Baada ya kutoka gerezani MBARIKIWA AKUTANA NA WATOTO WAKE USIKU. "Awafunda" Kuwaokoa wanaolia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 154

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 8 หลายเดือนก่อน +6

    Pole sana Mtumishi wa Mungu. Sote wenye moyo safi tumefurahi kutoka kwako gerezani. Nilikuombea utoke. Namshukuru Mungu amefanya.

  • @SubiraNkwavu
    @SubiraNkwavu 8 หลายเดือนก่อน +7

    Injili yako haina makonamakona imenyoka zaidi ya barabara, ninapokusikia imani yangu inahuishwa sana❤❤❤

  • @JustinaMambo-bs4fh
    @JustinaMambo-bs4fh 8 หลายเดือนก่อน +8

    Am very happy to see you man of God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 may God be with you mubarikiwa love from Zambia ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ZubedaVicent
    @ZubedaVicent 8 หลายเดือนก่อน +6

    BWANA YESU KRISTO asante kwa kumtetea mtumishi wako mbarikiwa kwa kumtoa ktk gerezani la duniani, maombi yangu kwako BWANA YESU usimpite wakat wa unyakuo 🙏

  • @yusuphPetro-mi8cf
    @yusuphPetro-mi8cf 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu hakika atabaki kuitwa MUNGU,, hakika mawazo yake hayachunguziki ,, tunamshukulu Mungu nimwema baba yetu kamtoa gerezani mbarikiwa mwakipesile..Groly to God 👏

  • @vicentjosephat6501
    @vicentjosephat6501 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera pastor,MUNGU akubariki

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 8 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Mwenyezi Mungu Kwa kumpigania Mchungaji MBARIKIWA. Wanasheria msaidieni namna ya kusajili Kanisa lake Ili jambo hili lisijirudie Tena.

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 8 หลายเดือนก่อน +8

    Baba mbarikiwa nimefurahi Yani jana nilikua nacheka pakeyangu nakumbuka kunasiku niliumia mpaka niliomba toba juu ya baba yangu mbarikiwa Asante MUNGU umesikia maombi yangu🙏🙏🙏

  • @derickjapani
    @derickjapani 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu ni mkuu na msimamizi kila hatua nafurahii kumuona mtumishi wa mungu mbarikiiwa

  • @tresorisi6290
    @tresorisi6290 8 หลายเดือนก่อน +4

    Amen MUNGU kwa kujibu maombi yatu Amen

  • @sarahndaskoy
    @sarahndaskoy 8 หลายเดือนก่อน +4

    Amiiiiiia mtumishi,,, Mungu ni mwema kila wakati Tunamshukuru mungu kwaaajili yako,,,,,, na Familia ya mbarikiwa

  • @leahmgogo9569
    @leahmgogo9569 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amina saaaana mtumishi! Mungu ana makusudi nawe... Tunapona barikiwa mnoo

  • @dativajoachimwai1194
    @dativajoachimwai1194 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera Mwana wa Mungu. sasa mjitahidi kupunguza maneno ya kashfa na matukana na
    kuhukumiana
    Focus kwenye kutenda mapenzi ya Mungu mengine uachane nayo hutaweza vita zingine ni za Mungu tu

  • @louisamazutantamukunzi7363
    @louisamazutantamukunzi7363 8 หลายเดือนก่อน +2

    Karbuni sana Mchungaji Mungu ni mwemasana nilfurahi saaaaana jana kweli Mungu atabaki kuwa Mungu .

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 8 หลายเดือนก่อน

    Ahsante baba wa mbingunni,kumtetea mtumishi wako Mbarikiwa na wale wote wapitiao magumu,kimbilio ni wewe mungu husiyeshindwa kitu chochote

  • @juliethsanga6151
    @juliethsanga6151 8 หลายเดือนก่อน +2

    ❤TUNAJIVUNIA KRISTO PEKEE NDIYO UFUNGUO. BIG UP .

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kwa ujumbe wa kukuza Imani thabiti ya kuufikia utakatifu wa kweli na nakupa pole kwa misukosuko ya hii Dunia.

  • @PPCT416
    @PPCT416 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mungu kwakumtetea mtumishi wako ktk mapito ya hapa duniani zaidi nikusonga mbele katika kutenda mema

  • @nelsonchihambaya3528
    @nelsonchihambaya3528 8 หลายเดือนก่อน

    Baba Mch mbarikiwa namshukuru Mungu kwa kukufanya jinsi ulivyoumbwa na Mungu kukutumia asante kwa injili by Mch.Nelson Dodoma

  • @TheodoraMicheal-do4jw
    @TheodoraMicheal-do4jw 8 หลายเดือนก่อน +3

    Asante mungu kwa kutenda ubarikiwe sana mchungaji binafsi nimefurahi sana kumuona mchungaji mbarikiwa

  • @tumainisanga8184
    @tumainisanga8184 8 หลายเดือนก่อน +2

    🙏🙏🙏 Haleluya Haleluya ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu hongera kwa kuachwa huru✝️✝️🛐🛐

  • @hellen9056
    @hellen9056 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ni mwema nimefurahi sanaaaa mtumishi wa Mungu ametoka ningekuwa mbea ningekuwa nasali hapo Mungu awe nanyi daima. Ushauri. Sameheni adui zenu sameheni yote baikiweni sana

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen Mungu akubariki saaana tulikumic sana kwa mafundisho yako yenye hekima 🙏🙏

  • @annamulungu2876
    @annamulungu2876 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurahi sana kwakweli.
    Ashukuriwe Mungu wetu mkuu

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 8 หลายเดือนก่อน +2

    Furahini ktk Bwana Mtumishi amerudi sifa na utukufu ni kwa Bwana wetu 🙏🙏🙏🙏❤❤❤💪🏻💪🏻💪🏻

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera Sana nimefurah Sana ndan ya nafsi yangu nikajua tu IPO siku utakuwa huru pastor

  • @evelynmwabuki7589
    @evelynmwabuki7589 8 หลายเดือนก่อน

    Shukrani kwa vyombo vya serikali kumwachia huyu mtumishi wa Mungu!
    Pole mtumishi wa Mungu lakini hiyo ilikuwa ni njia yako ya msalaba ktk kumfuasa Kristu!

  • @NeemaMwaluisi
    @NeemaMwaluisi 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa ushindo Mchungaji, nina shuhudiawa Moyoni mwangunkwamba Mungu alie kutetea gerezani anaenda kukuponya uvimbe huo utapotea wennyewe , ninaamini itakuwa hivyo, nimefurahi sana kwa kufunguliwa kwako , endelea kutumika jembe la yesu🙏🙏

  • @gracemhagama4108
    @gracemhagama4108 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu wetu wa Mbinguni,hatuna chakusema zaidi ya neno asante kwa makuu unayotutendea.
    Kaributena nyumbani mtu wa Mungu.

  • @zawadimwangupili4518
    @zawadimwangupili4518 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amina ubarikiwe

  • @SadallahedwardBataza
    @SadallahedwardBataza 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeyapenda sana maubiri haya asante sana!!

  • @irenemwakalobo5233
    @irenemwakalobo5233 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nashukuru Mungu Kwa hili

  • @prudencesumbane2886
    @prudencesumbane2886 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu ana weza yote, utukufu na heshima zirudie kwa Yesu, karibu sana nyumbani baba, 🙏🙏🙏

  • @eliamtinda7222
    @eliamtinda7222 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hata sasa Mungu ni Ebenezer!
    Blessings, blessings, blessings!

  • @apostleelisha2994
    @apostleelisha2994 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee ubarikiwe sana nakupenda sana.

  • @MartinMapunda
    @MartinMapunda 8 หลายเดือนก่อน +1

    Aaaaaameni nimefurahi sana sana kukuona Tena baba wa kiroho Yesu asifiwe

  • @johnbundala7596
    @johnbundala7596 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yani ninaguswa sana na huyu Mchungaji ❤❤❤

  • @yamungumbarikiwamwakipesil401
    @yamungumbarikiwamwakipesil401 8 หลายเดือนก่อน

    asante sana MUNGU kwa kututetea nakujitambulisha kwa uwezo wako wa kuokoa

  • @AzAz-sy6zp
    @AzAz-sy6zp 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubarki san mtumishi kwa mafundisho mazuri

  • @Vike333-l8o
    @Vike333-l8o 8 หลายเดือนก่อน

    Mtumi shi wa Mungu pole usiache kutuachia wosia bado safari ndefu ya hapa duniani changamoto kila sehemu Mungu akupe Afya njema Amen

  • @imanhaonga6687
    @imanhaonga6687 8 หลายเดือนก่อน

    Amen baba ...mungu atusaidie

  • @ngendakuriyotriphose8109
    @ngendakuriyotriphose8109 8 หลายเดือนก่อน +1

    Umeshinda Baba. Mungu ni mshindi kwa kila jambo.

  • @marialohhay-ul8dt
    @marialohhay-ul8dt 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mtumishi was mungu.tuliumia sana lkn mungu ametufariji kwa kutoka kwako.

  • @RogerLwamatwi
    @RogerLwamatwi 8 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 หลายเดือนก่อน

    Najisikia Raha sana kukuona Mbarikiwa. Mungu akubariki kiafya kwa sasa. Na uendelee kuiombea hii Tanganyika na ili aweze kuondoa Inchi hii katika ushetani unaotendeka kwa watu wema.

  • @MunguMwema-m4l
    @MunguMwema-m4l 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ameeeni baba tumefurahi kukuona

  • @annaseleman1851
    @annaseleman1851 8 หลายเดือนก่อน

    Asante baba

  • @dorahmavazi111
    @dorahmavazi111 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ni mwema

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mwamba huyu hapa karudi kazi ipo 🙏

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 หลายเดือนก่อน

    pole sanaaaa mchungaji uneshibda kwa jina la Bwana

  • @JuhudiJotham
    @JuhudiJotham 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika Mungu ni zaidi ya yote,

  • @Gsquareking
    @Gsquareking 8 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwa Mwakipesile mtu wa Mungu hivi kule hakuna askari walio okoka

  • @aminakyungu8414
    @aminakyungu8414 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jina la Bwana Yesu libalikiwe kwakua huru mtumishi wake MUNGU mwema sana

  • @AlfaMwakalinga-de6qt
    @AlfaMwakalinga-de6qt 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukutumia mtumishi wa bwana

  • @joycekaganga6924
    @joycekaganga6924 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen utukufu kwa Mungu ashukuriwe Mungu awezae kutenda mambo makuu Heri kung"ang'ania kwa Yesu bila kujali kitu chochote

  • @silviaamos-pl5lk
    @silviaamos-pl5lk 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema mtumishi wa bwana yesu kristo wanazareti aliehai.

  • @victorphilipo
    @victorphilipo 8 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi mungu mwema tutakuwa nawe mdawote uliopoteza tumwachie mungu

  • @FedrickJoseph-y4m
    @FedrickJoseph-y4m 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nimefurahi kumwona baba utukufu kwa mungu

  • @ynyynyyny
    @ynyynyyny 8 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwa umepiga vita vilivyo vyema, Imani umeilinda,mwendo umeumaliza, keep it up!!! Nakupenda sana Kwa neno lako, nilipungukiwa mnooo

    • @johnzacharia
      @johnzacharia 8 หลายเดือนก่อน

      Mwendo hajamaliza, ukisema kamaliza maana yake amekufa, bado maombi yanahitajika nakujirrkebisha mahali alipokosea

    • @robertmotto5213
      @robertmotto5213 8 หลายเดือนก่อน

      Hakika Mungu ni mwema haya mafundisho yako nayaelewa na pole na mapigo yako.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki hata hivyo Mungu amefanya upande wake. Baba watu wengi tunakuombea sana.

  • @HajiKhamis-e2s
    @HajiKhamis-e2s 8 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi mungu akuepushe na mitihani najaribu ni mtaji

  • @mawazomolani2677
    @mawazomolani2677 8 หลายเดือนก่อน

    YESU KRISTO na awe pamoja na mtumishi wake

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 8 หลายเดือนก่อน

    Napenda ile song ya noa fungua mlango tuingie hakika mlango ulifunguka sasa tuko huru sifa na utukufu zimrudie yeye alieziumba mbingu na njii

  • @ELIMINAKIGELULYE
    @ELIMINAKIGELULYE 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimefurahi sana

  • @BernardBahatiMallya
    @BernardBahatiMallya 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu wetu ni MWEMA na MKARIMU.

  • @Josephinesam4103
    @Josephinesam4103 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sifa na utukufu kwa Yesu milele na milele

  • @wilsonbenard94
    @wilsonbenard94 8 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwa ubarikiwe

  • @atkamlowe5379
    @atkamlowe5379 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu mwema sana

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe baba tumefurahi upo huru. Ipo siku nitakuja Mbeya nitakuja hapo Kanisani

  • @wolterntumbala2009
    @wolterntumbala2009 8 หลายเดือนก่อน

    Ni nguvu ya Mungu tu hapa, karibu tena Baba, tulikumiss, nakupenda Baba😅

  • @LenaMgandaz
    @LenaMgandaz 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa wema ni akiba❤❤❤❤❤

  • @mackrankagenzi5236
    @mackrankagenzi5236 8 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU MKUBWA HAKIKA🙏🙏

  • @AnnaLadsilaus
    @AnnaLadsilaus 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinue zaid mtumishi wa mungu

  • @ToshClothing
    @ToshClothing 8 หลายเดือนก่อน +1

    KIKOSI KAZI JAMANI MTUMISHI WA MUNGU ROBART SIKU NYINGI SIMUONI KWENYE KIKOSI KAZI VP WATUMISHI WA MUNGU.

  • @miriamwangari7417
    @miriamwangari7417 8 หลายเดือนก่อน

    Wapendwa, tuelekeze macho yetu Kwa Mungu katika hali zote zilizowapata.
    Nashukuru Mungu kwamba roho ya Mchungaji Yaonyesha amani. Mungu ameendelea kumponya...
    Hamna jambo hutendeka nyuma ya uso wa Bwana.
    Bwana angezuia yote yatendeke lakini akayaruhusu Kwa kusudi lake mwenyewe.
    Kwa hivyo, tumeshukuru Mungu katika yote.
    .

  • @GidionMwaki-rp1oc
    @GidionMwaki-rp1oc 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu Asante kwa kutusikia na kumtoa mtumwa wako

  • @MussaLuswetula
    @MussaLuswetula 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tulikuwa tumechoka kusikia cycology za wachungaji , sasa injili imerudi tena

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwema alafu karudi yupo tu vizuri Kama alikuwepo sifa na utukufu ni kwako Kristo

    • @lizyNgaa
      @lizyNgaa 8 หลายเดือนก่อน

      Yani huyu baba nilikua simjui kabisa Ila nimeona sura yake kwa video kwa mara ya kwanza Sasa nilijua atakua amechoka Yesu ni bwana ametoka na utukufu mkuu , Nuru ya kristo imemtawala

  • @ScholasticaGeorge-ro2mi
    @ScholasticaGeorge-ro2mi 8 หลายเดือนก่อน

    Hiiii inanifunguaa ufahamu sanaa sanaa yan baba wewe unatupa ufahamu wa ki mungu kabisaa

  • @DavisCyprian
    @DavisCyprian 8 หลายเดือนก่อน

    Shujaa wa yesu uko pole sana kwa uliyopitia

  • @BorchertWilliam
    @BorchertWilliam 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli mungu kajithihilish bila kujali uliumizwa kiasi gani,ushuhuda huu unanguvu kubwa kuliko mtoa ushuhuda.. Kwak asiejua kua gerezani mahaligani barikiwa maana umekuja na ushuhuda wa kiubatizo dhahabu kupita kwenye moto na kubaki kuadhahabu iliyo kamili.

  • @djcrucial-lp9ol
    @djcrucial-lp9ol 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akukumbuke zaiiidii mwakipesile

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn 8 หลายเดือนก่อน

    MBARIKIWA MWAKIPESILE ❤❤❤ Mtumwa Wa KRISTO YESU MNAZARETI, Azidi kumshuudia MUNGU kwa kuwepo Yeye GEREZANI, Baada Ya Kutoka GEREZANI Jana Tarehe 15/02/2024.
    MUNGU ni Mwema hakika kila Wakati, Amina.

  • @TrizzaKasandeko
    @TrizzaKasandeko 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @JacksonJack-f7c
    @JacksonJack-f7c 8 หลายเดือนก่อน

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮👑👑👑👑" njia Za Mungu ni zaidi ya ma Billion " .

  • @ELIBAHATIJOHNKITOY
    @ELIBAHATIJOHNKITOY 8 หลายเดือนก่อน

    Utukufu kwa Bwana Yesu

  • @josiahchagula2921
    @josiahchagula2921 8 หลายเดือนก่อน

  • @agustinoandrea6030
    @agustinoandrea6030 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni Mkubwa xna na anatenda,binafsi mm pamoja na familia yangu Jana uck hatukulala tulikesha tukimshukuru Mungu wambinguni kwa miujiza yake,aliyotenda kwako,bado tunaamini kua katka inchi hiii ww ndio mchungaji pekee mwnye kulijua neno,nakwenye ukwel ulkua tayar kuuthibitisha, Mungu akutie nguvu xna!!!!!!!

  • @NuruNgole
    @NuruNgole 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ombi langu Kwa MUNGU mtumishi MUNGU akupe maarifa na hekima ktk kumtumikia MUNGU. Akupe ushindi ktk njia zake takatifu. Akuondolee roho za uharibifu juu yako. Safari bado ktk njia ya kwenda mbinguni

  • @HelenaDamas-m2v
    @HelenaDamas-m2v 8 หลายเดือนก่อน

    Mung ni mwema😅😅😅 ❤❤❤

  • @Monicambwile
    @Monicambwile 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu anajibu maombi

  • @PendoNtandu-s4i
    @PendoNtandu-s4i 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atukuzwe sana

  • @hamisimwamlenga2734
    @hamisimwamlenga2734 8 หลายเดือนก่อน

    jambo lenye mwanzo pia lina mwisho wake mungu mwema kafanya yake kesheni mkiomba maana hakuna ajuaye siku dakika wa saaa

  • @HellenkwambokaOtwori
    @HellenkwambokaOtwori 8 หลายเดือนก่อน

    Wacha mungu aitwe mungu kwa kila jambo

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik 8 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji endelea kusonga mbele usife moyo kaka angu

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @RehemaMatowonambarikisanamungu
    @RehemaMatowonambarikisanamungu 8 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda timber pamoja Tenz,58

  • @rahma6189
    @rahma6189 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu hatakuacha

  • @ThomasiMichael
    @ThomasiMichael 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubari

  • @komandowainjiliyayesu
    @komandowainjiliyayesu 8 หลายเดือนก่อน

    Ameni Ameni