Fix You: Namna ya kuendelea na ndoa/mahusiano baada ya kusalitiwa na mwenzi wako

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ก.ค. 2023
  • Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti
    / simulizinasauti

ความคิดเห็น • 54

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 ปีที่แล้ว +8

    Mgeni wako huyu yuko vizuri kichwani, ana utulivu, ana madini, beauty with brains.Mualike tena na tena ,ana hekima sana.Hongera dada you are good 👍

  • @celinaphysoo4919
    @celinaphysoo4919 ปีที่แล้ว +5

    Mungu kakupa kitu cha ziada yua so smart ♥️🤍

  • @esthermichael3221
    @esthermichael3221 ปีที่แล้ว +5

    Duuh hili somo ni zuri Sana na pia ni guumuu kulielewa kama akili aijatulia na kujitambua.
    Sister SALOME hongera kwa kazi nzuri unayofanya

  • @user-qt4kf3dv3b
    @user-qt4kf3dv3b ปีที่แล้ว +11

    Ilauyu dada yukovizuli sana nimemkubali sana endeleeni kumualika atupe madini

  • @marmzrelationshiphub7907
    @marmzrelationshiphub7907 ปีที่แล้ว +8

    Kwa kifupi niseme Salome umeupiga mwingi sana 💞💞 umeongea kwa utulivu sana na umeeleweka vyema watu wakifuata haya watakua salama sana hata wasipoendelea kuwa pamoja lakini amani inakua imetengenezwa baina yao.Irene mada muhimu sana maana ni kitu kinatesa wengi sana.Clap Clap 👏💋🥂

    • @agnesskiginga3890
      @agnesskiginga3890 ปีที่แล้ว +1

      Salome yuko vizur sana kuna MTU mwingne anakuwa ametangaza kuachana na MTU halafu bado anakuwa anamfuatilia Mtu yule yule aliyetangaza kumuacha nini cha kufanya

  • @economistsarafina8085
    @economistsarafina8085 ปีที่แล้ว +4

    My favorite counselor

  • @user-vk5vi3es5g
    @user-vk5vi3es5g 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ivi mwanaume kakusaliti kimya kimya mpaka ukajua kujua na mungu kamuumbua kapata na maradhi ukimwi lakin mungu fundi mwanamke yupo salama je usaliti km huu unaweza je kuendelea kuishi na mtu km uyu ikiwa ata km ningekuwa mm ndo nimemsaliti ndo ni kapata hayo maradhi basi angeniacha jamani nishaulini mume ndo alikuwa msaliti sana tena ule usaliti wa wazi kabisa unaishi je vp na uyu mtu jamaniii mwenye ushauri nafatilia comment ata uyo dada salome km ataiona hii sms tafadhaari naomba nisaidie ata namba ya cm niweze kusaidika😭😭😭

  • @sumayaishengoma4543
    @sumayaishengoma4543 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana umefanya vizuri kumleta mdada mtaaluma wa mambo haya

  • @Tonga994
    @Tonga994 ปีที่แล้ว +5

    Huyu dada yuko vizuri sana hakika namkubali sana,hakuna mahali nitamwona niache kumfuatilia na kumsikiliza,proud of you Dear Sister Salome👏👏👏

  • @manyamalima1916
    @manyamalima1916 ปีที่แล้ว +3

    Your the best salome

  • @PendoAlex-pp9vz
    @PendoAlex-pp9vz 11 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂 Salome Salome umeniponya

    • @salomenelson711
      @salomenelson711 10 หลายเดือนก่อน

      Asante sana. Tumrudishie Mungu sifa na utukufu

  • @williamjumbe1928
    @williamjumbe1928 ปีที่แล้ว +3

    Hiki ni moja ya kipindi pendwa na bora sana

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +4

    Halafu watu wanaaminishwa wazee ndio wana maarifa. Kumbe maarifa huanzia ujanani. Dada kajaa madini.

  • @ashaidd2912
    @ashaidd2912 ปีที่แล้ว +6

    Big up Irene Salome yupo vzr sana

    • @salomenelson711
      @salomenelson711 ปีที่แล้ว

      Asante sana

    • @ashaidd2912
      @ashaidd2912 ปีที่แล้ว

      @@salomenelson711 uje tena uendelee kutupa madini mamii Kuna mengi hayaseneki jmn

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 ปีที่แล้ว +3

    Huyu dada❤❤ Salome

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 11 หลายเดือนก่อน +2

    Da Iren Salome namuelewa vzr Sana pamoja na Mwl Kanuti Asante sana Kwa haya majembe

  • @ingabireritha3740
    @ingabireritha3740 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nice one jamani❤

  • @user-qt4kf3dv3b
    @user-qt4kf3dv3b ปีที่แล้ว +5

    Mualike tena aludi uyo

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว +4

    Salome you have say all 👏👏👏👏

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj ปีที่แล้ว +2

    Asante

  • @madamrita9685
    @madamrita9685 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kindly please send me his number
    She is the best
    Nataka kuongea nae .. mama mama mjanja sana kama mimi ..

  • @mohdabdallahhasarakwao4353
    @mohdabdallahhasarakwao4353 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mume kama huyo ni bora mukavunja ndoa tu ikiwa ww hukuathirika

  • @Kingajang0
    @Kingajang0 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤

  • @sarahsingombe
    @sarahsingombe ปีที่แล้ว +2

    Asee kipindii kizurii saaana

  • @madamrita9685
    @madamrita9685 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kindly please naomba unitumie number ya uyo mama nimevutiwa nae sana...ni mwerevu sana kama mimi...nataka kuongea nae...

  • @feadamagessa889
    @feadamagessa889 หลายเดือนก่อน

    Jamani kimya kimya tutaongeza ukimwi tuludi kwa mumgu

  • @KichereTheDataScientist
    @KichereTheDataScientist 11 หลายเดือนก่อน +1

    💪

  • @hamadsaidy8740
    @hamadsaidy8740 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo Zambia nafatilia mpe hai salome

  • @jworld1480
    @jworld1480 10 หลายเดือนก่อน +1

    hiki kichwa hatari sana

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 11 หลายเดือนก่อน +1

    Dada Iren Asante Kwa kipindi hiki lakini natamani nizungumze nawe inbox huenda changamoto yangu ikapata dawa mbaya zaidi namtumia WhatsApp tu utanisaidiaje?

  • @mussafoum6562
    @mussafoum6562 ปีที่แล้ว +2

    Hollo lreni

  • @anitamwamini2646
    @anitamwamini2646 9 หลายเดือนก่อน

    Dada salone mimi naoma kuelewa kuna aina ya mbili za kusaliti yakwanza kuna kusaliti na kuacha su kuendelea
    Na kuna kuchepuka na kuzaa na muchepuko je hii nayo unaiona vipi? Tunaomba msaada
    Dada Aileen muombe dada Salome arudi aweze kudadavua hilo tweeze kuelewa hasa kwa wanandoa

  • @zakhiamsuya4922
    @zakhiamsuya4922 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji inaonyesha anawivu na mumewee sanaa na anawasiwasi sanaa namume wake nakuona tuu😂

  • @user-vk5vi3es5g
    @user-vk5vi3es5g 9 หลายเดือนก่อน +1

    Dada samahani mim mume wangu alinisaliti na mbaya zaidi alipata ukimwi sikuwahi kujua nilikuja kugundua nilivyokuwa mjamzito tulikwenda wote klinik kupima maginjwa yote yeye akakutwa na ukimwi je usaliti huu unaweza je kuendelea kuishi na mtu km huyu na ni baba mzuri tu kwa watot wake lakin huo ukimwi kaipata kwa kunusaliti alikuwa malaya sana tena kwa dhahili kabisa hakuna kificho ila mim nashukuru ni mzima sijaathilika ni yeye tu

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 6 หลายเดือนก่อน

      Kwanza Dada kabla ya yote tafuta sadaka upeleke kanisani kama uu mkristo au msikitini kama uu mwislam ukamshukuru Mungu kwa huo muujiza aliokutendea Mungu ndio mengine yafuate.

    • @user-vk5vi3es5g
      @user-vk5vi3es5g 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@happnesskitumbo5713ndugu cyo sadaka tu nilichinja adi kuku kwa kufurahia afya yangu yani nimeponea kwenye mtundu la sindano cyo kitu rahisi lakin mw/mungu aliniokoa katika janga

    • @subralugege7019
      @subralugege7019 3 หลายเดือนก่อน

      Pole uvumilivu unapomza jamani tusivumilie ualiti Bora aoe Kama muislamu

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 ปีที่แล้ว +2

    ❤ Dada kamgisha ulisatiwa Nini inaonekana ulifanyiwa vibaya Sana

    • @irenekamugisha
      @irenekamugisha ปีที่แล้ว +2

      Watanzania mtaacha lini kudhania!! Inabidi nivae uhusika ili update maudhui nayotamani uyapate!

    • @msangodiesel3132
      @msangodiesel3132 ปีที่แล้ว

      @@irenekamugisha kwenye kipengere hicho unakipiga msumali Sana

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 ปีที่แล้ว +1

      ​@@irenekamugishaWasamehe bure. Hawajui unajaribu kuuvaa uhusika ili somo lieleweke kirahisi.

    • @irenekamugisha
      @irenekamugisha ปีที่แล้ว

      😂😂😂 basi sawa, tuseme ndivo ili ufurahi, yote kwa yote ahsante kwa kufuatilia #FixYou share na rafiki zako waone Jinsi nilivyopigika😂😂

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 ปีที่แล้ว +1

      Watanzania sisi sasa na assumptions 😂😂,unaweza ukawa unafanya maisha yako ukapungua ,kumbe ushakua diagnosed

  • @mohdabdallahhasarakwao4353
    @mohdabdallahhasarakwao4353 6 หลายเดือนก่อน

    Dada umetoa darsa la nguvu hapo