#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
  • #NdoaTakatifu
    #DamiannaScolastica
    #IbadayaNdoaTakatifu
    Karibu kufuatilia Mubashara (live) Ibada ya Ndoa Baina ya Damian Paul Kapesa na Scolastica Jilala Samwel. Itakayofungwa na Mchungaji. Rahisi Mande.
    Ibada ya Ndoa hii itaanza Saa Saba Kamili (08:00) Mchana kwa Saa za Afrika Mashariki (EAT), Katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge, Dar es Salaam, Tarehe 10.07.2024.
    Karibu kuwatumia salamu na kuwatakia heri kupitia live chat.
    WAHUDUMU
    - Mwenyekiti
    - Mhubiri
    Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji. Rahisi Mande +255 677 048 049
    Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 713 999 611 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz au sdamwenge@gmail.com
    SADAKA YA MAJENGO
    Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 758 308 960 (Mhazini wa Kanisa- Honest Boneka).
    SADAKA ya MAJENGO:
    CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 758 308 960 (Mhazini wa Kanisa- Honest Boneka).
    ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 758 308 960 (Mhazini wa Kanisa- Honest Boneka).
    Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 758 308 960 (Mhazini wa Kanisa- Honest Boneka). Mungu akubariki.
    Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia.
    Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye:
    Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz
    Facebook Page: Mwenge SDA Church Live
    Instagram: mwengesdachurchlive
    Mungu akubariki.

ความคิดเห็น • 10

  • @marymoses5771
    @marymoses5771 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera san rafik angu❤ Scola

  • @MagrethSonjoro-ig6wn
    @MagrethSonjoro-ig6wn 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hongeraaaa sana da scola

  • @JohnSamwelMakolo
    @JohnSamwelMakolo 16 วันที่ผ่านมา

    Hongera shemeji yangu Scola,,

  • @JohnSamwelMakolo
    @JohnSamwelMakolo 16 วันที่ผ่านมา

    Honestly,, nimefurahi sana jambo hili kutimia leo, hongera sana shemeji yangu Scola

  • @RukiaAmeir
    @RukiaAmeir 15 วันที่ผ่านมา

    Hongera matembele

  • @IdahTsotetsi
    @IdahTsotetsi 16 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉Amen we thank god bless Jesus

  • @IdahTsotetsi
    @IdahTsotetsi 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hahalaa ❤❤

  • @RukiaAmeir
    @RukiaAmeir 15 วันที่ผ่านมา

    52:52

  • @RukiaAmeir
    @RukiaAmeir 15 วันที่ผ่านมา

    52:52

  • @JohnSamwelMakolo
    @JohnSamwelMakolo 16 วันที่ผ่านมา

    Honestly,, nimefurahi sana jambo hili kutimia leo, hongera sana shemeji yangu Scola