ADIL YANGA NA SIR JAY WAINGIA STUDIO KUIMBA WIMBO WA YANGA/ONA KILICHOTOKEA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2022
  • Leo Agosti 27 2022 Mpenja Tv tunakuletea Mahojiano na Shabiki wa Yanga Adil Saad pamoja na msanii wa Bongofleva Sir Jay wakiwa Pamoja katika Studio ya Producer E Music.
    .
    Fungua video hii kupata uhondo wote wa Mahojiano haya.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 65

  • @umikifupa9516
    @umikifupa9516 ปีที่แล้ว +2

    Nilikuwa na Stress za hawa waarabu nilipomuona Mtoto Adili nilijiona tu nacheka, keep it up my baby Adil

  • @allytwalib7787
    @allytwalib7787 ปีที่แล้ว +2

    hongera sana mpenja tv , adil ana kipaji sana huyo dogo nanyi mmemsaidia sana kuweza kuendeleza kipaji chake hongera tena

  • @ashaalawebakali3151
    @ashaalawebakali3151 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah mtt ana ipenda Sana yang uy 💛💚

  • @shuuarmy
    @shuuarmy ปีที่แล้ว +5

    Adil nampenda sana huyu mtoto

  • @fredrickmallagi4808
    @fredrickmallagi4808 ปีที่แล้ว +1

    Hata hapo dogo amejitahid sana so big talent mimi ni muimbaji na mwalim lakini jins dogo anatembea na beat kwa mara ya kwanza na anafanyia mazoezi studio kifup yuko vizur

  • @user-ts4zn1sx7h
    @user-ts4zn1sx7h 13 วันที่ผ่านมา

    Hongeren sana ❤❤❤❤ Mpenja TV

  • @selinanaro926
    @selinanaro926 ปีที่แล้ว +1

    Adil Nakupenda umenifurahisha

  • @majeshimfumwa1060
    @majeshimfumwa1060 ปีที่แล้ว +1

    Chezea yang utanasa enough man nikiongea sana nitakufurisha simba❤🌟

  • @saidulaya7308
    @saidulaya7308 ปีที่แล้ว +3

    UYO BARAKA MPENJAAAA NDO UYOOO UYOOOO

  • @haidhabushiri9558
    @haidhabushiri9558 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji unampenda sana adil

  • @18_savage_rj43
    @18_savage_rj43 ปีที่แล้ว +1

    Adili n Talent San n gift hii
    MASHALLAH

  • @Wakishuwat
    @Wakishuwat ปีที่แล้ว +8

    kitoto kinamahaba na yanga

  • @aloycejohn3686
    @aloycejohn3686 ปีที่แล้ว

    Mambo vip.broo.napenda.san

  • @hamisuuhamadi1663
    @hamisuuhamadi1663 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuzidishie mtt mzuri ila umenichekesha hadi nimesahau kula 🤣🤣🤣

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana bro tume enjoy

  • @winifridandale8239
    @winifridandale8239 ปีที่แล้ว +4

    Mbavu zangu,adlili nakupenda bure

  • @mysaramohamed4832
    @mysaramohamed4832 ปีที่แล้ว +1

    Adili nimecheka jmn Asante kwa kuniongezea cku🤣🤣🤣🤣🤣

  • @aloycesimon4143
    @aloycesimon4143 ปีที่แล้ว +2

    Wangemwandkia ili atembee nayo beat fresh

  • @shadimwambula7748
    @shadimwambula7748 ปีที่แล้ว +5

    Uyu mtoto akaishi kule Kambini na wachezaji

  • @maquemkondela
    @maquemkondela ปีที่แล้ว +1

    Watoe ngoma dogo awe anatangaza sajay aimbe naona itatulia sana

  • @shaqirhassan2352
    @shaqirhassan2352 ปีที่แล้ว +2

    Basi Kuna watu wanatamani awe mtoto wao

  • @peter_sinjole
    @peter_sinjole ปีที่แล้ว +1

    @sir jay plz eken nyimbo ya dogo kwa platform tuidownload

  • @kidawajuma5884
    @kidawajuma5884 ปีที่แล้ว +1

    Jamaniiiii yanga rahaaaaaaa

  • @peter_sinjole
    @peter_sinjole ปีที่แล้ว +1

    Tuwekeeni io nyimbo kwa platform bn tuidownload plz

  • @samweljames
    @samweljames ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂 MashaAllah

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 ปีที่แล้ว +1

    Nkubali adil

  • @maryrenazadock2912
    @maryrenazadock2912 ปีที่แล้ว +1

    Sisi ndo yaaaaaaaaanga ooooh penda San adili ndo uyo uyo

  • @jenifamsophe2260
    @jenifamsophe2260 ปีที่แล้ว +1

    Nampenda Sana mtoto huyu mungu amjalie afike mbali

  • @kapelotz9967
    @kapelotz9967 ปีที่แล้ว +2

    Huyu dogo nampenda xana ikiwezeka alindwe xana na adhaminiwe xana mana hii ni azina ya kexho ktk club yetu pendwa ya yanga african

  • @mirajiali3926
    @mirajiali3926 ปีที่แล้ว +1

    Adil kiboko nimecheka sana hapo aliposema shika kwanza niteteme

  • @wariobatv6708
    @wariobatv6708 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣shika kwanza niteteme atari sana

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 ปีที่แล้ว +1

    Dogo anajikubali sana, big up

  • @bintiothmani5369
    @bintiothmani5369 ปีที่แล้ว +2

    Jmny jmny jmny aka katt aaaiiiiii 😂

  • @SalumAliy-er4gv
    @SalumAliy-er4gv 4 หลายเดือนก่อน

    Daamtotonoma sana

  • @ernestpaulo7843
    @ernestpaulo7843 ปีที่แล้ว

    Waaaaawoh

  • @tatuchande1615
    @tatuchande1615 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀 huyuu mtt asaa ananichekeshaa vooo

  • @habibushaban3626
    @habibushaban3626 ปีที่แล้ว

    Quruan anko idi

  • @fizzysulehiman1746
    @fizzysulehiman1746 ปีที่แล้ว +1

    Ety yule mzungu au mgogo 😂😂

  • @mariagodwin7669
    @mariagodwin7669 ปีที่แล้ว +1

    Shika mic niteteme hahahaaaaa

  • @makililoseif5446
    @makililoseif5446 ปีที่แล้ว

    Shika kwanza niteteme 😂😂😂😂

  • @SalimRashid-cq2pi
    @SalimRashid-cq2pi ปีที่แล้ว

    Doga anipa raha sana

  • @ayoubmdoug6981
    @ayoubmdoug6981 ปีที่แล้ว

    shika kwanza nitetemee 😂😂😂

  • @Wakishuwat
    @Wakishuwat ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂

  • @habibushaban3626
    @habibushaban3626 ปีที่แล้ว

    Anko iddi

  • @raibinasuleyman7081
    @raibinasuleyman7081 ปีที่แล้ว +1

    😀😂😂😅🙌

  • @mariethajoseph3428
    @mariethajoseph3428 ปีที่แล้ว

    Adil umeuwaa dah🤣🤣🤣

  • @mfaumeabasi1535
    @mfaumeabasi1535 ปีที่แล้ว

    Dogo anajkubali huyo!! Mpk kero kuku weeeee😂😂

    • @damiankinunda5332
      @damiankinunda5332 ปีที่แล้ว

      Club mtazamen huyo dogo anaweza kuwa kwenye kundi la wahamasidhaji kabisaaaaaaa

  • @magrethshishwa5481
    @magrethshishwa5481 ปีที่แล้ว

    Adili jmn😂😂

  • @shamsaalrahbi7593
    @shamsaalrahbi7593 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @habibahmuhammed3534
    @habibahmuhammed3534 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu jaman

  • @abdullahmbishi3435
    @abdullahmbishi3435 ปีที่แล้ว

    Apo shika kwanz nitetemeeee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂apo ndio kauwa zaidiii uyu jamaa ni kituko aisee usipo chek ata kam mshabik wa nani

  • @husnarajabu4343
    @husnarajabu4343 ปีที่แล้ว

    Dogo anacomfidence balaa

  • @robathcarlos8068
    @robathcarlos8068 ปีที่แล้ว

    akajambe amna mwimbaji🤣🤣

    • @zulfahaji91
      @zulfahaji91 ปีที่แล้ว

      Sio bure una chuki kajitahidi

  • @josephinerclemence7804
    @josephinerclemence7804 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂

  • @bintiothmani5369
    @bintiothmani5369 ปีที่แล้ว +2

    😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂 Htrt

  • @juliethkavishe1586
    @juliethkavishe1586 ปีที่แล้ว

    Yule mzungu au mgogo 🤣🤣🤣🤣