفساده ، واستقامة حاله وانحرافه.
وقول من يقول : ما خطر بالبال أو دار في الخيال ، فالله بخلافه ، ونحو ذلك إذا حمل على مثل هذا ، كان محملاً صحيحاً ، فلا نعتقد أن ما تخيّله الإنسان ، في منامه أو يقظته ، من الصور : أن الله في نفسه مثل ذلك ، فإنه ليس هو في نفسه مثل ذلك ، بل نفس الجن والملائكة لا يتصورها الإنسان ويتخيلها على حقيقتها ، بل هي على خلاف ما يتخيله ويتصوره ، في منامه ويقظته ، وإن كان ما رآه مناسبا مشابها لها ، فالله تعالى أجل وأعظم ".
انتهى من "بيان تلبيس الجهمية" (1/ 325).
لَرِزْقُنَا مَا لَهُ مِنْ نَفَادٍ ) ص/54 .
فتسلسل الحوادث في المستقبل، لا يمنع من كونه تعالى هو الآخر، وكذلك تسلسل الحوادث في الماضي لا يمنع من كونه هو الأول.
والقول بحوادث لا أول لها، أو بالقدم النوعي للحوادث لا محذور فيه، كما نص على ذلك غير واحد من محققي المتكلمين ، كالأرموي، والدواني، ومحمد عبده، ومحمد بخيت المطيعي، بل هو مقتضى أسماء الله وصفاته وأنه لم يزل خلاقا عليما، ونكتفي هنا بنقل كلام المحقق الدواني.
قال رحمه الله: "وأنت مما سبق خبير بأنه يمكن صدور العالم ، مع حدوثه على هذا الوجه، فلا يلزم القدم الشخصي في شيء من أجزاء العالم، بل القدم الجنسي، بأن يكون فرد من أفراد العالم لا يزال على سبيل التعاقب موجودا" انتهى من "شرحه على العضدية" ص 10.
والنصيحة لك أن تقبل على تعلم العلم النافع- لا سيما وأنت في هذه السن المبكرة- وألا تنشغل بالشبهات والردود، فإن هذا يصد عن كثير من العلم.
فاحرص على قراءة كتب السلف، وتلقي العلم على أيدي الثقات، واحذر الشبهات والنظر في كتب المخالفين ومواقعهم، فإن القلوب ضعيفة والشبه خطافة.
قال الذهبي رحمه الله ، وساق قول سفيان:
"من أصغى بسمعه إلى صاحب بدعة ، وهو يعلم : خرج من عصمة الله ، ووكل إلى نفسه.
وعنه: من يسمع ببدعة فلا يحكها لجلسائه لا يلقيها في قلوبهم".
ثم قال:
" قلت : أكثر أئمة السلف على هذا التحذير ؛ يرون أن القلوب ضعيفة، والشبه خطافة " انتهى من "سير أعلام النبلاء" (7/ 261).
وفقنا الله وإياك لما يحب ويرضى.
والله أعلم.
HUYU BACHU NI KICHAA .
Ustadh Haji Allah akuhifadh akuzidishie Elimu na usiache kusoma ili kuzidi kuihami Dini ya Allah, na kuwazindua Hawa Waenda mbio bi'idhnillah.
Jazakallahu kheyra,Ustadh Allah Akulipe hadi uridhie ,We love you too in shaa Allah, Allah Akuhifadhii na Husdah Usichoke Kumkosoa Kasuku Na Pia Shiekh Kishki Akosea Sana Na Yeye Anapenda kutoa hukmu huku Akisingizia wanavyuoni ja Maswala ya Arafa na mengineo plz Shiekh wetu Usichoke Plz! plz!! Allah Atakulipa in shaa Allah kwa kazi nzuri hio
Shukran shehe wangu :Muhamad Bachu hanachochote cha kusema katika dini , hana vyombo va kielimu venye kumsaidia katika kuogelea katika bahari ya elimu. Namuomba al-akh muhamad bachu asione aibu arudi darasani asome tena lakini pia sisi sote tuzidi kusoma ili tukisema ,au tukifanya tujue twafanya nini
Wa Allah c pendeli lkn sheikh Muhammad bachu anatoa ilmu ya faida ...aneleweka yaani ..hapa naona porojo...samahani lkn..
@@musakulapha9882 tusiwekeni chuki mbele katika mas'ala ya elimu .
elimu ina mapito yake huo ndo ukweli
@@musakulapha9882 tuweni watu wa kutofautisha kati ya ufasaha katika kuzungumza na ufahamu wa kielimu kupitia vyombo va kielimu ,sikila mfasaha huwa ana elimu na sikila mwenye elimu anaweza kuwa mfasaha katika kuongea lakini upo uwezekano mtu akawa mfasaha na akawa na elimu, muhamad bachu anaufasaha katika kuongea lakini hana vyombo va kielimu venye kumpitisha mapito ya kielimu nawala simdharau illa, ila kama hio ya kutojitambua kuwa kitu flani hajui anayo na mtu kujijua kuwa kitu flani sina sio aibu bali aibu nikuongea kitu bila ya ufahamu mkubwa wa kile kitu kisha ukadai kuwa hivo unavoelezea ndivo sawa wakati sivo kiuhakika
Asante sana shekh haji ume ongea vzr sanaa. Mm kila siku mm nasema uyu Bachu nimpotoshaji mkubwa ila kwanza baba yak kupotosha watu Zanzibar na yy Afuatilia uovu
Kak acha kumsem mtu kuwa Ni muov Mzee wawt nassoro bachu msikiliz vzr
Asante. Sana kwa kutuelimisha Allah akulipe heri.
Huyu Kibachu hana jipya hata kofia hajui inavaliw vp.
Shkh haji tunashukuru kwa darsa zako Ila ningeomba Umwite huyu bacho kweny mjadala kuhusu tawasul n'a maulidi ili tupate faida n'a sisi wanafunzi
Kukosea ni maumbile ya binaadamu lakini, isiwe wakikosea mashekh wengine mtu anakua mkali lakini wakikosea mashekh wake anakaa kimya.
Tuwe waadilifu.
Tambua malipo ni hapa kwa baadhi ya matendo matendo, kama alivyo bacho hukosoa wana wa chuoni walio kufa nae atafanyiwa hivyo hivyo
Haswaaaaas tuweni na inswaaf
Allah atuongoze. Atupe elimu.Atuoneshe haki kuwa ni haki ili tuweze kuifuata na atuoneshe batili kuwa ni batili na tuweze kuiacha
UPEPO BACHU UPO NAE ZANZIBAR MIAKA YTE KWANINI USIWEKE MNAKASHA TU MPKAAA BACHO ATOKA HAPO NA KWENNDA TANGA NA MOMBASA WEWE KAZI KUJIFUNGIA CHUMBANI NA MKE WAKO UKAJIRIKODI KISHI WATU KWENYE MITANDAO HII NIDHAMU YA KIKE WEKA MEZA 2 TUMALIZE UTATA ACHA KUTIA HURUMA UPEPO
Maulidi haiwezi kua haq upepo
BACHU kafungiwa zanzibar sasa yupo kwa mashoga zake tanga na Mombasa anaropokwa tu
Ww haji upepo naona kila mtu wagomban naye eee yaonesha kua ima ushekhe mkubwa cn au nijahili kubwa ila mm nahis ujahili murakab eeee
@@sleemhamoud4394 jaribu kutumia lukha mzur
Haji upepo maan ya wahabi mnni kwan
@@AliKhatib-vy1oj wahabi ni systems iliyo weka na watawala wa kiyahudi ili waweze utawala mfano ipo leo tunamuona mafuta na genge lake likiwashutumu n kuwalaani waarabu na kuwasapoti mayahudi
Hii ni hazina yetu, Allah akupe umri mrefu afya na tawfiq ya kubainisha hila zao hawa.
Binafsi nilisoma kwao ila nilishindwa kuelewana nao Mwisho nikasamehe
Sheikh Haji upepo Mimi nimefahamu zaman sana Muhammad Bachu hamna kitu ni debe tupu kichwa kitupu na hata Hawa wanaomsapoti pia ni vichwa maji hawajielewi wanafuata upepo tu mwalimu wao hajasoma na hao wafuataji nao hawajasoma ni porojo tu kwenda mbele na kufru zao hao mawahabiiiii
MAWLID ni UZUSHI. Allah na Mtume Muhammad wote hawakutufundisha ibada hiyo.Washabiki wa MAWLID wanatumia nguvu nyingi kuhalalisha kuhalalisha
Changia mada hujaambiwa maulid usiwe na jazba ndugu
Asante sana alhaji upepo kwa ufafanuzi wenye ufasaha mkubwa kwa aliekua na akili atafahamu la kama atakua ni mtu wa jazba na kufata mkumbo haoni kitu hapa mimi nilichojifunza hapa leo hii miwahabi wao wanachokisema hará kama si mtume basi hicho ni sahihi Lakin wanazuoni wengine wakisema wasiokua wao hao wazushi dahh acheni haya mambo miwahabi
Shukran shekhe Haji musiwaache hawa mawahabi hata dama ni virus mno
Jazakallahu khaira shekh, kazi nzuri endelea kutufundisha shekh, mana hata hao mawahabi wafata mkumbo hawajui siri au lengo hasa la mawahabi. ALLAH atuongoze njia ilionyooka.
😂😂😂😂 yani masufi hata mtu akinya msikitini madamu ni sufi mnawezq mpongeza kwakweli
Hivi hunakazi ya kufanya?
Kuwaraddi mawahabi ndo kazi kubwa
Kazi anayo ya kuwapa dos wagonjwa na wengi miongoni mwao wanapona.
فإن لم تفعلوا ولن تفعلوا فالتقوا النار التي وقودها الناس والحجارة أعدت للكافرين
BACHU HAKATAI HAO WANAZUONI,,,MUNGU AMETUPA AKILI,,KUNA VISA UKISKIA HADI AKILI YENYEW INAGOMA,UNAONA KABISA HIKI KIMETUNGWA...NA NDO POINT KUBWA YA BACHU
Na Mtume saw amekataza kutumia akili yako kupima dini.
@@hilalkhalfan1452 KAMA WATU WASINGETUMIA AKILI ZAO,,,WE LEO USINGEANDIKA HAPA...
@@hassanbakari4525 KUPIMA DINI. sio lazma useme kama hujafahamu nilichosema. Hukmu ya dini hutumii akili ila sheria ya kiislamu
We kijana mbona unatuootezea mb zetu.mm sijaona hasa unachomaanisha
Ktk Quran Tukufu na Sunnah tumefundishwa namna bora ya kukosoa. Misingi ya kulingania inapaswa kufauatwa na walinganiaji wote ili kupata kuridhiwa na ALLAH SUBHANAHU. WATAALA..
hata maswahaba walikosoana na waovu walikuwepo je waache kukosoana wakakemewe waovu?
@@ABASIKIKUMBI Sahihi, comment yangu ipo wazi. Kukosoa ni sehemu katika kazi Tukufu sana ya Daawa. Usulubu Daawa nini maana yake...?
Makhuraf acheni ushabiki hii nidini hiv daliligan hapo kaitoa kuthibitisha yale bacho alio sema kua niongo??! Mh allah atuongoze kuifuata sunnah na kuachana na bidaa
Bachu katanguliwa na mwanachuoni gani akasema kuwa ni uongo?. Bachu si ndio aliosema kwenye mnaqasha wa MAMBRUI kuwa hakuna mwanachuoni aliosema kuwa ni uongo wala hajaona yeye, ILA KAONGEA KWA SHAHAWA ZAKE, SASA KAMA SHAHAWA ZAKE NDIO DALILI KWENU MAWAHABI BASI SAWA😁
Wewe kama ni shekhe kweli si ungejitokeza wazi baki kwa ushirikina wako wa ku abudi makaburi
Katika maisha nimeyaelewa makundi mawili ndo yenye kuuchafua uislamu.Kundi la Masufi na kundi la Mashia.Makundi hayo yote wanapenda kuzichafua ibada alizotufundisha Mtume wetu na kuweka zao remix ilikuzichafua ibada tulizofundisha na Mtume Muhammad ().
Kuna kundi moja umelisahau. kundi la Mohammed Abdulwahab
Haji upepo we ni utopolo huna hoja yamsingi
Kwa nini mawahhab wanajaziba sana,wanafundishwa chuoni?
Maashallah waweke saw haw mawahabi
Assalaam Aleykum, sheikh hapo kidogo umenichanganya, vipi unataka dalili (Hadith) ya Tauba ya Nabii Adam wakati imeelezewa kwa vizuri katika Surat Aaraf aya 23. Asaa umepitikiwa, Mola awaongoze masheikh wetu nyote wewe pamoja na Muhammad Bachu ila nawausia muwe na uslubi mzuri wa mijadala Mambo ya kutusiana hayaleti faida kwa Umma
Mashallah sheikh Hajji Allah akupe kila la kher
Mm nachoshwa na hizi namna ya ukosoaji, lugha, sio ktk namna uisilamu umetuelekeza
tatizo lenu hamjitambui mnalazimisha maneno ya watu kuwa kweli ya mungu punguzeni sifa kwahiyo Adam alimswalia Muhammad vitu vingine tumieni akili nionyesheni nabii aliyemswalia Muhammad punguzeni utahira
Shekh zangu waislamu wenzangu mtume Muhammad s,a,w hiv kweli ndo alivyo tufundisha kuwa muislamu mwenzako anapokosea unamsema mbele ya hazara jmn tunaelekea wapi ndug zangu jaman man sikuhz mashekh zetu hiyo tabia imeenea san mtu akikosea kitu kesho yake wampost na kumsema hiv kweli jamn waislamu mashekh zetu jamn
Mbona Bachu humwambii
Innahllilah wa innah ilah rajiuun mch Allah ndgiang hajji
Mashekh huu upepo kweli mm nataka ushahidi kwake wa ibadan hii ya mauled kama ni ibadan ina mafundisho kamili katika vibabu sahihi
Innaalillaah wainnaailaih rajioun matusi tupunguzeee
UNGEACHA UJINGA UKAACHA UPUMBAVU, UKAACHA UCHAWA KWA MASHEKH WENU WA KITWARIQA. BASI UNGEKUWA KIJANA MZURI MBELE ZETU NA MBELE ZA MUNGU. ILA WEWE UPO TAYARI KUFANYA JAMBO LA KUWAPENDEZA WATU ILIMRADI WAFURAHI ILA UMCHUKIZE ALLAH NA MTUME WAKE😢😢😢
Shekh haji nipo na wewe na unaenda vizuri ila wasia wangu jitahidi usijifunze kupoteza dakika kwenye kulaumu au kusimanga au kurefusha maneno kwasababu waskilizaji Alhamdulillah tuna akili vizuri basi weka point bila kuchelewa iwe faida tupu ili tupende kurejea clip kusikiliza. Weka point yake kisha weka jibu kwa ufupi kabisa.
Shekh comment yako nzuri lakin hata wao mawahabi hawana point pekeake ispokua anaongea Sanaa sasa lazima nasisi tuende vile tunavyoona inafaa kuendanao hivyo shekh haji upepo endelea hivyo hivyo hawajamaa lazima wajibiwe Ila wasitukanwe tu.
Kiongozi wa wakundi bidaa hili ni Shetani, hawa masufi ni
صم بكم و عمي
@@barzaqtradingcompany8541 UNGEJIBU HOJA BASI TUNGEFAHAMU, MAZALI HOJA ZIMEKYSHINDA NA HUTAKI KUWA SUFI BASI WEWE NI SUMMUN BIKMUN UMYUN. maana umepewa hoja una masikio ila husikii na hoja huna.
@@BinDaudy-ch2cc HAWA MAWAHABI MBURU MATARI, 😁, WAO WANAFKIRI WAKISHAMUITA MTU GHURAFI NDIO AYA AU HADITHI KWAO 🤣
Sheikh uko vizuri lkn unazunguka sanaaa nenda kwa point yako.mm n mfuasi wako
Jazaakallahu lkheir
{ هُوَ ٱلَّذِیۤ أَنزَلَ عَلَیۡكَ ٱلۡكِتَـٰبَ مِنۡهُ ءَایَـٰتࣱ مُّحۡكَمَـٰتٌ هُنَّ أُمُّ ٱلۡكِتَـٰبِ وَأُخَرُ مُتَشَـٰبِهَـٰتࣱۖ فَأَمَّا ٱلَّذِینَ فِی قُلُوبِهِمۡ زَیۡغࣱ فَیَتَّبِعُونَ مَا تَشَـٰبَهَ مِنۡهُ ٱبۡتِغَاۤءَ ٱلۡفِتۡنَةِ وَٱبۡتِغَاۤءَ تَأۡوِیلِهِۦۖ وَمَا یَعۡلَمُ تَأۡوِیلَهُۥۤ إِلَّا ٱللَّهُۗ وَٱلرَّ ٰسِخُونَ فِی ٱلۡعِلۡمِ یَقُولُونَ ءَامَنَّا بِهِۦ كُلࣱّ مِّنۡ عِندِ رَبِّنَاۗ وَمَا یَذَّكَّرُ إِلَّاۤ أُو۟لُوا۟ ٱلۡأَلۡبَـٰبِ }
[Surah Āli-ʿImrān: 7]
Allah alisha maliza zani mizozo kama hiii.
Allah amesha weka wazi kwamba katika dalili zake zipo zilizo za waziwazi na za utata ndani.
Na wale wenye upotofu mioyono mwao ndo wanafata utata utata kutafuta fitina.
Wao masufi anaondoa mwenendo mtume wetu na kuweka myenendo Yao ya kisufi na kishia
Kwa uislaam hakuna wa haabi wala maulidiyyi ni kufata quran na sunnah ya mtume swa
Pia weewe ugopa Allah wee hajji na pia kua na ikhlaas huna ikhlaas kwa maneeno yaako tafuta ilmu
Miimi sisapooti mtu yeyoote katika nyiinyi
Mtume atawekwa kwenye Arshi?haya maneno hayajasemwa na huyo Sheikh wenu?
SIKUZOTE ANAE ZUNGUMZA UKWELI HUITWA MWEHU. ILO SI AJABU KWA WATU WASUNNAT KUPOKEYA MATUSI. NYINYI NI WATU WA UZUSHI NYINYI SI AHLI SUNNAT ACHANI KUJIWEKA SEHEMU MUSIO IPENDA UJIITE MTU WA SUNNAT NA WEWE HUTAKI SUNNAT .
nakupingeza Shekh Kwa kusisitiza magroup yote ya some Kwani elimu ndo Kila kitu
BACHU NENDA MAMBRUI UKASOMESHWEE AU UTAZIDI KUPOTEYA NA KUPOTEZA WAFUASI WA KIWAHABI AMBAO HAWANA ELIMU
ALLAH anamuuliza aadam unamjua mtume hali alishamwambia amswalie jee hapa zinagongana
Maelezo umeyakiliza vizuri ?
@@shabaniissa3464ndio
Wewe una shaka shk hajji
Na mungu kumu weka mtume kwenye arshi yake
Sh said kwann usende moja kwa moja juu ya alichokisema sh bachu kuhusu mahari je kapatia ama kakosea ili kma kumraddi umraddi hapa coz hapa ndipo alipoogelea yeye
Bona na kajibu hayo nimane ya wanavyuoni kuhusu ya kweli au c yakweli hayo hajacbiti ya hayana manufaaa kwetu waislam ukiyakubali sawa ukiyakataa sawa Mana hayaaneno ni wanachuoni hamna Mana yakumgobeza anaye kubali na kukataa
Rudi surat aaraaf..aya 23 upate majibu ya manen ya tauba aliyosema nabii adam na mkewe hawaa na wala hayo s manen ya wanazuon... inaonekan qur an hujakhitimu akhy wewee.
Lkn mimi pia nilimsikia mohammad bachu akisema ya kuwa hata maneno ukiyakuta kwa inb taimiyya na hayakutibiti pia yasifatwe
Aliwai kuyataja au kumuiya ibnu teimia kua ni muongo kama anavyowaita wengine?
sio kweli! masalafi uchwara wote wanaamini maneno ya Ibn Taymiyya na wanayakubali na ni ktk Aqida yao kuwa Mtume atapewa kisehemu ktk Arshi ya Allah!! niletee nukuu moja tu wameyapinga hayo maneno!!
Haji Upepo Rudi ukaechini
Huyu bachu hana jipya yeye ni kujipiga kifua tuu na kupayuka kupotosha umma tu ...Allah Amsamehe mana anako kwenda sipo na haambiliki
Haha maskin makhurafi acheni kuetetea nakushabikia upotevu mh hiv hapo kitugan haswa kaongea kama dalili yakudhibitisha alichokikanusha bacho!?
Wewe unayejiita ustadh Haji,hizi sifa za kujionesha,hazikusaidii kitu,humfikia hata robo sheikh Muhammad,hujui hata unachokisema,ujinga umekuzidi.huna elimu mtupu,tatizo mashia wanakutupieni mihadithi ya uwongo ,na hadithi hizo ndizo zinazokupotezeni,unapinga jambo usilolijua,masikini roho yako
Duh mwanzoni bachu ilikuwa na muwelewa sana lkn kila siku zikienda naanza kufamu kama anatupeleka siko na mpotoshaji na nikimtazama machoni tu namuona kuwa ni muongo
una elimu kubwa sana wewe yani unamtazama tu mtu machoni kisha inakubainikia kwamba ni muongo
Bachu hana elmu yoyote ila kuropokwa sana
@@aymanmangube4092 ndio ndugu yangu mwanachuoni unamjua na mbabaifu unamjua kwa kuangalia tu
@@jakuabdull34 binafsi namuelewa sana Muhammad Bachu maneno mengi akiongea ananukuu vitabu hawa wengine naona mengi wanayizungumza yanatoka vichwani mwao hasa kwenye jambo la ufahamu wa Kitabu na Sunna
@aymanmangube4092 c kumuelewa mtu kubwa nikutafuta haki kwa hili nimekaa nikatafakari nikaona ananitoa kwenye haki na kubwa zaidi naangalia mantik za hoja hoja zake nyingi c za kujenga umoja wa kiislam bali ni kuvuruga umoja wa kiislam
NDUGU YANGU KWELI WEWE UPEPO
Naona upepo kampiga mwenzake alama ya x kuonyesha kwamba yeye ndie yupo sahihi
Sio kuonyesha, hata nikisikiliza naona hivyo 😁
Tengeni mda mkasomeushauri wang
Jamani mashekh tafadhalini mbona Kuna watu wabaya na wapotoshaji hamutoki povu kuwaraddi munakosowana wenyewe Kwa wenyewe Kwa faida ya Nan ,ivi mitaala hii ya kukashifiana,kutukana kutiana aibu mmetoa wp ktk dini?
Kuna watu hawajui uislamu na nyinyi maustadh ni matusi
Mashekhe jamani sasa imekua ni kujibizana kwa mitandao kwa nini hamuekani uso kwa macho ?
kwani mmekosa mada za kuzungumza mitandaoni zaidi ya kukosoana kila siku nawaomba fanyeni kwa vitendo ili tupate kujifunza kwenu kwa matendo punguzeni mijadala mitandaoni
Mnaambiwa hadithi mnazozitumia ni zakutunga na zinahongana ninyi bado mmekalia uongo uongo tu
ILIKUAJE UKAMUENDEKEZA IBRAHIM YY ANA CHETI KIPI ?
Mbn sijaskia inatolewa dalili hapo yyte yakupinga alio yasema?!
Mm ni shk Fareed kutoka Kenya nakufunza kidogo ujuwe viyumbe vyote wanamkimbiliya Allah mimi nakufunza Allah Anamtaka mtume mohamed s. a. w. Nitafute nikupe Aya 3
We pumbavu sana
nenda kwenye poit usimzungumzie muhmmad yeye mbomba haja zungumzia kuhusu jina la mtu?
SHEKHE HIVI UMEFIKILIA KABLA HUJAONGEA AU
Haji huna ilimu yakumkosoa shekh bachu msitunge tunge mtaulizwa siku ya mwisho
Pia hizi riwa zina gong'ana ndio ukaambiwa hazina ukweli
Ssa km zinagongana ww mbn umeelemea kuwa ni uwongo je walosema kweli hawafai?
Mbona sheikh unakosea katika kusoma
Sheikh Muhammad Bacho,sindano imewaingia,endelea na dawaya kuitangazia haki,Allah akulinde na radhi za Allah ziwe juu yako,sindano inafanya kazi
Upepo Wacha kubabaisha waislamu.Uislamu upo wazi kabisa masufi na Mashia nyinyi ni waongo.
Ww unawakubali wanazuoni walopinga je wale walokubali hawafai kufuatwa?acheni tabia mbya
Tatizo mnajizim data kweli nyie ayo maneno unasom ila kwenye vitbu vimendikwa dalili yhayo maneno kuwa ylitokea iko wap mtume kaysem kam kiongoz wetu kiwa Nbii Adam kaoa kwa mahr ya kumsalia yy sasa kupokelew tu
Sheikh samahani huyu mtoto wabachu usimvishe jina la Muhammad,hata kama ni jina lake ,Bora umuite mtoto wa bachu.kama alivyoitwa Muhammad bin abdulwahabi akaitwa wahabi,na huyo aitwe mtoto wa bachu inatosha,lkn ukimuita Muhammad mna confuse watu.
Mimi ulivyomtusi shaykh ibn uthaymeen… heshima imeisha. Wamjua ,al-allaamah, al-imam a-shaykh ibn uthaymeen ni nani?? Wewe hata ukatwikwa vitabu vyake huwezi inuka… na aqeedah yake saafi katika manhaj ya maswahaba… wawezaje mtuhumu kwa mambo hata kuandika siwezi… keti usome ibn uthaymeen ni nani….rahimahu Allah. kweli aliesema wewe na family yako hamfiki hata ndevu moja ya ibn uthaymeen kasema ukweli. Wewe ni nani??? Waislamu wmefaidi nini kutoka kwako??? Ibn uthaymeen na wewe wapi kwa wapi. Kisha ash’ari…??? Madh’hab ambayo kwa asli yake ishaangushwa kwa dalili wazi za quran na sunnah! Allah atuongoze na aniepushe na kizazi changu na ashari.. na anilinde na upotevu wa watu wa bidaa
Mohamed yuko sawa amezindua, ukisema hana akili hata wewe akili kidogo. Lakini kama wajiamini panga munaakasha utiwe adabu.
Munaqasha wa nini weye umesoma wp toka apo
Jazakallah khairan
Mwanachuoni nae mtu anapatia na kukosea,mnamwita muislam mwenzenu jahil! Sio vizuri
A alaykum Allah akuhifadhi na akuzidishie elimu
Haji myoshe huyu chizi
Allah akubariki sana.Tumekuelewa sanaaa.
Ivi bachu yupo? Naskia kaenda likizo mombasa, mzee wa tahakaka sidiku inabidi arudie tena madrasa jamaa wanaendelea kumpasua katikati katikati
Maneno hayo unayo zungumza juu y Muhammad Bachu fahamu kuwa sisi tuna akili ww ndio unatakiwa upuuzwe kabisa maana uongo na uzushi wa masufi, masheikh kibao wakisufi na wapiga ramli mtaani ushirikina wa wazi kabisa utawadanganya hao hao waganga wenzako ila sio watu wenyeakili timamu
Ww ndio huna akili kabisa mana hujui haki iko wapi na hutaki kusoma ukaijua haki munachagua vitabu vya kusoma ndio ujinga wenu kwa maana hiyo kila kitu kitakua bidaa kwenu kumbe muna uchache wa elimu
Kweli nineamini watu wa bida,a hawana elimu l!hakuna la maana alilo ongea! Nimijitu yenye husda sana kwawatu wa zuna,juweni kwamba suna inasonga mbele na bida'a inakimbiwa,ww haji upepo wote huo ni uwoga unajihami tu,usipojirekebisha ukaacha kuwatukana watu wa suna mwisho wako ni mbaya sana,
Kumbe umekuja kulaumu mala ujui mala anafanya makusudi mbona unajigongagonga kaa darasani usome acha kujipa ushekhe
Ww upepo semaa lakini maulidi hayafai maulidini watu wanatembe uchi kweli ndoibada iyo
Nyote wasanii tu kama daimondi na alikiba
Shukran shukran shukran sanaa shekhe
NA MBONA HAWATAJI HADITHI HIYO SAHIHI , MAHARI YALIKUA NINI HAAO WANAOJIITA WA HAQI. TUAMBIENI YALIKUA NI NIIINI ?.
Sheikh Muhammad N Bachu atasikilizwa mpaka kifwa Kwa ukweli wake.
Hivo wewe hufahamu kua bachu ni mgonjwa wa akili umekaa ati bachu atasikilizwa Mpaka kiama bachu Hamna kitu hajui hata hukumu za Hadith ni dude lipo tu na makelele mengi basi
Muhammad Bacho chizi
Shukran sana al akh umemnyoosha vzr mashaallah lkn ilikuwa vzr umuachie ustadh said maana akisikia jina la ustadh said hasimami
Mpaka mikojo ilimtoka
Huwa nakufatilia saana ila kwenye mada zako nying sion zaid ya kutengenez malumbano yasio ya msing bahathi zako nying zipo kuangalia makosa ya watu tu ,pia makosa mengine sio msing wa dini
Naona huu upepo unajigonga wenyewe kwa wenyewe
Na SISI wasikilizaji. Pia tunahiji Kwa sheikh Hajji. Je KUMZULIA MTUME. Sio katika madhambi makubwa?
Jamanini huyu mtu , muachani, hata hajui anacho kisema na yaonekana atafuta tu umaarufu , hebu ona anavyo sema , anadai kua mahari hayo ya Aadam alayhi ssalaam yanayo daiwa kisa chake haina sanad , Na hicho kisa alicho kisema Ibnu taymiyah nacho hakina sanad na ukiongezea hilo ( latokua na sanad) ni ukafiri , aki maanisha tuiamini kuhusu kile kisa cha mahari ya Aadam alayhi ssalaam, kwa kua pia Shaykhul islaam rahmatu llaahi alayhi , nae ana kisa katika kitabu chake kisicho kua na sanad pia, na tukikataa basi tuvikatae vyote , haya sasa , ikiwa tutavikubali vyote na nyie ndio mtavikubali vyote pamoja na hicho mnacho kisema ni cha Ibnu taymiyyah ? Ambapo ni ukafiri kama ulivyo sema? Hili ni baadhi ya matatizo ya masufiy huo unavyo mrekebisha kosa lake hujitahidi nae atafute dosari kadri awezavyo ili akuambie nawe unalo hata kama hauna ili tu umuache na uzushi wake, nikama wauvu na bila shaka pia nao ni waovu maana kumsemea Allaah uongo bila yaelimu ni uovu mkubwa , ukimwambi mtu usinywe pombe anakuambia nyie wenye kuswali hamfanyi dhambi ? Ukisema hakuna asie fanya dhambi , isipokua manabii anakuambia kwa hiyo umeona dhambi yangu yako haujaiona 😂😂😂😂😂 Ndio watu wabid’aa walivyo ukimwambia wewe acha bid’aa akuambia wewe mwenyewe ni bid’aa kwa sababu haukua kipindi cha mtume, aah mie nakusudia katika ibada ? Si viwili wili !!! Akuambia pia nyie mwaadhini kwa spika na adhana ni ibada. Wewe utadhani kazungumzia ibada ya adhana kumbe , nukta ya shubha hapo ni neno spika ndio ileee ajitahidi angalao apate bid’aa kwako ili muwe sawa , usimkataze mnyamaziane , ndio anacho kifanya huyu mtu , ndio maana akatoa maneno anayo dai kua yamo katika kitabu cha shaykh Allaah amremu
Mtu anaefahimishwa haki akaikataa ni zindiq,na huyu kijiustadh uchwara,anaeligeuza la haki,kwakulibabaisha,Hana tofauti tabia za kuyahudi,za kupinga jambo,halafu akasema uwongo,huku akijua Hilo,hawa wengine wanafuata mikondo kwa kutafuta sifa,alimradi na wao wasifiwe na wazandiq wenzao
Hafahamu alichosema haji apo ...anachosema haji riwaya ata kwa ibni taymia zipo mbona hasemi kua shiriki . Fahamu anachosema mckilize vizur sana utamuelewa
Bacho kaishiwa Hana tena yakuongea
Ndio MAANA ANAKOSOA MANENO BAADAE YEYE MWENYEWE ANAINGIA HAPO HAPO 😂😂😂😂😂😂😂😂
WALLAHI INAONEKANA NI ZAIDI YA CHIZI
😂😂😂😂😂😂
😂😅😂😅😂
Huyu sheikh bachu sasa kachanga nyikiwa eti anaesema hakuna huyo ni mbora leo huyu kijana anatetea free masson mawahabi pakimbieni hapo..
Hawa watu wa tarika uwongo wameuweka mbele,wacheni kumkufuru Allah,msimzulie Allah uwongo,Hilo ni kosa kubwa,msitake kumshirikisha Allah na binaadamu,keshasema hana mshirika,wacheni unafiki,wewe bado ni kitoto,kuwa kwanza halafu tena,naona mapema
Mbona hukuenda kwenye mnakasha km ww unaona ni halali hayo maulid.
mashekh mmekua ovyooo hasa nyie vijana.mnajifanya mnajua,mnapenda shari,kwni ww mpaka umtaje jina lake huyo bachu