MFAHAMU MTOTO 'ADIL YANGA' ANAYETAMBA NA FISTON MAYELE/NIMEKUTANA NA MANARA AKASEMA HANIWEZI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 284

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 2 ปีที่แล้ว +32

    Mashaallah unajua kusoma Qur'an Kwa ushauri wangu dogo zidisha Sana kujifunza qur'an.japo Unapenda mpira lakin zidisha zaidi kwenye dini..

  • @jamalrichmond2892
    @jamalrichmond2892 2 ปีที่แล้ว +17

    Asante mpenja kwa kunifanya niongeze siku maana sio kwa kucheka huku dogo nimempenda sana mungu amkuze na afya njema ili ndoto zake zitimie siku moja

  • @sabrarak9989
    @sabrarak9989 2 ปีที่แล้ว +39

    Mashaallah mtoto mzuri mungu akulinde akuhifadhi na akupe maisha mazuri na mafanikio mazuri

  • @aishahasan7722
    @aishahasan7722 2 ปีที่แล้ว +11

    Mashaa Allah ADIL uko vzr mtt mzuri😍😍😍💚💛Yanga tunawatu..Allah akukuze ADIL wetu AAMIN, Hb kma jinalako🤲🏻maana yaADIL niZur au mzur au vzur.uko juu Adil

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 2 ปีที่แล้ว +14

    💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚 Mwananchi halisi nimependa mtoto Nyota njema imeshang'aa mapema kabisa🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @saidulaya7308
    @saidulaya7308 2 ปีที่แล้ว +23

    ADIL YANGA FOR LIFE💚💛

  • @macwasele675
    @macwasele675 2 ปีที่แล้ว +13

    Whoof quel talent de la part de ce petit garçon vraiment toutes mes félicitations qu'il continue ainsi 👍👍👍👍

  • @felisteranthony8688
    @felisteranthony8688 2 ปีที่แล้ว +17

    Fiston Mayele anawadonoa mtoto noma Sana Mungu akuweke

  • @Ally_kilanga
    @Ally_kilanga 2 ปีที่แล้ว +33

    Kwa umri wake wa miaka nane ( 8).
    Dogo ni genius sanaa.
    Kila la kheri adili...mpenja ebu fanya sku ya yanga dogo atangaze hata dakika 2...yawezekana itakuwa ni hstoria ya maisha yake

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 ปีที่แล้ว +12

    Masha"Allah kwanza unasoma madrasa Masha"Allah

  • @hafidhmohd8696
    @hafidhmohd8696 2 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah anakuja na mahazi mazuri sana mashallah akija akiendelea na akija akiswalisha tarewehe saja

  • @abdirizakogas7888
    @abdirizakogas7888 2 ปีที่แล้ว +5

    Masha Allah Masha Allah masha Allah.... From Kenya 🇰🇪 penda kijana mdogo...

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 ปีที่แล้ว +9

    Nimecheka mpaka nimeanguka hapa Magomeni Usalama..🤣🤣
    Nimetokea Tandaleee...
    Daahh Allah ampe makuzi mema, na amjaalie aweze kuachieve kipaji chake Insha'ALLAH
    😍😍

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 2 ปีที่แล้ว

      Ulikuwa unaangalia huku unatembea au?

    • @hamoudcreator6343
      @hamoudcreator6343 2 ปีที่แล้ว

      @@lilyrose7983 Utani TU😆😆

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 2 ปีที่แล้ว

      @@hamoudcreator6343 😂😂😂 Sawa

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 2 ปีที่แล้ว +22

    Huyu dogo ni chuma Sanaa duh...Huyu ni mwananchi kweli aisee.

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 2 ปีที่แล้ว +17

    MashaAllah Allah amkuze katika maadili mema

  • @salmahabibu3994
    @salmahabibu3994 2 ปีที่แล้ว +8

    Jamani mtoto mzuri nimekupendaje! Yanga daima mbele nyuma mwiko.

  • @is-hakajuma1479
    @is-hakajuma1479 2 ปีที่แล้ว +21

    MashaAllah Allah amlinde huyu kijana amzidishie ufaham

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 2 ปีที่แล้ว +27

    Talented Kid! 💛💚

  • @mysaramohamed4832
    @mysaramohamed4832 2 ปีที่แล้ว +9

    Mtoto unanipa raha ww😍😍😍😍💚💛💚

    • @NdamoGeorge
      @NdamoGeorge 6 หลายเดือนก่อน

      Vgdyugddyiyyyyyttttyufdddfyuuyyyfhkkkioiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @meblackrover
    @meblackrover 2 ปีที่แล้ว +8

    Nimefrahii sana mungu ambalikiii kijana wetu from 🇹🇿🤞

  • @zackaliajohn4015
    @zackaliajohn4015 2 ปีที่แล้ว +41

    huyu dogo anajua sana na ni mwananchi kwelikweli si mchezo MUNGU AKULINDE .daima mbele nyuma mwiko

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 2 ปีที่แล้ว +16

    Katisha sana bwana mdogo 👊👊

  • @elizabethelias3130
    @elizabethelias3130 2 ปีที่แล้ว +11

    Mashallah mwananchii 💚💛💚💛

  • @youngfather5118
    @youngfather5118 2 ปีที่แล้ว +11

    Hii imenifanya nije kuiangalia huku pongez kwenu mpenja TV 🔥🔥🔥🔥😂😂🤔

  • @fat-hiyarashid4605
    @fat-hiyarashid4605 2 ปีที่แล้ว

    Au sio 😅😅😅😅adil bhanaaa mpira unaujua mashallah mdogo wangu hongera utafika kipaji chako😀

  • @nadhifajuma6485
    @nadhifajuma6485 2 ปีที่แล้ว

    Daaah iyo vibes mdg wangu usje ukaota usku unatangaza mpila we ni noma dogo uko poa sana👍👍👍👍💥

  • @somokichefuchefu200
    @somokichefuchefu200 2 ปีที่แล้ว +19

    ManshaAllah tabarak llah ❤️

  • @nurusaidy7552
    @nurusaidy7552 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah 🤲🏾 Kaka unajiamini Sana aunaaibu mungu akusimamie kwakilajambo

  • @mohammedmwalimtv5579
    @mohammedmwalimtv5579 2 ปีที่แล้ว +4

    Dogo yupo on 🔥🔥 mungu amjaalie kipaji chake kikuwe

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Allah akubarik mtoto mzuri nimempenda Adel

  • @mossesjoseph2202
    @mossesjoseph2202 2 ปีที่แล้ว +14

    Kweli Yanga ni timu ya wananchi

  • @aminaabdalla9949
    @aminaabdalla9949 2 ปีที่แล้ว +1

    Talent maashallah mungu akukuze uendeleenakipaj nakuonakm mjukuu wangu

  • @zainabuhashim6916
    @zainabuhashim6916 2 ปีที่แล้ว +2

    Amaizing inshaallah mwenyez mungu akufanyie wepesi

  • @aloycesimon2028
    @aloycesimon2028 2 ปีที่แล้ว +20

    Very Talented Boy🙌🙌🙌

  • @issagidai8482
    @issagidai8482 2 ปีที่แล้ว +22

    Huyu mtoto ni hatar sana mungu amlinde.

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 ปีที่แล้ว

    Mashaaallah Allah Akuzidishie kipaji na Akuondoshee Hasad

  • @samweljames
    @samweljames 2 ปีที่แล้ว +6

    Ety Nuski 😂😂😂😂😂😂 mtoto noma huyu

  • @sunwin.Resudahexiaomianbao
    @sunwin.Resudahexiaomianbao 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akukuzeee wananch tunavipaji. San

  • @abdullaabdulla8485
    @abdullaabdulla8485 2 ปีที่แล้ว +2

    Me nahic utangazaji utakuwa mgumu kwake sababu tyr yuko na damu ya yanga ndi ndi ndi huyu awe msemaje wa timu yake atafit

  • @rizikidola3172
    @rizikidola3172 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah mtoto smart sana..mungu amuangazie zaid InshaAllah

  • @zarnatmohd6635
    @zarnatmohd6635 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Tabarqallah

  • @dakyatv5112
    @dakyatv5112 2 ปีที่แล้ว +6

    Yaani anaweza sana huyu dogo janja

  • @dianajeremiah5662
    @dianajeremiah5662 2 ปีที่แล้ว +7

    Waoooooo jmn 😍😍😍💚💛🖤

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 2 ปีที่แล้ว +12

    Uyu mtoto anipa raha nyiee😂😂😂

  • @suleimanmbarak1260
    @suleimanmbarak1260 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah huyu kijana amenifurahisha sana. Niko 001 Mombasa na kama Adil Mimi pia ni mfuasi wa Yanga. Kijana ako na talent !

  • @SalumuAlhy
    @SalumuAlhy 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ nimekupenda bule jamn unajua

  • @amyassyassin7909
    @amyassyassin7909 2 ปีที่แล้ว

    masha Allaah ana kipaji cha kusoma Quran kuliko utangazaji

  • @flova7022
    @flova7022 2 ปีที่แล้ว +2

    Jamni mpenja.. hakuna na hatatokeaaa

  • @mohammedabud6010
    @mohammedabud6010 2 ปีที่แล้ว +1

    Em nipe mike kdg 😂😂🙌 dogo katisha

  • @unohanadaicho7031
    @unohanadaicho7031 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah mtoto umenifulahisha sana 🤣🤣🤣🤣💚💚💛💛

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah 😂😂😂🔥🔥🔥hu mtoto ni moto

  • @wilsonmpega8225
    @wilsonmpega8225 2 ปีที่แล้ว +6

    Dogo anamjua adi Erick Johora 🙌🏾

  • @lameckmbelle8128
    @lameckmbelle8128 2 ปีที่แล้ว +7

    Umenipa furaha sn mtoto mungu akujalie

  • @khadijaomary758
    @khadijaomary758 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah

  • @habibhamza9766
    @habibhamza9766 2 ปีที่แล้ว +6

    Keep it up ADIL 💪

  • @frankpetro6483
    @frankpetro6483 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana dogo

  • @mwanaidhaji6908
    @mwanaidhaji6908 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah mm ni Simba ila nimepanda sana huyu dog jinsi anavyotangaza nimempenda San🙏🙏mungu akulinde

  • @SesiliaSamwelkamau
    @SesiliaSamwelkamau 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah qu'ran👍

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo ปีที่แล้ว +1

    Jamani eti anakaba hadi upepooo daaha Allahu akbary🤠🤠🤠

  • @paulinefanuel9498
    @paulinefanuel9498 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtoto wetu ajengewe sanamu lake postaa♥️♥️♥️

  • @madamfarajakigula8423
    @madamfarajakigula8423 2 ปีที่แล้ว

    Mwanachiiii 💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💪💪💪💪

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah vanafaa utangazaji wa mpira huyu mtoto.

  • @fat-hiyarashid4605
    @fat-hiyarashid4605 2 ปีที่แล้ว

    Ana confidence mashallah😀

  • @moise6735
    @moise6735 2 ปีที่แล้ว +2

    Waow viongozi Yanga Africans shabiki wakwanza uyo apooo Mwaka wa 2022 gift yake iwe karibu mtakapo pewa Kombe ya league kuu.😁😁😁😆😆😆😆😀😃😄

  • @supereagletv2881
    @supereagletv2881 2 ปีที่แล้ว +8

    Uyu dogo Yeye na Mayele tyu hakuna Mtu Wa kumtoa kwa Mayele uyu

  • @mohamedsalehe9053
    @mohamedsalehe9053 2 ปีที่แล้ว +3

    Talent 🙏🙏✍️

  • @emmanntambwekalala1314
    @emmanntambwekalala1314 2 ปีที่แล้ว

    Je l'aime ce petit ❤️ fiston Mayelé m'a fait tomber fan de yanga❤️❤️

  • @groveyagroya1280
    @groveyagroya1280 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani nimefrai mpaka machoz mashallah

  • @sophybaby6605
    @sophybaby6605 2 ปีที่แล้ว +1

    Mung u. Akubariki mzur maaojiano unayapatia kujibu

  • @khadijakahiki8283
    @khadijakahiki8283 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah allah

  • @hassansaleh9730
    @hassansaleh9730 2 ปีที่แล้ว +2

    Dogo anapenda mike ban😂😂

  • @gracekimamre2117
    @gracekimamre2117 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 Anaongea kwa msistizo uyo ADIL YANGA

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 ปีที่แล้ว +5

    Asalamualykum Mpenja TV

  • @domitilaclement6554
    @domitilaclement6554 2 ปีที่แล้ว

    Kiukwel nimempenda sana huyu mtoto💥

  • @rashididaudarashididauda90
    @rashididaudarashididauda90 2 ปีที่แล้ว +8

    Daaah uyu dogo janja

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 2 ปีที่แล้ว

    Allah Akulinde

  • @henrypambisa5483
    @henrypambisa5483 2 ปีที่แล้ว +2

    Wakizima TV nachukua hela anaenda kuangalia 😄😄😄🔥🔥🔥🤔❤❤❤

  • @abuukilanga2249
    @abuukilanga2249 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyo kolo fc hana lolote analojuwa
    Mwenyewe ni Abili yAnGa
    Big up 2u Adili

  • @alexjohn4772
    @alexjohn4772 2 ปีที่แล้ว +5

    Mayele utafanya wa2 tuwe machizi bro 2pe raha juma mos kaka

  • @timothysinyangwe1031
    @timothysinyangwe1031 2 ปีที่แล้ว +12

    Sema Kaka hujamtendea haki mtoto. Ungempa ashike maiki mwenyewe

    • @azizayahyah1597
      @azizayahyah1597 2 ปีที่แล้ว

      Yeah kaonekana kanapenda kushika kenyewe sema sasa mtangazaji na yye anatumia ile tuskie vzr

  • @addelineantony3622
    @addelineantony3622 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah mtoto una kipaji Mungu akutangulie mwananchi mwenzangu.

  • @Salhiya-hr7dy
    @Salhiya-hr7dy 2 ปีที่แล้ว +6

    Huy mtt ni mtu na nusu haaaah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dinnoboy6232
    @dinnoboy6232 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu Mtoto Ni nomaaa

  • @sammanjeka7357
    @sammanjeka7357 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaah good boy job anakaba ad upepo hahahahhaaaaaa

  • @rahimramadhani6242
    @rahimramadhani6242 2 ปีที่แล้ว

    mungu akukuze adil

  • @sharifahussein8034
    @sharifahussein8034 2 ปีที่แล้ว +6

    Mshahala wa mwezi huu mayele Inabidi dogo huyu ampe ata robo mana anampenda anampenda adi anampenda tena duhh!!

  • @fadhililukwaro5637
    @fadhililukwaro5637 2 ปีที่แล้ว

    Kachagua bonge la Team. Zamani Watanzania wengi wenye asili ya Asia waliipenda zaidi Simba Ila Sasa hivi 50 kwa 50 Safi kabisa

  • @elroyaladyzu349
    @elroyaladyzu349 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah he's so talented

  • @jescerrobertkiswaga3200
    @jescerrobertkiswaga3200 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani, nimempenda Bure huyo mtoto anakipaji kikubwa wakiendeleze tu wazazi wake

  • @musabaraka9134
    @musabaraka9134 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie ufike mbali

  • @ephelymwinuka3614
    @ephelymwinuka3614 2 ปีที่แล้ว +10

    Nimefurahi sana! Dogo ana akili sana! Nawashauri GSM wamnunulie TV ndogo awe anaangalia mechi za Yanga bila bughudha

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 2 ปีที่แล้ว +1

    Big up sana

  • @adamhamis6991
    @adamhamis6991 2 ปีที่แล้ว

    Mungu smtangulie

  • @happyqueenf
    @happyqueenf 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah 🥰

  • @khadijagumbo4143
    @khadijagumbo4143 2 ปีที่แล้ว +3

    Mm ni Simba dam Ila nimempenda mtoto anakipaji kikubwa

  • @sunnahmickdady4305
    @sunnahmickdady4305 2 ปีที่แล้ว

    Asanteee mtotoooo mzurii

  • @jamilannasoro3438
    @jamilannasoro3438 2 ปีที่แล้ว

    mashallah mayele ndi yo timu

  • @ghanimaali4507
    @ghanimaali4507 2 ปีที่แล้ว

    duh nimecheka sana sanaaaaa uyu mtt muhuni kweli

  • @samweljames
    @samweljames 2 ปีที่แล้ว +3

    Noma Sana 🤣

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwananchi