MIAKA 4 YA MTOTO ANTONY SHULENI, ALIYEMSHTAKI BABA YAKE POLISI "NAONGEA KINGEREZA VIZURI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 1K

  • @shaibuabdalah5884
    @shaibuabdalah5884 2 ปีที่แล้ว +17

    Nimejikuta nalia 😭😭 juu ya creativity ya huyu mtoto mungu mjalie huyu mtoto, pia mpe maisha marefu na huyu mzee anayo msaidia

  • @experiuskamugisha6863
    @experiuskamugisha6863 2 ปีที่แล้ว +157

    Wee mzazi unaye msaidia Antony MUNGU akubaliki sana kila ukifanyacho kifanikiwe kwa sadaka hiyo

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 2 ปีที่แล้ว +180

    Huyu mtoto n mtumish mkubwa wa mungu. God bless you in Jesus name.

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 2 ปีที่แล้ว +60

    Hongera Sana Baba mlezi M/Mungu akupe umri mrefu ni wachache Sana wenye roho Kama yako mungu awapiganie kila Atua mtt aendelee kufanya vizuri 🌹🙏

  • @rahimaan6481
    @rahimaan6481 2 ปีที่แล้ว +39

    Aiseee 🙌🙌 hongera ww baba allah akulipe

  • @carrenmukolwe6197
    @carrenmukolwe6197 2 ปีที่แล้ว +12

    Hongera kwa Mfadhili ( baba mlezi wa Antony), Antony na Mtangazaji. Nimejifunza mengi mazuri kutoka kwenu. Mungu awabariki. Nikikumbuka Antony alivyokua mchafu na ' mabuyu 'na sahii ako smart, anaweza jieleza kwa English, sifa namrudishia Mola. Mbarikiwe sana

  • @tfl4963
    @tfl4963 5 วันที่ผ่านมา

    Mola Amlinde Anthony na amsaidie awe mtiifu na shupavu maishani mwake na Abailr. Ni ombi langu 🙏 🙏 ❤. Watching from Kenya 🇰🇪. Napenda channel hii ya TZ sana. Ubarikiwe sana mtangazaji. One Love Afrika 🙏 🤲 💯.

  • @jumanatv417
    @jumanatv417 2 ปีที่แล้ว +79

    The boy always put his almighty God first... His God will never leave him alone too. Stay blessed Anthony. ❤️

  • @beera.g5302
    @beera.g5302 2 ปีที่แล้ว +35

    Wow genius baby boy, may the almighty God Brighten his future life 🙏🏿🙏🏽

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 2 ปีที่แล้ว +21

    Anthony safi sana. Keep it up. I like a simba fan. Congatulations to Mr Issack for sponsorship may god give you good health and long life. Ameen. I can see anthony's health now , you are keeping him like your son.God bless you. Ukifanya mazuri leo ndiyo faida ya kesho.

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 2 ปีที่แล้ว +60

    Ukiachilia mbali majibu ya Anthon huyu Mtangazaji yupo vizuri mnooo 🙌

    • @barnabaclemence6163
      @barnabaclemence6163 2 ปีที่แล้ว +5

      We umeona parefu👍
      Yuko safi mno

    • @sabihaibrahim3393
      @sabihaibrahim3393 2 ปีที่แล้ว +3

      Kwa kweli huchoki kusikiliza ni raha sanaa

    • @veronicatweve8908
      @veronicatweve8908 2 ปีที่แล้ว +4

      Diamond ampandishe cheo huyu mtangazaji kwa kweli 😔

    • @kazungujr.3227
      @kazungujr.3227 2 ปีที่แล้ว +2

      Ametulia sana hana papala maswali mazur interview xaf xana

    • @hamisiharuna3099
      @hamisiharuna3099 2 ปีที่แล้ว +2

      Huyu kwakweli kasomea acha hao wengine wakupewa kisa wanamsifia bosi

  • @mariammahonge2922
    @mariammahonge2922 2 ปีที่แล้ว +22

    Ooh Allah naomba Umpe Neema, Rehema, shifaa Baraka Tele Kwa Kadri ya Uwezo Wako mfadhili Wa huyu mtoto hakika umemuokoa sana😭😭😭😭

  • @sekayisenicholas576
    @sekayisenicholas576 2 ปีที่แล้ว +32

    He is very brilliant boy we love you Anthony from Uganda

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 2 ปีที่แล้ว +30

    Allah akuongoze utimize ndoto zako Mr Antoni

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 2 ปีที่แล้ว +20

    Asante mtangazaji kurudisha mtoto huyo 🙏Mungu akubariki .nawenye walisaidi mtoto huyo Mungu awabariki sanaaa 🙏🙏

  • @carolinengugi2569
    @carolinengugi2569 2 ปีที่แล้ว +45

    Having followed this story am very happy to know someone came to his rescue may God bless this Man ,

    • @oliviasimba3450
      @oliviasimba3450 2 ปีที่แล้ว +5

      MUNGU akupe maisha marefu mfadhili wa Anthony.

    • @oxxerboy9441
      @oxxerboy9441 2 ปีที่แล้ว

      @@oliviasimba3450 rreerweerrwrrwrtteeereertwrereeerteeererrttereerrereteeetttrtwereteruetrueywteurweeytereerwretrrerruetwtrrwtwereeteeyyteerreweeeewueteretywirwtwrteeweqturyywryreeeeuteetrtwuurerertruerrwrtetwywrrwwrrrirrerwt

    • @fridahmusulu4737
      @fridahmusulu4737 ปีที่แล้ว

      God bless the sponsor and the kid too

  • @elizabethnjoki9320
    @elizabethnjoki9320 2 ปีที่แล้ว +57

    Am a kenyan bt i have followed this story since it started, i like the boy he's very intelligent, handsome may God bless that man who took him

    • @margienjehia7111
      @margienjehia7111 2 ปีที่แล้ว +5

      He is very wise and talented may his dreams come true. A big thanks to baba Isaac and may God bless him migthly.

  • @edwinaoduol5474
    @edwinaoduol5474 2 ปีที่แล้ว +49

    Antony Full of confidence, May God see you through your studies Amen.

  • @eliazarinyakiema1969
    @eliazarinyakiema1969 2 ปีที่แล้ว +48

    Every single word God is there, I ve been impressed wd dis little boy. I learn something💪

  • @saidimwishehekienda933
    @saidimwishehekienda933 2 ปีที่แล้ว +35

    Much respect to Mr. Msuya.......God is watching you...

    • @mohdmaalim8452
      @mohdmaalim8452 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akujaalie kila la kheir Mr Msuya

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 2 ปีที่แล้ว +30

    Mfadhili, Mungu akuweke miaka mingi, Mungu akutunze hadi uzeeni

  • @mohamedidd7385
    @mohamedidd7385 2 ปีที่แล้ว +23

    Nimependa passion na Confidence ambayo iko ndani ya dogo 💪💪💪

  • @felixmakundi7173
    @felixmakundi7173 2 ปีที่แล้ว +39

    Anthony is genius, full of confidence and grateful.
    God bless this boy

  • @carolinemariki4029
    @carolinemariki4029 2 ปีที่แล้ว +46

    Mungu amsaidie sana Mr. Msuya kwa kutoa kwa msaada kwa Antony

  • @ndimamsuya9709
    @ndimamsuya9709 2 ปีที่แล้ว +23

    Utukufu kwa Mungu wa Mbinguni...
    Hongera Bro Issac..
    Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza, kukuimarisha wewe na huduma yako.

  • @michaelsebastian1985
    @michaelsebastian1985 2 ปีที่แล้ว +24

    Mashabiki wote wa Simba gonga likes hapa Kama unakubaliana na maneno ya Anthony kuhusu Simba sports Club

  • @rasfayhi2167
    @rasfayhi2167 2 ปีที่แล้ว +21

    From kenya I always send tears whenever I hear his voice

    • @husseiniddy5401
      @husseiniddy5401 2 ปีที่แล้ว +1

      Hongera sana mmiliki wa shule mungu akuzidishie kila lililojema

  • @nantaledorah6126
    @nantaledorah6126 2 ปีที่แล้ว +13

    Am a Uganda I started watching Anthony 2019 but i thank God I have watched him again but for sure the boy is clever

  • @magrethmollel1078
    @magrethmollel1078 2 ปีที่แล้ว +54

    very brilliant boy be blessed Antony

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 2 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah Antony amekuwa! Kichwa hiki!❤❤❤ , mwenyezi mungu akuongoze uzidi kufanya vizuri, Mpaka machozi yamenitoka

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 2 ปีที่แล้ว +21

    Dogo yuko vizuri lkn Mtangazaji nae pongezi kwake👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾

  • @edwardmwala5137
    @edwardmwala5137 2 ปีที่แล้ว +51

    Brother ISACK Mungu akuongoze, akufanye Mdau katika maisha yako yote. Clip hii imeniliza kwani nilimuona huyu kijana akiwa ngara, Leo ni mpya sio Kama yule .POKEA BARAKA ZA MUNGU MARA DUFU.

    • @florakitio646
      @florakitio646 2 ปีที่แล้ว

      Mungu awaonoze vema wote mnaojitolea kumlea mtoto huyu,... Kiroho yuko vizuri mno, anamtanguliza Mungu ktk kila jambo, God BlessYou

    • @elizabethndunguru3882
      @elizabethndunguru3882 2 ปีที่แล้ว

      Mungu Atukuzwe Milele! Ukuu na Uweza Una Yeye, Na Hakuna Lisilowezekana kwake.Mungu Ambariki Sana Mlezi na Wafadhili wote wa Wototo..Amen.

    • @annacosmus6613
      @annacosmus6613 ปีที่แล้ว +1

      Alaf amekuwa

    • @Wasynafylifestyle
      @Wasynafylifestyle 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@annacosmus6613amen amen aki nmekutana na story yake fb akielezea akiwa ngara

  • @zipporahkimemia4513
    @zipporahkimemia4513 2 ปีที่แล้ว +14

    Indeed our God is able.
    Antony you are going far and your confidence is on another level.

  • @lissamsalu12345
    @lissamsalu12345 2 ปีที่แล้ว +28

    Jamani nilikua najiuluza mtoto Antony tutamuona lini jaman wasafi mko safi Sana

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 2 ปีที่แล้ว +53

    Tunashukuru kutufamisha habari za Aton Mungu amfanye kichwa na sii mkia Mungu atimize ndoto yake

  • @salmacazzy1915
    @salmacazzy1915 2 ปีที่แล้ว +19

    Masha Allah Mungu Akuongoze mtot Antony ❤️

  • @faizaboubacar5064
    @faizaboubacar5064 2 ปีที่แล้ว +12

    Antony unaongea vizri sana una kipaji mungu akubariki sana 🇰🇲🇹🇿❤

  • @winifridakasibu2900
    @winifridakasibu2900 2 ปีที่แล้ว +10

    Asante mungu akulinde kwa kumshika mtt uyu mkono mungu akubariki

  • @nassimahmed8346
    @nassimahmed8346 2 ปีที่แล้ว +5

    Smart ,intelligent, brilliant just love that he keeps God first

  • @ednamwangonda5651
    @ednamwangonda5651 2 ปีที่แล้ว +32

    Mungu mtunze na kumlinda mlezi wa Anton

  • @ignassindabaha1813
    @ignassindabaha1813 2 ปีที่แล้ว +32

    Anthony keep going,na mlezi wako Mungu amuweke this is God's love

    • @margaretkato5178
      @margaretkato5178 2 ปีที่แล้ว

      I thank God for Anthony's sponsor who is doing a great Job to bring up Anthony unconditionally may our Good Lord give you more years and abundant blessings,

    • @bettyjuma5323
      @bettyjuma5323 2 ปีที่แล้ว

      Qq

    • @patrickbaraka9170
      @patrickbaraka9170 2 ปีที่แล้ว

      Mungu awe pamoja nae kwa maisha ya sasa hata ya uzimani, maana ni roho ambayo imetoka kwake Mungu.

    • @alesantamakiko801
      @alesantamakiko801 ปีที่แล้ว

      @@margaretkato5178jjj6jl6lljjjjjjjjjj j7j7jjjj hi uuuuupjjjjjjjjln6

    • @alesantamakiko801
      @alesantamakiko801 ปีที่แล้ว

      @@margaretkato51789kphjjpp0pp jjjpjjkkl

  • @gasanatheophile6419
    @gasanatheophile6419 2 ปีที่แล้ว +2

    Bwana asifiwe sana kwa mtoo huyu, nilimufuata kwanzia zamani akiwa kijijini kwao na Leo naona maisha amedalika sana na kuwa mazuri zaidi, Mungu awabarike wale wote wamemusaidia kufika hapa, much love from Rwanda kigali.

  • @rotundajane3426
    @rotundajane3426 2 ปีที่แล้ว +16

    Wau may God help you to achieve your goals and may God bless Baba in Jesus name. 🇰🇪🇰🇪🇱🇧

  • @erickelia9826
    @erickelia9826 2 ปีที่แล้ว +7

    Honger bab mlezi wa Anton kwa kujitolea kumsomesha mtoto huyu mungu akupe maisha malefu 🙏

  • @erickouko
    @erickouko 2 ปีที่แล้ว +6

    I thank the sponsor who is also the principal of that school for his big heart,may God bless him

  • @antonybusungu6238
    @antonybusungu6238 2 ปีที่แล้ว +59

    God bless u young boy✊

    • @kayombog1694
      @kayombog1694 2 ปีที่แล้ว +1

      Anthony mwezio huyu

  • @profesaorthogonal6095
    @profesaorthogonal6095 2 ปีที่แล้ว +23

    Kijana anauwezo mzuri na anauwezo Wa kujieleza tangu mwanzo kwa anavyoweza kumtaja Mungu safari yake ya baadae ni njema kwa familia na Tanzania
    Mungu ni mwema Upcoming great leader in Africa

  • @methuselayusto9708
    @methuselayusto9708 2 ปีที่แล้ว +13

    I'm surely amazed with his maturity personality

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 2 ปีที่แล้ว +17

    Hongera Sana bro kwa kumsaidia kijana Antony

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 2 ปีที่แล้ว +5

    Baba Isaac MUNGU akubariki Sana 🙏 Anthony hekima ya MUNGU Izidi ndani yako uishi kua mtoto mzuri utimize ndoto zako

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 2 ปีที่แล้ว +33

    May you live longer mr isaac for sponsors that boy

  • @pastorseniordukeoyugi3627
    @pastorseniordukeoyugi3627 2 ปีที่แล้ว +27

    This boy has wisdom and knowledge

  • @mutaraguzapeter1215
    @mutaraguzapeter1215 2 ปีที่แล้ว +25

    God bless Anthony for his dreams and all school team who blessed him

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 2 ปีที่แล้ว

      Yes he is clever guy
      Also he is your fellow Simba funs

  • @macksonjuma5180
    @macksonjuma5180 2 ปีที่แล้ว +38

    The boy has a high level of confidence and intelligence.

    • @pizzaboy3640
      @pizzaboy3640 ปีที่แล้ว

      NAKUKUMBUKA siku ile aliomshitaki baba yake kwa ajili ya kuuza shamba na maswali na majibu yake kweli Mungu anatisha Sana nimshukuru Sana mkuu WA hiyo shule kwa kutambua watoto wenye vipaji na kuwalea

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 2 ปีที่แล้ว +23

    Ubarikiwe sana ili baadae ukawe msaada kwa familia yako

  • @lissamsalu12345
    @lissamsalu12345 2 ปีที่แล้ว +33

    Nimefurahi sana huyu mtoto anaakili Sana

  • @meshackonsongo2184
    @meshackonsongo2184 2 ปีที่แล้ว +24

    The boy is so amazing, he always puts God first in his life.

  • @honoratatarimoo2688
    @honoratatarimoo2688 2 ปีที่แล้ว +28

    Anthony has a good dream may God bless him in all kinds

    • @fridahkitomary9034
      @fridahkitomary9034 2 ปีที่แล้ว

      Mungu ambariki sana mmiliki wa shule kwa moyo wake wa pekee sana, hayo matunda atayona kwenye kizazi chake hata baada yake, so be blessed my brother

    • @jacquelinemushi690
      @jacquelinemushi690 2 ปีที่แล้ว

      @@fridahkitomary9034 g

  • @messiahfeatures3994
    @messiahfeatures3994 2 ปีที่แล้ว +11

    M/Mungu amjalie huyu baba mlezi wa Antony na pia amuongoze Antony uwezo darasani pia asilaghaike kuihama Smba sc simba iko imara na itazidi kuwa imara cku zote inshallah

  • @OSOONLINETV
    @OSOONLINETV 2 ปีที่แล้ว +10

    th-cam.com/video/d1ahpYS0oIs/w-d-xo.html
    MKOJANI NA RINGO KWENYE MOVI MOJA.
    COMING SOO🔥🔥🔥🔥

  • @josephinebiringanine7113
    @josephinebiringanine7113 2 ปีที่แล้ว +5

    Anthony I'm so proud of you. Keep it up 📝 God bless y'all 🙏

  • @amanisengele9684
    @amanisengele9684 2 ปีที่แล้ว +13

    Huyu mtoto kanitoa machozi nauona ukuu wa Mungu kupitia huyu mtoto tazama jins anavomshukuru Mungu Kila katika kauli zake Acha Mungu ajitwalie utukufu wake kupitia huyu mtoto

  • @everlyneauko5523
    @everlyneauko5523 2 ปีที่แล้ว +10

    Thank God this boy and school God Bless them All🙏🙏🙏

  • @ningekuwambunge820
    @ningekuwambunge820 2 ปีที่แล้ว +11

    Mwlm, Mwenyezi Mungu hatakuacha kwa sababu moyo wako ni mzuri kwa jinsi ulivyojitoa kwa ajili ya Anthony!!!Shule yako siku zote itakuwa kichwa na si mkia.

  • @samsonsamwel5120
    @samsonsamwel5120 2 ปีที่แล้ว +4

    i like the way you speaking anthoy... you have a lot of confidence this help you even in your academic perfomance... God help you anthony.!

  • @boboshanti94
    @boboshanti94 2 ปีที่แล้ว +21

    I am impressed by this boy's intelligence and his love for God. May he have a bright future of wealth, health and peace.

  • @adelinelyaruu3036
    @adelinelyaruu3036 2 ปีที่แล้ว +6

    ALL THE BEST ANTHONY. CONTINUE TO KEEP FAITH IN THE LORD AND YOU WILL MAKE IT

  • @falovamary8165
    @falovamary8165 2 ปีที่แล้ว +11

    For sure God willing this boy will become a great lecturer.you have a bright future young boy

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 2 ปีที่แล้ว +20

    am so happy to see Antonie again congratulations Anto and may God continue blessing you much more young star 🌟💞🇰🇪🇪🇺

    • @saadacharasaada1958
      @saadacharasaada1958 2 ปีที่แล้ว +1

      Masha allah mtoto anaongea ad naogopa 🤩🤩🤩🥰🥰🥰😙😀allah akubarik sana utafanikiwa mwanangu

  • @alexanderjustine1523
    @alexanderjustine1523 2 ปีที่แล้ว +13

    Very good not only on academics but also on interview

  • @gracemutahi9042
    @gracemutahi9042 ปีที่แล้ว +1

    Waaaaa what a miracle, God bless u principal, Tony n producer
    He's a genius n am so grateful to God that He got a hand to help him

  • @elesisehelo8020
    @elesisehelo8020 2 ปีที่แล้ว +3

    Jaman huyu mtoto anajua kujieleza 😢🥰 duu nimependa pia hongera pia mfadhili mungu akuweke

  • @agnesslyatuu8026
    @agnesslyatuu8026 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki saaana Mr Msuya akutunze na akuongezee baraka wewe na familia yako. In JESUS NAME.

  • @violamutai5252
    @violamutai5252 2 ปีที่แล้ว +1

    May God continue blessing you brother Isaac pia Anthony mungu akujalie maisha Mema kabisa all the way from Kenya

  • @lennympole5910
    @lennympole5910 2 ปีที่แล้ว +2

    MashAllah ❤️ Very talented young soul may God continue to protect you always

  • @abdulbora812
    @abdulbora812 2 ปีที่แล้ว +30

    May God bless u young men 🙏❤

    • @chobhalikogisukilo3280
      @chobhalikogisukilo3280 2 ปีที่แล้ว

      The School Dean Mr Isaac Msuya, deserves to be honored by the public due to his concern to this intellectual boy!
      Moreover, the ministry of education as well as that of TAMISEMI, should do close marking to such a boy et al for future national developments!
      Bravo Mr Isaac Msuya!

  • @margaretwamaitha1511
    @margaretwamaitha1511 2 ปีที่แล้ว +10

    God bless Antony. You have wisdom , very clever boy.

    • @zulfaissa7814
      @zulfaissa7814 2 ปีที่แล้ว

      Mwenyezi mungu akujalie sn mtto mzuri wendelee kua naiman

    • @zulfaissa7814
      @zulfaissa7814 2 ปีที่แล้ว

      Mwenyezi mungu akujalie sn mtto mzuri wendelee kua naiman

  • @ibrahimgabriel4828
    @ibrahimgabriel4828 2 ปีที่แล้ว +3

    Full confidence. Dah Antony mungu akulinde bwana mdogo.

  • @loemapanga6087
    @loemapanga6087 2 ปีที่แล้ว +4

    Safi sanaa Mungu ambariki Baba alomchukua huyu mtoto kampeleka shule ana uwezo wa hali ya juu ananibariki na Mungu amsaidie afikie malengo yake alosema na hatimaye kusaidia familia yake.

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 ปีที่แล้ว +13

    Mashallah miaka mnne2 anazungumza kingereza kizuri mashallah 😍😍😍🥰 Allah Kareem ❤🙏

    • @annamachaki3644
      @annamachaki3644 2 ปีที่แล้ว +1

      Duuuh hongera sana mtoto mzr ww ni kichwa🙏Mungu azidi kumuongoza

    • @annamachaki3644
      @annamachaki3644 2 ปีที่แล้ว +1

      Usiende Yanga boss mtoto baki Simba usirubuniwe hata nimekupendaaaa sanaaaaa🙏

    • @salhamrisho8138
      @salhamrisho8138 2 ปีที่แล้ว

      @@annamachaki3644 ameen

  • @theobartkingamkono5087
    @theobartkingamkono5087 2 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana mlezi wa kijana Antonio mungu akupe Maisha malefu

    • @fadhilajuma372
      @fadhilajuma372 2 ปีที่แล้ว

      Mtoto kingereza ashusha kama aongea kisambaaa kudadeki

  • @dominarwechungura5797
    @dominarwechungura5797 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaani we baba Mungu akubariki kwa huruma yako, I’m very impressed Anthony

  • @isunga1964
    @isunga1964 2 ปีที่แล้ว +6

    Nimelia kwa furaha jamni mungu akupe wepesi mtoto kwa maisha yako hawa walio dislike ni watu wa Utopolo

    • @mutalemwa-woerle
      @mutalemwa-woerle 2 ปีที่แล้ว

      Au washamba hawaelewi maana yake 😂😂😂

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ni mwema😭😭nampenda sana Antony

  • @anneafrica939
    @anneafrica939 2 ปีที่แล้ว +15

    Huyu mtoto have big Power ana nguvu na huwezo mkubwa Nahisi utakuwa Mtumishi wa Mungu katika jina la YESU linatajwa sasa hivi amen una hekima na sauti yenye mamlaka go the son of JESUS Amen.

    • @tunumponda8150
      @tunumponda8150 2 ปีที่แล้ว +1

      Let guess he's the next Magufuli🥰

    • @hopeeli9641
      @hopeeli9641 2 ปีที่แล้ว +1

      Nami Namtabiria kuwa Rais, MUNGU Amlinde na kumtunza

    • @nenenelly7619
      @nenenelly7619 2 ปีที่แล้ว

      AMINA

    • @lovenessrobert9815
      @lovenessrobert9815 2 ปีที่แล้ว

      Amen ana saut ya kichungaj kabisa mungu ampe kibali ktk jina la yesu

  • @carolinetanui2382
    @carolinetanui2382 2 ปีที่แล้ว

    Ushukuriwe mungu muumba wa vyote.... Nimemfuatilia sana tangu siku ya kwanza......Baba mlezi pia hongera sana mungu akubariki....kutoka Mombasa Kenya upendo mwingi.

  • @matsarigi2986
    @matsarigi2986 2 ปีที่แล้ว +2

    I still remember the very first video of Anthony in Ngara and I’m happy to see what he has become ever since 2018. I also see a very powerful person in the future and I cannot rule out presidency of his generation and time!

  • @sadickd_knuckle5456
    @sadickd_knuckle5456 2 ปีที่แล้ว +21

    Upcoming JPM, the future is bright

    • @msetikebwasi7270
      @msetikebwasi7270 2 ปีที่แล้ว

      Anasema walimu wapo kwa ajiri yetu .

    • @sarahkadugu4367
      @sarahkadugu4367 2 ปีที่แล้ว

      Mr. Msuya bwana akulinde na kukutunza kwa kujitoa kwa ajiri ya Anthon 🤲🤲🙏🙏

    • @dicksonsamwel499
      @dicksonsamwel499 2 ปีที่แล้ว

      Yes one day it can be happen

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 2 ปีที่แล้ว +1

      Upcoming now for 120Gb

  • @mfukunyuzi8335
    @mfukunyuzi8335 2 ปีที่แล้ว +12

    When you put God first,God puts you first.

  • @christineamuku1254
    @christineamuku1254 ปีที่แล้ว

    He's confident may our almighty God continue blessing Anthony and teacher Isaac and his family

  • @nimfamtenga4259
    @nimfamtenga4259 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli Mungu ambariki sana Mr isack kwa moyo huo wakujitoa kwajili ya mtoto huyo naamini Mungu alimpa nafasi hiyo na yeye akaitikia wito wakujitoa kwajili ya wasio jiweza Mungu aendelee kumlinda na kumpa maisha marefu ili azid kuiona mbegu njema anayoitunza ndani ya mtoto Anthony

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 2 ปีที่แล้ว +10

    Huyo atakuwa mtu mkubwa Ndani ya nchi na nje ako na kipawa kutoka kwa mugu eee mungu msaidie ❤️❤️🔥🔥💪🏽💪🏽

    • @mohamedpesambili9460
      @mohamedpesambili9460 2 ปีที่แล้ว

      Siyo Inje ni nje

    • @pichunakichuna2111
      @pichunakichuna2111 2 ปีที่แล้ว

      @@mohamedpesambili9460 😂😂😂😂Mimi mkenya Kiswahili is difficult 😅😅😅 thanks for correction

    • @pichunakichuna2111
      @pichunakichuna2111 2 ปีที่แล้ว

      @Martin Swila 😂😂😂 thanks fr corrections waaaa I will not write in Kiswahili again 😂😂😂 thanks 😊🇰🇪🇨🇭🇰🇪

    • @marym2690
      @marym2690 2 ปีที่แล้ว

      na sio mugu ni Mungu

    • @lovenessrobert9815
      @lovenessrobert9815 2 ปีที่แล้ว

      Mugu tena🤣

  • @andrewjosephhezron23
    @andrewjosephhezron23 2 ปีที่แล้ว +28

    100% confidence

  • @gaspelswaz4395
    @gaspelswaz4395 ปีที่แล้ว

    Hongera mwanangu Antony, hongera sana brother Isack, pia tushukulu mtangazaji, nasema mungu awabariki sana
    Na awatie nguvu

  • @aliekarant
    @aliekarant 5 วันที่ผ่านมา

    God bless this Kid and protect him...tumpee likes jamani

  • @marianyahenge9529
    @marianyahenge9529 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki sana mtoto mzuri

  • @kenyanpixie133
    @kenyanpixie133 2 ปีที่แล้ว +12

    God bless him Anthony ❤🙏

  • @eudosiaalexander527
    @eudosiaalexander527 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen ahsnte Sana baba mulezi wa Aton. Mungu akubariki Sana Aton.

  • @francissallu2212
    @francissallu2212 2 ปีที่แล้ว

    Ukiona nimelia jua kuna kitu kimenigusa. Mtoto mdogo anamtaja Mungu kila wakati na kizuri zaidi amamhakikishia Baba ake utukufu wa Mungu anaamini atakuwa salama. Anawaombea walimu na mfadhili wake. Kikubwa kwangu ni Imani iliyopo ndani yake. Naomba hii video ikawe ibada kwangu Mr Msuya Barikiwa sana tumejaliwa vingi ila tumekuwa wagumu wa kuwasaidia wenzetu.

  • @biotechforlife3420
    @biotechforlife3420 2 ปีที่แล้ว +9

    The Boy is Genius I love Him
    .And may God bless this Sponsor 🙏