Hakuna kitu kama hiyo,kuwa mkristo na kuwa na uhusiano moja kwa moja na muumba wako. Wakristo ni wafuasi wa yesu,na Injili iliansikwa baada ya yesu kufufuka. Yesu mwenyewe kasema yeye ndiye njia wa kweli na uzima ,kwa hivyo ukimfuata yesu umefuate njia ya kweli na yenye nuru.
Najivunia kuwa MKRISTO yaani mtu wa Kristo Yesu, Natambua dini hiwayo yote si kitu mbele za YESU, Yeye Njia, Kweli na Uzima, Mtu amfikii MUNGU isipokua kwa njia ya Kumwami YESU tu
i guess im randomly asking but does anyone know a way to log back into an instagram account..? I somehow forgot the password. I would appreciate any tips you can give me!
@Justin Drew i really appreciate your reply. I got to the site on google and im waiting for the hacking stuff now. Seems to take quite some time so I will get back to you later with my results.
@@nohatredbutlove5786 una hakika,au unachangamsha genge,kejeli zako hazitikisi imani yangu,wachanganyeni haohao mambulula mliowanunua hapo wasiojielewa
@@tedyokachu5013 ok basi, toa andiko kwenye bible kuwa ukristo ni dini. Au hata andiko limetajwa tu neno ukristo. Hakuna bible nzima so vipi utautetea Ukristo? 😀😀😀
@@nohatredbutlove5786 Ktk vitu ninavyoviheshimu na kuviogopa duniani cha kwanza ni dini ,siko tayari kuupinga ukristo wala uislamu ukizingatia mimi ni mzazi na siijui hatima ya kizazi changu tutaniane yooote ila mambo ya kiimani tuwe na subira🙏🏾
@@tedyokachu5013 me sifanyi utani ati. Mimi najaribu kukufumbua macho ili uiyone haki na kuifata. Leo upo hai lakini kuna siku sote tutarudi kwa alietuumba na sio unaemsingizia amekuumba. Ikifika hiyo siku wewe ndio utakuwa umekula khasara.
Assalam Aleikum.. kazi ya kulinganiya watu ni ngumu ... jaribuni sana kutumiya maneno kwa unaye jaribu kumrekebisha akuelewe.. Qur'an 16:125 .. Isaya 1:18
Huruma ya Mungu iko juu yenu waislamu mnaoikana injili ya Yesu Kristo kutokubali kufufuka kwa Yesu kwa sababu hukumu iko kwa wale wanaomkana(2wathesalonike 1:8)aacheni upuuzi kwa mafundisho ya mapokeo angalieni nguzo ya imani yenu.Yesu ni mwingi wa rehema anasubiri mtubu awafanye wapya.uamuzi ni wenuu.
Waislamu hawàikani Injili bali wanaisadikisha kuwa ni kitabu cha Mungu alichomteremshia mtume wake Issa bin Mariam ( yesu).Na hata Muhammad kabla ya kupewa utume alikuwa akiishi kwa kufuata yaliyomo kwenye Injili.Tatizo kwa sasa Injili imechezewa yaani kuna mikono ya wanaadamu imeingia kwa lengo maalim.Na kwa taarifa yako Qur'an ni collection ya Taurati, Zaburi na Injili ndio maana kwenye Qur'an utakutana na yaliyomo kwenye vitabu hivyo.
Nilianza kunywa nilipokuwa na umri wa miaka 16. Nilikunywa kwenye karamu, lakini pia nilianza kunywa peke yangu kwa sababu sikuwa na raha, na nilikuwa kwenye maumivu mengi ya kihemko wakati wote. Mama yangu alikuwa mkali sana nilipokuwa mchanga, na kaka yangu alimuumiza na hivyo mimi. Alianza kunyongwa na watu wenye kivuli, alianza kutofaulu masomo yake yote, hakuwahi nyumbani, na wazazi wangu walipambana wakati wote. Nilikimbia pia mara kadhaa. Siku zote nilikuwa nikijaribu kujua sababu ya kwanini nilikuwa hapa au kusudi la maisha lilikuwa nini. Kwa hivyo, nilianza kutazama falsafa tofauti, dini, na imani. Wakati nilikuwa na miaka 18 baada ya kunung'unika, niliinama na nikazungumza kwa mara ya kwanza. Niliuliza ikiwa Mungu ni kweli atanionyeshea ni kweli kwa sababu ni lazima nichukue tena. Nilikuwa nikilia wakati niliongea hii. Wakati huo nilihisi uwepo ukinipanda kama upepo. Haikuonekana kabisa, lakini haikuwa tofauti na kitu chochote maishani mwangu ambacho nilikuwa nimeona hadi wakati huo. Nilishangaa niliposikia na nakumbuka nikisema "ilikuwa nini hiyo?" Baada ya uzoefu huo mimi sana nilisahau kilichotokea na kuendelea kuaga, hadi mwaka wangu wa juu nilipokamatwa. Baada ya kukamatwa, wazazi wangu walipoteza imani yao yote kwangu na nilifukuzwa shule ya upili. Sikuwahi kuambiwa nirudi. Wakati huo, nilihisi hofu na kutokuwa na tumaini. Nilipoanza kumtafuta Mungu, na nilidhani atajifunua katika maisha yangu na kwamba atanipa ishara. Maombi yangu yakaanza kujibiwa kila wakati hadi sikuweza kukataa kuwa Mungu alikuwa akifanya kitu. Ilikuwa ya kushangaza na ya kulazimisha. Niliishia Kanisani na kuanza kusoma masaa ya bibilia kwa siku. Niliacha kunyongwa na marafiki wangu wengine kwa sababu walikuwa wakikamatwa kila wakati. Niliweza kusamehe familia yangu na mimi mwenyewe na kuomba kusamehewa. Niligundua jinsi watu wa Kanisa walivyohukumu na jinsi wanaunda vikundi lakini waliogopa kuwa karibu na mtu mwingine yeyote tofauti nao. Iliongezeka imani yangu kwa sababu niligundua Yesu hakuwa kama hiyo na tangu nilipokuwa mchanga, niliona watu kama watu bila kujali wao ni nani. Baada ya muda mfupi, ni kama ningeona uwepo wa Mungu ulikuwa katika maisha yangu na ndipo ikahisi kama hakuwa, na hapo ndipo alipokuwa, na sivyo sivyo. Siku moja niliamka na nilihisi mnyonge zaidi kuliko vile nilivyowahi kufanya katika maisha yangu yote. Nilihisi kama nilikuwa nikifaa ndani. Usiku huo niliomba, nikasema, Mungu, sioni maisha yangu miaka mitano kuanzia sasa nitakufa Yesu niokoe Bwana, tafadhali niokoe. Nilikuwa nikilia wakati niliposema na nilipomwomba kuniokoa, nilihisi uwepo ndani mwangu kama moyo, na nilihisi mara moja kama dimbwi, na nikasema Bwana tafadhali niokoe na nilihisi tena nguvu zaidi . Ilikuwa kama mionzi. Nilipoamka asubuhi iliyofuata, nilikuwa nimebadilisha kila kitu kiliona kipya kama nilikuwa mtoto tena. Hofu yangu yote na mawazo yangu yote ya mbio mbio kila kitu kilikuwa kimeenda. Niliangalia mikono yangu, na nikasema hii haiwezi kuwa kweli haiwezekani. Nilijiangalia kwenye kioo, nikaona mtu mwingine. Nilianza kuomba, na roho takatifu ikawa kweli kwangu ilikuwa ikiniosha na ndani yangu. Ilikuwa upendo kamili na amani, na nikasikia sauti lakini sio inayosikika, ilikuwa sauti ya ndani. Ilisema niko nawe; Nakupenda, sitakuacha kamwe, imekamilika. Hiyo ilikuwa Mei 3, 2009, na tangu wakati huo nimemfuata Mungu, nimeona mambo mengi yakibadilika na mambo mengi najua hayangebadilika bila imani na imani. Ninajua ni nini kupotea ili kuhisi hauna tumaini. Usiwahi kufikiria kuwa umekwama, au maisha hayawezi kubadilika kwa sababu inaweza. Mama yangu ni Mkristo sasa, Usiku wake na mchana. Baadhi ya mambo ambayo yalikwenda katika kipindi hicho yalikuwa wasiwasi mkubwa na ulevi wangu wa pombe. Nimeona na kuona mambo mengi ambayo ni ya miujiza na nimeona jinsi Mungu amefanya kazi maishani mwangu. Tunapomwomba Mungu atusamehe kwa kile tumefanya na kuachana na dhambi zetu na makosa yetu na tunaamini katika dhabihu ya Kristo kila kitu kinabadilika. Neno lake linasema ikiwa tunakiri kwa vinywa vyetu kuwa Yesu ni Bwana na tunaamini mioyoni mwetu kwamba alikufa na kufufuka tutapata uzima wa milele lakini sio maisha tu baada ya kifo bali maisha tele kwa sasa. Dhambi zetu zinafutwa sio tu za zamani, za sasa, na za siku zijazo lakini mizigo yetu na woga pia huondolewa. Mawazo yetu, akili zetu, mioyo yetu, roho zetu hubadilishwa na kuunganishwa na Mungu na tunajua roho yake inakaa ndani yetu. Ukitafuta, omba, na kubisha utajua YESU NI MFALME !!! ANAISHI!
Sisi Wakristo hatuna wachungaji wa namna hiyo, hao ni wenzenu tu msitudanganye, mmewatengeneza, Yesu ndiye njia, kweli na uzima, asiyemwamini amekwisha kuhukumiwa, hatuna muda wa kupoteza..
Wakiristo tatizo kubwa kuwa Hawaisomi in.deep bibilia maana haya maandiko yamo ndani hiyo hiyo bibilia lakini hawayajui.. na hata hawasomewi haya maana watafunuka akili.... NA KWA SASA HAWAWEZI KUBADILISHANA TENA MAANA WALIFANYA AGANO JIPYA BILA LIMEWAHUKUMU TENA...
Mungu alisem hivi...watakatifu wote walioko dunian ndio walio bora n ndio anaopendezwa nao ss we kaa din din uone km kuna mbingu ya kiislam au kikristo....iko mbingu ya watakatifu tuu!

+Eliza Mnyanga yp ni kweli mungu anapenda watakatifu na pia mungu haangalii uzuri wako au kabila lako..lakini dini ni moja na ni ya uislam unafaa ukubali hilo..hakukuletwa dini zingine kaa munavyo dai nyinyi wakristo
Mimi ni mkristo naomba kusaidiwa sehemu hii nipate kuelewa waislamu wanasema mtume MUHAMMAD ndiyo mtume wa mwisho wa Mwenyezi MUNGU na pia wanasema mtume wa Mwenyezi MUNGU YESU hakufa yupo Mbinguni na ataruri tena Duniani kuishi sasa kati ya YESU NA MUHAMMAD ni nani mtume wa mwisho wa Mwenyezi MUNGU.
Muhammad ni mtume wa mwisho katika mitume kuteremshwa apo nimekusaidia kukuelimisha kdgo ila issa (a.s) hakusulubiwa wala hakuuwawa bali alipelekwa mbinguni mungu alimuepusha mtume wake na njama za wayahudi walotaka kumuua ila issa (yesu) atarudi kuja kudhihirisha uongo uliozushwa na watu kwamba yy ni mungu na yy mwisho atakufa na kiama ndo kitatokea baada ya kifo chake Ndgu ila tafuta ukweli zaidi ukristo sio dini kwn tukiangalia mitume wte ni waarabu na nyny mmeletewa dini na wazungu ivi hawa wazungu dini wameitoa wpi?
Haki gani , I know you Muslim fear to follow Jesus because once do that. Your family or follow Muslims they will stone you to death. Then you say islam is the religion of peace , which peace? we're even your family may abandon you because you are Jesus follower. lol. Truly , peace is found in Jesus Christ the prance of peace.
Katungu Kitambala.... jesus is a messenger of God. Muslims don't argue just for the sake of argument. Rather, we seek to glorify God in the purest sense of monotheism devoid of all kinds of idolatry. therefore, we love jesus more than our own selves,but we will never attribute divinity to anybody but God the creator.
@@katungukitambala4561 if following the teachings of Jesus is what christian is then we Muslims are more christians than christians themselves. You people do not follow any teaching of Jesus and yet you are calling yourselves Jesus followers. 😀😀😀. You people eat pork, enter church, not circumcised, do not prostrate before God. Who exactly are you following? 😀😀😀😀
Wazo tu lkn hawa wanaosilimu mucwaache tu watien nguvu kwa pesa na mahitaji yao yote muhim mm nipo tyr kutoa chchte lkn cjui tutawapaje hao waliosilimu
Mungu ali sema tu umbe mtu kwa mfano wetu, Sisi bina damu tu mfano wa Mungu ,msi changanye wa kristo nyinyi wa islamu,cha muhimu wa nyinyi ni dini na wanao mcha yesu kristo, sisi wote tufate masharti ya Mungu tu na tutii amri ya Mungu.
mashallah mwenyewe mungu awape masheikh wetu umri mrefu wazidi kusilimisha watu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
There's nothing attractive about Islam ,awesome without Allah😊
MASHALLAH MASHALLAH wallah laadhim ..dini ya hakk ni yakiislam .....nahaitatokea njooni kwettu wakristo
masha allah hakika uislaam ndio dini ya kweli Alhamdulillah kuwa mwislaam ni kheri kubwa saaaana
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته uislamu dini isiona Shaka ubishi acheni
Mazinge unaijuwa vizuri Bible na Quran i love you
Mashallah uislamu upo juuu najivunia kuwa muislam hawatuwezi 👌👌
Alhamdu lilah
wallah mnafurahisha mnavyojikanyaga😃😃 din ya biashara hiyo ukristo
am so happy when I see pple change their religious to be Muslim mashaAllah
Mashaalla umzima lkn lshally haroun
Hamna
Alhamdulillah kuonekaniwa na umma kuwa dini ya haki mbele ya allah ni uislam allah awafunguwe nyoyo zao na kuingia katika dinni ya kislamu takibirii
Allah Akbar
Allahu akbaru
Allahu Akbar
Uislam raha jamani, Laila ailaAllah Muhammad rausuluh allah
Naitwa Sheikh Maulid kutuka Eldoret Kenya Hamzan ako juu
Akasha Dawaah kazi nzuri,Jazaka Allahu kheir
Chake Athumani Ali nurndi.kishik
Chake Athumani Ali
Chake Athumani Ali
Alhamdulillah masheikh allah awajaalie kilalakheri mzidi kuwapa daawa wasio ujua uisilamu
Dini ya uislamu ndio dini ya haki mpele ya mwenyezi mungu
huna lolote
@@mariapatric7107 Mungu akuongoze ujue haki iliko
bila shaka dini ya haki ni uislamu
Uislamu Raha sana takbireeeeeee
Mihadhara km hii inasaidia kuamsha akili kwa lengo la kuwa karibu kati ya dini zetu. Hongera kwa wote Allah awabariki sana.
Hakika mazinge namkubali sana Mungu amoe Nguvu na maisha marefu zaidi
happiness yesu s mungu mungu auliwi wala afi
Haiishi apo,yesu kafufuka ,kashinda mauti.
Mwili wake ulikufa lakini nafsi yake haikufa
Almaruhum Yahay mungu akupe kheri uko uliko
Lailaha Illa llah subhanaka inni kuntum mina dhalimina
alhamudulilah akasha dawa kwa kazi nzur allah awa jaaliy ujira wen inshallah tumu ombe at fanyie wepesi
Allah awalinde masheikh wetu wazidi kueneza uislamu na kufanya kazi ya Allah
Mbona akumlinda Muhammed akilishwa sumu?
Wangapi wameangalia mwaka 2020
Gonga like tujuane
Shekhe mazinge ALLAH akupe kila la kheir 👏
Mazinge mwenyezimungu awe na ww daima kwa dawa unayoitoaa inshaallah
Innalilah wainalila Yahaya mung akupunguzie Adhabu in shaaAllh msomaji wa mazinge
ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR ALLAHU AKBAR
Allah akupe pepo ya juu marehemu sheikh yahaya
In shallah mazinge Allah atakulipa kher kwani una fanya kazi nzuri walai malipo ya mwanadamu yy ajuwa yy subhaña huwa taala
Mola awalipe kheri mashekh.. wetu inshaAllah mola aruziku pepo
i love mazinge for the sake of Allah (swt)
ahmed udug illegal forced
😂😂😂😂😂Ila yahaya ni comedy sanaa🤣🤣🤣
Allah amrehemu Sheikh Yahaya...amjaalie Firdaus
atakaetaka dini isiyokua y kiislamu haitakubalika
Tunaomba Aya moja tu inayo sema ukristo ni dini ya mungu ndani ya bibilia tafadhali
Ikitoka laki tatu Iko kwangu
Hakuna kitu kama hiyo,kuwa mkristo na kuwa na uhusiano moja kwa moja na muumba wako.
Wakristo ni wafuasi wa yesu,na Injili iliansikwa baada ya yesu kufufuka.
Yesu mwenyewe kasema yeye ndiye njia wa kweli na uzima ,kwa hivyo ukimfuata yesu umefuate njia ya kweli na yenye nuru.
kila mvuta kamba huvutia kwake jaman sishangaiii Ila yesu Ndyo njia ya uzima wa milele amina
wallah sidhani kama kunamtu amefanya kazi kubwa kama mazindi duniani na sidhani kama mazinge anadhambi kwa kazi hii
hakika uislam ndio dini,we happiness jielewe yesu hakupewa bibilia alipewa injili,
naam
Ati nini?
Bibilia ni mkusanyiko wa vitabu vingi .
Hao pastors wako sawa sana.Hao waislamu wana tafsiri mbovu sana
MA PASTOR WANA JIKAANGA WENYEWE
Kikabinti kizuri sana ninaimani kishasilimu na kupata mume inshaAllah
Najivunia kuwa MKRISTO yaani mtu wa Kristo Yesu, Natambua dini hiwayo yote si kitu mbele za YESU, Yeye Njia, Kweli na Uzima, Mtu amfikii MUNGU isipokua kwa njia ya Kumwami YESU tu
Shekh mazinge wew ni MWAMBAAAAAAA
Mashaallah allah akujaze kherii na akupe hitajii la moyo inshaallah
Masha Allah baraka Allah feekum ....!! May Allah sw shower the world with the NOOR of Islam AMEEN
i guess im randomly asking but does anyone know a way to log back into an instagram account..?
I somehow forgot the password. I would appreciate any tips you can give me!
@Kash Nicholas instablaster =)
@Justin Drew i really appreciate your reply. I got to the site on google and im waiting for the hacking stuff now.
Seems to take quite some time so I will get back to you later with my results.
@Justin Drew It worked and I finally got access to my account again. Im so happy!
Thank you so much you saved my account !
@Kash Nicholas happy to help :D
Allah akubarik ustdh yahya
Mihadhara hii mizuri sana inatufahamisha wapi tunakosea
Najivunia kuwa mkristo,Yesu milele👌👋👋👋👋👋
Jivunie but hauna huwezi kuitetea imani yako😀😀
@@nohatredbutlove5786 una hakika,au unachangamsha genge,kejeli zako hazitikisi imani yangu,wachanganyeni haohao mambulula mliowanunua hapo wasiojielewa
@@tedyokachu5013 ok basi, toa andiko kwenye bible kuwa ukristo ni dini. Au hata andiko limetajwa tu neno ukristo. Hakuna bible nzima so vipi utautetea Ukristo? 😀😀😀
@@nohatredbutlove5786 Ktk vitu ninavyoviheshimu na kuviogopa duniani cha kwanza ni dini ,siko tayari kuupinga ukristo wala uislamu ukizingatia mimi ni mzazi na siijui hatima ya kizazi changu tutaniane yooote ila mambo ya kiimani tuwe na subira🙏🏾
@@tedyokachu5013 me sifanyi utani ati. Mimi najaribu kukufumbua macho ili uiyone haki na kuifata. Leo upo hai lakini kuna siku sote tutarudi kwa alietuumba na sio unaemsingizia amekuumba. Ikifika hiyo siku wewe ndio utakuwa umekula khasara.
nimemuona omari bashiri allah amfanyie wepesi uko alipo in sha allah
Allahu Akbar wakristo nyenyekeni mbere za Mungu atusamehe
Allah awalipeni kila lakher kwakutujuza elim aaaamiiiinaaaa
Assalam Aleikum.. kazi ya kulinganiya watu ni ngumu ... jaribuni sana kutumiya maneno kwa unaye jaribu kumrekebisha akuelewe.. Qur'an 16:125 .. Isaya 1:18
Wakristo acheni njaaa ukweli mnaujua acheni kuwachanganya watu kisa sadaka zitawpeleka pabaya
ukristo sio dini
mbwa ww
patpatric ukiristo dini ya iblisi fakiri wewe
Jamani matusi sisi wegine hatutaki mungu ndie anae jua walio wake
Allah awahifadhi masheikh wetu Allahumma amiin
mazinge ungeishi marekani ma freemason wote wange silim.
Huruma ya Mungu iko juu yenu waislamu mnaoikana injili ya Yesu Kristo kutokubali kufufuka kwa Yesu kwa sababu hukumu iko kwa wale wanaomkana(2wathesalonike 1:8)aacheni upuuzi kwa mafundisho ya mapokeo angalieni nguzo ya imani yenu.Yesu ni mwingi wa rehema anasubiri mtubu awafanye wapya.uamuzi ni wenuu.
Waislamu hawàikani Injili bali wanaisadikisha kuwa ni kitabu cha Mungu alichomteremshia mtume wake Issa bin Mariam ( yesu).Na hata Muhammad kabla ya kupewa utume alikuwa akiishi kwa kufuata yaliyomo kwenye Injili.Tatizo kwa sasa Injili imechezewa yaani kuna mikono ya wanaadamu imeingia kwa lengo maalim.Na kwa taarifa yako Qur'an ni collection ya Taurati, Zaburi na Injili ndio maana kwenye Qur'an utakutana na yaliyomo kwenye vitabu hivyo.
Nilianza kunywa nilipokuwa na umri wa miaka 16. Nilikunywa kwenye karamu, lakini pia nilianza kunywa peke yangu kwa sababu sikuwa na raha, na nilikuwa kwenye maumivu mengi ya kihemko wakati wote. Mama yangu alikuwa mkali sana nilipokuwa mchanga, na kaka yangu alimuumiza na hivyo mimi. Alianza kunyongwa na watu wenye kivuli, alianza kutofaulu masomo yake yote, hakuwahi nyumbani, na wazazi wangu walipambana wakati wote. Nilikimbia pia mara kadhaa. Siku zote nilikuwa nikijaribu kujua sababu ya kwanini nilikuwa hapa au kusudi la maisha lilikuwa nini. Kwa hivyo, nilianza kutazama falsafa tofauti, dini, na imani. Wakati nilikuwa na miaka 18 baada ya kunung'unika, niliinama na nikazungumza kwa mara ya kwanza. Niliuliza ikiwa Mungu ni kweli atanionyeshea ni kweli kwa sababu ni lazima nichukue tena. Nilikuwa nikilia wakati niliongea hii. Wakati huo nilihisi uwepo ukinipanda kama upepo. Haikuonekana kabisa, lakini haikuwa tofauti na kitu chochote maishani mwangu ambacho nilikuwa nimeona hadi wakati huo. Nilishangaa niliposikia na nakumbuka nikisema "ilikuwa nini hiyo?" Baada ya uzoefu huo mimi sana nilisahau kilichotokea na kuendelea kuaga, hadi mwaka wangu wa juu nilipokamatwa. Baada ya kukamatwa, wazazi wangu walipoteza imani yao yote kwangu na nilifukuzwa shule ya upili. Sikuwahi kuambiwa nirudi. Wakati huo, nilihisi hofu na kutokuwa na tumaini. Nilipoanza kumtafuta Mungu, na nilidhani atajifunua katika maisha yangu na kwamba atanipa ishara. Maombi yangu yakaanza kujibiwa kila wakati hadi sikuweza kukataa kuwa Mungu alikuwa akifanya kitu. Ilikuwa ya kushangaza na ya kulazimisha. Niliishia Kanisani na kuanza kusoma masaa ya bibilia kwa siku. Niliacha kunyongwa na marafiki wangu wengine kwa sababu walikuwa wakikamatwa kila wakati. Niliweza kusamehe familia yangu na mimi mwenyewe na kuomba kusamehewa. Niligundua jinsi watu wa Kanisa walivyohukumu na jinsi wanaunda vikundi lakini waliogopa kuwa karibu na mtu mwingine yeyote tofauti nao. Iliongezeka imani yangu kwa sababu niligundua Yesu hakuwa kama hiyo na tangu nilipokuwa mchanga, niliona watu kama watu bila kujali wao ni nani. Baada ya muda mfupi, ni kama ningeona uwepo wa Mungu ulikuwa katika maisha yangu na ndipo ikahisi kama hakuwa, na hapo ndipo alipokuwa, na sivyo sivyo. Siku moja niliamka na nilihisi mnyonge zaidi kuliko vile nilivyowahi kufanya katika maisha yangu yote. Nilihisi kama nilikuwa nikifaa ndani. Usiku huo niliomba, nikasema, Mungu, sioni maisha yangu miaka mitano kuanzia sasa nitakufa Yesu niokoe Bwana, tafadhali niokoe. Nilikuwa nikilia wakati niliposema na nilipomwomba kuniokoa, nilihisi uwepo ndani mwangu kama moyo, na nilihisi mara moja kama dimbwi, na nikasema Bwana tafadhali niokoe na nilihisi tena nguvu zaidi . Ilikuwa kama mionzi. Nilipoamka asubuhi iliyofuata, nilikuwa nimebadilisha kila kitu kiliona kipya kama nilikuwa mtoto tena. Hofu yangu yote na mawazo yangu yote ya mbio mbio kila kitu kilikuwa kimeenda. Niliangalia mikono yangu, na nikasema hii haiwezi kuwa kweli haiwezekani. Nilijiangalia kwenye kioo, nikaona mtu mwingine. Nilianza kuomba, na roho takatifu ikawa kweli kwangu ilikuwa ikiniosha na ndani yangu. Ilikuwa upendo kamili na amani, na nikasikia sauti lakini sio inayosikika, ilikuwa sauti ya ndani. Ilisema niko nawe; Nakupenda, sitakuacha kamwe, imekamilika. Hiyo ilikuwa Mei 3, 2009, na tangu wakati huo nimemfuata Mungu, nimeona mambo mengi yakibadilika na mambo mengi najua hayangebadilika bila imani na imani. Ninajua ni nini kupotea ili kuhisi hauna tumaini. Usiwahi kufikiria kuwa umekwama, au maisha hayawezi kubadilika kwa sababu inaweza. Mama yangu ni Mkristo sasa, Usiku wake na mchana. Baadhi ya mambo ambayo yalikwenda katika kipindi hicho yalikuwa wasiwasi mkubwa na ulevi wangu wa pombe. Nimeona na kuona mambo mengi ambayo ni ya miujiza na nimeona jinsi Mungu amefanya kazi maishani mwangu. Tunapomwomba Mungu atusamehe kwa kile tumefanya na kuachana na dhambi zetu na makosa yetu na tunaamini katika dhabihu ya Kristo kila kitu kinabadilika. Neno lake linasema ikiwa tunakiri kwa vinywa vyetu kuwa Yesu ni Bwana na tunaamini mioyoni mwetu kwamba alikufa na kufufuka tutapata uzima wa milele lakini sio maisha tu baada ya kifo bali maisha tele kwa sasa. Dhambi zetu zinafutwa sio tu za zamani, za sasa, na za siku zijazo lakini mizigo yetu na woga pia huondolewa. Mawazo yetu, akili zetu, mioyo yetu, roho zetu hubadilishwa na kuunganishwa na Mungu na tunajua roho yake inakaa ndani yetu. Ukitafuta, omba, na kubisha utajua YESU NI MFALME !!! ANAISHI!
Subhanallah
NAJIVUNIA KUWA MUISLAM..
Tara by
@@khamisabdul4617 mmmmmmMMMMMM ZZZZ
Nini cha kujivunia kwenye uislamu?
Jaman samahani kwaswali langu hivi yahaya yukowapi haonekani huyu jamaa nampenda sana yukowapi naomba kujibiwa hili swali
Muulize lady jay dee. yeye mwenyewe hajui anaishi wapi
Amefariki 2020
Sheikh Yahaya amefariki, Allah amjaalie Firdaus kwa kadar zake...
TAKBIR ✅✅✅✅🙏👏😘😂😂🤣 ALLAH AKBAR
Sisi Wakristo hatuna wachungaji wa namna hiyo, hao ni wenzenu tu msitudanganye, mmewatengeneza, Yesu ndiye njia, kweli na uzima, asiyemwamini amekwisha kuhukumiwa, hatuna muda wa kupoteza..
Peter Matonya ameee
Nyinyi tatizo lenu hamusomi dini yenu,munakuwa watu wa kusomewa maandiko tu .
Wakiristo tatizo kubwa kuwa Hawaisomi in.deep bibilia maana haya maandiko yamo ndani hiyo hiyo bibilia lakini hawayajui.. na hata hawasomewi haya maana watafunuka akili.... NA KWA SASA HAWAWEZI KUBADILISHANA TENA MAANA WALIFANYA AGANO JIPYA BILA LIMEWAHUKUMU TENA...
Najivunia kua muislam
UISLAM NI DINI YA HAKI, HAMNA LENU WAKRISTO KWA SABABU UYO YESU MWENYEWE ANASUBIRI HUKUMU KWA MOLA WAKEE. POLENI SANA KWA KUPOTEA
Mungu alisem hivi...watakatifu wote walioko dunian ndio walio bora n ndio anaopendezwa nao ss we kaa din din uone km kuna mbingu ya kiislam au kikristo....iko mbingu ya watakatifu tuu!
Mungu alisem hivi...watakatifu wote walioko dunian ndio walio bora n ndio anaopendezwa nao ss we kaa din din uone km kuna mbingu ya kiislam au kikristo....iko mbingu ya watakatifu tuu!
+Eliza Mnyanga
yp ni kweli mungu anapenda watakatifu na pia mungu haangalii uzuri wako au kabila lako..lakini dini ni moja na ni ya uislam unafaa ukubali hilo..hakukuletwa dini zingine kaa munavyo dai nyinyi wakristo
+Eliza Mnyanga mbingu niya walio pokea Yesu na kuoshwa na damu yake.
+Katungu Kitambala huhuhu unachekesha ati ww kwahivyo umeoshwa kwa damu yake!!!
Mazinge Masha Allah
Mashallah shukran sheikh mazinge pasta kachangnyikiwa kachukua utabiri wa Emanuel ndio yesu kashindwa na hoja huyo hahaha
Allahu Akbar
Sawa sawa baba wape dawa
May God bless you all
Eti kanisa ni mke wa yesu dah wakiristo mmekosa akili kweli kweli mungu anawaona
wote walokuja mbele wanaambiwa aje mwingine ndo anakuja mbona mwapinga ... wakristo hawatoamin baadh yao mpk moto
Hawanaga majibu kila cku wamepotelea mbali saaana hao niombe tu kuna mmoja kafiri aliyebakia anaitwa Hamza Issa
S
Hawana jipya hao
Wachungaji wote hao wameshindwa kutetea ukrsito wao ?kweli haki itabaki kuwa haki
Usilam dini ya Kheri.. Allah Akbar
Mungu azidi kuwaweka maulama wetu
hakika din ya kweli ni uislam jaman tatizo watu hawasomi vitabu vyote viwili Quran na biblia ili wajue dini ya haki
Wewe ulie ijuwa unataka tukusaidie nini
Waache wakataka kujua wata kuja wenye usiwalazimishe hata kumfuata mungu na kuamua kukua mtoto wake ni maamuzi ya mtu
hawa wakristo huwa wanajitoa fahamu lakini huwa wanaelewa vizuri tu
😄😄😄😄
T.
Ebu tuache
utajitoa fahamu wewe mwenyewe ebu tulia mungu ndie anae jua walio wake
Wallah
Huyu yahya yupo?
huyo heppy ni kafiri tu hana lolote kwa waislam sisi ndio maprofesa Takbirrrrrrrr!!!!!!!!!
Allahu Akbar
Allah akbar
ALLAHU AQBAR
Farid Mob Ji... Allahu Akbar
Allah akbar
Mimi ni mkristo naomba kusaidiwa sehemu hii nipate kuelewa waislamu wanasema mtume MUHAMMAD ndiyo mtume wa mwisho wa Mwenyezi MUNGU na pia wanasema mtume wa Mwenyezi MUNGU YESU hakufa yupo Mbinguni na ataruri tena Duniani kuishi sasa kati ya YESU NA MUHAMMAD ni nani mtume wa mwisho wa Mwenyezi MUNGU.
Kwa mujibu wa waislamu YESU hakuwa nabii wa waulimwengu mzima bali kwa ban-israel
Muhammad ni mtume wa mwisho katika mitume kuteremshwa apo nimekusaidia kukuelimisha kdgo ila issa (a.s) hakusulubiwa wala hakuuwawa bali alipelekwa mbinguni mungu alimuepusha mtume wake na njama za wayahudi walotaka kumuua ila issa (yesu) atarudi kuja kudhihirisha uongo uliozushwa na watu kwamba yy ni mungu na yy mwisho atakufa na kiama ndo kitatokea baada ya kifo chake
Ndgu ila tafuta ukweli zaidi ukristo sio dini kwn tukiangalia mitume wte ni waarabu na nyny mmeletewa dini na wazungu ivi hawa wazungu dini wameitoa wpi?
Kama wakristo hamkubalu kuwa uwislam ni dini ya haki haya kaeni toene wisho wenu.
Haki gani , I know you Muslim fear to follow Jesus because once do that. Your family or follow Muslims they will stone you to death. Then you say islam is the religion of peace , which peace? we're even your family may abandon you because you are Jesus follower. lol. Truly , peace is found in Jesus Christ the prance of peace.
Katungu Kitambala.... jesus is a messenger of God. Muslims don't argue just for the sake of argument. Rather, we seek to glorify God in the purest sense of monotheism devoid of all kinds of idolatry. therefore, we love jesus more than our own selves,but we will never attribute divinity to anybody but God the creator.
Mbona hujui hata kuandika vizuri? Umeishia la ngapi?
@@katungukitambala4561 if following the teachings of Jesus is what christian is then we Muslims are more christians than christians themselves. You people do not follow any teaching of Jesus and yet you are calling yourselves Jesus followers. 😀😀😀. You people eat pork, enter church, not circumcised, do not prostrate before God. Who exactly are you following? 😀😀😀😀
Yarabi nakuomba unifishe muislamu wa kweli :: yarabi nipe mwisho mwema
Mbn wajiombea pkeako
uisilamu ndio ni dini ya haki
swadakta
Uislam Raha sana Wallah
Ppp0
Waislam wenzangu uwislam nizawaid aliyo tupa mungu jitu ukiliona alielekei muachilie mbali
Wazo tu lkn hawa wanaosilimu mucwaache tu watien nguvu kwa pesa na mahitaji yao yote muhim mm nipo tyr kutoa chchte lkn cjui tutawapaje hao waliosilimu
Taqbirrrrr allahu aqbar Islamic ndio dini ya haqqi
Mashallah mungu awabaliki sana
Yaan kuwa muislam har jamn Alhamdulillah
Mungu mmoja
Inna dina yyinda llwahi l islamu ::hakika dini yakweli ni uislamu
Ukweli
ukristo n kampun ya watu weupe,wanaopotosha maandiko na kudai Biblia n kitabu cha Mungu
Ni wao wala sio wewe kwahio tulia
masha Allah
mhadhara mzuri
Wa 2020 tujuane
From 2024 anyone there
Mungu ali sema tu umbe mtu kwa mfano wetu, Sisi bina damu tu mfano wa Mungu ,msi changanye wa kristo nyinyi wa islamu,cha muhimu wa nyinyi ni dini na wanao mcha yesu kristo, sisi wote tufate masharti ya Mungu tu na tutii amri ya Mungu.
kumbe munguwako nayey amatanuliwa kama we
"Na wale wote waliolala katika kristo wamepotea" naomba anaejua hiki kifungu anisaidie plz.
Wakolinto 15/18
Maashaallah
Uislamu ndio dini ya haki
Dini zote nisawa na zote zinakemea ubaya na zinamzungumzia Mungu so kulamtu afanye utii
Mashaa Allah tabaraka Rahman. Alhamdulillah ala neematil islam
Alhamdilillah kwa kupewa neema ya Uislamu