- 1 764
- 1 160 328
RAMIYA WETU TV
เข้าร่วมเมื่อ 7 ก.ย. 2020
Ramiya Wetu
Ramiya Wetu ni channel pendwa ya kukupa habari za kidini khaswa historiya za wanazuoni wetu africa masharik na kukuburudisha kwa qaswida ,quran kwa njia ya tajweed inshaallah naomba tuwe pamoja kwa kusubscribe maneno mekundu hapo chini Yaloandikwa (Subscribe)
Zaidi nikufuatilia na kufanyia kazi pia Ruhsa ushauri,maoni na Ujumbe tunapokea kwa Maono mbali mbali na fikra Tufuatilie Whatsapp +254726068683 +254784546717 , +255748022635
Ramiya Wetu ni channel pendwa ya kukupa habari za kidini khaswa historiya za wanazuoni wetu africa masharik na kukuburudisha kwa qaswida ,quran kwa njia ya tajweed inshaallah naomba tuwe pamoja kwa kusubscribe maneno mekundu hapo chini Yaloandikwa (Subscribe)
Zaidi nikufuatilia na kufanyia kazi pia Ruhsa ushauri,maoni na Ujumbe tunapokea kwa Maono mbali mbali na fikra Tufuatilie Whatsapp +254726068683 +254784546717 , +255748022635
USTADH AHMAD SHIRAZY || VIJANA NDIO NGUZO KUU YA UMMA || MKUNUMBI LAMU KENYA
Mkunumbi lamu kenya @ramiyawetutv
มุมมอง: 193
วีดีโอ
TEAM YA KIBOKO YA BACHU YATUA MKUNUMBI LAMU KENYA
มุมมอง 2.9K2 ชั่วโมงที่ผ่านมา
USTADH SAID SHIRAZY USTADH AHMAD SAAD USTADH FADHIL SHIRAZY @ramiyawetutv
SAYYID ABDALLAH SHABIH ALBEIDH || ATOWA SIRI ZA MASHIA
มุมมอง 1.2K4 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MTOTO WA ALBEIDH ATOWA SIRI NZITO ZA MASHIA @ramiyawetutv
QASWIDA ILOINUA WATU MAULIDI YA ALHAD ALHATIMY WATAMU-KENYA
มุมมอง 6574 ชั่วโมงที่ผ่านมา
QASWIDA EWE MTUME MUHAMAD S A W @ramiyawetutv@Ramiya.official @Kitten503
WAWATOLEA UVIVU MASHIA SAYYID ABDILQADIR AL-AHDALY NA SAYYID JAAFAR ALBEIDH
มุมมอง 1.7K9 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SUBSCRIBE RAMIYA WETU TV 254726068683
SAYYID ABDILQADIR AL-AHDALY || TUTENGENEZE NYOYO NA NDIMI ZETU || MALINDI-KENYA
มุมมอง 20421 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SAYYID ABDILQADIR AL-AHDALY TUTENGENEZE NYOYO NA NDIMI ZETU @ramiyawetutv
SHEIKH MBARAK AWES || VIJANA KATIKA UISLAM || MALINDI-KENYA
มุมมอง 36321 ชั่วโมงที่ผ่านมา
VIJANA KATIKA UISLAM DK MBARAK AWES @ramiyawetutv
MWENYE BABA AFAFANUA KIUWAZI IHDAA ASHARIA MALINDI COMPLEX
มุมมอง 1.2Kวันที่ผ่านมา
MWENYE BABA AFAFANUA KIUWAZI IHDAA ASHARIA MALINDI COMPLEX
MAONI MAULIDI MAKUBWA YA MAMBRUI-KENYA @ramiyawetutv
มุมมอง 99วันที่ผ่านมา
MAONI MAULIDI MAKUBWA YA MAMBRUI-KENYA @ramiyawetutv
ZIYARA YA MUFT WA TANZANIA KWA MSHAURI WAKE SHEIKH ABDULATWIF ALHATIMY WATAMU-KENYA @ramiyawetutv
มุมมอง 463วันที่ผ่านมา
ZIYARA YA MUFT WA TANZANIA KWA MSHAURI WAKE SHEIKH ABDULATWIF ALHATIMY WATAMU-KENYA @ramiyawetutv
VITA_KALI~SHEKHE_MUHAMMAD_BAKARI_~SHEKHE_SALIMU_BARAHIYANI_1994(360p)
มุมมอง 47414 วันที่ผ่านมา
VITA_KALI~SHEKHE_MUHAMMAD_BAKARI_~SHEKHE_SALIMU_BARAHIYANI_1994(360p)
MUFT WA TZ AFUNGUKA MAZITO YALOMCHELEWESHA KUMZIKA SHARIF ABUALLAMA
มุมมอง 28414 วันที่ผ่านมา
MUFT WA TZ AFUNGUKA MAZITO YALOMCHELEWESHA KUMZIKA SHARIF ABUALLAMA
SHARIF SUFI ALNADHIR || UTUKUFU WA MAZAZI YA MTUME S,A,W
มุมมอง 20914 วันที่ผ่านมา
SHARIF SUFI ALNADHIR || UTUKUFU WA MAZAZI YA MTUME S,A,W
DUA YA WALII ANAYEITWA RAMIYA KERERE CHANG'OMBE
มุมมอง 10114 วันที่ผ่านมา
DUA YA WALII ANAYEITWA RAMIYA KERERE CHANG'OMBE
DUA YA MAULIDI SHARIF ASADULLAH MALINDI-KENYA
มุมมอง 14914 วันที่ผ่านมา
DUA YA MAULIDI SHARIF ASADULLAH MALINDI-KENYA
MWENYE ABBAS BIN SAYYID AHMAD ALMUHAJIR ALIVYOSHUSHA LULU SOYA
มุมมอง 16314 วันที่ผ่านมา
MWENYE ABBAS BIN SAYYID AHMAD ALMUHAJIR ALIVYOSHUSHA LULU SOYA
RADDI BAKORA YA MTOTO WA KUSOMA KWA MTOTO WA BACHU
มุมมอง 6K21 วันที่ผ่านมา
RADDI BAKORA YA MTOTO WA KUSOMA KWA MTOTO WA BACHU
BACHU MUHUNI TUU KASHINDWA MJADALA ZANZIBAR
มุมมอง 3.1K21 วันที่ผ่านมา
BACHU MUHUNI TUU KASHINDWA MJADALA ZANZIBAR
HUZUNI! MAZISHI YA SHARIF ABU ALLAMA MAMBRUI-KENYA
มุมมอง 3K21 วันที่ผ่านมา
HUZUNI! MAZISHI YA SHARIF ABU ALLAMA MAMBRUI-KENYA
MWILI WA ALMARHUM SHARIF ABU ALLAMA MAMBRUI-KENYA @ramiyawetutv
มุมมอง 3K21 วันที่ผ่านมา
MWILI WA ALMARHUM SHARIF ABU ALLAMA MAMBRUI-KENYA @ramiyawetutv
MWILI WA ALMARHUM SHARIF ABU ALLAMA KUTOKA DAR ES SALAM TO MAMBRUI
มุมมอง 2.9K21 วันที่ผ่านมา
MWILI WA ALMARHUM SHARIF ABU ALLAMA KUTOKA DAR ES SALAM TO MAMBRUI
MWISHO MWEMA ALOUPATA SHARIF ABUALLAMA
มุมมอง 3.4K21 วันที่ผ่านมา
MWISHO MWEMA ALOUPATA SHARIF ABUALLAMA
JE WALIJUA TATIZO LA KILA WAHABI - USTADH MUHSIN BUTE
มุมมอง 1.7K28 วันที่ผ่านมา
JE WALIJUA TATIZO LA KILA WAHABI - USTADH MUHSIN BUTE
SHEIKH ALHATIMY ALIPUA TENA MTUME MUHAMAD S A W NI BARAKA
มุมมอง 3.7Kหลายเดือนก่อน
SHEIKH ALHATIMY ALIPUA TENA MTUME MUHAMAD S A W NI BARAKA
SAYYID SWALEH ARIF ALBEIDH-UTUKUFU WA SIKU YA KUZALIWA MTUME
มุมมอง 961หลายเดือนก่อน
SAYYID SWALEH ARIF ALBEIDH-UTUKUFU WA SIKU YA KUZALIWA MTUME
ndugu yangu maulidi bidaa usihangaike kijana 😂et maswahaba wamekusanyika😅
Vigawanyo vya tauhidi je
kiboko ya bachuu ndivyo mnavyo sema ila juweni kwa m.mungu hakuna hayooo acheni upumbavuu
Wanyama Ndio walisema
Ww unaesema kwamba huyu ywatupotosha ww ni ndoo tupu
S 🌟 A 🌟 W 🌟🌟❤️⭐⭐
Skuiz hamfanyi maulidi mnaendelea kujbu nyundo ya muhammad bachu,kila vdeo nikiangalia munanung'unika
Ahdali aalaa🎉
Ww km unaelemi waelimishe wanawake wenzako nasio kuja mitandaoni eti uambiwe umesoma hatujapokea hadithi yyt kuwa fatma bint rasul akiwaradi mashwahaba wengine
Ww umeruhusiwa na sheria gani kuwaradi mashekh
Humshirikishi na chochote katika kuabudu makaburi mizimu miti na kadhalika.
Tawheed iwe tatu au zaidi yote ni tawheed moja tu kumpekesha mwenyezimgu peke yake, una abudu mwenyezimgu peke yake humshirikisha nacho chote.
Jitu lipiga miziki na vinanda mnalipa ushekh shekh gani wa ovyo hivyoo nyi masufi wqpumbavu kwwlii😂😂😂
Tuulizwe uwahabi?
nyinyi mawahabi mungekuwa munayosema ni haqqi musegombana nyinyi kwa nyinyi bachu vs kassim mafuta kila mmoja amchamba mwenzake kwa Usalafi
Ushawahi kumskia Qassim Mafuta anamzungumza Bachu??
@@Hamis-ks1sy سلام الله عليكم ما معنى غريب في الحديث؟ ما الاعراب:تحقق صدقه؟ ما الصحيح: قد يكذب الصدوق ام السدوق؟ ما حكم الحديث الضعيف في الاستشهاد في مسائل السير والمناقب؟
@@Hamis-ks1sy clips mitandaoni zitele
@@Hamis-ks1sy yaani mwataka kutufanya hatuoni kama nyinyi Qassim Mafuta vs bachu kujibizana mitandaoni
@abubakaromar6101 Nimekuuliza swali ushawahi kumsikia Qassim Mafuta akijibizana na Bachu?kwani kuna majibizano ya pande1 ewe sufi? Nitumie link hapa Qassim Mafuta akimjibu Bachu
Wallahi billahi talahi huyu anawapotosha, jihurumieni enyi waislamu, usipuuze maneno yangu itakuwa huja kwako mbele ya Allah
Na ata nyny mnapototoshwa Tena Kwa kiwango Cha juu kbs
Wacha kuwapa Mungu ikiwa wewe mwenyewe wapotoshwa kwa kugawanyiwa Tauhid Tatu
Wale wasojua hata mustwalah hadith Ndo wako sawa walosoma zikasomeka Ndo wenye kupotosha kumbe .. Kemu maneno yako kaa nayo mwenyewe
Masha Allah shekh letu mola akuhifadhi
@@hadiabdallah1567 tutaonana mbele ya Allah, endelea kufurahia bid'a na ushirikiina
Masha allah
Mitume wote walio kuja ulimwenguni walikuja na tawheed hakuna mtume ata mja alie sherehekea mazazi .
Tauheed tatu?
Nauliza masheikh zangu ni kweli wanyama walisema?
Jiulize pia jee mtume Muhammad saw au Allah wakigawa tauheed, tupe ushahidi wA hadith au Aya ya Allah? Km huna ata myny ni waongo😂😂
Acha wanyama jiwe pia lilikuwa na hisia za mtume ww kaa na akili zako hizo hizo zakuuliza kukejeli
Nkenda ktk qur an
Huyu ndiye aliyemrudisha nyumma Mohd Bachu.mpaka Leo akizungumza anamhofia yeye.alimkojolesha ktk kiti.
Unaweza kuapa kwa Allah kama alikojoa pale. Ikiwa waongopa Allah atakulipa ulichokisema.
@@Hamis-ks1syna alimfundisha LUGHA 😂😂 Sheikh wenu alifundishwa alif kwa ujiti 😂😂😂😂😂
@@Hamis-ks1sy سلام الله عليكم ما معنى غريب في الحديث؟ ما الاعراب:تحقق صدقه؟ ما الصحيح: قد يكذب الصدوق ام السدوق؟ ما حكم الحديث الضعيف في الاستشهاد في مسائل السير والمناقب؟
@IbraFareed hakufundishwa kupiga gitaa na DJ😁??
@@Hamis-ks1sy narudia tenah maswali سلام الله عليكم ما معنى غريب في الحديث؟ ما الاعراب:تحقق صدقه؟ ما الصحيح: قد يكذب الصدوق ام السدوق؟ ما حكم الحديث الضعيف في الاستشهاد في مسائل السير والمناقب؟
Mungu amesema kama qaumu watakataa haqi na kuanza uzushi na ushirikiina basi mungu atawadhalalisha na kubadalisha na qaumu ingine, ndio maana leo MCA wa mkunumbi aitwa kamau na mbunge lamu west aitwa paulo wala sio bwana..., au hamadi au abdalla au majina zenu zingine, kwa nini? sababu mlikataa haqi na mungu anawadhalilisha kwa kukataa Sunnah ya bwana mtume s.a.w na baado hadi muate bid'a na kurudi Sunnah na manhaj ya salafu salih
😂😂😂idofe!
@@mohagurey2214 wewe Bid'aa ngapi wazifanya na Sunna ya Mtume SAW sio ya kutukana wanazuoni
@abubakaromar6101 tafuta visababu na ukae ndani ya bid'a kama maulidi na kuomba makaburi na Albadiri, shauri yako, bora tumekufikisha
@@mohagurey2214 hizo ni dhana zenu hakuna anae omba makaburi, pili kuna Bid'aa mbaya zaidi ya kuigawanya Tauhid ya Mwenye Ezi Mungu mara Tatu?
@@mohagurey2214 hizi habari pia mfikishiye shekhe wako IBN Taymiyah pia amekubali Maulid sio ktk Bid'aa
Siku ya kiyama ndio mtajuwa Mohammed bachu aliwaelekezeni manhaj ya haqi na hawa waliwaelekezeni kwa bida na ushirikiina na upotovu. Muate bid'a na mfuate sunnah na kama hayo ni ngumu basi endeleeni hivyo hivyo mtajuta tu siku ya kiyama
Tangulia ukaangalie
Yy hafanyi bidaa??
Kwanza utaadhibiwa ww uliojikatia 100%wa peponi Allah atuongoze jifunzeni kuongea ili sisi wa motoni tuelewe tuwafate tupate pepo
@@mohagurey2214 na nyinyi siku ya Kiyama mutajuta kuigawanya Tauhid ya Mwenye Ezi Mungu mara Tatu
@@princefeisla3692 watu wa bid'a makazi yao ni motoni na hayo ni maneno ya mtume s.a.w Wala sio yangu, achana na bid'a na kama huachi makao yako ni jahanam, uamuzi ni wako.
Usufi ni upumbavu
Wa kwanza ni wewe
Uwahabi ni wendawazimu,
Uwahabi ni ukosefu wa adabu
@@9119-r4t kati ya usufi na wahabi nani wapumbavu?
Kwani kutaja mazazi na kumswalia mtume nibidaa .
Ndio
Watumia nguv nying kutetea bidaa lakin bidaa ni bidaa tu hatutaki bidaaaa uyoooooooooooooooo tushaelewa mwatudanganya nyie.
@@omarjuma3793 wewe mwenyewe wazifanya Bid'aa kibao
@@omarjuma3793 hata kigawanyo Cha Tauhid Tatu ni Bid'aa chafu
A.a sheikh Bachu asomesha lakini wewe humalizi waanza kidogo kisha wapoteya.
Bachu asomesha kuwalaghai wasojuwa Elimu
Ww si usome kwake watu wa online umekatazwa? … Wajua shida yenu ni chuki tu hamna lengine
Ukitaka kusoma kaa darasani
A.a mbona husomeshi tena nahwu?
Hapa bachu hata kidogo hamfiki kwa Nahwu
Ws watu wana mambo mengi harakati nyingi sio kila time kuwa wako kwa simu … ukitaka nenda mambrui kapige got usome sio kila kitu ni online bana
Ilikuwa siku mbili ya riyaa, kijionesha ndio maana haikuendelea.
@@hadiabdallah1567mambrui siutafunzwa kuomba makaburi na kupiga twari tu
@@mohagurey2214 Atakaye kusoma akae darasani siyo kung'ang'ania online
S 🌟 A 🌟 W 🌟
Wewe shekh muongi
Semaaaaa ila mm nishiaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bado sana kwamashia huma elimu hata kwakusimama na mtu wamwisho wakishia anakufunika kwahoja zote tena mm ninaweza kukuburuza kwayote uliyo yasema huna hoja yakielim hata moja
@@FatumaMwaluhanga-ui3kl Maskini mtoto wa mwahulunga . Jee ushapigwa mut'a ngapi ? .
😂😂😂😂😂
Kuna muda mtu anazungumza kanakwamba yeye ni mtume wewe unapozungumza na watu usiongee kama wengine hawajui kitu.Halafu mada zenu kwanini zinakuwa ni kwa maswahaba tu? Hamna kingine katika dini ambacho unaweza kuwabainishia wanaokusikiliza? Usiwafurahishe watu hali yakuwa unakhush muda wao bila kupata faida.Umezungumzia vitabu vya kishia vya hadithi kuwa kuna hadithi zatukana maswahaba lakini hukuwaambia kuwa kunahadithi hatari zaidi zakutukana maswahaba kwenye vitabu vya hadithi vya kisuni acha mchezo na dini acha utani na dini ziheshimuni akili zenu pia muheshimu akili za wale wawasikilizao
Mashia ni wehu
Unataka kujulikana eeh
Uliambiwa hajulikani?
Imam albaqir Ali ulizwa kumu ingilia mke kwa duburi na hali mume yuko kwa saum... Jawabu... Ina juzu na kama haja shusha haogi. Biharul anwaar.
Nyinyi hamna hoja mnaropoka tu
Unaongea tu kwa sababu unamdomo. Kishia kinachojidai askari mtandao
Dini ya kujipiga makofi na kuhalalisha tupu.
@muadhibrahim6914 Hayo ni maneno ya kipropaganda si ya kielimu
@@abiabi9353 Mara yako ya mwisho kujipiga ilikua lini?
@abiabi9353 Kielimu? Ume kisoma biharul anwaar wal dhalaam cha Almajlisi,au upuuzi wa alkuleyni katika alkaafi?
Huyu Mzee hajielewewi
we mama acha mbwe mbwe na ucchache wako wa ufahamu ndio mana watu hawakujibu mana nikama unaleta fitna shindana na mabanati wenzako.
Mzee aongezewe umri ili asome maana anatutia aibu wataonekana wazee wote hawana elimu 😂😂
@@ShabanAbdulrahman-b6r Hebu kwanza nisomeshe mimi hapa . Jaribu bahati yako
@@ZogoMtaani alisoma lini na amekuwa akitumikia wanasiasa kutoka kuniukia kwake
@@aliro4483 Alisoma wakati wewe upo zigunenj
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين وسلم ❤
Hakuna alichozungumza huyu msufi zaid ya mchanganyo tu.
Mashaallah mashaallah ❤❤
Mbona Sasa nitarifa ya habari hiyoo wewe ndoziro kubwa kama kichwa chako😂😂😂
Wewe dada huelewi kitu mjinga wewe kaa usome achaujinga
Maashaa llah ukhti mungu akuhifadhi
Mashia ni mashoga
Wewe ndiye kiongoz wao
Sheikh umri umempiga chenga😊
😂😂 ujahili uko sampuli nyingi...kunena haya mbele ya mimbar ya Maulid ni moja ya ujahil, kisha huyu alikuwa akipeana shizi kwa watu wa ziguneni Lamu, sababu ya kufanya siasa za Fahimu, leo ni wapewa mic aongee mbele ya mimbar ya kiislamu?
@@aliro4483 Aah nimeuliza lamu ziguneni ni wapi ?. Nikaambiwa ni sehemu walevi watupu ndio wanakusanyika huko . Kumbe wewe ni shabiki wa huko eeeeeee. Kisha walevi wakiwa washalewa hua wakiona vitu havionekani na wengine wengine hua wakiona wapo chooni wanya kumbe wajinyea surualeni .
@@ZogoMtaani itakuwa vizuri uendelee kumuuliza huyo aliekuambia, naona ako na experience mzuri ya walevi.
Huyu hajitambui
@@athumanimjenjwa7866 Hebu wewe nifanye mimi nitambue . Jee una uwezo huo ???. Mimi nimjukuu wake wa ilmu nimesomeshwa naaliesomeshwa na yeye . Jee upo tayari kujadili ?. Wapo wenzako hapa wamejaribu lakini wamekula kona jee wewe unaweza ?.
"Jahil wa kishia ni mwana chuoni wa kisuni" Sasa nakubali hili100%.Munapeyana kashifa za mashia tena kwenye jambo waasisi na waanzilishi ya maulid ni mashia😂😂.
Hebu jaribu kumleta humu mwanachuoni unae muamini uone vipi atakavyo hema humu na atatamani arudi tumboni mwa mamake
@@AbdulkasimuDossa Si muanze hapa mjaribu bahati yenu . Huyo sio size yenu njooni humu na mashekhe wenu wote. Mujionee
@AbdulkasimuDossa 1 Kwanza kabisa hiyo riwaya ni dhaifu kuanzia kwa : الحسكاني . Huyo alikua na ushia na ameleleka katika mazingira hayo . 2 ابن بطة . Ni dhaifu . Udhaifu wa hao ongezea na udhaifu wa huyo aliye dhoifishwa na : الذهبي . 3 Huyo mwenye hilo gazeti ni mjinga sana . Asema eti hiyo ni katika tafsiri na tarekh Maskini hiyo kwa ujinga wake hajui tafauti ya tarkh na hadithi. Ya mtume . Na wewe kunukuu maneno hayo ya upuzi inaonesha nawewe vilevile ni mjinga kama yeye . 4 hiyo hadithi : انت وشيعتك هم الفائزون . Ndani yake mna ligi ya mashia. Jee shia hao ni wapi ?. الناؤوسية Au الزيدية Au كيسانية Au النصيرية Au الواقفية Au الفطحية Au . الدروز Au أغاخانية Au : البهرة . Haya ni makundi ya shia kila mmoja asema ndie shia wa haki wengine ni waongo na kila mmoja anasema yeye ndie mwenye kufaulu wengine ni wa motoni . Sasa tunataka mufanye mechi. Baina yenu vikundi vyoote hivyo kisha mutuletee mshindi atakae enda peponi na ali ni yupi . Upooooooo.
@@AbdulkasimuDossa Huyo jamaa maskini ameshindwa kutafautisha baina ya simulizi za tafsiri na simulizi za historia na hadithi za mtume . Eti hadithi za mtume hazihitaji sanad ? Huu ni upumbavu wa high level. Pili ikiwa mtume asema : علي وشيعته هم الفائزون . Jee ni shia gani hao ?. Ni : الناؤوسية الكيسانية الفطحية الواقفية الزيدية النصيرية اغاخانية البهرة . Hawa wote wana kufurishanna jee wanakao faulu na kuingia peponi ni wapi ?. Mashia fanyeni mechi atakae kushinda tuleteeni tumjue ni nani atakae enda peponi .
@@AbdulkasimuDossa Maskini mnatia huruma .
Mmm