(SATIVA)WASIOJULIKANA BADO WAPO. VIONGOZI WA DINI WAMEJIKAUSHA KAMA HAWAYAONI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @aneth520
    @aneth520 5 หลายเดือนก่อน

    Wacha bwana chama cha mapinduzi kinafanya kazi nzuri sana, Mungu akurehemu kweli kabisa , njaa ni mbaya sana , Mchungaji umeuza utu wako pole sana pole sana unasikitisha duniani na Mbinguni

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 5 หลายเดือนก่อน +1

    I love you man of GOD kweli Mungu yupo..wewe ni hazina moja wapo muhimu sanaaaa kwa sasa Tanzania(MAMLAKA YA KIUNGU IKULINDE NA MOTO)

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 5 หลายเดือนก่อน

    Nchi hii kikundi kidogo ndiyo kinatusumbua watanganyika,,be blessed 🙏 mtumishi wa mungu

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga4382 5 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtu wa MUNGU aliye juu

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 5 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri Mtumishi, Leo niliwaza kama wewe

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi umetimiza wajibu wako,na hesabu yako ipo katika enzi yake, wasopoisikia wakaanza zamu zao kuliokoa taifa, tayari Sauti yako Mungu anaisikia juu mbinguni,naye atakufunika katika mbawa zake adui asikupate nyuma yako Amen.

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika Umenena ,Lakini Watumishi hawaoni kabisa sijui wamesimama kwenye nafasi zipi ,siku hizi tunao Watumishi wa Mungu waoga hawawezi kubweka Wanamtetea tu maisha yao hawatetei maisha ya wengine
    Mungu atusaidie Sana

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 5 หลายเดือนก่อน

    Tunaopendezwa na haki ya MUNGU itawale tunalaani kwa jina la Yesu kila mkono,kila kinywa,na kila nguvu ya kundi fulani linalomwaga damu za ndugu zetu wasio na hatia tangu uhuru mpaka sasa 2024, nia hizi ovu ziwarudie wenyewe kwa kisulisuli wavune walichopanda kwa jina la YESU KRISTO WA NAZARETHI Amen.

  • @juliethsanga6151
    @juliethsanga6151 5 หลายเดือนก่อน

    Roho wa Mungu azidi kuku inua na kukubariki saaaaaaana .

  • @BraytonMwakitalima
    @BraytonMwakitalima 5 หลายเดือนก่อน

    Nchiii hii watumishi wengi wana subili bahasha za viongizi ila kukemea maovu hawataki hawaamiki hawa

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 5 หลายเดือนก่อน

    Hao ndo wale ukisema Mungu analeta adhabu kwenye nchi kwa sababu flani flani za kiroho ndo wanakuwa wa kwanza kukebei..iko shida

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 5 หลายเดือนก่อน

    AMINAAAAAAA💪💪💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 5 หลายเดือนก่อน

    watu wanajali sadaka tu..hatari sana..ila mimi nililaani sanaaa na nitaendelea kulaani katika nafasi yangu ufunuo 5:10 mimi nimefanywa kuhani na mfalme kinywa changu kina mamlaka na nguvu za Mungu za kutosha..songa mbele kukemea falme za giza zoteee

  • @consolatamairi3862
    @consolatamairi3862 5 หลายเดือนก่อน

    Nimependa Spirit ya ki-Mungu iliyopo ndani yako. Mungu ainue Watumishi wa namna yako, tutaona mabadiliko makubwa kwa nchi yetu. Bwana Yesu akutie nguvu ktk utumishi huu.

  • @TinaZimba
    @TinaZimba 5 หลายเดือนก่อน

    Hatari

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi MUNGU akutunze miaka mingi

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 5 หลายเดือนก่อน

    Hapo umeona kwenye angle.

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 5 หลายเดือนก่อน

    Kila kitu ni feki mpaka kwa wachungaji

  • @AlexChawe
    @AlexChawe 5 หลายเดือนก่อน

    Watumishi gani wapo upande wa shetani

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 5 หลายเดือนก่อน

    R i p magufuri

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 5 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AKULINDE MTUMISHI, UISHI MIAKA MINGI NA UTISHO WA MUNGU UZIDI KUWA JUU YAKO KTK KUKEMEA NA KUONYA

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 5 หลายเดือนก่อน +1

    mimi huwa najiuliza yako mengi ya hovyoooo yanaendelea nchi hii mbona sioni watumishi wa Mungu wanakemea???????jicho la Mungu kwenye ardhi yetu ya Tanzania..hamkemei????mnadhani mko salama sana ee???hamjui Mungu akianza kuadhibu nchi ana anza kwenu??au hamjui???

    • @leonardmallya7923
      @leonardmallya7923 5 หลายเดือนก่อน

      Ni wakati unaofaa watumishi wa Mungu nchi hii waachane na kazi ya kufukuzana na mapepo badala yake wakemee haya maovu yanayoonekana.

  • @JamesKanyenda-y9y
    @JamesKanyenda-y9y 5 หลายเดือนก่อน

    Manabii wa mchongo wapo Kwa ajili ya kusema mafanikio tu.ila mambo ya mauwaji wapo kimya.

  • @juliethsanga6151
    @juliethsanga6151 5 หลายเดือนก่อน

    YESU AINGILIYE KATI MTUMISHI ASANTE SAAANA MUNGU AKUBARIKI AAMEN.

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 5 หลายเดือนก่อน

    HUU NI MSINGI IMARA SANA WA UOVU UMBAO TUSIPOCHUKUA HATUA ZA UMADHUBTI KABISA WATANZANIA TUMEISHA HAWA WANAOFANYA HAYA NI KAKIKUNDI KADOGO SANA KATI YA WATU ZAIDI YA 60.MILIONI NA HII VITA TENA NI HATARI

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 หลายเดือนก่อน

    Hata wabunge hawahoji lakini wajitapa hata Inchi ina Amani raisi amefanya ambayo hajawai kufanywa au ni haya ya kutesa watu? Hiyo ndiyo Amani. Ulimboka mbona waliteswa wakati wa watawala na wapo bado wanachochea kufanyika hayo machukizo.

    • @HaulSidney
      @HaulSidney 5 หลายเดือนก่อน

      Nchi hii mbunge mmoja tu nae ni mpina

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 5 หลายเดือนก่อน

    Kwan amkusoma? Dini ni seehemu ya selikali ? Acha ukipofu hawa viongozi wa din wa africa hawana uwezo na ujasiri wa dhat kutetea maonevu

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 หลายเดือนก่อน

    Imeanza wakati wa Kikwete yule Dr. Na wengine wengi

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 5 หลายเดือนก่อน

    watu wanajali sadaka tu..hatari sana..ila mimi nililaani sanaaa na nitaendelea kulaani katika nafasi yangu ufunuo 5:10 mimi nimefanywa kuhani na mfalme kinywa changu kina mamlaka na nguvu za Mungu za kutosha..songa mbele kukemea falme za giza zoteee