USHINDI MKUU-KWAYA YA MT. AUGUSTINO, K/NDEGE-DODOMA \\ COMPOSER: DR. KELVIN B. BONGOLE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 98

  • @ludovickshilunga8638
    @ludovickshilunga8638 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ushindi mkuu 💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hongereni Sana

  • @GodfreyMpunza-fj7fi
    @GodfreyMpunza-fj7fi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri kwakweli mbarikiwe

  • @asterontiruhungwa9864
    @asterontiruhungwa9864 9 หลายเดือนก่อน +1

    Next levoooo

  • @irenehangaya4981
    @irenehangaya4981 8 หลายเดือนก่อน +1

    Homgereni sana Wanakwaya Pamoja na Walimuhakika Mmejua kuutendea haki Wimbo na Video iko poa sana Mchukua video yuko vizuri apewe Mauwa yake.

  • @newszone7778
    @newszone7778 9 หลายเดือนก่อน +4

    Ubora uu utautoa wapi wa kazi kama sio kwenu

  • @ManenoAlsen
    @ManenoAlsen 9 หลายเดือนก่อน

    Nice❤

  • @KhadijajumaMasilu-sl5wp
    @KhadijajumaMasilu-sl5wp 8 หลายเดือนก่อน +2

    wooow hongera lety wangu oohh
    hongera wanakwaya wote jmni MUNGU awainue siku hadi siku

  • @KMMM-KNDEGEDODOMA
    @KMMM-KNDEGEDODOMA 9 หลายเดือนก่อน +5

    Hongereni sana ndugu zetu Katika kristo hakika huu ni ushindi mkuu🎉🎉🎉 #UshindiMkuu

  • @eleutermassawe405
    @eleutermassawe405 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nichukue nafasi hii kuwapongeza sana kwa tukio hili Mungu awasimamie

    • @vistancemifwa3878
      @vistancemifwa3878 9 หลายเดือนก่อน

      Asante 🎉🎉🎉 ubarikiwe

  • @stanslausnzwili5418
    @stanslausnzwili5418 9 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉🎉🎉Hongereni sanaa kwa wimbo mzuri wa pasaka
    Dr kelvin, kwaya ya mtakatifu agustino na mwamba shimanyi kwa Production

  • @HappyCharles-p9m
    @HappyCharles-p9m 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nilisubiri huu mshind mkuu kwa mda mrefu sanaaaaaa
    Mmetishaa ❤❤

  • @MagrethMwacha-gk9xj
    @MagrethMwacha-gk9xj 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni sana kwaya yangu pendwa🙏😍

  • @edmundmpululu4931
    @edmundmpululu4931 9 หลายเดือนก่อน +3

    USHINDI USHINDI USHINDI namalizia na MKUU

  • @Imaginable-Image.
    @Imaginable-Image. 9 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🎶pokea upakooooo kutoka kwa vjanaaaa🎶🎹🎶

  • @EpitasBoniface
    @EpitasBoniface 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Hongereni sana kitu cha kipekee.

  • @anthonyrguzuye1647
    @anthonyrguzuye1647 9 หลายเดือนก่อน +2

    Excellent my former Group

  • @deogratiuskasimili9149
    @deogratiuskasimili9149 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉pokeeni maua yangu

  • @ElizabethKataza-ij5ve
    @ElizabethKataza-ij5ve 9 หลายเดือนก่อน

    Bonge la nyimbo hakika ni ushindi mkuu ❤

  • @ChristopherKipele
    @ChristopherKipele 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante bongole

  • @eliakenee4418
    @eliakenee4418 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nawafwatilia sana na nawapenda sana hongereni mno

  • @VeronicaJoseph-s9h
    @VeronicaJoseph-s9h 8 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri hongereni sana nawapenda❤❤❤❤

  • @professor_mteknolojia3385
    @professor_mteknolojia3385 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sana🎉🎉🎉

  • @cedricklumiti
    @cedricklumiti 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kaka Duke mmefafanya ukuu hapa,hongereni sana,nimeupenda sana wimbo huu

    • @pascalpaul3204
      @pascalpaul3204 9 หลายเดือนก่อน +1

      Thanks Brother karibu saana 🙏🙏🙏🥰

    • @cedricklumiti
      @cedricklumiti 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@pascalpaul3204 karibu sana mkaka

  • @marysona9999
    @marysona9999 9 หลายเดือนก่อน

    Nimekuona Mwanangu Florency hongera sana Kwa sauti yako amazing💪🎼

  • @FelisterNgoleNgole
    @FelisterNgoleNgole 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hamjawahi toa Kazi mbovu nyie penda Sana 🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏🙏

  • @PhanuelyStephano-ib4eg
    @PhanuelyStephano-ib4eg 8 หลายเดือนก่อน

    Hamjawahi kosea k.m.a💥💥💥

  • @PaskalinaPhilipo-c4t
    @PaskalinaPhilipo-c4t 9 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana wanangu jamani why hamkuniita😂😂❤❤❤❤❤❤❤

  • @eleutermassawe405
    @eleutermassawe405 9 หลายเดือนก่อน +1

    I am very relieved to see the good work and integration. Congratulations to the singers, congratulations to the management for their good looks.

  • @sophiatento
    @sophiatento 9 หลายเดือนก่อน

    ushindi mkuu kweli nzuri sana

  • @emilkawala6563
    @emilkawala6563 9 หลายเดือนก่อน

    Audio nzuriii video nzuriii

  • @Anisia-sl7mj
    @Anisia-sl7mj 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri San ya🔥🔥🔥

  • @selengakaduma8118
    @selengakaduma8118 9 หลายเดือนก่อน

    Bonge la wimbo 🔥🔥🔥🔥

  • @gracemtega7996
    @gracemtega7996 9 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana sana 🎉🎉🎉🎉

  • @lucymoshi3302
    @lucymoshi3302 9 หลายเดือนก่อน

    MUNGU azidi kuatamia Hatua zenu, Hakika kazi yenu ni njema mnoo❤❤❤

  • @masanjasimon5916
    @masanjasimon5916 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri imepata wafanyakazi wazuri. Hii ni ya moto sana ❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥💪

  • @faustokazi2101
    @faustokazi2101 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana

  • @marysona9999
    @marysona9999 9 หลายเดือนก่อน

    Mmependeza sana🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @DavisMilenguko-fh4xm
    @DavisMilenguko-fh4xm 9 หลายเดือนก่อน

    Good! Good! Good! Good! gooooooooood! Job

  • @januarius-js2xl
    @januarius-js2xl 9 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana Wana k.ndege hapa mambo ni 🔥

  • @ChristopherKipele
    @ChristopherKipele 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapongeza Wana kwayawote Kwa wimbo mzuri wa pasaka nawapenda

  • @vistancemifwa3878
    @vistancemifwa3878 9 หลายเดือนก่อน +2

    Duuuuuh hakika mmefufuka na kristo hongeren sana KMA🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️

  • @cesiliawaziri
    @cesiliawaziri 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu azidi kuwatunza Familia yangu, Tuzidi kuusherekea ufufuko wa Bwana

  • @alexmwakalikamo9089
    @alexmwakalikamo9089 9 หลายเดือนก่อน

    kweli mungu ni mkuu🙏

  • @captainleonard5769
    @captainleonard5769 9 หลายเดือนก่อน

    Safiiiiiii kimsingi 🎉

  • @MeresianaCharles
    @MeresianaCharles 9 หลายเดือนก่อน +2

    jamnii wimbo mzuri sanaaa wapendwa🥳🥳🥰🥰🥰

  • @ludovickremejio8736
    @ludovickremejio8736 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani K_Ndege inapanda kas kwa namna hii ❤❤❤❤❤

  • @joshuajahazi1711
    @joshuajahazi1711 8 หลายเดือนก่อน

    Kazi njema... Inabariki, Hongereni sana kwa utume

  • @MariamAbdallah-ob6nv
    @MariamAbdallah-ob6nv 8 หลายเดือนก่อน

    Hii ni 🔥🔥🔥

  • @SalomeUlanga-ib6ke
    @SalomeUlanga-ib6ke 9 หลายเดือนก่อน

    Hongeren kwa kazi nzur wapendwa❤❤

  • @FlorenceWanjiku-kv4xc
    @FlorenceWanjiku-kv4xc 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwenu Kwa kazi nzuri Sana❤❤

  • @deniskiamba7331
    @deniskiamba7331 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika shangwe 🎉♥️

  • @saviomlotwa1047
    @saviomlotwa1047 9 หลายเดือนก่อน

    Hongern kaz nzur mnooo

  • @laitonbatista4293
    @laitonbatista4293 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hongerenen jaman mmefanya sikukuu hii iwe njema kwangu

  • @arnoldsospeter6823
    @arnoldsospeter6823 9 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana ❤🎉

  • @stella82062
    @stella82062 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi safi

  • @OmaryMaulidy
    @OmaryMaulidy 9 หลายเดือนก่อน

    Mko vizur Wana k.m.a

  • @fatumamachenje
    @fatumamachenje 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana❤❤❤

  • @JenifaManya-ji1ew
    @JenifaManya-ji1ew 9 หลายเดือนก่อน

    🎉mbarikiwe

  • @thobiasmwakyusa
    @thobiasmwakyusa 9 หลายเดือนก่อน +2

    This is indeed a great victory, you have done very well, you have done justice to the beautiful songs and you are also pleasing, may God guide you on your journey here on earth and sing with the saints in heaven. Congratulations very much

  • @giftciouszacharia8552
    @giftciouszacharia8552 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu azidi kutubariki wanafamilia yangu

  • @TheodoreAthanas
    @TheodoreAthanas 6 หลายเดือนก่อน

    Hatareeh sana❤

  • @rebeccasylivester5359
    @rebeccasylivester5359 9 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations hakika bwana amefufuka pamoj nanyiiii

  • @PaulinaLuhamo
    @PaulinaLuhamo 9 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana familia yangu🙏

  • @zawadipeter7152
    @zawadipeter7152 9 หลายเดือนก่อน

    Ongereni sana wapendwa

  • @nyaki5510
    @nyaki5510 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hongeeeni sana kaka duke mambo ni mazuri pongezinyimgi kwenu

  • @CutebiteWilliam
    @CutebiteWilliam 9 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana familia 🙏

  • @KennedyD.M-yo6ci
    @KennedyD.M-yo6ci 9 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 kwa kweli ukisikia jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni ndio hii sasa bonge la suprise 🎉🎉🎉🎉 kongole sana KMA K NDEGE

  • @AniciaMtitu
    @AniciaMtitu 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aipe nn kwaya hii jmn🎉 🥳

  • @KulwaKalala
    @KulwaKalala 9 หลายเดือนก่อน

    Hongeren sana Wana k.m.a

  • @kanemex1855
    @kanemex1855 9 หลายเดือนก่อน

    Mmenibariki sana❤🙏🙏🙏

  • @frolencekagomelo3190
    @frolencekagomelo3190 9 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani jamani jamani
    Augustino mmetishaaa hongereni sanaaaaaaaaaaaa

  • @josephpascal-yu3he
    @josephpascal-yu3he 9 หลายเดือนก่อน +1

    congratulation to you st agustine choir ,nice job and Almighty God will fullfill your wishes ❤

  • @kandemahamba3942
    @kandemahamba3942 9 หลายเดือนก่อน

    Hakika Ushindi

  • @sosthenessakalani7298
    @sosthenessakalani7298 9 หลายเดือนก่อน +2

    Watu WA MAANA Sana kabsa nyie😂😂🎉🎉🎉❤❤💯💯🙌🙌

  • @ThinnahNicholaus
    @ThinnahNicholaus 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabriki❤

  • @sophiatento
    @sophiatento 9 หลายเดือนก่อน

    HAKIKA USHUNDI

  • @AnnastaciaSafarin
    @AnnastaciaSafarin 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri.Hongereni

  • @RehemaMahamba-w5o
    @RehemaMahamba-w5o 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi mzur hongeren sana familia yangu❤❤❤❤

  • @shukurumhiliwa4168
    @shukurumhiliwa4168 9 หลายเดือนก่อน

    Hakikaaa ushindi mkuuu. Nomss

  • @FelisterNgoleNgole
    @FelisterNgoleNgole 9 หลายเดือนก่อน

    💥💥💥💥💥

  • @augustinenjesi3215
    @augustinenjesi3215 9 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥✊

  • @leticiasilvery1782
    @leticiasilvery1782 9 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉❤

  • @philipp749
    @philipp749 8 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @LeonidaGheo
    @LeonidaGheo 9 หลายเดือนก่อน

    Nzur munooo

  • @ManenoAlsen
    @ManenoAlsen 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥nzur mnio

  • @PeterMgoma
    @PeterMgoma 9 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @JulianaMalamso
      @JulianaMalamso 9 หลายเดือนก่อน

      Huo umefika hongeleni sana kwa kazi nzuro🎉🎉🎉🎉

  • @GraceAlbinus-l4v
    @GraceAlbinus-l4v 9 หลายเดือนก่อน

    🎉hongereni Sanaa

  • @edmundmpululu4931
    @edmundmpululu4931 9 หลายเดือนก่อน

    Hatareeee n Nusu 😂😂😂😂

  • @mathewmgao6338
    @mathewmgao6338 9 หลายเดือนก่อน

    🫲🫱🫲🫱🫲🫱🫲🫱🫲💪

  • @VeronicaJoseph-s9h
    @VeronicaJoseph-s9h 8 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri hongereni sana sana nawapenda❤

  • @LeonidaGheo
    @LeonidaGheo 9 หลายเดือนก่อน

    Hongeren sana

  • @FelisterNgoleNgole
    @FelisterNgoleNgole 9 หลายเดือนก่อน

    💥💥💥💥💥

  • @stevenchawala9173
    @stevenchawala9173 8 หลายเดือนก่อน

    🔥