Sheikh wangu Allah akujaze kheri kwa mawaidha yako.Hayo unayoangea ni kweli,juu hta mm katika ndoa yangu ya mwanzo nilikuwa nikimpatia first priority mahitaji ya wazazi wake ,mm nilikuwa badae. Hdi sai niliyetaka kufunga ndoa nae innshaallah,huwa na mwambia hivyo.Nakuomba umfanyie dua juu ananipinga kwa kiasi kikubwa,saabaabu ni wazazi wako mbalix2 tena mama Kisha mwambia yy sio wa baba huyuu. Eti babake Kisha fariki na ndugu nao wanamtenga.
Mawaidha mazito yanayohitaji mazingatio.Sheikh Allah akubariki kwa jinsi ulivyoo ieleza ndoa.Hii elimu ifikisheni kwa wahusika na Allah atawaridhia innshaallah.
Hayo majini mahaba hayana m'ke hayana m'me. Kutwa upo mtandaoni unatizama uchafu na tupu za w'ke, nguvu za kiume zenyewe huna mpaka labda uwe unazini au uote....unadhani nn km si majini mahaba hao?
Suluhisho ni kuwapa maadili mazuri wtto wote wa kike na kiume. Wtto wa kike hujuilikana kua washaharibika lkn wtto wa kiume hujuilikana vp? Na pengine anazini tu lkn hajapata kuzalisha? Ndo Allah anapompa kichapo kwenye ndoa yake. Mana hata useme hujazini ndio tayari huezi kufuta maneno ya Allah....utaoa mzinifu mwenzio au mshirikina.
Sheikh Othman hio hadithi uloitoa si yakweli. Alokuhadithia kakudanganya. Raia wa Uingereza ppte alipo anajua km passport ikiibiwa au imepotea kwa njia yyte ile ukienda ubalozini bure unapewa emergency document ya kurudia.
Dimoso Allah akupe umri upo sawa kabisa sheikh authman Allah awazidishie mema kwa mema mnayo tufunza ❤❤❤❤❤ jazakumlakheri
Allah tuwekee mashekhe wetu hawa, na watimizie kila haja zao zenye kheri na wao
Sheikh wangu Allah akujaze kheri kwa mawaidha yako.Hayo unayoangea ni kweli,juu hta mm katika ndoa yangu ya mwanzo nilikuwa nikimpatia first priority mahitaji ya wazazi wake ,mm nilikuwa badae. Hdi sai niliyetaka kufunga ndoa nae innshaallah,huwa na mwambia hivyo.Nakuomba umfanyie dua juu ananipinga kwa kiasi kikubwa,saabaabu ni wazazi wako mbalix2 tena mama Kisha mwambia yy sio wa baba huyuu. Eti babake Kisha fariki na ndugu nao wanamtenga.
Mungu awape umri mrefu masheik wetu jamani uko sanya ni nyumbani kwetu 😂 nimefurahia somo hili lnshallah twawapenda from 🇰🇪
Mawaidha mazito yanayohitaji mazingatio.Sheikh Allah akubariki kwa jinsi ulivyoo ieleza ndoa.Hii elimu ifikisheni kwa wahusika na Allah atawaridhia innshaallah.
Mashaalah mashaalah
Jazaakumullahu khaira
Jazakallah khery
Maashalla shehk wetu dimoso
Saut ya shekhe dimoso mim hoi
Sasa hata husemi mashaa Allah jaman
Ikiwa huwo ukweli ndio unabomoa nyumba unafanyaje shekh wangu
Hayo majini mahaba hayana m'ke hayana m'me. Kutwa upo mtandaoni unatizama uchafu na tupu za w'ke, nguvu za kiume zenyewe huna mpaka labda uwe unazini au uote....unadhani nn km si majini mahaba hao?
Suluhisho ni kuwapa maadili mazuri wtto wote wa kike na kiume. Wtto wa kike hujuilikana kua washaharibika lkn wtto wa kiume hujuilikana vp? Na pengine anazini tu lkn hajapata kuzalisha? Ndo Allah anapompa kichapo kwenye ndoa yake. Mana hata useme hujazini ndio tayari huezi kufuta maneno ya Allah....utaoa mzinifu mwenzio au mshirikina.
Endeleeni tu kuwafundisha w'me kuwapiga kipigo w'ke barabara mkiona labda w'me wenyewe ni km Mtume s. a.w, Sayyidna Ali na wema waliopita.