Huyu mdada ( SAMIA ) leo ndio siku ya kwanza kumuona tu halafu nimetokea kukubali uigizaji wake ❤ Anaujasiri, anakipaji, na hana wasi wasi ktk uigizaji wake. Nimemkubali sana ❤
Kama unampenda joti gonga like hapa🎉😂 .. oya this man is so creative, ila tunaomba baba tutolee kichupa cha kufungia mwaka no one like u my brother infact una inspire alot of ppl congrants sana 😊
@@AminiMsellem-gk3yybro mind yur buisness mjini hpa ukisema ufatilie la kila mtu utapotea jarbu ku focus na jambo lako ya watu yatakuumiza kichwa huku yko yanakushinda.😮
Mwaka unaisha huu Kila msomaji wa comment mungu amjalie afya njema Asante wapendwa
🙏
Aamin kwa sote
Amina Mungu pia akujahalie na wewe uvuke mwaka salama
Amen
Aamiin
Tunaomkubali kitombangile kitwango twende pamoja 🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂Siyo kitombangile bhn, ni MTOMBANGILE, KITWANGO, WAMIKAZO, MIGUNO,MISUGUANO
Huyu mdada ( SAMIA ) leo ndio siku ya kwanza kumuona tu halafu nimetokea kukubali uigizaji wake ❤ Anaujasiri, anakipaji, na hana wasi wasi ktk uigizaji wake. Nimemkubali sana ❤
Ndiyo.Yupo hivyo. Sometimes wakati ni nwalimu wa andunje iko poa zaidi
@mtz5582 anauwezo wa kuigiza 🤝
Kabisa anajuwa sana❤
Anaigiza clip nying na joti yuko vizur
@@ReganFaustine nimekubali kipaji chake na ujasiri wake. Anaigiza kwa uhalisia kabisa
Asante sana,tunakuomba Jot mungu akupe maisha marefu na 2025 utuletee mambo mazuri zaidi.❤❤❤🎉🎉🌹🪴
Kama unampenda joti gonga like hapa🎉😂 .. oya this man is so creative, ila tunaomba baba tutolee kichupa cha kufungia mwaka no one like u my brother infact una inspire alot of ppl congrants sana 😊
😂😂
Mwanaume kabisa unaomba like 😂😂😂😂😂
@@AminiMsellem-gk3yybro mind yur buisness mjini hpa ukisema ufatilie la kila mtu utapotea jarbu ku focus na jambo lako ya watu yatakuumiza kichwa huku yko yanakushinda.😮
@@AminiMsellem-gk3yybradi fakini kbsa shgulika na yko shekhe😂
Kbsaaa kisha ya kiboga
Kulikuwa na haja ya kusema *mwanangu mzuri mzuri* 😂😂😂huo uchokozi kbs yaan
Mkewe zito kauwa😅😅😂😂😂🔥🔥
Anajua sana kuigiza
Ananjua mpaka anajua tena harafu pisi ya kwenda
Saizii mna shutii vizurii Sanaa ❤
Watching from Mombasa Kenya 🇰🇪,hatuna shida na watanzania huku.
kwanin?
Watz ni km maji tu usipo yanywa utayaoga😂
@@Ajijji12😂😂😂
Mke Wa zito anajua kuigiza😂
Na ni mshangazi wa kwenda.
Sanaa😅
Kabisa❤
Anajua kwel ❤
Leo nimekuwa wa 94😂😂😂haya KILA MTU AFE NA CHAKE 😂😂ILA BABU JAMANIII 😂😊
@Shadia544 mekumiss
Ila joti ww ni genius sana❤❤❤
Kazi nzuri❤
Funzo zuri sana hasa kwa mtu anategemea kufanya maendeleo kwenye mali ya mzazi akitegemea ni mali yake pia asante
Joti naipenda sana movies zako from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wajina wangu Safi sanaaaaaaa
Nice job
Tunakupenda joti
😂😂😂 Joti mungu anakuona
Ila samia mzuri buana😋😋
Kabisa, natural beauty.
Kabisa❤
😂😂😂babu wakosha jamani😂😂😂😂 humu nimekuja kukufuru😂mimi sitishiwi mara mbili mbili nina kinyongo cha pigo😂😂😂babu keep them coming 😂😂😂😂😂
Kkkkkkkkk asha weeeee napenda kweli 😅😮😅Samia wewe unatuma nasheka
Dah!! Mkwe Ni Hatari 😂😂😂😂😂 I love her. 😂❤❤
Mkwe anacheka sna 😂😂😂nawapenda sana
Joti upewe maisha marefu sana unatupa Amani sana na comedy zako
Nimependa mpo vzr na huyo mke safii😊
😂😂😂😂😂shamooo ila zito😂😂🙌
Nimecheka kifala sana 😂😂😂😂
Good Job Mr Joti
Jot unatupa burudani sana😂😂
Shoo 😂😂😂sema shikamoo mama😂
Mwenye kiwanja kaja toa matofari yako 😂😂😂
Jamn wa kwanza nipen like zangu😂😂😂
Mi namuelewa sana Samia hapo❤
Love from Burundi
Hilo busha sasa.🤣🤣🤣🤣🤣
Top 10 😁
Ila mimi na Joti 🤝😂🙌
Ety jicho la ng'ombe 😂😂😂
😂😂😂😂mjinga sn joti
Joti Samia huyo ni mgen lakini nimekubali sana anaweza❤❤❤
Duuhh, inaonekana umeanza kuwafuatilia mwezi huu.
Huyu Samia yupo kitambo saana mbona yaani kwa uchache toka si chini ya 2020
Samia ana miaka mingi tu
Huyo samia wa hovyo saana Hana msaada kbs wallah kr kt yeye Hana mbavu😂😂😂😂😂😂
uweeeeeee nimewai na mm leo😂
mko vizuri 🔥🔥
Joti by ana 😅😅😅🎉
Sijachelewa leo na mm nimewahii 😊
Nimependa mke wa zito😂😂 kaigiza kiuhalisia kabisaa ni kama mimi na mkwe WANGU tunavyo patana😂😂😂😂
😂😂😂😂joti anajua saaana,
😂😂😂😂😂😂😂 joti noma sana 😂😂😂😂👍
Nko full😅😅
😂😂😂muda mrefu matokeo ziro
Joti Mungu akupe miaka mingi dunian amimaaa
Upweru unyama😂😂😂😂😂
Nimeipenda sanaaaaaa kila mtu afe na chke
Unapigaaaa😂😂😂😂
🤣🤣🤣 nilikuw serious imenibidi nicheke tu hahah
😂😂😂😂
😂😂😂
Joti unaweza aisee😂😂😂
Watu wanalala baba anaingia eee😢😢😅
Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
Mimi kwa mara yangu yakwanza kutazama video ya joti iliyo rushwa ndani ya muda mfupi 😊😂😂
Mke wa zito mzuri mempenda aiseee
Good good 👍🏾
Samia ameigiza vizuri sana
Samiaa🥰
Kwa tz namba moja komedian hakuna Kam joti
😂😂 daa samia 😊
Kweli kila mtu afe na mzigo wake😂
Apo Kwenye kukaa daaaah 😂😂😂😂jot ww
All way from USA 🇺🇸
Unajuwa sana
SAMIA MZURIIII🥰🥰🥰
Joti mzee wa kazi😢😢😢😢
Shaoo ndo nini😅😅😅
Huyo dada bonge nmependa ambavo haamini yanayotokea yan anacheka tu😂😂
Uyo zito eti shoo 😂😂😂😂😂ndo shikamoio madhara yakujenga viwanja vya familia😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sema tu henia usiseme Umzigo😂
Ahsante joti
Mzee Omary 😭. I miss my grandfather ❤️
Uko alone 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 iyo mpka 2025 AA iyoo unyama
unyama sana😂😂
Samia mashallah❤🎉
😅😅😅😅😅😅😅dah zitto na joti
Ila zitooo😅😂😂
Sonia ametisha leo❤❤❤
😂😂😂 shamoo
Christmas 🎄 hiyooo
Mambo 😂😂kwani ni kosa
Zaitwaje hizo kiswahili mshipa ama pumbu😂😂😂😂
Zito 👑👑👑
Atali sanaaa
Joti bana eti mwenzangu anakaaje😂
Samia yy leo ni kucheka tu😂
Hatari 😅😅
Samia kanenepa❤❤
Daaah hilo busha sasa joti Bana
🔥🔥🔥🔥
Samia full kucheka 😂😂
😂😂😂😂😂😂Samiaaaaaa
samia ananifurahisha haahaa duuh
Ukisha igiza km dingi (mzee) baasi lazma video niishi nayo “dogo anachelewa kumuelewa mzee wake “
Aya sasa ngoma juu mamae 😂😂
Dah! Tunamalizia movie za mwishoni mwa mwaka