Naitwa Lukas Charles nkingwa Niko nyuma yako Lucas mhuvile unani inspire Sana joti ila natamani Sana nikufikie na nikupite❤❤❤hongera umeweza Sana u r my favourite comedian
Wabembe tupo wengi Tanzania Wengine ni wana siasa wakubwa kabisa siwezi kuwataja ni seme Tz is our Secord one we love you our brothers tukijikata Na Kongo sud Kivu yote itakuwa TZ
Najiulizaga why X wangu was attracted with this tarented guy.... Nikimuonaga this guy remind of Happy nyakyusa gal whr u are.. Those moments am greatful stay safe with the princess u have
Naitwa Nishai mtombangile kitwango mikazo miguno misuguano 😆😆😆like 10 tu jmn
😁😁😁
😂😂😂
Nakukubali sana
Nakukubari sana
Ndo utambulisho gani ss utakosa mke🤣🤣🤣🤣
Ha , ha , ha Congo Na Tanzania ni watoto wa Mama moja... We Love you Tanzania 💕🇨🇩🇹🇿
Asante🇹🇿💕
💖💖💖
Tunapendana ❤😂
We love you too Congo
Sio congo 2 Africa nzima baba mmoja mama mmoja karibuni Tanzania jamani 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
JAMANI WA TZ AND WAKENYA FROM USA 🇺🇸 NIPENI TANO KUMSAPOTI JOTI 👍
Wacha kujichocha
Twende kazi😂😂😂
❤❤❤❤
Hongera Joti kwa kurudisha wazee kazini,,mfalme mhogo mchungu
Kacheza Kama Pele😂😂
Mzee ametisha mbanvu jangu 😂😂😂
Sio kwa ubaya ila nafkiri Joti ungeandaa tamthiliya ingekuwa powa zaidi maana hii Team yako ni moto🔥🔥
Uko sahihi kabisa
Nafikiria ilo ndio moja la kusidio lakee ata mi nawaza ivyo
Nikwel Kabisa 100 kwa 100
Tatizo la legend wangu nishai ni mlaku Wa mademu😂😂anyway mnaweza mruhusu joti alike kwanza comment hii ndio m like na wengine
Walosikia Jina wabembe gonga like jaman❤
Mimi ni Congo , tanzania ni our second home kabisa 🇨🇩🇹🇿
We love u
Sisi watanzania tunajua Hilo na tunawakubali sana.
So funny episode 😅😅😅
Another furahi day Mungu katuwezesha tena kucheka pamoja...❤❤😂😂😂😂😂more love
Tulio amka na joti gonga like 😍😍😍
Huyu jamaa apewe ballon d'or😁
Jamaniiiiiii nimechelewa ila naomba like zenu ❤️❤️❤️❤️wakuchelewa kama mimi ila joti namba one 👌
likes unazipeleka wapi kenge wewe?
acha ushamba
idiot 😏
@@officialkamdudu 😏😏😏😏😏pumbafu wewe mushenzi🤥
@@prenciaiqram9382 utaloa mjinga wewe acha ushamba 😀😀😀
@@officialkamdudu 🤣🤣🤣mbwege bono🙅mavi yabakwenu🥴
@@prenciaiqram9382 njoo nikupe like kubwa …
si unapenda like ?
Kofia ya Mshenga 😂😂😂...nakubali sana Team joti
🤣🤣🤣🤣 Namtaka Huyu Namlia Asali Nampiga Pa Pa Pa 🙌
😀😀😀😀
Joti always deserves to be a GOT 🤣🤣🤣🙌
Nimecheka kwa sauti sana. Joti umechenji gia juu kwa juu😂😂😂😂👍.
🤣🤣🤣🤣🤣 Jotiii ety nimeamini hii familia hawatutaki, bro never disappoint 👊🏼 👊🏼
Hakitoka King 👑 kiba kwenye mziki anakuja king joti 🎉 kwenye comedy anaweza mpaka anaweza tena ongerah kaka mungu akusimamie kaka❤❤🙏
Umeongea point
King kiba??? Ok
No doubt mkuu
Apo kwenye king wa mchongo kibamia mmmmmhhhhh misipooooo
🤣🤣🤣ushaharibu tayari mtaka yote kwa pupa hukosa yote 🥰😘
Mashabiki zetu wa joti TV tunawapenda sana 🤗 #mlewa
Wakenya tunahumia na watoto wazuri wa kitanzania❤😊heshima nayo
Nishai yule kabisa hata mi naku support she is so beautiful!!
Love from Burundi 🇧🇮
This is now therapy by entertainment, quality delivery. Well done Joti team
😂😂nimecheka nusu nife ,huo mkoti/pisha nijambe, nakukubali sana joti
Baba mtu na mtoto mtu wote wahuni...si kwa majina hayo🤣😂😃
Ehh joti bana kumbe mbembe. Mwavyui
JOTI LIVE LONGER....YOU'RE THE BEST
Daa joti hatare
Nawaambia huyu Jamaa ni Kanumba wa Pili katika Scripts na Story Writing.. Kazi nzuri sana Mr Joti AKA Nishai Mtombangile Kitwango Mikazo😅
Kanumba wa pili? Mtu akifa anasifiwa zaidi ya uwezo wake halisi
Mtombagile 😂😂😂😂😂😂😂joti😂😂😂😂😂❤❤❤😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤nawapenda wote Tim joti❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kama umemsikia cameraman anacheka gonga like hapa..Joti on fire!!!
Nilichoamini hii familia haitutaki😂😂😂😂
Wakwanza ku comment nipeni likes zangu
kula dole 😂
likes unazipeleka wapi kenge wewe?
acha ushamba
idiot 😏
Tutakuaminije kama wewe wa kwanza
@@plutonakamoto8740 hujapenda kwan?
@@plutonakamoto8740 🤣 😂 haya bana
Nishai, ndio king of comedy, amebaki, Tanzania,❤❤❤❤
😀😂😂🤣🤣🤣 Joti kakutananacho leo hadi wazee wa Kyuba wamemkataa kabisa
Hapo kwenye jina la joti nimecheka kwa sauti kubwa😄😄😄
Joti huyu mama bonge la actor😂😂
Joti unafaaa unge andaa tqmthiliya maaana team yako ni hatari sanaa ipo good good sanaaa✌️🔥🔥
Joti Hawa wazee wa Cuba wahuni sana wataniuwa😂
Joti ni mtu wa kuaribu tuu😂😂😂😂😂😂❤❤
Jamaa mzinguaji sana 😆😆😆😆😆😆
From Italy, you are so creative. What I watch on my free time
Lucky Italy uko sehem gan
@@catherinemuhagama7338 Florence
Joti..😂😂😂😂😂😂😂
Live longer my brother..
This was epic..😆😁🤣🤣🤣
Daah....😂
Joti Mungu akuweke myaka mingi kwa kweli uzidi kututowa stress🤣🤣🤣🇧🇮
Man u killing trending tv shows mamen 🔥
Unajua kaka ✌️✌️😂😂
Jmn joti akili zako wazijua mwenyewe,umenivunja mbavu hapo ulipokua unasalimia😂😂❤
Joti the genius
Naitwa nishai nmtombangilie kitonga ,mikazoo😂, miguno misuguanoo😅😂😂
THE COMEDIAN IN AFRICA 🌍 KEEP UP JOTI, NIKIFIKA DAR LAZIMA NIKUTAFUTE 😂😂😂🙏🙏🙏
Good job joti
Akuna kama joti🤣🤣🤣🤣
Umtafute ili iweje kwamfano, au uko wapi kwaajabu labd🤷♂️
@@josuebrown7163 mbona machukizo broo😉😂
Jotiiiiiiiiii kabadili gia angani!! 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hapa Sherbrooke Canada nimekuwa wa kwa kuicheki MV Joti
Muhogo mchungu katisha sana utambulisho na jina la pili la joti wametisha Sanaa🔥🔥
Joti jamani aki nimecheka hapo mwisho😂😂😂😂😂😂😂
Ila joti 😬😬😬🙌 anaulizwa mshenga anajibu yeye
Eti wao ni watu wa cuba na mtoto wao ni wa cuba 😁😁😁
Aiseeh you deserve to be the president of comedy
Asije kua Zenlekys 😂😂 kaivuruga nchii
Nyote wa shenzi sana 😂😂😂😂😂 good job guys big up keep going
Wabembe tujuane jamani abenu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Like father like son 😅😅😅😅😅
Wabembe wenzangu njooni hapa😃😃
Naitwa Lukas Charles nkingwa Niko nyuma yako Lucas mhuvile unani inspire Sana joti ila natamani Sana nikufikie na nikupite❤❤❤hongera umeweza Sana u r my favourite comedian
This best comedy in Africa nice team good group
Never disappoint jotiiii 😂😂🤣
Mze ku toka Congo 😅😅😅😅 mobimba😂 ❤❤kama una wa kubali gonga like basi 😂tu enjoy
Wabembe tupo wengi Tanzania
Wengine ni wana siasa wakubwa kabisa siwezi kuwataja ni seme Tz is our Secord one we love you our brothers tukijikata Na Kongo sud Kivu yote itakuwa TZ
🤣🤣❤️❤️ I love it like kuangu jaman from UK 🇬🇧
Nisalimie my dàd yngu
@@shuus92vitanivitamula62 usijali tamfikishia salam zako
Pale mwisho mbavu zimetaka kutoka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Road to 1 million
Jot 😂kumbuka humwezi mtukufu wa Ramadhani tuache kidogo bro, dah! 🙌 respect comedy yako🧏🤦🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂Joti 💪💪... Long tym I didn't see mjogo mchungu #Legend 💪pale ITV 😂😂... You guys always make my day.
Daaa joti na hii timu umeonyesha unajua zaidi
Congratulations Nishai🤝
Mmbembe kabila langu hilo 🙌 Najivunia sn
Mi namtaka huyo mtoto huyo ndo nimemuelewa, twiga anakula majani ya juu 😂
Joti kajipanga sana aisee 😂😂😂😂
Ambao leo ni birthday yetu tujuane hapa 🙏🙏🙏
Mtoto namlia asal jotii chizi Sana 😆😆😆😆😆😆😆
Hata mimi.nisngkubali.yaan alete Dem mzuli skubali😊
Team Joti like zetu hapa❤️
Wabembe wenzangu njooni hapa tujuwane 😂
Swaga kama mbele, kama mbele, swaga kama mbele...eyooo Nishai
Aty nyama nyamani "😂 jamani wabongo mtatumaliza
Hapo 7:55 ila Joti bana mwehu sana😂😂😂😂😂😂
Wa kwanza leo nataka like zenu yan jott umetisha na Hiro kot
From uk 🇬🇧 penda sana jotiii
Zaire mobimba WABANGUBANGU🤣🤣🤣😂😂😅🤣🤣🤣🤣
😆🤣🤣🤣🤣 asante nzuri saaaana. From Drc Congo 🇨🇩 🤣🤣🤣
Ww sio mkongo ni mkwere tu🤪🤪
😂😂😂 Fovorite comedian 😅😅
Joti ongera mimi ni mkonkomami kabila yangu ni mbangu mbangu sisi wa kongo ni ndungu na watazania tuko pamoja ❤❤❤❤
Hhhhhhhaa me huo unga tu dirishanii hoiii😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌,jotiii basii
Prime minister of comedy in Tanzania Good morning Mr Joti
President
Leo mmi wakwanza jamani
Najiulizaga why X wangu was attracted with this tarented guy.... Nikimuonaga this guy remind of Happy nyakyusa gal whr u are.. Those moments am greatful stay safe with the princess u have
Mastaa watupu ndan ya house salute sana Joti
Joti you are so talented 😂😂😂
Joti 😂😂😂 na hawa wazee ni hatar
Joti ujaigiza km mwanamke cku nyingi,huwa inapendeza sn,keep it up
Leo umeua na wazee wa Cuba 🇨🇺 umepiga substitute 😂
Jot umenishinda tabia sio kwa jina hilo 😂
Hawa majama ni wabembe wa nyumbani😢 taratibu tuna wajuwa ❤
Na hvo walioonesha yote yapo hvo au
😅😅😅🤗🤗🤗🤣🤣🤣 JOTI SHENZI SANA 😅😅😅 MZEE WA MIGUNO 🤗🤗🤗🤗😉😉😳😳
Mzee anakwambia WAONYESHEEEE😂😂😂😂
Joti the Goat🐐