Uteuzi wa Mungu hauhitaji kuboreshwa kwa nguvu za binadamu. Ikiwa ni hivyo huo siyo kutoka kwa Mungu. Ona habari ya Yusufu au Daudi. Ona habari ya Musa au Yona. Kwanza aliyeteuliwa hawezi kukwepa uteule husika.
Daudi asingekuwa mfalme bila ya kupambana na goliati, yusuph asingefika HATIMA bila ya mjakazi wa mfalme kumtaja, hatma ya Yona haikutimia Kwa sababu ya Toba ya mfalme wa ninawi.. wote hao ni mungu aliwateua na kuinua wasaidizi ambao ni watu. Kwa kifupi mungu huinua watu Kwa kutumia watu na huwazuia watu Kwa kutumia watu. bwana atujalie tuzidi kufunzana na kurekebisha katika kristo yesu ameen.
DAAAH! UMENIFUNGUA MTUMISHI JUU YA HILI SOMO LA (HATIMA na WITO) UMENIGUSA NA UMETUGUSA WENGI, UBARIKIWE SANA,😅😂 ila (ELIMU na HABARI ) Nimegundua ni Vitu Vya Msingi Sana ili TUWEZE KUSADIKI "
Mtumishi unanibariki sana.Nakufuatilia nikiwa Uganda kikazi.Bwana Yesu Kristo aendelee kuwa nawe siku zote za Maisha yako.
Tunapokea Kwa jina la yesu ameen.
Uteuzi wa Mungu hauhitaji kuboreshwa kwa nguvu za binadamu. Ikiwa ni hivyo huo siyo kutoka kwa Mungu. Ona habari ya Yusufu au Daudi. Ona habari ya Musa au Yona. Kwanza aliyeteuliwa hawezi kukwepa uteule husika.
Daudi asingekuwa mfalme bila ya kupambana na goliati, yusuph asingefika HATIMA bila ya mjakazi wa mfalme kumtaja, hatma ya Yona haikutimia Kwa sababu ya Toba ya mfalme wa ninawi.. wote hao ni mungu aliwateua na kuinua wasaidizi ambao ni watu. Kwa kifupi mungu huinua watu Kwa kutumia watu na huwazuia watu Kwa kutumia watu. bwana atujalie tuzidi kufunzana na kurekebisha katika kristo yesu ameen.
Mungu kwa kuanza na herufi kubwa sio mungu kwa herufi ndogo
DAAAH!
UMENIFUNGUA MTUMISHI JUU YA HILI SOMO LA (HATIMA na WITO) UMENIGUSA NA UMETUGUSA WENGI,
UBARIKIWE SANA,😅😂 ila
(ELIMU na HABARI ) Nimegundua ni Vitu Vya Msingi Sana ili TUWEZE KUSADIKI "
Ni kweli mtu wa mungu..tunahitaji elimu na habari ili kwa maendeleo yetu binafsi.
ACHENI IZO MAMBO BC