REV ELIONA KIMARO - ELIMU NI MSAADA KUJITAMBUA (OFFICIAL VIDEO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @prochesmasauwa8300
    @prochesmasauwa8300 ปีที่แล้ว

    amen nimeipenda sana semina yako dada natamani niwe karibu nawe nipate elimu zaid

  • @phoebeaoko6788
    @phoebeaoko6788 ปีที่แล้ว

    Our God is not interested in education but passion and integrity.

  • @marymashina7888
    @marymashina7888 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki dada kwa ushuhuda mzuri. Mungu tusaidie kujitambua na kutambua kusudi la Mungu aliloweka ndani yetu

  • @sarayobu1391
    @sarayobu1391 ปีที่แล้ว

    Natafuta ajira dado niajiri kwenye kampuni yako

  • @masalupasitoli3569
    @masalupasitoli3569 ปีที่แล้ว

    MANGU,

  • @israelmhada7285
    @israelmhada7285 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi uko sawa

  • @loothasengwa1899
    @loothasengwa1899 ปีที่แล้ว +2

    Oooohh! Yote yanawezekana nimejifunza mengi sana mbarikiwe kwa mafundisho haya!

  • @emanuelfabiani6578
    @emanuelfabiani6578 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wetu wa mbinguni awabariki watumishi law kututia moyo.

  • @emmanuelanael6934
    @emmanuelanael6934 5 ปีที่แล้ว +2

    Elimu ya darasani sio inayo endesha maisha ya walio wengi. ila unapozaliwa na Riziki yako inazaliwa.
    Udhubutu ni muhimu sana.

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 ปีที่แล้ว

      AYAAA BHANAAA 😏😏😏😏

    • @sukarinaammi1058
      @sukarinaammi1058 ปีที่แล้ว

      Hakika Mungu ametupa kitu ndani ya Maisha yetu .Bora kujitambua

  • @yoramtango2470
    @yoramtango2470 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada, Mungu akubariki sana umenitia moyo sana, kwenye kazi yangu na mm IPO ck nitashuhudia uweza wa Mungu Amina.

  • @elianaarsen9942
    @elianaarsen9942 ปีที่แล้ว +2

    Ushuhuda mzuri sana,Mungu akubariki

  • @rosehezron7451
    @rosehezron7451 5 ปีที่แล้ว +1

    wow! Sista fridah mija have really enjoyed your testimony may our lord God bless you amina

  • @bethmziray690
    @bethmziray690 5 ปีที่แล้ว +1

    Dada, umeniimpress sana,Mungu akubariki Sanaaaa

  • @hildamushi1084
    @hildamushi1084 ปีที่แล้ว

    ASANTE SANA YESU KWA PENDO LAKO.

  • @erickmushy7229
    @erickmushy7229 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sn na ushuhuda huu. Umenivusha mahali flani na kunipa ujasiri

    • @aronadam5093
      @aronadam5093 ปีที่แล้ว

      Tunaomba mawasiliano kwajili ya usafi

  • @shushus1105
    @shushus1105 5 ปีที่แล้ว +1

    AMEEEEN

  • @lidyaalmasi9575
    @lidyaalmasi9575 2 ปีที่แล้ว +1

    Good testimony

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 ปีที่แล้ว

    Uchaga mtupu
    Huyu mchungaji amebadili utaratibu wa mahubiri ya misingi ya kilutheri Askofu aliyemsimamisha uchungaji ni sahihi kabisa

  • @israelmunuo7017
    @israelmunuo7017 6 ปีที่แล้ว +1

    dah! nimebarikiwa sanaaa ushuhuda mzuri! barikiwa.

    • @chapeolawokovu
      @chapeolawokovu  6 ปีที่แล้ว

      Israel Munuo Asante sana.Endelea Kubarikiwa Zaidi Na Sisi.

  • @aronadam5093
    @aronadam5093 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mawasiliano kwa jili ya usafi

  • @amandiamadeus5828
    @amandiamadeus5828 ปีที่แล้ว

    P000

  • @innocentchristian4774
    @innocentchristian4774 6 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie..... Fungu la 10 ni mtihani sana

  • @shushus1105
    @shushus1105 5 ปีที่แล้ว

    AMEEN

  • @shushus1105
    @shushus1105 5 ปีที่แล้ว

    MUNGU AKUBARI SANA KWA USHUDA HUU TUNABARIKIWA

  • @ferdinandlutate8979
    @ferdinandlutate8979 ปีที่แล้ว

    Kumaro!! Eti binti huyu alipoamua kuondoka kanisani...(ndiyo)...kaamua kuondoka nyumbani kwa Farao. Eti. Kumbe amechanganyikiwa tangu miaka hiyo....Na kuringia Kiingereza. Na dharau Kwa waamini....Eti wamezoea kuandika CV za majeneza!! Ana bahati mbaya ya kujiona. Hafai kuwa Mchungaji.Udalari Sawa.

  • @yahayaolomi1057
    @yahayaolomi1057 ปีที่แล้ว

    Dada Yuko sawa ila mchungaji hapo anapotosha maana huyo dada bila elimu asingefika hapo maana mengi hapo ameyafanikisha sababu amesoma na ana elimu

    • @jaydensolomon7887
      @jaydensolomon7887 ปีที่แล้ว

      Mchungaji kasema degree inamdaidia mtu kujitambua,sasa kakosea wapi?Au ndo basi tukutafuta nini umkosoe mtu hapa duniani!!!