VITUKO VYA MTOTO ADIL BAADA YA KUKUTANISHWA NA MSANII SIR JAY WA NDO HUYO HUYO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2022
  • Leo Agosti 27 2022 Mpenja Tv tunakuletea Mahojiano na Shabiki wa Yanga Adil Saad pamoja na msanii wa Bongofleva Sir Jay wakiwa Pamoja katika Studio ya Producer E Music.
    .
    Fungua video hii kupata uhondo wote wa Mahojiano haya.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 82

  • @Resudahexiaomianbao
    @Resudahexiaomianbao ปีที่แล้ว +4

    Adili nakupenda. Mtoto wangu kama navyo ipenda yanga unatupa rahaa wananch mungu azidi kukubarik akupe afya njema

  • @mysaramohamed4832
    @mysaramohamed4832 ปีที่แล้ว +3

    ENG.HERSI SAID Naomba huyu mtoto cku moja akapate chakula cha mchana na wachezaji wetu💚💛💚😘😘😘

  • @user-ts4zn1sx7h
    @user-ts4zn1sx7h 6 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana kijana mwenye kipaj zaid na Mpenja TV❤❤❤❤

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 ปีที่แล้ว +9

    Inabidi akutane na wachezaji wa yanga ..ili afurahi tunampenda sana Adili💛💚💛💚💚💚

  • @ananiangonyoka4309
    @ananiangonyoka4309 ปีที่แล้ว +3

    Adiri is a Genius boy haboi unapokuwa naye anajua na anaentertain huchoki kumsikiliza full talented

  • @maryrenazadock2912
    @maryrenazadock2912 ปีที่แล้ว +11

    Nilimmiss Sana uyu mtoto anafanya vizuri sana

  • @ronaldolughano7551
    @ronaldolughano7551 ปีที่แล้ว +8

    Mungu msaidie mwanangu chriss awe nauwezo ujasil kama adili

  • @perpetuanashon1677
    @perpetuanashon1677 ปีที่แล้ว +3

    Daah! Huyu mtoto Ana kipaji Sana mungu amuongoze atimize ndoto zake

  • @robertkikuli6663
    @robertkikuli6663 ปีที่แล้ว +9

    Mpenja Huyo Mtoto Kipaji Unatakiwa Umuendeleze...

  • @nasraseleman4131
    @nasraseleman4131 ปีที่แล้ว +3

    Nampendaga uyu mtoto nyie💚💛🔰

  • @halimamimarich3799
    @halimamimarich3799 ปีที่แล้ว +7

    NAMPNDA UYU MTTO💋❤❤ALLAH ANIJLIE KM UYU INSHAALLAH🙏🙏🙏PLZ MK SURE UYU YUAONAA WACHZJI WA YANGA

  • @mysaramohamed4832
    @mysaramohamed4832 ปีที่แล้ว +4

    Tuliorudia mara 10 tujuane🤣🤣✌️✌️

  • @aboubakarhidad2886
    @aboubakarhidad2886 ปีที่แล้ว +8

    inabidi sasa mpenja ifanye jitihada adil akutane na wachezaji wa yanga wakiwa wote pamoja asalimiane nao

  • @aminaadam4166
    @aminaadam4166 ปีที่แล้ว +5

    💥🔥🔥🔥🔥fire Sana

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +2

    Safi sana huyu mtt ana kipaji family mkitambue kipaji chake

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 ปีที่แล้ว +1

    Mbona dogo nimempenda sana yani damu yake ni yanga tupu safii sana tupe rahaaaaaaa💪💪💪

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 ปีที่แล้ว

    Huyu dogo nikimuona ana zawad nzuri sapolaiz kwangu

  • @umakramzahor4836
    @umakramzahor4836 ปีที่แล้ว +4

    Nampenda Adil jmn ananitoa stress nacheka mpaka basi

  • @user-zt6eb7re4u
    @user-zt6eb7re4u 3 หลายเดือนก่อน

    Du kumbe yang tuko good business ❤❤

  • @suleymanally1465
    @suleymanally1465 ปีที่แล้ว +6

    Mpenja hapo ulioiishia umetuacha njia panda Sana tukitaka tuone Adili alimalizaje shoo yake 🤣

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 ปีที่แล้ว +4

    adili mm nakupenda tuuu🤣🤣

  • @shabanigeluka8646
    @shabanigeluka8646 ปีที่แล้ว +4

    Namkubali sana dogo

  • @mariasixmund7964
    @mariasixmund7964 ปีที่แล้ว +2

    Interview nzima nimetabasamu

  • @andrewbabaako6972
    @andrewbabaako6972 ปีที่แล้ว +1

    Dg yupo humble sana

  • @charlestobby6031
    @charlestobby6031 ปีที่แล้ว

    Yanga mpen dogo ubaloz wa Gsm kwaza kazur ka+handsomeboy mpen jezi za watoto azitangaze

  • @fredrickdaudy4798
    @fredrickdaudy4798 ปีที่แล้ว +1

    uyu dogo anajua sanaaaaaaaaaa nimeamin yanga ndo kuna watu wenye akil na wajanja

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +2

    Nilimmiss sanaa adili

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 ปีที่แล้ว +1

    adil wetu sir jay wetu yanga yetuuuuuuuuuuuuuu

  • @anjelinakaniki9162
    @anjelinakaniki9162 ปีที่แล้ว +1

    Nimempend bure mashallah

  • @kikumbivunge7976
    @kikumbivunge7976 ปีที่แล้ว +1

    Big up Adili dogo janja

  • @CottonBoy1298
    @CottonBoy1298 ปีที่แล้ว +1

    Namkubari sana uyo dogo

  • @suleymanally1465
    @suleymanally1465 ปีที่แล้ว +3

    Mayele wa.mchongo Kesha timiza ndoto yake ya kukutana na mayele, hebu mpenja mkutanishe na WA hezaji wa yanga live atafarijika saaana Adili

  • @bokoshomtalisi8196
    @bokoshomtalisi8196 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ndo msemaji wa yanga

  • @amnewarji1707
    @amnewarji1707 ปีที่แล้ว +2

    Wazazi wa Adil mpelekeni mtoto madrasa pia ya duniani yana mwisho japo anakipaji cha mpira kama mtangazaji.ya dini ni muhimu pia.

    • @abrahmanifarouckissa5662
      @abrahmanifarouckissa5662 ปีที่แล้ว

      Umeongea point boss wng 🙏🙏🙏🙏🙏 ila dogo nomaaa sanaa

    • @idrisakhamis8239
      @idrisakhamis8239 ปีที่แล้ว

      Aaaaa watu saiv wanahis hiyi dunia tutaish milel wakati tunapitaaa

  • @biubwamohd6089
    @biubwamohd6089 ปีที่แล้ว +1

    Mfundisheni mtoto maadili yadini yakiislm

  • @clementiddi5708
    @clementiddi5708 ปีที่แล้ว +3

    Mpeni muda hapo atimize furaha yake.

  • @aminasaid308
    @aminasaid308 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda Sana Adil big up mtt

  • @joanbembe5203
    @joanbembe5203 ปีที่แล้ว

    Jmn Adili muimba nini tena😄😄🙌

  • @joycemgaya1605
    @joycemgaya1605 ปีที่แล้ว +1

    Waooooooo

  • @lulually5209
    @lulually5209 ปีที่แล้ว

    Adil katisha💪

  • @shuuarmy
    @shuuarmy ปีที่แล้ว +2

    Adil amechangamka sana

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 ปีที่แล้ว +2

    Et mwangalie muimba kaswida ahmed ally wanathiiiiimbaaaaa

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 ปีที่แล้ว +1

    Dogo ana penda anachokifanya

  • @bensenlukumai4691
    @bensenlukumai4691 ปีที่แล้ว +2

    Mtoto mdgo ila kipaji

  • @abdullasalehhassan4045
    @abdullasalehhassan4045 ปีที่แล้ว

    dogo yuko vizuri mno mwananchi haswaa

  • @budodianthony8094
    @budodianthony8094 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏🙏❣️❣️❣️❣️

  • @bensenlukumai4691
    @bensenlukumai4691 ปีที่แล้ว

    Adili

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 ปีที่แล้ว

    Oya mpenja fanyeni dogo akutane na mayele lkn wachezaj wote

  • @kapondamsita476
    @kapondamsita476 ปีที่แล้ว

    ADIL ndouyouyo

  • @suleimansaidy2546
    @suleimansaidy2546 ปีที่แล้ว

    Dogo anakipaj ndani yake wamzidishie elim2

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 ปีที่แล้ว +3

    Mnamharibu huyo Mtoto baadae anaweza kupoteza Mambo ya Masomo yake shuleni
    Acheni Bwana

    • @zakayokulwa3604
      @zakayokulwa3604 ปีที่แล้ว +4

      Unawaza kusoma tu pole kuna maisha nje na kusoma ndo haya

    • @sharifahussein8034
      @sharifahussein8034 ปีที่แล้ว +1

      iyo ndo furaha yake acha wivu anaweza akafanikiwa kupitia ivyo ivyo unavyoona anaalibiwa

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 ปีที่แล้ว

      Mi naungana na wewe huyu mtoto wanamuharibu atasoma saa ngapi?

    • @asiarashidi1520
      @asiarashidi1520 ปีที่แล้ว +1

      Kwa taarifa na darasani pia anawaburuza tu....

    • @asiarashidi1520
      @asiarashidi1520 ปีที่แล้ว +1

      Mi naamini wazazi wake wanajua jinsi ya kumfanya ameneji masomo na anachokifanya nje ya shule

  • @elizabethelias3130
    @elizabethelias3130 ปีที่แล้ว

    💚💛💚💛

  • @ayoubelmander9336
    @ayoubelmander9336 ปีที่แล้ว

    Htr

  • @SalimRashid-cq2pi
    @SalimRashid-cq2pi ปีที่แล้ว

    Dogo kachangamka sana

  • @cleriakahemela3933
    @cleriakahemela3933 ปีที่แล้ว

    😄😄😄

  • @msafirindalu122
    @msafirindalu122 ปีที่แล้ว

    Hawa watoto ni hazina ya club yetu tunae adil na Ali kimara inafaa tuwatunze vijana Hawa pamoja na changamoto aliyonayo Ali kimara lazima vijana Hawa wawe vielelezo kwa vizazi vijavyo

  • @ericgeofrey6395
    @ericgeofrey6395 ปีที่แล้ว

    Dogo anankosha sanaaaaa👍👍👍

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 ปีที่แล้ว +2

    Dogo akutane na mayele huyu mwananchi haswae

  • @erickfungatwoo187
    @erickfungatwoo187 ปีที่แล้ว

    Dogo noomaa kwel

  • @kassimukipingu7917
    @kassimukipingu7917 ปีที่แล้ว +1

    Mnapoteza muda tu apo

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 ปีที่แล้ว +4

    Kaka mpenja tunaomba umpeleke huyo dogo kambini Avic akutane na wachezaji😁😁😁😁😁😁😁