NDOTO YA WEZI AU MWIZI UMEKUTANA NAYE AU UMEIBIWA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • NDOTO YA WEZI AU MWIZI UMEKUTANA NAYE AU UMEIBIWA Maana yake ni Hii KIBIBLIA.

ความคิดเห็น • 7

  • @shukranisibale1739
    @shukranisibale1739 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 8 หลายเดือนก่อน

    Vizur mkuu

  • @estherndunge4709
    @estherndunge4709 หลายเดือนก่อน

    Nimeota nimeibiwa vitu za ndukani,kisha hapo kwa mlango nikapata mfuko umejaa pesa nyingi sana,nikaupeleka kwa nyumba

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  หลายเดือนก่อน

      @@estherndunge4709 jambo litakalo kujia ghafla kimafanikio wakati moja ulikuwa umepoteza mafanikio.

  • @Qs3557
    @Qs3557 4 หลายเดือนก่อน

    Niliota nipo naoga kwenye bafu la watu na sijui nilifikaje wenyeji wakanikuta ni vijana wawili tunalingana umri, wakaninyang'anya shati na pesa zangu za noti Kwny wallet yangu wakaanza kukimbia ghafla wakatokea wamasai wawili na wengine wakaanza kuwakimbiza na hatimae wale wezi wakawakamata na wakanirudishia vitu vyangu

    • @GodfreyMwalongo-yg7tq
      @GodfreyMwalongo-yg7tq  4 หลายเดือนก่อน

      @@Qs3557 ni kuludishiwa hali yako kimanikio uliopoteza wakati unafanya kazi kwa watu au eneo la watu hapo kwanza ndipo uliponyang,anywa hali yako kimafanikio, masai wahusu mambo mabaya ya uganga,na jadi,yalikufyatilia pia. Vazi ni heshima na pesa ni mafanikio uliopoteza wakati huo.

    • @Qs3557
      @Qs3557 4 หลายเดือนก่อน

      @@GodfreyMwalongo-yg7tq asant mtumish