SH OTHMAN ,MWALIM DIMOSO BABIE SHEGHELE WAKUTANA MADA MOJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @safiasuliman5136
    @safiasuliman5136 7 หลายเดือนก่อน

    Allah huaqbar❤❤❤

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว +3

    Asalaam alaykum ndio kwanza naifungua ila nimefurahi sana kwa hao washirika shukraan shemela Othman Michael swahiba yangu mwalimu Dimoso na mjomba wangu babe sheghele Allah awabariki

  • @hawayussuf9244
    @hawayussuf9244 2 ปีที่แล้ว +2

    MaashaAllah Allah awalipe kila lakheri

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah napenda mawaidha ya shekhe Othman utacheka tu bila ya kutaka yanautulivu raha kweli nayafatilia kama vile movies 🍿

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 ปีที่แล้ว

      Siwapendi masheikh wanaopenda kujifakharisha eti ana mke zaidi ya mmoja ulimbukeni tu umewazidi sasa laiti mngelikua Kama nabii Suleiman ingekuwaje? Mola asinipe mume wa aina Kama hizi

    • @fatmakhatib8444
      @fatmakhatib8444 2 ปีที่แล้ว +1

      Wallah Allah awafanikishe hii darsa iendelee tutasalimika wanawake na ndoa zetu na tutapunguza kuwa na watoto wa mababa kila mtu na baba wake shukran sana masheikh kwa msimamo wenu Allah awalipe kheri

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 2 ปีที่แล้ว +1

      @@fatmakhatib8444 sio wanawake tu watafaidika watu wote maana na wanaume pia wanataka warekebishwe ndio chanzo Cha matatizo

  • @Jasiminimansour6689
    @Jasiminimansour6689 2 ปีที่แล้ว +1

    Ooooh umetuletea shek dimoso Maashallaah

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว

    Shekhe Othman Allah akulipe jazza njema kwa kuwaona hao ndugu zetu ktj Iman

  • @ashurahabibuhassan4304
    @ashurahabibuhassan4304 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallha shehk osiman fanyeni himahima kufunga hiyo shule Ishaallah

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว

    Wallah wote wakali na nimevuna kwa kila mmoja wenu Allah awalipe jazzaka njema

  • @issachuwa6413
    @issachuwa6413 2 ปีที่แล้ว +1

    MASHAALLH

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah kweli , ndoa ndo ballah kubwa

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @asmaally1626
    @asmaally1626 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @user-qg2sw9bj2i
    @user-qg2sw9bj2i 2 ปีที่แล้ว

    Mama yetu hawa

  • @fatmamuyinga5195
    @fatmamuyinga5195 2 ปีที่แล้ว

    Hata ungeomba dua ya kupata mume wa pekeako huwezi pata, hatupo na hajazaliwa, maana km uko pekeako nje wapo wanne, km wewe wanne mbele watatu, na si vinginevyo

  • @bakarirutengwe3036
    @bakarirutengwe3036 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️

  • @rehemamujib6736
    @rehemamujib6736 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah tabarakallah

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 ปีที่แล้ว

    Vipi kwa wanawake shekhe

  • @ahmedhamisi8335
    @ahmedhamisi8335 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah