KUFA NA KUFUFUKA KWA MASIHI ISSA NDANI YA QUR-AN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 50

  • @RedBelt-m2k
    @RedBelt-m2k 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mohamed mtoe kwenye wokovu
    Yuda 1:4 🎉
    Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ana struggle vipi mtumishi!!! Ulivyosema tu Yesu kafa msalabani nikaona kabisa wewe mweupe

  • @elizabethmwarjaset2468
    @elizabethmwarjaset2468 6 หลายเดือนก่อน +2

    Sisi tusio kua na uelewa mzr wa uislam na ukristo tunakuelewa kinyama na tunapenda uchambuzi wako

    • @chidiboy8000
      @chidiboy8000 6 หลายเดือนก่อน

      Soma Qur an ndugu yangu usipelekeshwe na mawakala wa shetani ,,,kama wew unaamini Nabii Muhammadi ndio nabii alieshushushiwa Qur an basi shikilia apo usiyumbishwe Imani yako

  • @josephanthon8037
    @josephanthon8037 6 หลายเดือนก่อน

    Ifundishe Damu ya YESU waislam waijue waache kuchinja wanyama.

  • @AlfaniHatibu
    @AlfaniHatibu 2 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu, umebalikiwa sana, ukiyafunua zaidi haya, kila mtu atamjua MUNGU

  • @JennyGambis
    @JennyGambis 3 หลายเดือนก่อน

    Shalom baba nabii Eliya mm mwanao philbert nakupata nikia ngara..balikia mtumishi wa MUNGU

  • @JennyGambis
    @JennyGambis 3 หลายเดือนก่อน

    Shalom baba nabii Eliya mm mwanao philbert nakupata nikia ngara..balikia mtumishi wa MUNGU

  • @CharlesMangumba
    @CharlesMangumba 6 หลายเดือนก่อน

    Nimekuskiliza ww ni tofauti na waislamu wengine ww ukopoa sana, Mungu akusaidie uya jue mengi, wanao kuponda niwenye itikadi kali za dini

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 5 หลายเดือนก่อน

    Kumbe.uislam kaanzisha Muhammad

  • @HekimaSalama
    @HekimaSalama 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kukupa mahalifa zaid uendelee kutufundisha watoto wake

  • @michaeljohn6136
    @michaeljohn6136 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana mtu wa Mungu.

  • @SHULE_YA_KRISTO
    @SHULE_YA_KRISTO 8 หลายเดือนก่อน +2

    Unawaandaa watu kwaajili ya kumtukuza mpinga Kristo. Usiwabebeshe watu mzigo...Mungu anataka tumsikie MWANAE... na imeandikwa, Kanisa ndio mwili wa.KRISTO.... SASA huyo.muhamadi ni nani.katika kanisa???.. ni kiuno, Mkono, pua??.... muongo wewe.

    • @issajuma3489
      @issajuma3489 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu akusamehe kwa kunitusi mimi mwehu, nauliza swali kuliko unijibu , unanitusi utanisaidia jee,mtumishi wa Mungu hapashwe kutoa mabaya kinywani mwake ila ni baraka,
      Aksante kwa kunivunja moyo , kukuliza tena.

    • @SHULE_YA_KRISTO
      @SHULE_YA_KRISTO 8 หลายเดือนก่อน

      @@issajuma3489 nani amekutukana....mbona unakuwa Muongo chini ya jua?.. unataka kumpendeza Mwanadamu au MUNGU?...
      Maana Mungu ndiye atakaye kuhesabia haki kuwa ni Muongo.

    • @stanfordsaulo5403
      @stanfordsaulo5403 6 หลายเดือนก่อน

      Nakuomba ujifunze vita haipigani kwa slaa ya aina Moja jifunze Kuna kitu waweza kupata kutoka kwake

    • @SHULE_YA_KRISTO
      @SHULE_YA_KRISTO 6 หลายเดือนก่อน

      @@issajuma3489 una fitina sana

    • @SHULE_YA_KRISTO
      @SHULE_YA_KRISTO 6 หลายเดือนก่อน

      @@stanfordsaulo5403 vita tunapigana kwa silaa moja tu.. nafikili imeandikwa mahali fulani.
      Upanga ni neno la Mungu
      Mkanda ni hekima
      Elementi ni roho mtakatifu...
      Vita vyetu si vya damu na nyama.....
      Hayo ya kimwili ni Yesu atatushindia.

  • @hanskidd2290
    @hanskidd2290 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaah hjapindisha somo zuri mwenye chuki hawez elewa hapa

  • @issajuma3489
    @issajuma3489 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shalom Nabii Elias na Amani ya bwana wetu yesu kristo iwe nawe
    Mtumishi nisidie, Mungu wa israel, ndie Mungu wa waislam ao hapana? Nimeuliza kwa sababu , nlifuata, video moja ya mubunge moja wa utiruki,alisema alah mungu wa wa Islam talipiza israel sababu ya mauji ya wapalestine, hapo hapo akaanguka na kufa,
    Kama Mungu wa israel na ndie Mungu wa wa Islam , kwa mini Yule mubunge afe kwakutamka mabaya , kwa wa israel?
    Niko na ile video

  • @samsonthoya4275
    @samsonthoya4275 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amin Baba Nabii Eliya......
    Unachokifundisha nikweli. Ila ingekua vizuri kama ungeachilia access ya download kwa hii clip apa youtube.... ❤

    • @chancekambale3498
      @chancekambale3498 8 หลายเดือนก่อน

      Tumia mp3
      Enda google andika mp3 download utai download. TH-cam haiwezi mpaka ulipie.

  • @erickrakitic9113
    @erickrakitic9113 8 หลายเดือนก่อน +1

    Unakaa kimya sana mtumishi wa MUNGU

  • @omaar5693
    @omaar5693 8 หลายเดือนก่อน

    13:34
    Mbona ametajwa🙄
    37:107 Basi tukamtolea fidia kwa dhabihu mtukufu.
    ....112. Na tukambashiria kuzaliwa Is-haqa.....
    🤪 tukio linaisha isaka hajulikani...

  • @SHULE_YA_KRISTO
    @SHULE_YA_KRISTO 8 หลายเดือนก่อน

    Waislam wanafuata sheria za kale...na hizo zinapingana na Kristo. Huwez ukatumika kwa Yesu...mafundisho yake yakaendana na ya Muhamad. Utakuwa serial killer

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 8 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akujalie zaidi uwafundishe zaidi

  • @stanfordsaulo5403
    @stanfordsaulo5403 6 หลายเดือนก่อน

    Maneno aya yanamafundisho sana ,asha aendelee kutupiga blashi

  • @geofreyhinda6617
    @geofreyhinda6617 6 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa Mtumishi wa Mungu.

  • @hanskidd2290
    @hanskidd2290 8 หลายเดือนก่อน

    Tena waambie neno uislam maan yake utiifu kwahyo waeleshe waache chuki

  • @imranjuma1197
    @imranjuma1197 8 หลายเดือนก่อน

    Maneno ya dhahabu❤️❤️🥰🥰💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯 Mwenye akili ataelewa🫡🫡🫡
    Tuna kupenda Baba🙏🙏🙏❤️

  • @shafiismaily9223
    @shafiismaily9223 8 หลายเดือนก่อน

    Wafundishe watu wako kumjua mungu mmoja tu!, hanamshirika hana mwana anajitosha

  • @MonicaMabomba-qn4sy
    @MonicaMabomba-qn4sy 8 หลายเดือนก่อน +1

    Acha unafk

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 6 หลายเดือนก่อน

      Ha ha ha ha ha huna ujinga ww. Si lazima kukubali na pia toa facts acha maneno ya dada zako kwenye mafundisho. Fala ww

  • @SudiSheikh
    @SudiSheikh 8 หลายเดือนก่อน

    Ww ulikatazwa hayo maneno yako,na mashehe,unakumbuka uliomba msamaha.hizo clip bado zipo ama uzioni.ww si nabbii mbona husikiii.sasa uliomba msamaha wa nini,kama ulijua hutaacha?

    • @chancekambale3498
      @chancekambale3498 8 หลายเดือนก่อน

      Nawewe ni gogu aliomba smamaha kuepusha mavurugu ila neno ambalo anasema sis tulio jaliwa na roho mtakatifu tuna mwelewa.❤❤❤

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 6 หลายเดือนก่อน

      Pepo ww

  • @MapangaMapanga-wm1hz
    @MapangaMapanga-wm1hz 8 หลายเดือนก่อน

    Ndii baba nipo APA mwanao

  • @SHULE_YA_KRISTO
    @SHULE_YA_KRISTO 8 หลายเดือนก่อน

    Shahidi wa Uongo

  • @salimnjuguna7764
    @salimnjuguna7764 6 หลายเดือนก่อน

    Shida duniani

  • @t-jah7204
    @t-jah7204 8 หลายเดือนก่อน +1

    Unaongea ukweli sana.

  • @Skeletonking2116
    @Skeletonking2116 8 หลายเดือนก่อน

    Shalom shalom. Naomba maandiko ktk bibilia na Quran yaliyomtabiri nabii Eliya/Iliasa kutoka Afrika.

    • @omaar5693
      @omaar5693 8 หลายเดือนก่อน

      😢

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 8 หลายเดือนก่อน

      VP USTAZI hamza mm wapi NDANI ya qurani isa kafa na kufufuka sasa wewe unasema kafa sasa aya inayosema kafufuka NDANI ya qurqni IPO wapi. PILI kitabu cha yohana 19:1 nakuendelea tunaona mahali alichomwa mkuki akatoka damu na MAJI !!! Mimi maahaka YANGU kwenye kutoka MAJI MTU akichinjwa uwa anatoka damu na MAJI??? Kingine kwanini YESU kazikwa na MTU mmoja TU.inamana wanafunzi wake walikwenda wapi.???utukufu wote aliokua nao azikwe na MTU mmoja PILI pale msalabani alimshushaje akiwa peke yake WAKATI kapigiliwa miaumari.?

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 8 หลายเดือนก่อน

      Swali LA PILI kwanini YESU alisema KWAMBA MAJI YAKE ukinwya HUPATI kiu TENA milele.yule mama akamwambie nipe hayo MAJI nisije TENA HAPA kisimani kuteka MAJI tena. MWISHO WA SIKU YESU atuoni alisema MAJI nini ambayo alikupa hutoona kiu milele.mwisho WA SIKU akamwambie kaniitie mumeo yule mwanamke akasema sina Mume .istori ndefu sasa majibu tafadhali

  • @Joh-j9s
    @Joh-j9s 8 หลายเดือนก่อน

    Somo zuri, ila Sauti ndogo sana

  • @omaar5693
    @omaar5693 8 หลายเดือนก่อน

    Yesu hakufa anafufukaje
    Masihi anauwawaje???

    • @willygwaikana
      @willygwaikana 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani Muhamad mtume wa waislam nae si aliuawa?