Kubishania maandiko hakuna tija ktk afya ya kiroho. Mhimu ni kuamini kile unachokiamini na kuheshimu imani ya mwingine. Mnabishana watu wenu wana njaa ya uchumi, maradhi, uduni wa elimu, hawana chanzo cha kipato. Fundisheni watu wapate afya ya roho na mwili.
Mashaallah shekhe mazinge allah akupe umri mrefu
ALLAH akup umri mref HABIB mazinge.uzid kulipeleka ili gurudum🇨🇦🇨🇦
Allah akupee mazuri na akuzidishie InshaAllah
😂😂 MASHA ALLAH ❤️🙏
Hahahahahahahahaha mazinge kiboko kwa maswali da shida
Unanikosha sana mazinge
Kubishania maandiko hakuna tija ktk afya ya kiroho. Mhimu ni kuamini kile unachokiamini na kuheshimu imani ya mwingine. Mnabishana watu wenu wana njaa ya uchumi, maradhi, uduni wa elimu, hawana chanzo cha kipato. Fundisheni watu wapate afya ya roho na mwili.
Anataka kusujudu nayey ni kafiri