Ndoto ya Mwizi na maana zake Skh: Jafari Mtavassy mfasiri bingwa wa ndoto Afrika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 139

  • @MwanaidiTwaha-my6mz
    @MwanaidiTwaha-my6mz 24 วันที่ผ่านมา

    Jazzaka lau Khaira kwenye tasir ya kumkinbiza mwiz pk akakamwatwa nikapewa pesa yang niloibiwa

  • @kichechemtundu4061
    @kichechemtundu4061 3 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallaah yaani nakupendea hapo habiiby Skh Jafari Mtavassy Allahu akupe kila la kheri hapa duniani na akhera amina

  • @alihassanjuma5445
    @alihassanjuma5445 ปีที่แล้ว +1

    Asalam alekum shehe ukiota mwizi kaingia nda ya fensi ya nyumba yako akavunja kusima akaiba pampu yakuvitia maji hii manaeke Nini mwizi hamjui na mara kwa mara hii ndoto inajitokeza

  • @esharodah9856
    @esharodah9856 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante.shukran kaka

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 ปีที่แล้ว +1

    Waleykumusalamu warahmatuLLAHI wabarakatuh, shukrani ya shekhe ALLAH iateki ghafya

  • @nyllamnshimirimana2996
    @nyllamnshimirimana2996 ปีที่แล้ว +1

    Shukrn Shukran

  • @florategete3631
    @florategete3631 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe maisha malefu

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 3 ปีที่แล้ว +1

      Ameen yaraab alamiin

    • @wazirially2104
      @wazirially2104 2 ปีที่แล้ว

      Ustadhi Mimi niliota mwizi ananyata anataka kuingia nikagundua nikawa nazomea mwiz

  • @SaadaBenadi-pj2bn
    @SaadaBenadi-pj2bn หลายเดือนก่อน +1

    Shee mm nimeota mwizi kanishika bega na kusudio lake aniibie sim ila alivyo nishika bega nikasoma dua kuruanzu bilabinas kuruaunzu akaniachia maana yake

  • @MwajumaSebe-zo9ob
    @MwajumaSebe-zo9ob ปีที่แล้ว +1

    Mm nimeota nimemshika mwizi

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  ปีที่แล้ว +1

      Fumanizi au mgonjwa atapona

  • @JafarNshimirimana
    @JafarNshimirimana ปีที่แล้ว

    Asalam'alaykum warahmatullah wabarakatuh mim nimeota kua nilikua sipo bikakata mwizi kaingiya ila hakuweza kuvunja mlango ili zingine ndani akawa amerudi nyuma

  • @mrnawanda3893
    @mrnawanda3893 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh mimi huwa mara nyingi sana naota kua kunavita ndege zakivita zinapita juu

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว +1

    Wa alykum salam shekh wetu Allah akulipe kheri, subhana llah mara mbili mfululizo naota mwizi mara vibaka maeneo ya nyumbani, na nikawa napita sehem vibaka wananiangalia na kunifatilia nikawa natembea haraka kwenda sehem waliokaa watu na mara likatokea bas nikapanda nikamsikia mama mmoja akisema hawa watu sio wazuri kuna mtoto wa darasa wa kike kafanyiwa ukatili nikastuka, kesho yake nikaota mwizi kaingia ndani Kwangu anataka kuiba hakuna aliemuona mi ndo nikaanza kuita mwizi mwizi , badae nikajisemea mume wangu kaenda wap au kuoa nikaanza kupiga SIM mara nikastuka lakin Niko mbali na familia yangu, nini maana ya hii ndoto shekh

  • @AbuubakarAbdaalla
    @AbuubakarAbdaalla 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mie nimeota naibiwa baskeli na mwiz mie sikumuona illa watu wangu wakaribu wamemuwona na tukawa tunamtafuta illa sikumpata

  • @magneticofficialtz
    @magneticofficialtz ปีที่แล้ว +1

    Tunapata tabu sana kukusikia sisi watazamaji

  • @muragizinourah1042
    @muragizinourah1042 ปีที่แล้ว

    Assalam alaikum,nimeota nakamata mwizi

  • @nasraabdallah
    @nasraabdallah ปีที่แล้ว +2

    Nimeota wezi wameingia ndani nikawa napambana nao nikawa nawapiga lakini wakaiba tv miongoni mwao

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  ปีที่แล้ว

      Utaishi maisha ya msoto kidogo fanya subira

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 3 ปีที่แล้ว +2

    Insha Allah

  • @murtazangayega1422
    @murtazangayega1422 2 ปีที่แล้ว +1

    Safii

  • @allykhan3477
    @allykhan3477 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @AsiaSaid-iv4pn
    @AsiaSaid-iv4pn ปีที่แล้ว +1

    Shekhe mimi naota sana mama yangu amekufa kwa sababu mbalimbali inamaanisha nini

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  ปีที่แล้ว

      Nimelisema hili kwenye video yenye maudhui hayo tafadhali

    • @AsiaSaid-iv4pn
      @AsiaSaid-iv4pn ปีที่แล้ว

      @MTAVASSYTv ulielezea ndio shekhe lakini sikuelewa maana uliongelea kwa mtu mwenye mimba na kwa mtoto wa kiume tuu kama sikosei maana nakufatilia sana mimi lkn sikuelewa shekhe

  • @AlicesalmaMashakad
    @AlicesalmaMashakad 5 หลายเดือนก่อน

    Asalam alaikum sheikh nime muota mfanyakazi wangu wa kiume ame bomowa mlango na aka muibiya pesa zoote mme wangu na akarudisha kufunga mlango ila ame ugeuza ndio nik gunduwa kama n yey baada ya kumuona na mashaka mashaka kwenye uso wake nini maana yake ?

  • @ShazraOmary
    @ShazraOmary 5 หลายเดือนก่อน

    Asalm alykm shekh nimeota nimeibiwa ila mwizi nimemkamata akanipa vitu vyang nikampiga kidg nikamwachia aende nin maana yake shekh

  • @MadamSaid-f2b
    @MadamSaid-f2b ปีที่แล้ว

    Assalam aleykum shekh, mm nimeota nimeibiwa mkoba wenye vifaa vya kazini na dishi ila yule mwizi nilimuona na nikamfuata hadi kwake nikachukua baiskel yake je hii ina maana gani?

  • @MakameSilima-t7o
    @MakameSilima-t7o 16 วันที่ผ่านมา

    Maana ya kuota ww mwenyewe unaitwa mwizi sio kumuona mwizi

  • @mjukuuwataifa8452
    @mjukuuwataifa8452 วันที่ผ่านมา

    Na je ukiota unakimbizwa wew mwenyewe umeiba na hujabeba chochote

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 3 ปีที่แล้ว +3

    Waalykum.msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah tabaraka Allah. Shukran jazakallab kheir.💕💕

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 ปีที่แล้ว

      wa ent kadhaalik

    • @aminambodze7046
      @aminambodze7046 2 ปีที่แล้ว

      @@MTAVASSYTv aslm alkm ,mmi nimeota mwizi akifukuzwaa kutoka kwa jirani ,Kisha akisema yeye hajaiba ili asipigwe baada ya dakika kdogo akafikia nyumba nilio kua huku ikipigwa,akapanda kupitia ukuta karibu na mlango akaingia kwa paaa na mm nilikua ndani lakin hakunidhuru Wala kuchukua kitu

    • @aminambodze7046
      @aminambodze7046 2 ปีที่แล้ว

      @@MTAVASSYTv baada ya kuingia kujitetea alikua juu ya paa hakushuka chini Kisha katafuta mahali kwa kutokea juu ya paa kabsa yaan kw mabati lakin alipokua anataka kutokea kulikua na walinzi wangu alivyojaribu kutoo kichwa kwenda inje walinzi wakamzuia ,na mim ndo nikamka,na wale waliokua wanafukuza hawakumpata

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 2 ปีที่แล้ว

    Salaam, Maalim! Je kuota namuona rafiki yangu anaiba kitu kutoka kwa mfanya biashara ambaye tumetoka kununua kitu kwake.. maana yake nini? Tafadhal..

  • @abdallahkiliaki3744
    @abdallahkiliaki3744 3 ปีที่แล้ว

    Aslm Alaykum. Nimemwota mwizi akichungulia kutoka dirishani kwangu na baada ya kumwona nikataka kupiga kelele lkn sauti haikutoka. Mara ya pili pia haikutoka. Hatimaye sauti ilitoka kwa nguvu sana mara ya 3 kiasi cha mwenza wangu kuzinduka usingizini na mm mwenyewe pia. Hata wale waliolala chumba cha jirani walisikia makelele ya "mwizi huyo"!! Ndoto hii ilitokea usiku wa tarehe 25 kuamkia tarehe 26 Novemba 2021. Nn maana yake?

  • @dorissimfukwe4857
    @dorissimfukwe4857 6 หลายเดือนก่อน

    Nimeota nilipo rudi nyumbani nimekuta milango imevunjwa tv, radio, shokesi vimeibiwa na mwizi simjui Alf chumba cha nje yupo baba mkwe wangu kalala ni mgonjwa hakuona wala kusikia kitu...lkn pia ni mgonjwa kweli

  • @fatumarajabu9332
    @fatumarajabu9332 3 ปีที่แล้ว

    Asalam aley kum warahmatullah wabarakatu, shekh naomba utafsiri na upande wa pili coz mm nimeota naiba hela ndani ya kabati zilikua hela nyingi lakini nilichukua 2000 tu nn Mama yake

  • @selemanmngereza6285
    @selemanmngereza6285 2 ปีที่แล้ว +1

    Assalam aleykum shekh mm nimeota nimeazima pikipiki ya rafiki yangu Kisha nimetoka nayo nimefika sehemu nimeingia hotelini kupata chai baada ya kumaliza kutoka nje nakuta pikipiki haipo. Nini maana yake

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว

      Wa,salaamu aarahmatullah wabarakaatuh
      Mkague mwenza wako huenda anamchepuko, au laa basi kafanyiwe dua umehusudiwa, kwa lugha fupi utakuwa mtu wa kutikwa na neema mara nyingi allaah akuepushe

  • @MaryKimwaga-h2b
    @MaryKimwaga-h2b ปีที่แล้ว

    Habari nimeota nilikuwa na nyumba sehemu.wakati matoka kwenye ibada nikakuta nyumba imevunjwa nimeibiwa vitu vyote vya ndani vimebaki viatu tu.hlf wakati natembea kuelekea huko nilimuona mbaya wangu yaani snaenichukulia.mume wangu akiwa nyuma yangu.ninj maana yake?

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  ปีที่แล้ว

      Pole sana nitafute whatsap na upige picha screen shot haya majibu unatumie na suali lako nitakupa siri inshaallaah

  • @nancynkya4462
    @nancynkya4462 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nimeota tumeibiwa wapangani wote mmoja tu ndo ajaibiwa tukaanza kumgombeza kwanini yeye ajaibiwa

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 ปีที่แล้ว

    Assalamualaikum
    Nimeota mwizi ameiba kuku watatu wa mtu ninae mjua mwizi mwenyewe mukota machupa nikamfata mwenyewe kumwambia nikamwambia tumfate lakn alishia kulalamika hakufanya chochote
    Inamaana gan

  • @ChidyMfululu
    @ChidyMfululu 5 หลายเดือนก่อน

    Jama alie iba na mfaham alipo kimbia nikamsaidia kumwambia njia ili asikamatwe.

  • @khadijaabdu6532
    @khadijaabdu6532 2 ปีที่แล้ว

    Asalam alaykum shehe mm nimeota Jana nimemuomba mwizi anavuta pazia anAtak kulichukua hakulipat akaja dirisha jenqine nikaenda Huku naita mwizi ila sauti haitoki mpak AK Mara tatu saut ikatoka nikamuanqalia nilipahatik nikawa namjua huyo nikamwambia nishakujua ww Nanihii ndoto nimeota alhamisi Kama kesho skuu ya eidy Al adha ijumaaa tarehe 9

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว

      Wa,salaam warahmatullaah, hii chunga ni ishara ya mwenza wako kutka kuchepuka

  • @tamimasaloon8547
    @tamimasaloon8547 2 ปีที่แล้ว

    Asalam alaykum mimi nimeota namuibia diarmond platnam ikesha pesa nikaenda kumpa mamaangu pesa zote niloiba maana yake ninini

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว

      Acha tabia ya kuangalia mambo ya watu, au ndoto inakuambia kuwa achana na uzinifu

    • @tamimasaloon8547
      @tamimasaloon8547 2 ปีที่แล้ว

      @@MTAVASSYTv Asante

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 2 ปีที่แล้ว +1

    Asalam alley kum mm nimeota mwizi nafungua mlango lkn wezi walitaka kuingia nikaufunga mlango nilirudi chumbani badae nilipo fungua mlango tena walifanikiwa kuingia ndani walibeba vitus na kuondoka navy nilipiga kelele lakini sikupata msaada

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว

      Wa,salaamu warahmatullaahi wabarakaatuj
      Muonye mwenza wako anachepuka.

  • @ghinaathman6681
    @ghinaathman6681 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeota mwizi ameingia kwangu akatoka na kijana wangu mkubwa na nikawa na hofu kubwa sana

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  6 หลายเดือนก่อน

      Allah aepushe maana hujulishaga kifo cha huyo aliyechukuliwa kama tu hujamuona akirudi, au neema kukuondoka. Allaah awe nanyi

  • @nasrakal
    @nasrakal 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka je , nimeota napeleka watoto wangu kuandikisha madrassa mana yake nn?

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว

      Wanaweza kupitia katika hali ngumu

  • @hadijahussein6302
    @hadijahussein6302 2 ปีที่แล้ว

    As salamu alaikumu wa rahmatulah wabarakatu barkalah barkalah fika, mimi nimesha ota mara 3 na ibiwa mukebe wangu wa mikufu mara ya 1 mwizi ali shikwa na mtu mwengine nikakuta amenihifadhia mu kebe wangu,mara2 niliota nime ibiwa Pete zangu za zahabu 2,mara ya ta3 niliota nime ibiwa ,nilipo toka madrasa nika kutana na huyo mwizi ame niibia capeti ya chumbani kwangu nikawa nime mukimbiza akawa ame kimbilia kwenye kichaka fulani,nilipo rudi nikakuta naule mkebe wa mikufu yangu ume tupwa Pembina nika uokota ,hafula nika ona sehemu Kuna mafia 3 na majivu yake ndipo nilipo kwenda kuokota hiyo mikufu yangu na maherini,pita napete zangu ,yani vina rangi ya njano sana nilikuwa na mama yangu muzazi akanisaidia kuvikusanya hadi kulikuwepo mikufu ambayo nisiyo I fahamu mizuri nikarudi nyumbani kwangu na vile vitu vyangu nikawa nime shituka

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว

      Je huwa unapata matatizo ya mahusiano mara kwa mara?

  • @KautharAmour20
    @KautharAmour20 4 หลายเดือนก่อน

    Sheikh mimi nimeota mwizi nyumban hakuiba ndan ya nyumba ni vitu vya nje ya nyumba ila nilimfukuza had nikamkamata inamaana gani na siku ya pili kuliibiwa kweli

  • @qudrahfelix6015
    @qudrahfelix6015 2 ปีที่แล้ว +2

    Waleikum msalan sheikh mm Jana kuamkia leo nimeota mwizi kapigwa kwa bahati mbaya yule mwizi kafa lakini huyo mwizi ninaemjua pia nimeolewa hii humaanisha nn Haina maana mbaya

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  ปีที่แล้ว

      huyo ni mchepuko wa mtu wako kaachana nae au wewe umeachana na mchepuko, lakini huyo mchepuko bado anawaza kuwa kwenye hayo mahusiano, lakini pia hujulishaga kwamba malaika wa mauti kapita kukagua mtu yaani mktu kiaumwa au kupata ajali na kapona salama

  • @bintimbuto5740
    @bintimbuto5740 2 ปีที่แล้ว

    Jambo mimi nimeota na ambiwa na mtu kuwa nimeibibiwa nguo yangu na nilikuwa nasikiya sauti ila mwizi sikumwona na rangi yanguo yangu nili iyona nikaaza kujiuliza kuwa nitavaa nini sikuelewa mwosho iyo ndoto ina mana ngani?

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/kWhZqWw9zYI/w-d-xo.html

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว

      Mwambie mwenza wako kwamba nguo ni stara sasa kama inaibiwa wazi kwamba stara ya mwanamke ni mume sasa yeye ndiye inae mlenga hii anakamchepuko na kama haupo ndani ya hayo basi utapoteza kazi Allaah akulinde

  • @AbdulKipanga
    @AbdulKipanga 4 หลายเดือนก่อน

    Je ukijiota ww mwenyew ndio umeiba zimu 2 hii inamaana gani

  • @HamidakomboKombo-xs2ju
    @HamidakomboKombo-xs2ju 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota nimeibiwa mfuko ndani yake mna pesa na vitu vyengine, na mwizi nilimuhisi Nini maana yake?

  • @aminamukantabana8241
    @aminamukantabana8241 3 ปีที่แล้ว

    Aslm alaikum w w! Shekh naomba ni tafusirie iyi ndoto! Napenda kuota nakosa mototo wangu wa kiume! Iyi ndoto inajirudia Rudia! Shekh inamana gani?

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 ปีที่แล้ว

      wa,salaam wa,wa.
      sijaelewa tafadhali

  • @shgalhaa8442
    @shgalhaa8442 3 ปีที่แล้ว

    Kuota mwizi kachomw mwoto niishala ghani

  • @shifamakame4622
    @shifamakame4622 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe jaribu kutowa tafsiri tofauti mn kuna kuibiwa na kuna ht mtu binafsi huona unaiba sasa jee

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 ปีที่แล้ว

      Jibu lipo humu humu wewe tu ila inshaallaah nitawasaidia

  • @cwifatyhassan397
    @cwifatyhassan397 ปีที่แล้ว

    Asallaam alleykhum shekh miye naitwa sifa nipo Pemba nimeota mwizi ameniibiya simu zangu nyumbani lakin nimemkamata tarehe ya ndoto 14/2/23nilipoamka tu ilikuwa saa Tano kamili asubuh nn maana yake

  • @khadijaabdu6532
    @khadijaabdu6532 2 ปีที่แล้ว +1

    Iyo ndot yanqu inamanisha nn

  • @MwajumaSebe-zo9ob
    @MwajumaSebe-zo9ob ปีที่แล้ว

    Ukiota umemshika mwizi

  • @Christina-h5s
    @Christina-h5s 7 หลายเดือนก่อน

    Nmeota mwizi kafika nyumbani ila aoaeleweki kama ni kwangu au siyo kwangu kaiba wakati anatoka nikamuitia mwizi lakini hakupigwa wala hakukimbia aliiba nguo na alidimama nazo mlangoni pangu uku ananiangalia tafadhali inamaana gani

  • @MonicaNgando-io7km
    @MonicaNgando-io7km 7 หลายเดือนก่อน

    Mwizi umemuona humjui afu unamkimbiza kakupotea

  • @ezraadam5433
    @ezraadam5433 3 หลายเดือนก่อน

    Kuota mwizi anakuibia Hela sio ndan et nn maana yake

  • @swaphiatysaid5332
    @swaphiatysaid5332 3 ปีที่แล้ว

    A/alaykum. Sheikh ndoto za kuota upo chini Kidogo ya umri ulionao lkn si mtoto na unaowaota katika ndoto hiyo pia wapo chini kidogo ya umri wao hii inamaana gani. Yaani 2po madrasa lakini katika umri ule ambao kipindi kile nasoma madrasa kwasasa nmeolew

  • @Raya-em8wz
    @Raya-em8wz 3 ปีที่แล้ว

    Je ukiota umeiba

  • @user-xt4mc2ff8b
    @user-xt4mc2ff8b 6 หลายเดือนก่อน

    Sheikh niliota nilimuibia mtu akaninadia lakini watu hawakuniona ila yeye akanifukuza ila akanikosa ila nikakimbilia mpaka mskitini halafu apo mskitini nikamuibia rafiki yangu viatu lakini mdogo wake akaniona halafu akamuita kaka yake ambae ni uyo rafiki yangu akaja ila pembeni kuna mtu akamuambia ivo viatu muashie kwasabab ilikua sina kitu nimevaa nguo kama taulo nimejifunika sehemu za siri maana yake nin?

  • @ZahraKaijage-kl2dv
    @ZahraKaijage-kl2dv ปีที่แล้ว

    Shekhe Mimi nimeota mwanaume tuliechana anamtuma MTU aniibie ndani ya nyumba yangu then Mimi nikakimbia mpka police

  • @florentinamichael2782
    @florentinamichael2782 3 ปีที่แล้ว +1

    Pia nimeota baba yangu amekufu

  • @kanisiamkoko7051
    @kanisiamkoko7051 3 ปีที่แล้ว

    Shekhe nimeots nimeona swala natwiga wazuri sana wanacheza cheza na askari police wanacheza cheza maana yake nini?

  • @EvariniJumanne
    @EvariniJumanne ปีที่แล้ว +1

    Nimeota nilienda kuiba kwa mdada ninae mtafaham kabisa nimeiba pesa nishiligi elf 40000 nasim yatashi kubwa kablayahapo niliwakuta wtt wadogo wawili nikaibiya dirishan et kunawa dada wawili walikuwa wananifata wakanambiya ww umeiba nikakataa kabisa badae nikampa cmtu wapeleke. Sijawapa pesa

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  ปีที่แล้ว +1

      linaweza likatokea jambo la fedheha kwako au ukapata dosari katika tabia zako, na ndoto hii hii ywezaikaashiria kwamba unapeleleza maneno yake na kuyasema mengine na mengine unaficha husemi badilika

  • @mariamsemwa226
    @mariamsemwa226 7 หลายเดือนก่อน +1

    Niliota mwizi amefariki natukamzika

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  6 หลายเดือนก่อน

      muamini sana mwenzako wako kipindi hiki hana mchepuko

  • @florentinamichael2782
    @florentinamichael2782 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nimeota nimeletewa maiti lkn inafunza wengi Sana

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 ปีที่แล้ว +1

      kama hautajulisha kuwa unapenda sana basi ni halali utapata M/Mungu ajaalie

    • @florentinamichael2782
      @florentinamichael2782 3 ปีที่แล้ว

      Nimeota panzi wawili lkn wameungana wachini amekufa lkn wajuu mzima naanacheza cheza lkn katoa macho Sana baada nikaona km wote Tena wamekufa

    • @florentinamichael2782
      @florentinamichael2782 3 ปีที่แล้ว

      @@MTAVASSYTv cjaelewa nitapata nini

    • @popod177
      @popod177 ปีที่แล้ว

      Sheikh nimeota nimetoka na wanangu sijui tulienda wapi,nikaachia mtu funguo lkn niliporudi nakuta mlango wazi,.tukiingia ndani vyombo vyote vya moto na gas vimeibwa..nikampigia huyo jirani simu kumuuliza mbona hakunifungia mlango,akawa ananipa habari ya kakangu ambae nimgonjwa,lkn sikumuelewa,.kukawa kuna kijana namjua vizuri tu anasema niachane na hao wezi,mm nikawa namshuku kimoyomoyo..nikamwambia hao wezi nitawaroga wote,akawa na wasi wasi..nikashtuka.

  • @rahimuramadhani1781
    @rahimuramadhani1781 3 ปีที่แล้ว +2

    Duuh! Mimi juzi nimeota nimemkamata mwizi ofisini kwangu ameiba vtu dukani nani jirani nini maana yake

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 ปีที่แล้ว

      angalia vizuri utapata jawabu hapo ndugu

    • @latifachilala2015
      @latifachilala2015 3 ปีที่แล้ว

      Umenishinda baba🤣

  • @Desire-wn9iv
    @Desire-wn9iv 5 หลายเดือนก่อน

    Shk nimeota mwizi anapigwa alakini namjuwa nini maana tafadhali

  • @aishatwaarabu8859
    @aishatwaarabu8859 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nimeota nimeibiwa lakini mwizi sijamuona

    • @aishatwaarabu8859
      @aishatwaarabu8859 2 ปีที่แล้ว

      Hii ndoto naota mara ya nne 4 lakini sijamuona mwizi nakuta tu nguo yang aipo

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Unasalitiwa kuwa makini mchunguze mwenza wake je hana mchepuko, chunguza marafiki zako je hakuna mtu anatoa khabari zako kwa watu na kukusema vibaya au je hakuna mtu anakuchunguza, LAKINI pia chunguza je baada ya ndoto hii haitokei mtu anafariki? Maana hayo ndio husemwa hasa kwa haki hiyo

    • @aishatwaarabu8859
      @aishatwaarabu8859 2 ปีที่แล้ว

      @@MTAVASSYTv nikweli Leo nimeamini kunamtu nikonae hapa nyumbani ananiongea vibaya kwa watu Leo nimeletewa hapa huko vizur saanaaaaa

    • @dorissimfukwe4857
      @dorissimfukwe4857 6 หลายเดือนก่อน

      Mim nimeota nimerudi nyumbani nimekuta milango imevunjwa tv, radio na shokesi vimeibiwa hata sielewi

  • @Ramlakimaro
    @Ramlakimaro 8 หลายเดือนก่อน

    Nmeta naibiwa dukan kwangu na nikamkamata mwizi ila ckuina alichoniibia

  • @nasrakal
    @nasrakal 2 ปีที่แล้ว +1

    Niliota aliekua mwanaume wangu amerudi Tanzania mana naishi marekan nae anaishi huku tuliachana nikamuota karudi nyumban kawa jambazi na nikawa naonyeshwa video alikua anaiba na mama yangu mdogo .

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว

      Huyo mwanaume kuwa nae mbali kabisa mlaghai tu

  • @fatmaismail13
    @fatmaismail13 3 ปีที่แล้ว

    Mie niliota nataka kuoga lkn hakuna maji nikachukua ndoo kwnda mtoni kuchota maji. kabla sijafika nikaona mbele yangu kidogo shamba la mahindi kuna mtu na kidibwi kinamaji ndani kulikua na samaki mkunwa mmoja na engine vidogoo tena nikaona kitu ka nyoka mdogo ila anageuka njiwa nn maana yake?

  • @neemakibona3605
    @neemakibona3605 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeota mwiz kakamatwa maeneo ya jiran na kazin lkn namjua amekamatwa maan yake nn shekh

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  11 หลายเดือนก่อน

      Kama hatokamatwa kweli hapo mwizi, basi ndoto yako inakuambia atafumaniwa mtu

  • @agnesjosephdev503
    @agnesjosephdev503 3 ปีที่แล้ว

    Nimeota mwiz anaiba nondo za hapa nyumban lakn nilivyomuona nikapiga kelele akarudisha

  • @jumahagai9013
    @jumahagai9013 3 ปีที่แล้ว +1

    Mim nimeota naiba kwa mwanangu nikakimbizwa lakini awakunipata mbele nikaokota simu

  • @florentinamichael2782
    @florentinamichael2782 3 ปีที่แล้ว

    Nimeota nimeibiwa vitu vyandani lkn mlango wanyuma yanyumba ulikuwa wazi nandiko aliko pitia lkn mimi sikumuona isipo kuwa nimekuta tu nimeibiwa namlango uko wazi

  • @AngelOllomy
    @AngelOllomy ปีที่แล้ว

    Nimemuona mwizi ananiibia tv nikawa napiga kelele haisikii maana yake nini

  • @tumainikiwuyo3441
    @tumainikiwuyo3441 2 ปีที่แล้ว

    Nimeota nimemkamata mwizi nimempiga kweli yan ila wezi wenye walikuwa ni watoto watatu ila nimemkamata mmoja naomba maana yake bas

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว

      Kama nimesema ukimkamata mwizi na maana zake hebu rejea kuangalia ikiwa sijasema niambie

  • @elihurumamugesha735
    @elihurumamugesha735 ปีที่แล้ว

    Shehe habari ya uzima nimeota nimeibiwa samani za ndani baadae ya muda nikakuta vipo nje vimeharibiwa tu mfano sofa wamechuku magoro yake na kuacha mbao nje na vingine Ina maanisha nn nsaidie kutafsiri hii shehe

  • @sasa-py8jz
    @sasa-py8jz 3 ปีที่แล้ว

    Na ukiota umeona jeneza leupe limebebwa juju na watu wanalia kwa uchungu hii inamaanisha nn ndoto hii imenikosesha amani kweli

  • @rizikahmad6930
    @rizikahmad6930 ปีที่แล้ว +1

    mm uwa nikiota naibiwa uwa naibiwa kweli

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  ปีที่แล้ว +1

      Pole sana nitatoa somo la kuzuia wezi inshallaah

  • @daudikasherente3484
    @daudikasherente3484 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukiot umeiba alafu unawenzio wezanko wakakamatwa wewe akakuacha akakuona huna ulicho iba

  • @esthernyambura9277
    @esthernyambura9277 3 ปีที่แล้ว +1

    Na ukiota Mwizi amekuimbia na ukamuona and then akarundisha vitu zako

  • @maryammakata7849
    @maryammakata7849 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh nimeota nawakimbia wezi walitaka kuniibia

  • @luciasoko9026
    @luciasoko9026 ปีที่แล้ว

    Kuota umetok sehemu kurudi nyumbni unakuta mlango upo wazi,unapoingia ndani unkuta vitu vimetawanywa. Mwizi alikuwa anatafafuta Hela,halafu kuna sehem uliweka Hela kaiba kabakisha kidogo sana,pia unaangalia unamuona Huyo mwizi kalala chini kama hana akili vizur unamkamata unawaita watu mwizi mwizi lakin watu kama wanakuzarau hiv. Maana yake nn Huyo ndoto?

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  10 หลายเดือนก่อน +1

      0656606014

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  10 หลายเดือนก่อน

      njoo whatsapp

  • @elastonchacha3040
    @elastonchacha3040 3 ปีที่แล้ว

    Skh nimeota Tena mala ya pili nakula asali Nini Mana yake

  • @merhatyup9479
    @merhatyup9479 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeota dada yangu anaiba maeembe mm naokota yaliyoko chini tukakutwa na wenyewe mimi nikawaambia anayeiba ni dada

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  ปีที่แล้ว

      poleni acha kushiriki na mtu wa watu uzinifu. na kama hauambiwi hivi basi munatabaia ya utesi hasa huyo nduguyo

  • @hubbyemmanuel3267
    @hubbyemmanuel3267 3 ปีที่แล้ว

    Nimeota mtu aliekuwa mgeni alivoondoka nligundua aliniibia ef kumi

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 ปีที่แล้ว

      Kuwa makini kuna mtu anakuchota na kusema kwa watu vibaya

  • @ahmadiadamu6843
    @ahmadiadamu6843 2 ปีที่แล้ว

    Ukiota wewe unaiba

  • @mamsmariam6670
    @mamsmariam6670 3 ปีที่แล้ว

    Nataka kuja she h

  • @AbuubakarAbdaalla
    @AbuubakarAbdaalla 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mie nimeota naibiwa baskeli na mwiz mie sikumuona illa watu wangu wakaribu wamemuwona na tukawa tunamtafuta illa sikumpata

  • @jumahagai9013
    @jumahagai9013 3 ปีที่แล้ว

    Je ukiota umeiba

  • @AbuubakarAbdaalla
    @AbuubakarAbdaalla 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mie nimeota naibiwa baskeli na mwiz mie sikumuona illa watu wangu wakaribu wamemuwona na tukawa tunamtafuta illa sikumpata

  • @AbuubakarAbdaalla
    @AbuubakarAbdaalla 7 หลายเดือนก่อน

    Mie nimeota naibiwa baskeli na mwiz mie sikumuona illa watu wangu wakaribu wamemuwona na tukawa tunamtafuta illa sikumpata

  • @AbuubakarAbdaalla
    @AbuubakarAbdaalla 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mie nimeota naibiwa baskeli na mwiz mie sikumuona illa watu wangu wakaribu wamemuwona na tukawa tunamtafuta illa sikumpata

  • @AbuubakarAbdaalla
    @AbuubakarAbdaalla 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mie nimeota naibiwa baskeli na mwiz mie sikumuona illa watu wangu wakaribu wamemuwona na tukawa tunamtafuta illa sikumpata

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  6 หลายเดือนก่อน

      muonye mke wako muambie asikubali kushawishiwa au muonyeshe ujumbe wangu kwani tafsiri ya kuibiwa huanzia hapo ukaguzi wake hasa ikiwa hivi uonavyo na pia hujulisha ndoto ya kuibiwa kipando kupatwa na hasadi