❤❤❤ assalam aleyikum warahmatullaah wabarakatuh mimi nimeota naenda kuoga kwenye mto ni kakuta kuna wanawume wanaoga kwenye ule mto ikabidi na mimi niingie nikoge lakini ni kaogea pembeni badae akata mwanamke kutaka kunisukuma kwa wale wanawume badae ni kafika na pigana nae ni kamshinda badae akafika anatoka mimi ni kabagi nakoga sijui inatafsiri nini
Assalam alaikum ustadh km umeomba mungu akujaalie mwisho mwema na kukujalia utamke shaada iwe maneno yako ya mwisho af ukae mda mrefu unakufa na umejaaliwa kutamka shaada af uamke inaamanisha nn hiyo naomba unijibu tafadhali juu hiyo ndoto imenitokea na nilikuwa au napenda kuomba ivo hadi ss.
Mimi nimeota tuko ndani ya bas natulipokalibia darajan tukakuta maji yamejaa tukarudi rivasi baada ya robo saa tukaondoka tukakuta maji nimengi ila hapiti juu tukafos tuka vuka naomba kujua maana hiyo ndoto
imi nimeota nipo mton ila kwa upande wapili wa mto kuna wanawake watatu wamekaatuu wana nitazama nami nikawa nachombo naitaji kuchota maji ila nilistuka usingizin kabla ya kuchot maji
Niliota nakimbizwa na watu hatari nikifika pahali kuna mto unafuriko alaf kuna daraja jembamba mno nimebebe mtoto ila nikauvuka ule mto na wale maadui wakaogopa kuvuka ad sasa cjui maana yake
MaashaAllah
Mm naota mvua kubwa Sana mpaka Barbara inakuwa haipitiki
❤❤❤ assalam aleyikum warahmatullaah wabarakatuh mimi nimeota naenda kuoga kwenye mto ni kakuta kuna wanawume wanaoga kwenye ule mto ikabidi na mimi niingie nikoge lakini ni kaogea pembeni badae akata mwanamke kutaka kunisukuma kwa wale wanawume badae ni kafika na pigana nae ni kamshinda badae akafika anatoka mimi ni kabagi nakoga sijui inatafsiri nini
Je ukiota bali inawambi makubwa kias ambacho yanakufanya ukimbie nin maan yake??
Nimeota naogelea kweny sing pool
Assalam alaikum ustadh km umeomba mungu akujaalie mwisho mwema na kukujalia utamke shaada iwe maneno yako ya mwisho af ukae mda mrefu unakufa na umejaaliwa kutamka shaada af uamke inaamanisha nn hiyo naomba unijibu tafadhali juu hiyo ndoto imenitokea na nilikuwa au napenda kuomba ivo hadi ss.
Mimi nimeota tuko ndani ya bas natulipokalibia darajan tukakuta maji yamejaa tukarudi rivasi baada ya robo saa tukaondoka tukakuta maji nimengi ila hapiti juu tukafos tuka vuka naomba kujua maana hiyo ndoto
imi nimeota nipo mton ila kwa upande wapili wa mto kuna wanawake watatu wamekaatuu wana nitazama nami nikawa nachombo naitaji kuchota maji ila nilistuka usingizin kabla ya kuchot maji
Nimeota tupo kwenye maji wenzangu wanaanguka kwenye maji hayo laminitis wanawatoa bila kufa
Kuota mtu anaji
Lusha kwenye mto kujiuwa na mto unakimbia sana na nikamtoa lakini kafa
Alaikum Salam jee ukiota unasafisha mto
Amen
Nimeota Niko napaa ola Niko kati kati ya mto na nikauvuka
thank
kingine sijawahi kuona tafasir ya hasali katika ndoto
Niliota nakimbizwa na watu hatari nikifika pahali kuna mto unafuriko alaf kuna daraja jembamba mno nimebebe mtoto ila nikauvuka ule mto na wale maadui wakaogopa kuvuka ad sasa cjui maana yake
Mm naomb nmb yak samhn lkn
Nimeota nimemwomba MTU anivushe mtoni alafu akataka nimlipe manna Yake nn jaman
Naukiota mto ndani yake unanyoka wa mabaka mabaka je nn langi yake
Hiyo inakuwa tafsili ya nyoka wa majini,
Pitia video yangu ya tafsili ya ndoto ya nyoka utapata jibu kiulefu zaidi ahsante
Naukiona mto umetulia ukiwa unamaji Safi nahaya tembei yametulia Nini maana yake