Mazinge Utabiri wa Yesu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 24

  • @aminaomar2461
    @aminaomar2461 9 ปีที่แล้ว +12

    Masha Allah. May Allah protect you my bro mazinge

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 6 ปีที่แล้ว

    Mazinge Ubarikiwe Sana Maana Unawafundisha Maandiko Wakristo Na Pia Unawafundisha Kiswahili. Wakristo Inabidi Wakushukuru Sana.

  • @yarowareess5224
    @yarowareess5224 6 ปีที่แล้ว +3

    Saba kumi na nne,me nlijua tu sasa sio hesabu,isaya saba kumi na nne,mpendwa alisema hesabu,kakoseaaaaaa!!!! Hhhhhh hhhhhh hhhhh,mashallah mazinge Allah akupe maisha marefu.

  • @adammasunga6382
    @adammasunga6382 5 ปีที่แล้ว

    Yeye mbona hajajibu swali lako basi ajibu na yy

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 6 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu Ndio Waalimu Wa Wakristo. Jamani Jamani Hawa Watu Mitihani Huwa Wanapasi Vipi Hawa jama!!!!!!!???

  • @evalineakuku590
    @evalineakuku590 5 ปีที่แล้ว

    yesu alitabiriwa na isaya,gabrieli

  • @johariramadhani6377
    @johariramadhani6377 11 ปีที่แล้ว +1

    asalaam aleykum allaah akujalie mazinge kwa kuwaumbua

    • @danielimakene6546
      @danielimakene6546 6 ปีที่แล้ว

      soma luka 1:31uone kama yesu ajatabiliwa kwa jina

    • @burbiddy316
      @burbiddy316 6 ปีที่แล้ว

      Naww elewa kwangi agano jipya kapewa nani

  • @evalineakuku590
    @evalineakuku590 5 ปีที่แล้ว

    emanueli maana yake mungu na sisi

    • @mariamomar1572
      @mariamomar1572 9 หลายเดือนก่อน

      wapi mariamu kamuita mwanae Emmanuel

  • @salehemkomwa8063
    @salehemkomwa8063 6 ปีที่แล้ว +1

    dini moja mungu mmoja

  • @khalfanhamisi4218
    @khalfanhamisi4218 6 ปีที่แล้ว

    Aslmalkm ndngu Waislm ? Ystkhfrllau' hawa wkrsto kkweli heri wngeukubali wakaslimishwa wakawa waslam

  • @kakaalembez3369
    @kakaalembez3369 8 ปีที่แล้ว +1

    hhhhh

  • @benadolphabiandustan4109
    @benadolphabiandustan4109 6 ปีที่แล้ว

    huyu ndo mazinge kumbe hajui chochote anaowaambia nao hawaelewi chochote

    • @mgeniali1768
      @mgeniali1768 5 ปีที่แล้ว

      Wacha kutia fitina ww ujuwawe nenda mbona huwendi kutetea dini ya mola wako ukapata ujrah kwa Allah

    • @khatibukhatib9926
      @khatibukhatib9926 5 ปีที่แล้ว

      We zureyda hao jamaa usipige na0 zogo bhana mwachie asikilize maandiko hap0 na yy asomeshwe..! Ay0 map0vu yake ruksaa

    • @mgeniali1768
      @mgeniali1768 5 ปีที่แล้ว

      @@khatibukhatib9926 kheri ntulie broy

  • @jacksonenossi4179
    @jacksonenossi4179 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hamchukui wenye uelewa wa biblia?? Mnaokota mtu ambae hajui chochote mbona hamjaenda kuhojiana na shekh hamza???

    • @ngiamamakanda9046
      @ngiamamakanda9046 6 ปีที่แล้ว

      Wewe aliyekwambia kuwa huwa wanachukuliwa ni nani? Tumia akili mtu mzima usifyatuke tu kama manati, mhadhara kuna kuitwa? huyo mjomba wako nyege zake ndio zilimpeleka pale kwenye mhadhara kama wengine wenu. Kwa bahati mbaya karibu nyie wote hamjui kusoma kitabu chenu wenyewe mnalibeba tu kama punda kabeba mzigo wa mahindi mgongoni. Mazinge analijua hilo tabu lenu kuliko hata babu yako mzaa babu shenzi type nyie!!
      Eti mbona hamchukui wenye uelewa!!!!!! Nani mwelewa wa biblia Tanzania wewe au? Kwani wakereketwa mliokariri mistari humo hampo? Mngekuwepo waelewa wa biblia ni siku nyingi ungewaona wajomba zako wanajikakamua kuongea.
      Jikusanyeni nchi nzima nyie mnaofikiri mna uelewa mwaka wowote muandae mhadhara muone mtakavyopoteana, walishajaribu baba zako mpaka leo bado wanalalamika tu kuwa wanakashifiwa.
      Kijana Ijue historia ya kitabu chako kwanza kabla hujasoma na kukariri upupu humo.

    • @frankkinkutta1071
      @frankkinkutta1071 6 ปีที่แล้ว

      Kuna haja gani yakuanza kubishana juu ya kitu kizuri?kama wewe unaona dini yako ni nzuri hubiri uzuri wa dini yako.huna haja yskuhoji dini yamwenzako.usichokijua kitakusumbua sana.

    • @zainabuhmbabazi4928
      @zainabuhmbabazi4928 5 ปีที่แล้ว

      Wot hali ni moja

    • @mahmudumuhammed8174
      @mahmudumuhammed8174 5 ปีที่แล้ว

      Wengi hawataki kusoma vitab vyao