Ndoto za panya na maana zake Skh Jafari Mtavassy mfasiri bingwa wa ndoto kusini ya Jangwa la sahara

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 71

  • @mwanaidisalehe3389
    @mwanaidisalehe3389 3 ปีที่แล้ว

    Yani tafsir yako nayayoendelea kwangu na nilivoota umoumo

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 4 ปีที่แล้ว +1

    Walekumusalamu warahmatullah wabarakatu,ALLAH akidishie nguvu ktk kiwiwilwili chako, leo umechoka sana

  • @fatimaebrahim5256
    @fatimaebrahim5256 4 ปีที่แล้ว +1

    asalam allahykum mimi nakuunga mkono kwakutafsiri ndoto mashaallah

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  4 ปีที่แล้ว +1

      Wa,salaam maashaallaah

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤ assalam aleyikum warahmatullaah shekhe mimi nimeota ndotoni naona panya wengi ndani walikua wana cheza cheza ikabidi ni mwambie baba mwenye nyumba tafuta dawa panya ni wengi lakini walikua wanacheza tuu ndani kisha wakaingia wengi kweli mwisho ni kawaacha ni liona hakuna chenye wanaharibu

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  7 หลายเดือนก่อน

      Je huo mtaa unasifika kwa wezi? Au wanawake waasharati?

  • @ayshaibrahim3224
    @ayshaibrahim3224 4 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante shekh jafar..nimeota nafukuza kuku kwa fimbo ndan kwetu walikua weng na walinisumbua sana kuwatoa nje ila alibak kuku mmoja chin ya uvungu wa kitata alikua na vifaranga nilimshindwa alikua mkal sana, je kuna maana yoyote

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  4 ปีที่แล้ว

      Pongezi maashaallaah kwa kuona hivyo utabakia na jaka moja tu yaa tatizo moja tu lenye kukuletea majonzi au shida za kimaisha ila mengi yatakuondoka katika unayoyaona matatizo au yanayo kuyia majonzi na huzni

    • @nyabekindabaruti8257
      @nyabekindabaruti8257 4 ปีที่แล้ว

      Nimeota nimewauwa panya wengi Sana nikawabeba wakiwa wamekufa nikawatoa njee nni maana yake

  • @fatmaduhllu8164
    @fatmaduhllu8164 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah...sheikh jafar,mm nliota nmeona wanawake wawili wafukuzwa na mtu anae tisha san,ila wao hawakueza kumkwepa mm ndio nliwasaidia kwa kuarusha kuanzia gorofani juu mpka chini....na mm pia nliruka cha kushanga skuumia na gorofa lenyewe lilikua refu sana...sasa kufika chini nkaona kati ya wale waschana nlio wasaidia kuarusha chini ilkua akitapika udongoo

    • @mwanaidisalehe3389
      @mwanaidisalehe3389 3 ปีที่แล้ว

      Kuna watu wako wakaribu unawapambania ktk maisha yako mm nishawahi kuota ivo nanikamfata ustadh hakanijib ivo

  • @MohamedLingame-mz5vv
    @MohamedLingame-mz5vv ปีที่แล้ว +1

    Shehk asalam allahykum mimi naomba uniambie nimeota panya kaingia kwenye miguu yangu mguu wa kulia wawili na kushoto wawili ila nikafanikiwa kujichana nikamtoa mmoja wengine wakawa wanaama ama kwenye miguu naomba unijulishe

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  ปีที่แล้ว

      Usumbufu katika kupata rizki au unaambiwa kwamba utaneemeka inshaallaah jitahidi kuongeza ibada

  • @answarmusaanswarmusa5797
    @answarmusaanswarmusa5797 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mimi nimeota panya yuko ndani ya chumba na pale ndani ya chumba Kuna nyoka mkubwa nini maana yake shekh

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  4 ปีที่แล้ว

      atazniwa mtu wa karibu yako au pataibiwa kuwa mkini sana

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว +1

    Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah tabaraka Allah. Samahani sheikh Jafar nimeota mm na wenzangu tunaenda bombani kuchota maji baada kufika maji yalikuwa bei gali hata atukuchota maji tukaondoja gafla nineshutuka.

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  4 ปีที่แล้ว +1

      Kuna mpango utaghairishwa au hautatimia wakwako na hii inaweza kujulisha wa hela kwa kiashiria cha maji Omba kwa Allaah pia tunakuombea mambo yabadilike inshaallaah

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว

      @@MTAVASSYTvshukran jazaakaAllah kheirsheikhJafar . Ameen yaraab alamiinInsha Allah.💕💕💕

  • @maulidipazi6770
    @maulidipazi6770 2 หลายเดือนก่อน

    Shehe mm nimeota napiga vitoto vya panya kwa mchanga na vinalia sana

  • @mjukuuwataifa8452
    @mjukuuwataifa8452 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unazunguka zunguka saaana had video inakaribia katikat

  • @Aishaghalib0922
    @Aishaghalib0922 4 ปีที่แล้ว +2

    mashaAllah

  • @AmnazomyriamDjuma-lv2ro
    @AmnazomyriamDjuma-lv2ro 9 หลายเดือนก่อน

    Aww mimi nimeota panya anakula godoro yangu inamanisha nini

  • @christinangoda6161
    @christinangoda6161 ปีที่แล้ว

    Shekhe asante sana,,Mimi nimeota panya na nyoka mdogo kitandani lkn panya amekufa kwamba ameuwawa na yule nyoka,halafu nyoka akapotea nikamwambia mama yangu mdogo kuhusu huyo nyoka lakini hakutilia maanani kwenye kumtafuta,,nini maana yake

  • @AmnazomyriamDjuma-lv2ro
    @AmnazomyriamDjuma-lv2ro 9 หลายเดือนก่อน

    Aww mimi nimeita panya anakula godoro yangu inamanisha nini

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 ปีที่แล้ว +1

    Asalam alley kum sheikh mimi nimeota panya ananidandia kichwan lkn sikumuogopa nini maana yake

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  ปีที่แล้ว

      Mtoto wa kike huyo, au mtu mzinifu unaambatana nae

  • @fahidashishi255
    @fahidashishi255 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali niliota vitandaa ulivyo tafilisili siku pili yake zimeletwa balua ndoa😅

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  ปีที่แล้ว

      Maashaallah baarakallahu fiyk

  • @shemodero8886
    @shemodero8886 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nimeota panya ameingia kwa nguo yangu. Nikamsika nikamkamta na nguo ,alafu nikamchapa chini akapasuka akanguka pande ingine na matumbo yake pande ingine. Hi ina mana gani??????

  • @athumaniwaziri9392
    @athumaniwaziri9392 2 ปีที่แล้ว

    Asalamualeykum shkhe mm nimeota namfukuza panya ndani ya chumba ilinimuue lakini sikufaniwa kumuua Wala kumtoa ndani. nn maana yake

  • @bebenip3ty848
    @bebenip3ty848 2 ปีที่แล้ว +1

    Asalamu Aleykum.me nimeota panya yupo ndani frigi anakula vyakula Baad yakufunguwa frigi akakimbia yule pany nn maan yake shekhe

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว

      Kuwa makini kuna mzinifu kwako, au unabinti mchunge sana

  • @fatimaebrahim5256
    @fatimaebrahim5256 4 ปีที่แล้ว +1

    asallam allahykum mimi niliota ninampezi ambaye akinikaribia naisi isia kali sana ambazo sizakawaida namtu mwenyewe simjui ninini tafsiri yake

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  4 ปีที่แล้ว

      wewe nimekujibu hii kwa Whatsapp

    • @fatimaebrahim5256
      @fatimaebrahim5256 4 ปีที่แล้ว

      @@MTAVASSYTv asallam allahykum sijatumia kuuliza maswali watsap uenda kunamwenzangu tumefanana majina2

  • @swaphiatysaid5332
    @swaphiatysaid5332 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe mimi maana ya ndoto za paka

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว

      Sawa tutasema tena hili hivi karibuni tunaandika kwenye daftari la kumbukumbu inshallah 🙏🙏

  • @GubraCity-dm5sx
    @GubraCity-dm5sx 8 หลายเดือนก่อน

    Nimeona panya anazaah

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 4 ปีที่แล้ว +1

    Waleykumuslamu warahmatulah wabarakatu yani hapo wacongo wakiwaona hawa panya watakutafuta wakijua wanagawa😂😂😂😂😂

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  4 ปีที่แล้ว

      hat taar kwani huliwa kwao

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 4 ปีที่แล้ว

      @@MTAVASSYTv nina akhui yangu anasafiri kwa magari ys mixigo kwenda congo anawapiga picha wamewachoma mishikaki

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂asili ya congo wanakula panya,ubwa,paka nyanyi,na vinginevyo kwawo wanyama wengi ni chakula mimi ni liwahi kuishi congo palinishinda juu ya nyama wanazo kula

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 10 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 10 วันที่ผ่านมา

      ​@@oman1oman179 hatari kweli

  • @kamariamzee3245
    @kamariamzee3245 3 ปีที่แล้ว +1

    n ukiota Panya mweupe jee

  • @rotundajane3426
    @rotundajane3426 4 ปีที่แล้ว +1

    Na uki ota ume ona panya mbili moja kubwa na ndogo na wame kufa.

  • @aminaabdallah9117
    @aminaabdallah9117 3 ปีที่แล้ว

    Nimeotapanyamkubwalkn nimempigakumua

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 2 ปีที่แล้ว +1

    Tusaidie mawasiliano

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว

      tumia namba za simu hapo juu gusa alama ya channel yetu kisha yakija maeleo pangusa kuelekea kushoto utaona neno about hapo ukiligusa utaona namba zetu za simu na page zetu zingine pia 0656606014 whatsap

  • @raissamugisha1653
    @raissamugisha1653 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimeota panya cumbani nikawa nazifukuza n'a kijiti ça moto zikafa zilikuw mbili

  • @ayshaswalekh9197
    @ayshaswalekh9197 4 ปีที่แล้ว +1

    Sheik mm nimeota nasomewa quran na baba yangu baadae akanishika kifuan akinikamua nikatapika matapishi Meusi

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  4 ปีที่แล้ว +2

      Wewe unasihri kwa rangi ya matapishi hayo , lakini nikitazama pia kuna matatizo unayo hivikaribuni matatizo hayo yataondoka jiombee duaa pia waweza nieleza jina lako kwa whatsap nitakuombea inshaallaah dua ndoto hii ni katika ndoto muhimu

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  4 ปีที่แล้ว

      0656606014

  • @kidotitv5527
    @kidotitv5527 2 ปีที่แล้ว

    Mm nimeota namuona panya mweupe amenaswa kwenye mtego anaangaika kutoka , Nini maana yake

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Wewe kuwa makini sana sana kwani kama unabinti yako muangalie vyema kwani anapata shida kupitia mahusiano vijana wanamtesa, lakini kama hauna binti basi kuwa makini kuna mwanaume anatajwa hapo kwamba atafuta njia kwako.

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  2 ปีที่แล้ว +1

      Lakini mara ingine hii hujulisha kuapata pesa

    • @kidotitv5527
      @kidotitv5527 2 ปีที่แล้ว

      @@MTAVASSYTv bint ninae lkn mdogo darasa la tatu, uyo mwanaume kutafuta njia kivip sijaelewa

  • @yunisalfarsi6168
    @yunisalfarsi6168 3 ปีที่แล้ว

    Nini maana ya kuota nguo njiani zime jaa msili ya kutupwa ama mala nyine waweza kuona kama zimeanikwa

  • @yunisalfarsi6168
    @yunisalfarsi6168 3 ปีที่แล้ว

    Nini maana ya kuona mlango mkubwa na mdogo

  • @raissamugisha1653
    @raissamugisha1653 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimeota panya cini yakabati cumbani ninapo lala nikawa nawafukuza mmoja akapita cini ya mlango ingine ilikuwa ndogo nikampa kiyato aliekuwa pembeni yangu akaipiga

    • @raissamugisha1653
      @raissamugisha1653 3 ปีที่แล้ว

      Panya walikuw weusi nilikuwa nawawinda naogopa

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  3 ปีที่แล้ว

      je,haujamshauli mtu kumpata mpenzi,?

    • @raissamugisha1653
      @raissamugisha1653 3 ปีที่แล้ว

      @@MTAVASSYTv ndio yupo.nilimwambiag sinag bahati ya mpenzi

    • @raissamugisha1653
      @raissamugisha1653 3 ปีที่แล้ว

      @@MTAVASSYTv nini maana

    • @raissamugisha1653
      @raissamugisha1653 3 ปีที่แล้ว

      @@MTAVASSYTv kuna mtu kanambia amenipatishia mpenzi akini mi sikumpenda

  • @abdulqaderalmarzooqi3614
    @abdulqaderalmarzooqi3614 4 ปีที่แล้ว

    Shekhe mimi nimeota ndugu yangu wa kike ananiambia niingie shimo eti anitibie na mimi nikaingia lkn nilivo ingia tu nikabadilika tukawa mapacha lakini nimeota mchana sasa ni nini Maana yake

    • @MTAVASSYTv
      @MTAVASSYTv  4 ปีที่แล้ว

      kuna moja ya mawili, Aidha maisha yatakuwa safi,
      au utapata mitihani kidogo, kuwa na subira
      HII YATEGEMEA USIKU ULIOONA NI TAREHE NGAPI YA MWEZI MUANDAMO

    • @alleysalum7274
      @alleysalum7274 3 ปีที่แล้ว

      @@MTAVASSYTv mm nimeota panya kaja kitandan kila nikimfukuza hatoki nikatoa neti ili atoke hakutaka nikamtia kwwnye kanga nikaanza kumpgiza ukutani hadi akawa mahututi nahisi hatopona

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 3 ปีที่แล้ว

    Shehk je ukiota pesa zako zimeliwa na panya kisha ukalia Sana hii ina maana gani