Mazinge vs Saimoni Baba jina lake nani 1 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @mwalimual-ismaily756
    @mwalimual-ismaily756 3 ปีที่แล้ว +3

    YAHAYA. Innaa Lillahi wainnaa ilayhi rajiuuna. Allahumma ighfir lahu warhamhu waskinhu filjanna.

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akusamehe madhambi yako na akupe amani ya kaburi

  • @hafidhmohd8696
    @hafidhmohd8696 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah mlaze pahala pema peponi Yahaya . Alikuwa anajaua mazinge alikuwa hapati tabu yani dah alikuwa hatari sana

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu amlaze marehemu mahali Pema peponi Yahya(Yahaya mpe huyoo,msomaji hodari wa mazinge)....Amefariki Leo 19.03.21....poleni Sana jamaa na marafiki...

  • @aishaseif7794
    @aishaseif7794 11 ปีที่แล้ว +3

    Vizuri sana Ustadhi Mazinge kwa Darasa lako la kuwatoa watu kizani na kuwaweka katika mwangaza Mungu akujalie na Imani hiyo hiyo na akusamaehe madhambi yako yoote ya mwanzo na kivuli cha kheri kiwe mbele yako na kesho huko uwe mstari wa mbele pamoja na Mtume wetu Muhammad (s.a.w). "Yaarabbi Mjaalia mja wako huyu kila analo litaka kwake liwe kama pepo jinsi ana vyoitafuta" "Ameen"

  • @hasyno9805
    @hasyno9805 3 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣yahaya mungu amrehemu amuingize ktika bustani za pepo

  • @husseinmushi
    @husseinmushi 11 ปีที่แล้ว +4

    Ustadhi Mazinge upewe umri uendelee kuisambaza dini ya Allah

  • @Aqdaam
    @Aqdaam 12 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah ! Brother Mazinge Mungu akupe umri mrefu uzidi kuwapa mwelekeo walio potea !

  • @faridsaid9180
    @faridsaid9180 3 ปีที่แล้ว

    msomaji yahya ameshafariki. Allah ailaze roho yake mahali pema peponi

  • @abdoulkarenzo3138
    @abdoulkarenzo3138 3 ปีที่แล้ว

    Yahya Allah amlaze mahali pema

  • @babugernest8121
    @babugernest8121 9 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hampi nafasi ya kujibu maswali anayowauliza badala mnamshambulia na kukejel dini yake,dini iliyosafi n kuwajali wajane,maskin,wagonjwa nk TUBUNI DHAMBI

  • @emmanuelwafula9921
    @emmanuelwafula9921 3 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar

  • @shamsiaabdul8679
    @shamsiaabdul8679 3 ปีที่แล้ว

    Nimecheka sana

  • @anuarymriri8519
    @anuarymriri8519 6 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @biashabiashawallahuislamra2020
    @biashabiashawallahuislamra2020 7 ปีที่แล้ว

    majina yetu safi sio kina petro

  • @arafatalbrashdi4480
    @arafatalbrashdi4480 10 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @Bongodaressalaam
    @Bongodaressalaam 12 ปีที่แล้ว +1

    Tumsifu mtume muhamad kwa kutupa elimu mpaka sasa inazidi kuenea dunian kote

  • @biashabiashawallahuislamra2020
    @biashabiashawallahuislamra2020 7 ปีที่แล้ว

    mpe jina huyo simon kitu gani

  • @einsteinchacha5797
    @einsteinchacha5797 2 ปีที่แล้ว

    Midahalo iliyoendeshwa kiholela..... Uislamu Ni dini ya uongo. Unabishana na mkristo asiyeijua biblia vizuri alafu unataka sifa

  • @alijuma7527
    @alijuma7527 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @mashiabdul4997
    @mashiabdul4997 11 ปีที่แล้ว

    Mashallah