Ingekuwa wengine kwa level ulofika Ayo asinge onekana kabisa! Lakini unapiga kazi bila kujali unaumaarufu na ukubwa kiasi Gani. Much respect Ayo... Tuna chakujifunza kwako🙌🙌🙌
Millard ayo si mtangazaji pekee ila ana kipaji cha maongez mazur inshort mungu akubless brood natamani nami nipate ata interview nikuoji mimi japo mimi ni mwanamuziki
Millard wewe ni mtangazaji na mwandishi was habari mwenye weledi wake na kazi yako....una maswali ya technic Sana ya kistaarabu.....kwa kifupi umetulia mno...Mungu akubariki mno
Lightness😍... hata nyumba inaonekana ina nuru.. amani upendo na mshikamano.. Pale anasema nilikua namuita mke wangu pamenivutia sana kuna baadhi ya wanandoa hawaongeagi humo ndani!🙄acha kushirikishana jambo! hongereni sana, mke ana sehemu ya kumfanya mwanaume apambane kwa ujasiri zaidi na kujiamini zaidi .. Pia inaonekana ni watu wanayo hofu ya Mungu.😍
Jamaa ni mpambanaji kiasi kuwa hata asingeshinda bado ana maisha yanayodhihirisha bidii. Basi kuna vijana nao watajikuta ni washindi na watafirisi hadi basi... Kama kilimo cha matikiti kilivopigiwa hesabu za kila namna na mwisho wengi wakalima matikiti, mwisho wa yote yaliyouzwa elfu mbili, yakaozea sokoni kwa ku kosa soko😄 Hongera kwake... Kila mtu anaweza kuwa mshidi pahala alipo na kwa shughuli alipo. Heshima kwako sana Millard
Rafikiangu kashinda tu mil 23 nilikua nakua nae muda wote kanipotea leo siku ya tano sijamuona wakati alikua hawez kukaa masaa mawili bila kuja tuwe wote angeshinda bilion nahisi angehama na nchi kabisa
Usimtupe boss bro shirikiana naye huyo umfanyie kazi zake kwenye garage yako. Nimefurahi sana fikra na utulivu wako natamani nami nirudi nyumbani toka ulaya huku
Wabongo awajamuelew uyu wanakimbilia kusema anunue gar hiyo garage ya kisasa ni garama na akiifungua hiyo hizo billion zitakua zinaingia kila baada ya miez kazaa
Tuangalie isije ukawa ukishinda unaambiwa hela ibaki tuzalishe Yani nishinde pesa yotee hiyoo nyumba miezi kazaa nisirekebishe na gari nisinunue aweee kutulia gani
Binafsi nafurahi kuona kijana Mwenzangu katusua Mungu akutangulie mzeee , umepoa Sana Jah bless you
MashaAllah MashaAllah iyo pesa hatimaye imenyakuliwa..hongera sana kijana
Mtu na mkewe inaonyesha wako matured enough... Mungu akawasimamie mfanikishe ndoto zenu hongereni sana.
hongera sana brother kwa kuwa bilionaire....mungu awasimamie wewe na familiy yako....
MILLARD AYO YOU ARE THE NEXT LEVEL. CONGRATULATIONS BRO.
pamoja sana Novat
novat millard kaku taja ni bless iyo millard ni taasisi kubwa kwenye taifa
@@bakariabdallah8702 kabxaa yaani
Ingekuwa wengine kwa level ulofika Ayo asinge onekana kabisa! Lakini unapiga kazi bila kujali unaumaarufu na ukubwa kiasi Gani. Much respect Ayo... Tuna chakujifunza kwako🙌🙌🙌
Watu wenye utulivu ni rahisi sana kuongezwa kifedha hangera sana bro , interview kal sana Millard 💪
pamoja sana Naftal
Millardiayo aki simimia Interview ni moto 🔥🔥🔥...napenda interview zako Bro God bless you 🙏
My role model wangu Millard much love brother 🥰
Hongera sana mangi hapo baba yuko nawe ujue hujapoteza kitu Mungu akusaidie sana nenda kaweke mshimbika
Ema wa mama Norine jamaa yuko humble sana
Millard ayo si mtangazaji pekee ila ana kipaji cha maongez mazur inshort mungu akubless brood natamani nami nipate ata interview nikuoji mimi japo mimi ni mwanamuziki
Very humble guy,MashaAllah
Sema jamaa anajiexplain fresh sana yaan
Habari za Millard za uhakika 😍
Kabsa
Hongera Sana kijana. Mshukuru sana Mungu kwa jambo hili alilokutendea. Usiwasahau watoto yatima...
Daah! Safi sana mirad ayo unahoji kwakina lakn nasi iposiku tutafauru
pamoja sana Mondo
Dahh noma sana ..massawe yuko real yaan🤙 anataja umri kama mzungu
Hongera kaka .Mungu akuangazie njia nzuri ya kuekeza hela yako
Hongera anko
Mungu akubariki sana
Millard wewe ni mtangazaji na mwandishi was habari mwenye weledi wake na kazi yako....una maswali ya technic Sana ya kistaarabu.....kwa kifupi umetulia mno...Mungu akubariki mno
Lightness😍... hata nyumba inaonekana ina nuru.. amani upendo na mshikamano..
Pale anasema nilikua namuita mke wangu pamenivutia sana kuna baadhi ya wanandoa hawaongeagi humo ndani!🙄acha kushirikishana jambo!
hongereni sana, mke ana sehemu ya kumfanya mwanaume apambane kwa ujasiri zaidi na kujiamini zaidi ..
Pia inaonekana ni watu wanayo hofu ya Mungu.😍
Interview imekaa poa sana hongera
Humble guy. Wishing him all the best
Hii ilinipita, hongera sana kaka.
NOMAAAA SANA 🙌🙌
All in all jamaa anakitu kikubwa kuliko hio billioni 1, MKE MWEMA
au sio 👊👊
Mmeshaanza kumsifia mke wake? Ohoo jamaa ana mguu wa kuku akifa mtu msije mkasema sijawaambia😮
Aise 09/06! pacha! Basi nashinda next 🤓💪🏼
Vijana mjifunze apo kama mtu ana bahatika kushinda billion lkn Bado hana ndoto za kuvunja mkataba wa Kaz alio kua anafanya awali 👏👏👏😃😃
au sio 😅
Mm navunja mkataba najiajiri,ukiwa tu makini huwezi feli bilion nipesa mingi sana
Nice milard Ayoo
Good interview
Well spoken
Walikosea sana kuacha nyumba bila kuweka walinzi,,ata sportpesa nao walikosea sana kuchukua familia bila kuacha walinzi wajifunze ilo
Mungu nisaidie na Mimi cku moja nishinde japo Mln 5 Mungu nijaribu na Mimi cku moja maisha haya dah haya
Pambana usikate tamaa
Matured Couple
One day yes
👊👊
Jamaa ni mpambanaji kiasi kuwa hata asingeshinda bado ana maisha yanayodhihirisha bidii.
Basi kuna vijana nao watajikuta ni washindi na watafirisi hadi basi... Kama kilimo cha matikiti kilivopigiwa hesabu za kila namna na mwisho wengi wakalima matikiti, mwisho wa yote yaliyouzwa elfu mbili, yakaozea sokoni kwa ku kosa soko😄 Hongera kwake... Kila mtu anaweza kuwa mshidi pahala alipo na kwa shughuli alipo. Heshima kwako sana Millard
Broo aujikwezi kwanza maana wengine wangekuwa wana jikweza brooo bless you
Jamaa yupo makini sana
Safi sana mwananetu ,,,kikazkaz tunakuja km imah huna baya mzee👊🏾👊🏾✌🏾all the best Mungu akuzdishie sana
👊👊
@@millardayoTZA mambo millardayo
Jah bress you is you time enjoy life
Pamoja Sana brother
Nimeipenda hii interview
pamoja sana Ras !!
Rass
I was waiting for this
👊👊👊
A+ plus..
Nakubali kaka milard intrview zako ziko poa
Millard is so silly lol😂😂😂, wa Arusha tunapenda story lol😁💕💕
😅😅
Makini sana masawe pambana broo
Safi Sana Kaka
Mkuu well done jamaa ni akili kubwa sana anautulivu,ni mfano wa kuigwa japo mi huwa naishia 6/13.One day yes!
Usikate tamaa
One day yes
Mungu akubariki brother
Hongera sana
Jamaa iliandikiwa kwake anayo Bahati sana
sio ishu ya bahat kaka ni kwamba siku yake ya kufanikiwa imefika Mungu aloiandika na kwa kupitia njia fulani
All the way from sango Habari yafo
Great fella! Invest on what you know is the winning strategy( garage). Lastly, one of those sports shows should hire this fella as betting analyst.
Congratulations brother 👏, Millad Ayo ❤
MILLARD AYO...UNAWEZA SANA MTU WA NGUVU.
Hongera sana broo mwindi alikosea njiaa saf sana😂😅
Millard ayo is the best 👌
pamoja sana Peter
Bonge moja ya interview
pamoja sana Derrik
Bonge moja na interview
🙄🙄🙄Ni kweli au🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️Inshalllha kheri na mimi nitacheza🙌🙌🙌siku
Usithubutu kucheza kamari hizo
Hongera boss wetu wa sango
Millard unajua ,unajua tena,, unauliza maswali ya muhimu sana.
Mbona hela ndogoo njooo South Africa utembe kidogo angalia sup Quikri
Mwanangu safi sana kaka sisi tupo tabata Dampo kama kawa hongera sana mwanangu
How much is That in Kenya shillings
Baba Mungu ndo kila kitu...Atakulinda Binadam si chochote mbele za Mungu....Mungu Atakusimamia kwa kila Jambo..fanya Ibada Usiache kuabudu.
AMEN AMEN !
HONGERA SANA MZEE
Umekua mfano kwetu sisi wakamaria...tunaendelea kuomba Mungu tukiamini ipo cku buddy
Yaa mwambie
Baba denisu na mama ima jirani zangu nyie wa kigogo hongeren sana
Zuchu ajakupigia
Napenda sana interview zako bro niwaga🔥🔥 wagaukosei nomasana
Rafikiangu kashinda tu mil 23 nilikua nakua nae muda wote kanipotea leo siku ya tano sijamuona wakati alikua hawez kukaa masaa mawili bila kuja tuwe wote angeshinda bilion nahisi angehama na nchi kabisa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Millard upo vizuri
Pesa haiongopi unaeza sema ana miaka 26
Mirad ni fire
Huyu mwanamke,
she is very smart.
Millard napenda habar zako
pamoja sana Mlimakala !!
U deserve, una akili na tabia njema . Mungu akulinde.
Sijui na mimi nicheze naweza bahatika🤔
Shauri yako ndugu
Shikamoo Millard ayo
Saf sana
Kuwa makini hyhyo sportpesa watairudisha pesa yao kwa kuwabetia tena focus kwa mambo yako ya biashara
Glory to God
❤
Usimtupe boss bro shirikiana naye huyo umfanyie kazi zake kwenye garage yako. Nimefurahi sana fikra na utulivu wako natamani nami nirudi nyumbani toka ulaya huku
daa mungu mkubwa sana awalinde sana
Broo una utulivu sana, utafika mbali.... nimecheka sana apo kwene rumion aisee
Ukute alibadilishiwa namba ya mtihani
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kaka naomba ytayvuu nawewe
Wabongo awajamuelew uyu wanakimbilia kusema anunue gar hiyo garage ya kisasa ni garama na akiifungua hiyo hizo billion zitakua zinaingia kila baada ya miez kazaa
Mama uko strong
Ahojiwe tena
Mimi habari ninazo soma kwa milard ayo najua huwa ni za uhakika hakika media yangu pendwa na number one ni kwa milard kwengine naperuzi tu
Kaka Milard natafuta sana namba yako kaka!
❤️❤️❤️
1Billion Tanzanian equals to 52M in kenya shillings
Tuangalie isije ukawa ukishinda unaambiwa hela ibaki tuzalishe Yani nishinde pesa yotee hiyoo nyumba miezi kazaa nisirekebishe na gari nisinunue aweee kutulia gani
Mashalhaaa mashalhaaa