Alishajibu hilo kuhusu kujiunga na original Comedy, Akasema Mpaka amalize Mkataba wa mwaka mmoja aliojiunga na Channel flani ndio arudi kujiunga na Original Comedy
@@minaaminaa1781 kwani wanacheza mchezo gani?😁 kwasababu mmoja wao amesema njoo tucheze gololi na hakusema njoo tucheze golf.🤔 fikiria. Na pia sio “gorol” ni GOLOLI kwa Kiswahili fasaha.
@@user-sf5oj4pr8k Amesema gololi ndio lkn mnataka pia English iwe marble mbona mpira mtu akisema tucheze mpira engilish haiwi lets play ball?either iwe football au netball ama hata volleyball?
Kaka Jot Makosa tumeumbiwa Wanadam lkn pia kusameheana Ni Sawabu. Na kwenye Kazi yoyote Mitihani na kupishana Ni Changamoto zisizo Zuhirika, 🙏Tunaomba Msamehane na Kina SOPA NA KIPANDE. Tunamiss sana
Una mambo ya hovyo jot me nakujuwa long time sana toka mlivyo anza kuhit ila ulivyo fanya kwa big aisee haikunipendeza anyway ngoja lisonge mzee mwenzangu
Kiumbe kiitwacho mwanamke ni chakukiogopa balaaaaaaaaa.. usikubali ukizidi hisiaa za upendo kwake kuliko yeye akuoendavyo. Ukiweza hili utashinda mitihani uitwao mahusiano
Jaman naomben mnipe like jmn Leo nimecoment wa tano 🔥
Utazikulaa ama ?
From 🇹🇿 big up jot
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
Hongera Sana Joti Mungu azid kukuinua Zaid na zaid
Amen
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
Unit
Duhh andunje chizi kwer🤣🤣🤣 love you from uganda 🇺🇬 256
🤣🤣🤣
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
Duuuih hiii nomaaa!!!!
Napenda sana joti anavyoigiza kama Mtoto andunje
Kama mim. 😅
Joti hebu njoo original comedy bana tunasubiri makavu live 😋😋
Alishajibu hilo kuhusu kujiunga na original Comedy, Akasema Mpaka amalize Mkataba wa mwaka mmoja aliojiunga na Channel flani ndio arudi kujiunga na Original Comedy
The king of comedy
😂😂😂😂
Joti leo umemalizaaa..
Hii kali ya mwakaa
🤣🤣🤣
😂😂😂
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
🤣🤣🤣😂😂🤣
😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya
Watching from SOMALIA 🇸🇴
🔥
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
Uyo ndo joti bhan King of comed
Muito sucesso!
@@otienokiyeyeu5820 kaà
Kazi nzuri, Ila gololi ni marble sio golf.
Umeona eeeh 😂😂😂
Gorol ni marble lkn mchezo wachezao ndio aliomaa isha
@@minaaminaa1781 kwani wanacheza mchezo gani?😁 kwasababu mmoja wao amesema njoo tucheze gololi na hakusema njoo tucheze golf.🤔 fikiria.
Na pia sio “gorol” ni GOLOLI kwa Kiswahili fasaha.
@@user-sf5oj4pr8k Amesema gololi ndio lkn mnataka pia English iwe marble mbona mpira mtu akisema tucheze mpira engilish haiwi lets play ball?either iwe football au netball ama hata volleyball?
Yes gololi ni marbles.
Joti umetisha mzee mabba
Joti nawaombea msamaha sopa na kipande , mama van ndame warudi please mlikua na chemistry nzuri
😹😹😹😹
kwel warudishiwe bhn😌
sana chemestry ilikua poa sana
Yaan ilivutia Sana ile asee saiv sielew
Kweli naungana nawe
Kaz nzuri
Hii kali ya mwaka mzee naikubali mno
Joti king of comedy 😂😂😂
Agreed - True King of East and Central African Comedy
Sure
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
Kali mnooooo
bro nakukubar sana yan
Hello nishai pongezi ... But I have a question where is kipande nowadays I miss him alot
😹
Don't like answer me bro
And sopa
We miss Kipande sana
Nishai hajui kizungu
Kaka Jot Makosa tumeumbiwa Wanadam lkn pia kusameheana Ni Sawabu.
Na kwenye Kazi yoyote Mitihani na kupishana Ni Changamoto zisizo Zuhirika,
🙏Tunaomba Msamehane na Kina SOPA NA KIPANDE.
Tunamiss sana
😂😂😂😂😂😂 andunje we ni hatari San uko vizuri 🤝🤝👏👏👏👏❤️❤️
Daaah nakubali sana mkuu
Wa 82🤝 pindi langu pendwa siku yangu imeisha hvyo kalibu mchuzi wa sangala
Fantastic
Safi sanaaa nakubali
Nice
Una mambo ya hovyo jot me nakujuwa long time sana toka mlivyo anza kuhit ila ulivyo fanya kwa big aisee haikunipendeza anyway ngoja lisonge mzee mwenzangu
Aise jot ni noma Sana
Ety malaika wa mungu💚🇰🇪
From USA 🇺🇸
So
@@gosbertmuta5421 🤣🤣
@@gosbertmuta5421 hahahaha
@@gosbertmuta5421 tumsaidie nn
Sisi malaika wa mtaani watoto wa mungu 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
😃
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
😂😂😂 andunje sio poa
Ni noma
Kuna Magari Yanakujaga Yameandikwa V Alafu Mbele Kuna Namba 8..🤣🤣!! Hvi Wanaoombaga Like Huwa Wanazipelekaga Wapi?!?
Unaomba kinguvu
Minashangaa
Wanakula
Wananunuliaga bando
@@elizayanga9756 🤣🤣🤣
sana joti vzr cn
Hii kali sanaa
daaa jot ana mambo
Ila Joti unajua sana. Hongera bro.
Sana
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
Pamoja sana Brother Joti UNATISHA SANA KTK comedy Ya Tz 🇹🇿 na African kwa Ujumla
💪🏼
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
Sound from🇿🇦🇿🇦 kwanz ongelaaa Sana kbs kazi nzulii sna but where's sopa kwr usisema kama hamko nay Tena hapana 🤔😳
Chama la wana tupia like kwanza ndio tuwende sawa
Joman .. kiukwel JOT OR NISHAI YUPO VIZIR😋😋😛👏👏
Good good 👍
Mamboo ni🔥🔥🔥🔥
🔥🔥
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
😍😍👍
daa awa andunje jaman
Joti professional
Anakuja na vumbi 🔥🔥🔥 😂😂🔥🔥
😃
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
Kiumbe kiitwacho mwanamke ni chakukiogopa balaaaaaaaaa.. usikubali ukizidi hisiaa za upendo kwake kuliko yeye akuoendavyo. Ukiweza hili utashinda mitihani uitwao mahusiano
Daaah 🙌JOTI 🔝
🙌
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
kinukuta uko vzr
Heee mara mbona new character anaitwa Nico bonge😂😂😂😂😂 ntaambia nn watu nipo humu ndani
😹
Mwangu mm ni Nico alafu bonge😂😂😂😂
Kaliii
#joti kawa malaika wa mtaa🤗🤗🤗 this guy is creator
🔥🔥
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
Tz comedian 😎😎
Ngoma kali… ila swali zetu hazijibiwi…
Hivi Kipande na sopa wako wapi?
Pesa ndio chanzo cha ugonvi
Itakuwa wametemana tu...
Joti mungu akuweke
😂😂😂likes za USA 🇺🇸 hapa
Mujahidiiina😹unatutambia tu
@@gosbertmuta5421 nini tena 😂😂😂
USA ,UNITED STATE OF ARUSHA
@@paskalimallya749 haaaaaaaàaaaa me of mwanza
@@gosbertmuta5421Ila Tz Jaman 😂😂
😂😂😂malaika wa mungup🤣🤣🤣
😂😂😂ety malaika wa mtaani!!
🤣
🤣🤣
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
😂😂😂🤣🤣🤣
Here Before 1K
Malaika wa mtaaa🤣🤣🤣
Huhuu nikikujuaa nakudunda
Kama tupo malaika wa mungu gonga laiki nyingi hapa aise🤣🤣🤣😊🤣
Haaaa joti Leo nimekuwai
Tuletee sopa na kipande walikuwa wanapendezesha sanaaa
Gololi ni Marble sio Golfs 😂😂😂
Haha, I thought I was only one who noticed .
Hongela joti
marble ni kokoto kaka
Street boy hatari 😂😂😂
Leo kidgo nimewawahi.
Ckupingi Kaka😂
th-cam.com/video/_tkVtEQbgok/w-d-xo.html
Ni kweree kwechee
Malaika wa mungu hao ndio kazi yao!
😁😁🔥🔥🔥🔥 wakwanza
Watu mpo chap😂😂😂🙌
Mchane ninyi malaika
Wakiwepo kina sopa inanoga zaidi joti siku hizi hainogi kbsaa..
kipande na sopa eehhh
Kipande na Sopa kwasasa hawapo
Wametoka
Kibonga
Hadi Sopa mwenyewe alienda show aipendezi tena ..... Wasamehe please warudi
Kwan wamegombana?
Kwan sopa katoka saiv
@@deusdeodavid5360 🤷
Kimeumanaaaa
Hamna Sopa Hamna Kipande Hamna Mama Dame daah
🤣😂😂😂😂😂 😂 Malaika wamtaaa 😂😂😂
Watoto wambea kweli 😂😂😂😂😂🔥
😁😁😁😁🤣🤣Tena saana
Sisi ndio Malaika wa Mtaa!!!😁😁😁
😂😂😂 harafu we unapaki bodaboda hapa
Hahahhaha
😂😂😁😋Tuleteee na Nishai
🤣😂🤣 “Ilikuwa silence” kumbe Simu ni gari 😂🤣😂. Ilikuwa silent bana incase of phones. 🤣😂🤣
😃😃😃
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
@@Sta-ck 😂🤣😂.
Malaika wa mtaaaa😂😂😂
WAMEKINUKISHA 😂😂😂
🤣
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
Cha kufanya hapa tumwagie maji ya barid akizinduka tumweleze ukweli🙌🙌🙌
Hivi wadau fundi aliyeshona suti za kina fei Toto anauwawa saa ngapi...?
😄😄😄😄
Mamb
Vip
Nipeni like zenu wakwaza kucoment
th-cam.com/video/_tkVtEQbgok/w-d-xo.html
😂😂😂😂😂 Joti ww ni balaa kaka maana nimecheka mbavu zinauma aise big up kwako
🔥🔥😃
th-cam.com/video/FWQZUwUcir0/w-d-xo.html
😁😄😄😄😁amenipa bukuu
Kimeumana
Wanawakeeeeee
Wewe unapaki boda Boda😂😂😂inavumbi😂😂😂nitowe nikuchane😂😂😂#diko nimchane
Eti joti ni malaika uuuuuwwwwiiiiii jaman nyie ila haichekesh
wakwanzaa😂😂😂
th-cam.com/video/_tkVtEQbgok/w-d-xo.html
Hahaha eti malaika🤣🤣🤣
😄😄😄maji ya baridi