Watu wengi wamekuwa wakiteseka na hili lakini leo acha niseme kwa uchache atakae uliza kwa coment kabla sijamaliza kipindi ni bahati yake nitamjibu hapa hapa inshaallaah
Asalam Alaykum Shekh. Mimi nimeota mdogo wangu ananiita dada, dada, dada, lakini nilikua mzito wa kuitika badala yake nilikua nasema, Subhanallaah, Alhamdulillah Laylahayllah, Allah Hu AKBAR. Alizidi kuniita,na wala sikuitika. Nanilikuwa nahisi kama nilikua naitwa kweli lakini baada ya muda mfupi niliamka na sikumkuta mdogo wangu.
Shukran Shekhe, mimi niliota nipo katika nyumba kubwa2 ila niko jikoni na wezangu nataka kukaa , nikasikia naitwa , nikaenda ambopo ilikuwa maeneo ya chumbn ila nimetembea nimefika kwenye kivaranda nikaongalia kule chumbn sikuona mtu kulikuwa na giza tu, nikasimama pale kwenye kivaranda naangalia tuu sikuenda kule chumbn, mpaka nikaamka .
The great person of our country tutajivunia milele uwepo wako hakika, tanguli ulipo nipatia msingi ule sheikh mpaka leo nashukuru sana mambo yangu yamebadilika saaana
Assalamu alaekum Mimi nimeota Kuna mtu Ana kalamu na karatasi ametaka nimtajie Jina la mdogo wangu mtotp wa shangazi yangu nimemtajia alalia ndika Kisha languna baba na babupia akaandika
Napitia wakati mgumu nipo kikazi nje manyanyaso huzuni, ila nikalala mda wa asubuhi jumanne , nikalala . Gafla mtu anaongea Ali kuwa mwanamke 🤲🤲🤲kwakweli maneno alikuwa anaongea maneno mabaya kwa kweli yakukatisha tamaa sana 🤲 ila nikasema nikawa na mtaja allahu sw majina yake hadi nikazinduka kiukweli najisikia vibaya
Shehe typo pamona sana Alwa akupe afya njema yaani mimi kila nikiangalia ndoto unavyozifasiri huwa naona baadhi ya matukio na yametokea hivyovyo, Ubarikiwe daima
Asnte shekh mimi nimeota naitwa na mmama nisie mjuwa nikama alikua anafanya kaz zanyumban najina alilo niita nalo silijuw amenita mama zura mara tatu nikaitika huyu mama nilimuona ila simjuw alikua mama wanyumban ila akaa niita kwa jina la mwanangu ila ilo jina silijuw ila kwenye ndoto nikaona nalijua nikaitika nn maana yake shekh
Sheghe mm nimeota Jana tuko wanawake wengi Kama vile tulikua tunangoja majibu alie feli kupitia redio wakatajwa kidogo alafu nikatangazwa na mm kwa redio nikawaambia wenzangu mm sija tajwa sija sikia jina langu lkn kwa roho yangu na maskio niliskia jina langu limetajwa kwa redio Tena yote matatu kwa mmoja alie feli sija ielewa
Mm nimeota naitwa na mamkwe wangu kwa mfululizo km Mara nne ivi nikawa mzito kuitikia mwisho nikaitikia kwa hafla na kushituko kwenye ndoto kujiona km nimeitwa kwel ivi
Shekhe Mimi niliota mtu ananiita huku ananifata anasema nimpe kofia langu la nywele la kuvaa kichwani, Ila alipotua tu hakuniona Ila Mimi nilikuwa namuona.
Sheikh leo nimeota ndota naitwa na mtu nikiwa naenda zangu nilisikia uto ya jina yangu nikageuka nyuma nikaona mwanamke mweupe ananiita nikaitika nikaenda hapo lakini akaniambia nimsalimie nikakata
Samahani Shehe nimeota nipo jikoni badee nikasikia watu wanaongea nikatoka kwenda kuwaona nikawakuta wapo Saloon ya kiume ila kulikuwa na bonde kubwa kinyozi hakuwepo nikawaambia subirini nikamuite nilivo fika nikaanza kumuita hakuitika nikasikia sauti ya mtoto ikimuita ,samahani Shehe nisaidie maana yake
Asalam alaykum mm SHEKH chumbani kwangu kuna bubujika maji yanasambaa chumba kizima yanatokea mpaka nje ila hayana madhara hii inajirudia rudia nisaidie SHEKH maana yake.
hapa wafasiri mabingwa wanasema itategemea maana ya jina lako ndio tafsiri itakuja, sasa tuambie waitwa nani. lakini wapo waliosema kwamba ukiitikia ni nzuri na usipofanya hivyo sio ishara njema utakosa riziki na M/Mungu ndiye mjuzi zaidi
Kama kadhia ni hiyo himo ndani kuna Jinni Sukkaan al bayt ndiye anaefanya hiyo kitu, pole sana nitataja hapa inshaallaah alama za nyumba yenye Jinni wa aina hiyo ndugu tuombeane dua hapo ni kufanya dua na nzuri zaidi kama utafanya dua katika mfumo wa Ruqya ya Nushra
Asante mi huwa naota naitwa na boss wang,mara watoto wake
Asalam Alaykum Shekh. Mimi nimeota mdogo wangu ananiita dada, dada, dada, lakini nilikua mzito wa kuitika badala yake nilikua nasema, Subhanallaah, Alhamdulillah Laylahayllah, Allah Hu AKBAR. Alizidi kuniita,na wala sikuitika. Nanilikuwa nahisi kama nilikua naitwa kweli lakini baada ya muda mfupi niliamka na sikumkuta mdogo wangu.
kama hukuwa unaitwa kweli basi umeghafirika na dunia fanya ibada ipasavyo
Shukran Shekhe, mimi niliota nipo katika nyumba kubwa2 ila niko jikoni na wezangu nataka kukaa , nikasikia naitwa , nikaenda ambopo ilikuwa maeneo ya chumbn ila nimetembea nimefika kwenye kivaranda nikaongalia kule chumbn sikuona mtu kulikuwa na giza tu, nikasimama pale kwenye kivaranda naangalia tuu sikuenda kule chumbn, mpaka nikaamka .
Assalamualaikum warahmatullhwa niliota viongozi watatu wakuu wanchi wamekaa kikao
Shalom mtumishi wa Mungu,nini maana ya kuota mtumishi wa Mungu anatunza alf akaniita na mimi nikaitika
The great person of our country tutajivunia milele uwepo wako hakika, tanguli ulipo nipatia msingi ule sheikh mpaka leo nashukuru sana mambo yangu yamebadilika saaana
Assalamualaikum warahmatullhwa wabarakat naomba ufafanuzi kuhusu ndoto yakusoma surat kafiruun
Asalama alekum mimi nililala nikachukuliwa na usingiz mzito nikaitwa mara moja sauti ya mwanaume nikashtuka faster
Assalamu alaekum Mimi nimeota Kuna mtu Ana kalamu na karatasi ametaka nimtajie Jina la mdogo wangu mtotp wa shangazi yangu nimemtajia alalia ndika Kisha languna baba na babupia akaandika
❤
Asalam alaykum shekh mimi nimeota mtu ananiita kama vile namfahamu lakini skumuitika na nikafunga mlango
Napitia wakati mgumu nipo kikazi nje manyanyaso huzuni, ila nikalala mda wa asubuhi jumanne , nikalala . Gafla mtu anaongea Ali kuwa mwanamke 🤲🤲🤲kwakweli maneno alikuwa anaongea maneno mabaya kwa kweli yakukatisha tamaa sana 🤲 ila nikasema nikawa na mtaja allahu sw majina yake hadi nikazinduka kiukweli najisikia vibaya
Nipo nakukubali shegh
Asalamu alaykum shehe mm nimeota naitwa na ndugu yangu
utapata rizki inshaallaah pesa n.k
Mimi pia nimeota naitwa sikuitika
Utapishana na rizki pole sana.
Shehe typo pamona sana Alwa akupe afya njema yaani mimi kila nikiangalia ndoto unavyozifasiri huwa naona baadhi ya matukio na yametokea hivyovyo, Ubarikiwe daima
Asalamu alaikum Mm shahe nimeota ananita mama angu nje Kwa huzun hiii shehe vipi hii
Thank you
Asnte shekh mimi nimeota naitwa na mmama nisie mjuwa nikama alikua anafanya kaz zanyumban najina alilo niita nalo silijuw amenita mama zura mara tatu nikaitika huyu mama nilimuona ila simjuw alikua mama wanyumban ila akaa niita kwa jina la mwanangu ila ilo jina silijuw ila kwenye ndoto nikaona nalijua nikaitika nn maana yake shekh
utapata kheri au neema kiasi inshaallah kwa kiasi cha sauti yake au utamsaidia muhitaji
Shukran
Assalamu alaikum Mimi nimeota Jina langu kwa ukamilifu yaani Jina langu la baba na Babu kwenye boksi ya kibiriti Nini maana yake
Asalam alykm warhama tullah mm nimeota naitwa na mwanamke yuko chumban Kuna mwanga na kavaa macheni shingon na hapa kwenye paji la uso nn maana yake
Ata sielewi just go straight to the point
Sheikh A.alykm
Sheghe mm nimeota Jana tuko wanawake wengi Kama vile tulikua tunangoja majibu alie feli kupitia redio wakatajwa kidogo alafu nikatangazwa na mm kwa redio nikawaambia wenzangu mm sija tajwa sija sikia jina langu lkn kwa roho yangu na maskio niliskia jina langu limetajwa kwa redio Tena yote matatu kwa mmoja alie feli sija ielewa
Shekhe naomba unisaidie kuniambia maan ya ndoto yangu
ipi
Mimi leo usiku nimesikia sauti ya bosi wangu wa kiume akiniita lakin sikuitika maana yake ni nn
Asalam alekhum shekh samahani nimeota ninaitwa kwa jina langu
sasa ningejua jina lako ndio ningejua la kukujibu lakini pia je uliitika au laa je muitaji ulimjua au kumuhisi akilioni?
Nimeitwa felista mala moja alafu nimeitika nikashtuka😥
Mm nimeota naitwa na mamkwe wangu kwa mfululizo km Mara nne ivi nikawa mzito kuitikia mwisho nikaitikia kwa hafla na kushituko kwenye ndoto kujiona km nimeitwa kwel ivi
Shekh samahan naomba uweke namba yako yasimu kunandoto nimeiota mara 3 mfululizo yaan inajirudia vilevile
Amani ya Mungu iwe juu yako nauliza udhalili ni nini
Kitendo cha kudhalilika au kufedheheka au kupata aibu , Wa,salaamu warahmatullaah wabarakaatuh
je ukitwa na mtu unanjuwa lakini usitikee
Lazima tujue jina lako na jina lake na wadhifa wake kwako
Mi nimesikia naitwa mara mbili na mwenye sauti namjua,sikuitika,nikaamka.
Saa saba usiku.
Mwezi Jumada tarehe 18 Hijria.
yeye anaitwa nani na wewe nanai jina lako ?
Shehe mm nimeota nimeitwa zaidi ya mara tatu na mwanamme
Shekhe mimi maranyingi naota naitwa nawatu ninae wajuwa lakini naitwa tu hawanambiyi cocote yani naisikiya sauti naitwa tu
Jinanlako nani? Na je hukuita kwa jina lako?
Mimi nimeitwa namtu namjuwa ila sijaitika
A.aleykum....sheikh nikilala usiku Kuna mtu ananishutuwa mara anishika mguu au anipija kofi au Anita jina langu Kwanguvu
Shekhe mm nimeota Kuna mwanamke ananiita jina langu na simjui
Kabla sijaitwa nilikua naota niko nyumbani kwetu kama Kuna msiba
Nimeota nimeludi nyumbani,nimejikuta naenda shule,,baadae nikasikia naitwa ferista yaani mtu simuoni,nimesikia sauti nzito sana yavkuitwa
Shekhe Mimi niliota mtu ananiita huku ananifata anasema nimpe kofia langu la nywele la kuvaa kichwani, Ila alipotua tu hakuniona Ila Mimi nilikuwa namuona.
Sheikh leo nimeota ndota naitwa na mtu nikiwa naenda zangu nilisikia uto ya jina yangu nikageuka nyuma nikaona mwanamke mweupe ananiita nikaitika nikaenda hapo lakini akaniambia nimsalimie nikakata
wewe mrudie mungu wako ndugu yako na utafute sulushu baina yako na uliyekosananae utanishukuru baadae
Niliota naibiwa kiatu
mwenza wako anachepuka au utaibiwa kiatu hakika kabisa
Assalamualaikum sheikh mm nimeota naitwa na mamdogo ila sijui alipo sasa nilikua namtafuta nikastuka Nini maana?
wewe kuna haja unaumuhimu nazo kutekeleza ila zinakwama, au itatokea hivyo
Samahani Shehe nimeota nipo jikoni badee nikasikia watu wanaongea nikatoka kwenda kuwaona nikawakuta wapo Saloon ya kiume ila kulikuwa na bonde kubwa kinyozi hakuwepo nikawaambia subirini nikamuite nilivo fika nikaanza kumuita hakuitika nikasikia sauti ya mtoto ikimuita ,samahani Shehe nisaidie maana yake
taja majina ya watu walioonekana kwenye ndoto hii kwa mpangilio kama wawajua na hilo uliloita ndotoni
Kaka mim nimeota nipo katika kaoshi yangu ila wamekuja watu wengi sana mpaka wazungu ila hapo nikawa nipo katika kibanda nauza nazi nawauzia waschana
hii ni pesa na uchumi inshaallaa
Asalam aleykum sheghe
Wa, salaam warahmatullaahi wabarakaatuh.
Shehe mm nimeiwtwa zaidi ya mara tatu
Namwanamme
Mimi ukunijibu
Nimeota naitwa na wadada wawili wamejitanda dirishani wananiita jina langu inamaanisha nini?
Kama uliitikia hapo itategemea na je alikuwa sehemu mbali kidogo au laa na je alikuita jina lako hilo lina maana gani ? Nieleze hayo kwanza
Asalam alaykum mm SHEKH chumbani kwangu kuna bubujika maji yanasambaa chumba kizima yanatokea mpaka nje ila hayana madhara hii inajirudia rudia nisaidie SHEKH maana yake.
Wa,salaamu warahmatullahi
Usiogope pesa hiyo inshaallah
Tena huyo mama alivyo niita nikaitika nashutuka nipo naitika nini maana yake shekh
hapa wafasiri mabingwa wanasema itategemea maana ya jina lako ndio tafsiri itakuja, sasa tuambie waitwa nani. lakini wapo waliosema kwamba ukiitikia ni nzuri na usipofanya hivyo sio ishara njema utakosa riziki na M/Mungu ndiye mjuzi zaidi
Kutwa na mwanamke unaemjua
Unamaelezo mengi hadi nashindwa kuelewa tafsili yako shekh punguza maelezo namifano toa tafsili yandoto yakuitwa bs
Soma surat faatiha kila siku mara kumi ili Allah akufanyie wepesi wa kufahamu na ukiweza surat AL A'LAAA
Je ukisikia sauti ya mtu unaemjua inakuuita ukiwa haujalala alafu ukaitika inamaana gani
Nimeota nipo Kansan ila kunamtu mbele kavaa mavazi meupe ameketi akaniita jina langu na kuniambia nisome fungu flani ila silikumbuki,Nini maana yake.
Shekhe kuota unaitwa jina lako
Uliitakia au ulinyamaza ?
Naota naitwa usiku alfu huyo mtu anayenita najua inamaana gani, yaani naitwa mama juma mama juma alfu anayenita najua inamaana gn
Nili hota nime okota bwanangu ame katwa vipande na amekufa
Aslm alykm .nimeita namuita mtu nakaita nikashutuka sana.
Sijakuelewa
Wa,salaamu warahmatullaah
Nimeota nnasoma suatul Nnajmi Nini maana yake
Nimeota naitwa na watu ninae wajua wamenita kwaukar arafu wakacheka
Shekh samahani ukiota mume wako anakuita hali yakuwa mmetengana mud si mrefu nn maana yake
Mimi uota naitwa na sauti ya mwanangu lakini nikiamka nakuta wamelala je hi inakuaje
Kama kadhia ni hiyo himo ndani kuna Jinni Sukkaan al bayt ndiye anaefanya hiyo kitu, pole sana nitataja hapa inshaallaah alama za nyumba yenye Jinni wa aina hiyo ndugu tuombeane dua hapo ni kufanya dua na nzuri zaidi kama utafanya dua katika mfumo wa Ruqya ya Nushra
Nimbie tafadhali
Mimi nilisikia mtu amekita akiniambia nisaidie mweye amekufa lakini nikiamka huyo mtu ako hai
Ukiota umeitwa na ex wako
kurudi kwenye maisha ya zamani au safafi ya mwisho kwa vitendo
Mimi nimeitwa namtu namjuwa ila sijaitika