Siasa ni kazi ngumu sana, kaza moyo, chapa kazi, mwamini Mungu, dumisha upendo na ishi kwa kutambua kwamba binaadamu wote hawatakupenda hata ukiwafanyia wema kiasi gani. Chama kina misingi ya kuwazawadia wakweli na wanyenyekevu wanaosimamia misingi ya Chama, kamwe usisahau hili.
Nimemsikiliza huyu jamaa. Mwandishi alipata interview nyepesi sana. Lakini pia jamaa yupo open sana, licha ya elimu yake kua ndogo, lakini ana upeo mkubwa sana. Binafsi siipendi kabisa CCM, lakini kwa huyu ningekua wa kwanza kumpigia kura. He is real . Nimeikubali sana hustle zake. Kama ni kweli aliyoyanena ndio anayoyasimamia basi Mungu ambariki sana. Na hongera nyingi kwa mama yake, kwa kulea mtoto vizuri.
Hapo nimeelewa vizuri xana tofauti na nilivyo kua nafikiri Nimejifunza Jambo kubwa sana Na nimegundua Mengii Mungu awe Nguzo yako atimize kusudiolake kwako amen 🙏
Naunga MKONO huyo ni bonge la leader , nawaza Bora aendelee na Biashara hao wa siasa wasije mzima akaachia familia yake MAJONZI na kilio , MUNGU ASIMAME NAYE
@@prettymasha2430 sasa wew huo wema wake ni upi au ndio siasa tu za kuvishana vilemba vya ukoka. Huyu jama me simkubali kishenzi yan. Ameua sana vijana wa upande wa pili enz za jpm. Alafu ananishangaza sana akisema eti sabaya ni rafk ake ile hali sabaya alimteka kaka yake . Mi huyu namuelewa sana ni mkatili sana na alitumia madaraka kama fimbo ya kuwachapia wanyonge
Karma will always work its way out.. Malipo ni hapa hapa too sad kwa sababu among many,your the only one young leader/politician i have been looking up to. Mungu atakutenga mbaali na wadhalimu🙏🏾
Jumaaaa bhanaaaa,,,,,alafu unachokitafutaa utakipataa unajua sabaya alimteka kaka ako alafu bila aibu unasema eti sabaya ni rafiki akoo be care nakujuaa ebuu kuwa makini jamanii
Kama tu mtu yuko ndani ya CCM anapigwa vita hivi ,sasa Mwanachi atashindwa kuelewa kwanin wapinzani wanaonewa sana na viongozi wa CCM waliopo Madarakani..yani vita ya Siasa na Mwanasiasa mwenzako kama huna akiki ya kuicheza basi utaumizwa sana
Mh. Hata yesu aliwafia wa dhambi nimependa sana ukweli wako na msimamo wako kukitetea chama cha ccm natatizo lawatu wanapenda kuwatumia watu kwa maslahi yao nasio kuwatengeneza watu. kwa maslahi ya uma.
Hata mie jamani! Nazirushaga mbele! Ila hii ni Mungu kanambia niitazame hadi mwishoNASHUKURU NIMEUJUA UKWELI LEO. Daaah watu tuacheni WIVU juu ya BARAKA za mwingine! Loooo😭😭😭
kuhusu vita juma Raibu anajua cc ndie tunapigana hakuna wa kumgusa yy wala hajigusi cc ndo tutapambana usiku na mchana kuhusu juma Raibu juma rafiki wa wote
My brother wewe ni bonge la TAA kwenye TAIFA hili ila nakusihi kwakuwa wewe ni NYOTA KUBWA SAWA NA NYOTA YA ASUBUHI , NASHAURI ACHA SIASA ZAO maana inaonekana unavita kubwa MNO BROTHER, SAVE YOUR LIFE binadamu ,Tena wanasiasa hawana wema no matter HOW THE BEST YOU ARE Kwa nchi hizi za Africa , Tena bongo my brother PAMBANA NA SECTOR BINAFSI WEWE NI ZAIDI YA SIASA ZA KIBONGO MAANA NYINGI NI SIASA ZA HAYO UNAYOYATAJA ,JANJA JANJA NA UONEVU , KUCHONGEWA CHONGEWA NINI wengi wanaroho za KUTU , NAKUOMBA SANA KAKA WEKEZA KWENYE BIASHARA ZAKO NA FAMILIA YAKO NA NDUGU ZAKO siyo SIASA za bongo
Watanzania wengi siyo wazarendo Wapo kwa hajir ya maslai tu! Hila kaka Kwenye uchunguzi wangu naona unapendwa sana sana sana but #AKILI UNAZO TENA SANA
Ila hili suala linatakiwa kufuatiliwa kwa ukaribu sana kwa sababu sio mara ya kwanza viongozi wa chama na serikali mkoa wa kilimanjaro wamekuwa wakihusishwa na hizi chuki za ndani kwa maslahi binafsi! Kuna wakati mhe. Waziri mkuu na mhe. Jafo aliwahi kuwaita baadhi ya viongozi hadharani lkn naona bado halijakaa sawa!!
Huyu Jamaa ni mwongo sana na ni tapeli Kwa sababu ya miaka ya kuzaliwa mpaka kumalizia shule uowongo na Mikopo ya mabenki huwezi kukopa bila Hela hizo bila Biashara kubwa ni mwizi tu na ujanja ujanja na ukichulia alikuwa rafiki yk Sabaya
Nimempenda bure huyu Diwani anajitambua sana. Mungu ampiganie
Hongera sana diwani wetu mungu akupe maisha marefu na afya njema kila kitu kitakua sawa inshaallah
Nimekupenda diwan endelea kupiga kaz na mungu atakusimamia🔥🥰
💌
MashaAllah anaongea vizuri ad Raha Mungu akulinde kwakweli unaona mbali ukipewa nafasi unaweza kuisogeza Tanzania yetu pahala flan ubarikiwe ❤🇹🇿🇹🇿
P0le sana
@@jofreyexavely6693 Asante
mkoa wa kilimanjaro unatoa wazalendo wengi sana ikiwemo DR slaa
Siasa ni kazi ngumu sana, kaza moyo, chapa kazi, mwamini Mungu, dumisha upendo na ishi kwa kutambua kwamba binaadamu wote hawatakupenda hata ukiwafanyia wema kiasi gani. Chama kina misingi ya kuwazawadia wakweli na wanyenyekevu wanaosimamia misingi ya Chama, kamwe usisahau hili.
Nimemsikiliza huyu jamaa. Mwandishi alipata interview nyepesi sana. Lakini pia jamaa yupo open sana, licha ya elimu yake kua ndogo, lakini ana upeo mkubwa sana. Binafsi siipendi kabisa CCM, lakini kwa huyu ningekua wa kwanza kumpigia kura. He is real . Nimeikubali sana hustle zake. Kama ni kweli aliyoyanena ndio anayoyasimamia basi Mungu ambariki sana. Na hongera nyingi kwa mama yake, kwa kulea mtoto vizuri.
degree ya sheria anayo huyu akueleza tu
Alishaongeza elimu Sasa hv Ana degree ya sheria
Brother you are the best..Naamin Mungu atakusaidia kufika mbali Zaidi Maana unamtegemea..Keep it up brother..You deserve More.
Keep it up mh Diwani
Hongera Sana Kiongozi wangu ila Mungu kasimama na wewe siku zote
Dogo uko vizuri. Kwep it up.
Uyu mkuu anajua kuongea maaana hii story ni ndefu sana ila nimejikuta nimevutiwa kumsikiliza zaidiii , hongera sana . Bado nyota yako ipo safiiiiii
Mwananchi lakini sio yanga gonga like
Tangu chuo kikuu cha ushirika, Huyu, Mwamba...................................yuko vizuri sana mbele ya KIPAZA.
Mkoa wangu iringa ila huyu jamaa nimemuelewa sanaaaaa natamani mama samia amuone
Uko vizuri kijana na unafaa kwakua wewe ni mkweli
Juma nakupenda jamani mungu akupiganie
Huyu ana point kabisa inaoneka CCM wanapitishana mapito magumu wenyewe so far watu wasiojulikana wamo humuhumu course the end wanapotezana
Maana halisi ua Mtu na UTU ndio huyu jamaa 🙌 Mungu wa mbinguni azidi kukuweka
Hapo nimeelewa vizuri xana tofauti na nilivyo kua nafikiri Nimejifunza Jambo kubwa sana Na nimegundua Mengii Mungu awe Nguzo yako atimize kusudiolake kwako amen 🙏
Hawa ndio viongozi wanatakiwa Africa nzima ili tuendelee mungu akusimamie kiongozi
Mungu atazidi kusimama na wew maana anayekujua ni Mungu pekee usiwatazame wanasema nin na wanamipango gani na wew yote mwachie Mungu
Be blessed brother juma
Mungu bado anakupenda na yuko nawe, omba kila cku usimuache Mungu na ufunikwe mara 7 kwa damu ya Yesu Kristo🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Kweli kabisaa
umeharb hap tu dam ya yesu ndio kit gn
Juma Raibu Juma ni mwanasiasa kama wanasiasa wengine pamoja na mambo mengine yote ni mtu sana.
Sitaki kusema mengine ila nimeishi pasua i know u very well but,una roho nzur sana kaka juma.
Very honest guy
Nimefatilia huyu jamaa anafanyiwa vigisu tu, lkn kwenye chama ni hazina kubwa Sana, karibu na Mbaral Brother tulime mpunga!
Naunga MKONO huyo ni bonge la leader , nawaza Bora aendelee na Biashara hao wa siasa wasije mzima akaachia familia yake MAJONZI na kilio , MUNGU ASIMAME NAYE
Sema huyu Diwani mwema sana namfahamu sana Mungu amtie Nguvu
Unamjua vzur sio. Unakumbuka tukio la kijana aliyetumiwa jamaa na huyu huyu wakamuua pale pasua
@@stephanomoses7694 sasa ww unaushahidi na unalosema au ndo siasa tu 😮
@@prettymasha2430 sasa wew huo wema wake ni upi au ndio siasa tu za kuvishana vilemba vya ukoka. Huyu jama me simkubali kishenzi yan. Ameua sana vijana wa upande wa pili enz za jpm. Alafu ananishangaza sana akisema eti sabaya ni rafk ake ile hali sabaya alimteka kaka yake . Mi huyu namuelewa sana ni mkatili sana na alitumia madaraka kama fimbo ya kuwachapia wanyonge
Pambana Mungu akusimamie.
Daah siasa ujinga Sana Bora kutohuaika nazo
Sasa kama role model wangu unapitia aya ushanivunja moyo embu natamani anitafute nina mengi sana juu yake infact nimeumia sanaaaa
Unajielewa sana mzee wangu
best interview for this month, sio kama ya yule mfalme wa mwanza 🤣
Mfalme wa mwanza tulimjua kwa interview ile...mjanja mjanja sana, mwongo, tapeli..alijikanyaga kanyaga
😂😂😂😂 kila nikikumbuka ile interview nacheka
@@atterbrown8581 sijui anatuonaje😄
Nilicheka eti alienda mbinguni akaona hadi magorofa,mfalme wa mwanza ni noma
@@marcynhumbi3534 😄🤣 mbinguni wanaendesha magari,(kwa hiyo kuna petrol stations, leseni..),wanavaa nguo.. yule msukuma ni noma
Mwamba anaweza sana
Mkweli sana na ndo maana wanamfanyia figusi
Ila huyu jamaa ni life fighter aisee!
Juma Raibu,nimependa historia yako. Endelea kupambana.
Juma raibu god bless you umeongea fact
Karma will always work its way out..
Malipo ni hapa hapa too sad kwa sababu among many,your the only one young leader/politician i have been looking up to.
Mungu atakutenga mbaali na wadhalimu🙏🏾
Mungu akubariki sana wew ni mzalendo
Huyu ana kipaji anajua kujieleza Mungu akimjalia atakuja kua kiongozi mkubwa zaidi
Jamsni msema kweli mpenzi mungu kweli anaongea ni mkweli
Mungu atakubaliki%
Kekekekekke boya anajiamin sn atagombea na atashinda saa2 nanusu asbuh kkkk bonge moja la shujaa pambana kaka
Kaka yetu tume haso nae sana moshi gonga like kwa pasua yetu had boma mbuzi
Wema Daima wanapigwa vita sana kubwa sana
Hakika Ipo siku Utarudi nakuwa salama
Mungu akutunze nimejifunza sana
Jumaaaa bhanaaaa,,,,,alafu unachokitafutaa utakipataa unajua sabaya alimteka kaka ako alafu bila aibu unasema eti sabaya ni rafiki akoo be care nakujuaa ebuu kuwa makini jamanii
Juma raibu juma tumekuelewa sana juma.. MUNGU NI MUWEZA WA YOTE ATAKUSIMAMIA
Pambana kabisa mkuu mungu atawaumbua washamba hao
Kama tu mtu yuko ndani ya CCM anapigwa vita hivi ,sasa Mwanachi atashindwa kuelewa kwanin wapinzani wanaonewa sana na viongozi wa CCM waliopo Madarakani..yani vita ya Siasa na Mwanasiasa mwenzako kama huna akiki ya kuicheza basi utaumizwa sana
Nice ndgu
Allah yupamoja nawewe juma ❤
Mungu atakupigania unamatunda ndiomaana unabondwa mawe Namatunda yenyewe ni marifa na ubunifu katika kazizako
Pole kijana
hongera diwani🔥🔥🔥🔥
Hongera sana
mungu amewaweka mahali pema MOTONI
Diwani wangu pendwa yani ana udumia vema sana wananchi kila tukio analifatia adi ana lipatia haki sijui kwann wamemtowa huyu kaka
Sasa mashoga wamekamatwa au..naamimi umeonewa lkn mungu yupo
Meya wetu tunakupenda sana.....
Nimempenda huyu jama
Mwanasiasa 😄, uwe mwangalifu na hawa watu...akikuambia sasa ni usiku..toka nje hakikisha mwenyewe
Mhe. Upo vizuri sana.
Brother achana na siasa wasiojulikana watakupoteza bado umdogo . Fanya kazi nyingine broo
Mh. Hata yesu aliwafia wa dhambi nimependa sana ukweli wako na msimamo wako kukitetea chama cha ccm natatizo lawatu wanapenda kuwatumia watu kwa maslahi yao nasio kuwatengeneza watu. kwa maslahi ya uma.
Kuna mengi ya kujifunza hapa. Jamaa ametisha
Allah atakulinda juma wetu awatakuzuru maisha yote
Kwel walibebwa sana Bora mwana CCM umesema ukwel
juma kuna baadhi ya mambo aje aniulize mm chawa wako nitamwambia mm ndo chawa wako mkuu usiseme sana mm ndio nitaongea
Sijawahi kuskiliza intrvw mpaka mwisho bila kurusha lakini hii!😂 nimerudia rudia nipo kuwa sijaskia vizuri
Hata mie jamani! Nazirushaga mbele! Ila hii ni Mungu kanambia niitazame hadi mwishoNASHUKURU NIMEUJUA UKWELI LEO. Daaah watu tuacheni WIVU juu ya BARAKA za mwingine! Loooo😭😭😭
Allah atakulida namabay yawatu
Achana na siasa kakangu saivi hadi afya inaonekana hizo shughul unafanya saivi ndiyo sehem sahihi
Nimwananchi lakini sio yanga🤣
kuhusu vita juma Raibu anajua cc ndie tunapigana hakuna wa kumgusa yy wala hajigusi cc ndo tutapambana usiku na mchana kuhusu juma Raibu juma rafiki wa wote
My brother wewe ni bonge la TAA kwenye TAIFA hili ila nakusihi kwakuwa wewe ni NYOTA KUBWA SAWA NA NYOTA YA ASUBUHI , NASHAURI ACHA SIASA ZAO maana inaonekana unavita kubwa MNO BROTHER, SAVE YOUR LIFE binadamu ,Tena wanasiasa hawana wema no matter HOW THE BEST YOU ARE Kwa nchi hizi za Africa , Tena bongo my brother PAMBANA NA SECTOR BINAFSI WEWE NI ZAIDI YA SIASA ZA KIBONGO MAANA NYINGI NI SIASA ZA HAYO UNAYOYATAJA ,JANJA JANJA NA UONEVU , KUCHONGEWA CHONGEWA NINI wengi wanaroho za KUTU , NAKUOMBA SANA KAKA WEKEZA KWENYE BIASHARA ZAKO NA FAMILIA YAKO NA NDUGU ZAKO siyo SIASA za bongo
🙌🙌🙌
Kinacho fanyika ndani CCM ndio hayo kabisa ndani ya vikao vya teuzi.
Shida Sio kua ccm au chadema moyo hakika una moyo wakuongoza watu
Iyooo historiaaaaa xaxaaaaaaaaaaa kuna ya uwongoo hapoo
Tanzania ili ubaki kwenye uongozi lazima uwe mchumia tumbo but nimejifunza kitu lazima uchunguze sana kila sehemu ya kwenda inabidi uchunguze sana
Wala usijali utasimama tena na zaidi Mumgu akusimamie
Sema Editor na wewe edit kwa brand ya Millard sasa iyo soundtrack veepe be a Brand Bwana unalipua sana kazi
Sasa c ukamsaidie kuliko kuropoka hapa
@@shamimushittindi1418 kwakweli
Daaaah ila nchi hii ipo siku kila uovu na waovu wote ngoja tusibili 😭😭😭 Mungu tuokoe na mabaya yote
Watanzania wengi siyo wazarendo
Wapo kwa hajir ya maslai tu! Hila kaka
Kwenye uchunguzi wangu naona unapendwa sana sana sana but #AKILI UNAZO TENA SANA
Mi nakukubali bwana piga kazi bro, uzalendo NI popote sio lazima uwe chadema.
Mungu atakulipa kwa yote uliyo fanyiwa kaka
Mie nawachukia sana wanatumia madalaka kunyanyasa wenzao
CCM haipendi watu waaminifu na wenye kusema ukweli.
Msema ukweli,hadumu.
Daa!! Ndo mana Baba alinambia niachane na siasa kabisa maana ni hatari sana
Ila hili suala linatakiwa kufuatiliwa kwa ukaribu sana kwa sababu sio mara ya kwanza viongozi wa chama na serikali mkoa wa kilimanjaro wamekuwa wakihusishwa na hizi chuki za ndani kwa maslahi binafsi! Kuna wakati mhe. Waziri mkuu na mhe. Jafo aliwahi kuwaita baadhi ya viongozi hadharani lkn naona bado halijakaa sawa!!
Kosa kwann uwende kwa bthdy na sherehe ya mwaka .wajina pole .majina ya kina juma ni ya haki
Mahala pema motoni😂😂
Mwana kavuna sana sana anamiliki mali mnooo
Tusikie pia upande wa pili.. lakini watu wasiojulikana.....
Sijuhi unatafutaa nn uwiiiiiiiiii,,,,,,,,ilaaa umepambana so kwa mjengo uwo
Huyu Jamaa ni mwongo sana na ni tapeli Kwa sababu ya miaka ya kuzaliwa mpaka kumalizia shule uowongo na Mikopo ya mabenki huwezi kukopa bila Hela hizo bila Biashara kubwa ni mwizi tu na ujanja ujanja na ukichulia alikuwa rafiki yk Sabaya
😳
Ushaambiwa mahali pema motoni😃😃
Amezaliwa 1987,ameaza shule 1992 akiwa na miaka 5
@@magabaytyshaban1668 ndio nn? Jaman
juma wetu
Kikwete alifanya kazi ovyo sana
Hadi sasa nyuma ya pazia ila bado hovyo
Hivi nasari yupo 😊
Ni mkuu wa wilaya ya Bunda.