MashaAllah nimejinza vitu vingi sana tena sana kwanza tabassamu la shekhe wetu😀 Allah atujahalie tupate waume wema wenye ofuu ya Allah na si wanawake Allah atupe hishma yakutunza utu wetu ili tupate waume wema allahum ameen👏
Ostazi mawaidha mazuri sana ...ila pia waambie na wanaume watimize majukumu yao...mana sikuhizi wanaume wengi sikuizi wanapenda kulelewa wanapenda wanawake wenye pesa...napia hawaudumii wanawake zao ndomana wanawake wanawazalau waume zao...siku wafunde na wanaume shehe wng
Duh uyu kaka dini imemkolea na amelelewa mpka kaleleka mpaka raha ee mungu nami anitie nguvu mwanangu nmlee awe mpole mnyenyeke na mshika din kama uyu.
Aslm alkm wtw.... Sheikh Othman.. mambo mazuri yaletwa na uzuri. Ikiwa wewe ni darwedh wa nguvu, mpenzi kwa mkewe. Wallahi Sheikh Othman shida haipatikani. Shida inaanzia kwa mwanaume. Mumeo akiwa darling 😘❤️ kwako usafi utapatikana, mapenzi yatapatikana, na raha ya Akhera na dunia itaweko. lakini ukijipata na darwesh wa kukupatia stress , Shida ndio chakula chenu. Wanaume hawako sawa Sheikh wetu. Shukran sanaaa kwa mawaidha Sheikh wetu. Allah akulinde. Wanaume wengi hawapendiki. Wakupendeka atapendeka hata awe hana chochote. Love first before anything. Asante Mungu akubariki.
Nakumbuka siku Moja niliwahi kumpenda mke baada ya kulala na e siku Moja nikampa hela akakataa akasema kwani nimekuuzia kwa kweli iliongeza mapenzi kwa tukio hilo
waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah tabaraka Allah sheikh wetu kwa darasa zuri sana . Alhamdulillah Allah atujaalie miongoni mwao. 💕💕❤
Tangu nianz kuskiliza mawaidha yako alhamdullh imekuw ni mwangaz na mlango wa mafanikio ktk maisha yangu ad ndoa yang saiv kam tuoana jana yan ni maajab kwakwel Hakika Allah hashindwi na jambo alhamdllh a'laakull haal
MashaAllah Tabarakallah shukran sana shekhe najifunza mengi kupitia mawaidha yko haswa unanijenga kwenye ndoa yng...Allah akujaze kila la kheri akuzidishie umri wko duniani
Maashaallah jazakallahu fih kheir, mawaidha mazur wallah.. na m nmejfunza mengi kupitia sheikh Othman, Allah ukupe umri mrefu uzidi kutupa mawaidha mbalimbali
Shukuran shehe mungu akubark ilaleyo umetuchomokeya kwel ss nwasumbufu sana ila wanaume waskuhz pasuwa kchwa hela wenyewe kukupa shuhuli utanukiyaje haya 2 A atatufanyiya wepec ktk ndowa zetu
asalam alkm jamani hakuna mkamilifu isipo kua allah mwenyewe mm napenda kusikiliza mawadha ya hyu shekhe maana nimazuri na yenye hikma lkni mm ninamuomba shekhe apunguze kucheka kidogo maana sheitwani ibilisi ni adui wa wachamungu .nakupenda kwa ajili ya allah na allah akuhifadh inshallah
Mashaallah shk mafunzo mazuri mola akujaze khr na mafanikio duniani na akhera inshaallah
Asante sana shee Alla akupe maisha malefu yenye mafanikio ndani yake
Mashallah shukran Shekhe najifunza mengi kumbe huwa namkosea mume wangu bila kujua...
Mashallah Allaah akuripe kilalakher
Shukrani sheikh othumani dah leo nimejifunza na kufurah pia dah wanaume siwawezi .innshallah kheri yaarabbi ajaarie tuweze kuwatimizia haja zao waume zetu
😨😨😨😱😱😱😱itabidi uweze sasa
@@najmaulaya8819 nitajitahid wacha nichukue elim ili nikiingia nisipotee
@@mysalhasadala1985 jitahidi mama lakini ujue wanaume bwana hawaridhiki ule udhaifu wako ataufanya ndio mlango wa kutokea
@@mamussi6872 shukran my habtiynimekuelewa🙏🙏
Ati wanaume siwawez 😆😆😆😆😆
MashaAllah nimejinza vitu vingi sana tena sana kwanza tabassamu la shekhe wetu😀 Allah atujahalie tupate waume wema wenye ofuu ya Allah na si wanawake Allah atupe hishma yakutunza utu wetu ili tupate waume wema allahum ameen👏
Ameen
Allahumma Aamina
Allahmma Amin
Allah anijalie mume mwema dunia n akher kam shekh wetu❤❤🤲🤲 inshallah 🤲🤲
Maaashallah Maashallah tabaraqallah..shukran kwa darsa
Allah akulipe jaza ya juu pia umependezaaa
I can't get tired of loving sheikh othman jazaka Allahu kheiry
Me to
Amina
Yani his the best mashallah
Maashall shkh othman
Ostazi mawaidha mazuri sana ...ila pia waambie na wanaume watimize majukumu yao...mana sikuhizi wanaume wengi sikuizi wanapenda kulelewa wanapenda wanawake wenye pesa...napia hawaudumii wanawake zao ndomana wanawake wanawazalau waume zao...siku wafunde na wanaume shehe wng
Uwe na subira
Duh uyu kaka dini imemkolea na amelelewa mpka kaleleka mpaka raha ee mungu nami anitie nguvu mwanangu nmlee awe mpole mnyenyeke na mshika din kama uyu.
Amiina inshallah
Ammin
Allahumma Amiin thumma Amiin 🤲🤲
Amiin❤️
Mashallha mola atupe subra wanawake inshallh
masha allah kwahakika nikweli kabisa mungu akuweke kaka mashaallah
Allah akuzidishie umri
Asalamu alayikmu miminimkaji waburundi nafataga mawaidha yashekhe othman Michael ongerasana kakayangu kwamawaidhayako mazuri allah akubariki mimimumewangu alituowa tukowawili namsukuru allah nimuadilifu kamawewe
Hongera dia...Allah azidi kumuongoza
Hahaa Maa shaa Allaah TabarakaAllaah wallah darsa la leo zuuri mno shukraan jaziilah Sheikh Allaah akupe umri mrefu
Maashallah Sheikh yuko vizuri sana
Shekhe upo vizuri kwa elimu ya kisram
Shukraan sheikh Michael
Aslm alkm wtw.... Sheikh Othman.. mambo mazuri yaletwa na uzuri. Ikiwa wewe ni darwedh wa nguvu, mpenzi kwa mkewe. Wallahi Sheikh Othman shida haipatikani. Shida inaanzia kwa mwanaume. Mumeo akiwa darling 😘❤️ kwako usafi utapatikana, mapenzi yatapatikana, na raha ya Akhera na dunia itaweko. lakini ukijipata na darwesh wa kukupatia stress , Shida ndio chakula chenu. Wanaume hawako sawa Sheikh wetu. Shukran sanaaa kwa mawaidha Sheikh wetu. Allah akulinde. Wanaume wengi hawapendiki. Wakupendeka atapendeka hata awe hana chochote. Love first before anything. Asante Mungu akubariki.
Nakumbuka siku Moja niliwahi kumpenda mke baada ya kulala na e siku Moja nikampa hela akakataa akasema kwani nimekuuzia kwa kweli iliongeza mapenzi kwa tukio hilo
Unajua ww utakua ujamuelewa vizuli itakua
Barakallahu fiiiiiq allah akuepushe na vijicho
Masha Allah
haaahaaa nimecheka san ranagan raana gan raaana jaman khaaa
Mashaallah😊kheri kwako nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh othman
Mashaallah Allah hakulip kila lakhr inshaallah
waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah tabaraka Allah sheikh wetu kwa darasa zuri sana . Alhamdulillah Allah atujaalie miongoni mwao. 💕💕❤
Amiin
mashallah shehe wetu kwelikabisa maneno haya yakweli yapo yamenea
Swadakta shekhe wetu maneno yako
MASHA ALLAH..TABARAKA ALLAH...MAWAIDHA MAZURI...HAKIKA WANAWAKE TUMEPATA FAIDA..
Mashaallah shekh handsome mola akupe umri mrefu uzidi kutuongoza🙏🙏🤲🏽🤲🏽💞💞💞
Shukran
Mashallah sheikh nimetamani ndoa INSHALLAH
Mashaallah ,Allah akubarik kwa darsa yako
Tangu nianz kuskiliza mawaidha yako alhamdullh imekuw ni mwangaz na mlango wa mafanikio ktk maisha yangu ad ndoa yang saiv kam tuoana jana yan ni maajab kwakwel
Hakika Allah hashindwi na jambo alhamdllh a'laakull haal
Pambe tu mashaAllah ❤
mashaallah ALLAH azid kukupa afya utuelimishe leo nimejifunza kitu alihamdulilah
MashaAllah Tabarakallah shukran sana shekhe najifunza mengi kupitia mawaidha yko haswa unanijenga kwenye ndoa yng...Allah akujaze kila la kheri akuzidishie umri wko duniani
Amiin
Amina yaraby
@@jamilaoman7207 Amiin Amiin
Mashaallah... Shukran sana sheikh nimejifunza..
mashallah mashaallah
Maa shaa Allah Allah akujaze kheri !!!!!
MashaAllah.《Sheikh shukran,napend darsan zako sana Allah akujalie na famillia yako Amiiin Ya Rabi 🤲🤲🤲🙏🙏🙏
MWANAMKE JIKOO..USHASEMA SHEIKH..SWADAKTAA..SWADAKTAA..SWADAKTAA..
Nikweli kabsa! !! Allah akujaalie shekh
Da asante shehe othumani mm nilikuwa najua uwongo kumbe kweli ile ilikuwa kweli
maa shaa Allah shukran br Allah atufanyie wepesi tuweze kuwa wenyekuzigatia
Ma shaallah zuri mungu akujalie mawaiza mazuri sana mola akubariki
Maa shaa Allah shekhe letu umependeza hatari bariki llahu fiq ahsante sana kwa mawaidha yako Allah akuzidishie maarifa ili uzidi kutuelimisha
Mashalaah
Unamsifia shekhe ww kapendeza?
Maashaallah jazakallahu fih kheir, mawaidha mazur wallah.. na m nmejfunza mengi kupitia sheikh Othman, Allah ukupe umri mrefu uzidi kutupa mawaidha mbalimbali
MashaAllah nimesoma mengi Leo planning to improve my marriage
masha allah manenomzuri yanamafunzo allah akulipe
Mashallah zajakalahu kheri sheikh
Hapo kwa kula Allahmdhulilah mume wangu hata aende kwa mamake lazma arudi kula nyumbani maana namuandalia Allahmdhulilah ....
Mashallah Allah akuhifadhi
Shk Othman nakpenda xn kwa ajili ya Allah m,mungu akuzidishie umri ili tunufaike na wewe
assalmaleyhi warahmatullahi
masha allah allah krm ujumbe uwafikie waislm wote
MashaaAllah jazzak la kheri
ManshaAllah shukran Sheikh 🙏
MashaAllah kaka
Mim c mwslam ila uyu sheikh namwelewaga knyama na namfatilia sana anajua kufundsha hana porojo za kukandia din za wengne more life bro
Mungu azidi kukutia Iman ipo siku inshaallah huenda ukawa kama yy kwa rehema za Allah ❤
Nashukuru mm najifunza na mawaidha yako
""Mashaallah shukran mada nzuri nimejifunza mengi""
Jaman Mungu akubariki sanaaa
Mashallah shukrain Allah barqi
Asalam allkm waraham tullah wabarakatuh ma shaa Allah tabaraqallah mungu akubariki mawaidha mazur nilijifunza sana shukran
😀😂😂😂alhamdulillah masha allah SHEIKH wetu😂😂💟💟🙌
Shukuran shehe mungu akubark ilaleyo umetuchomokeya kwel ss nwasumbufu sana ila wanaume waskuhz pasuwa kchwa hela wenyewe kukupa shuhuli utanukiyaje haya 2 A atatufanyiya wepec ktk ndowa zetu
mashallah shekhe umengea sahihi
Maasha Allah kwa mawaiza mazuri tunazidi kujifuza mengi shukra mwenyezi mungu akuzidishie kila la kher tuzidi kujifunza zaid
Alhamdulillah mengi Kati ya uliyoyataj najikuta Kama unaniongelea Mimi ninayoyafany kwa mume wangu.
Mashallah.
asalam alkm jamani hakuna mkamilifu isipo kua allah mwenyewe mm napenda kusikiliza mawadha ya hyu shekhe maana nimazuri na yenye hikma lkni mm ninamuomba shekhe apunguze kucheka kidogo maana sheitwani ibilisi ni adui wa wachamungu .nakupenda kwa ajili ya allah na allah akuhifadh inshallah
Tabasamu fijiha swadaka
Shekh jadhak llah kher mung akubarik
Ma shaa Allah sheikh
Mashllh Allh akulipe heri 🙏🙏🙏
Kweli kabisa shekhe wangu mwanaume hajuwi hiyo mtoto anaumwa au kaga
Shukran jazzilan sheikh Othman Michael
Shukuran kwa darasa kwa hakika nimejifunza Sana
Mafunzo mazur sana
Mashaallah jazzakallah
SHEIKH MASHAALLAH KILA KHE
ماشاءالله تبارك الله جزاك الله خيرا شكرا يا شيخ
Zayat assalaam alaykum
@@khatwabisadathil3423 walaykum salam warahmatullah wabarakatu
ماشاءلله
Asalamu alykumu shuklani jazakumu llhahu kheli
Mashallah sheh
ma Sha Allah.
Masha Allah !
🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka jmn sheikh bana mawayitha mazur sn mashaallah shukran sn 👏
mashallah mashaallah
Maaa shaaa allah
Jazaaqa Allah kher
Mashallah
Mashaallah tabarak rahman
May Allah make it easy for everyone who want to get married...pray for me as well🙏❤
Wa anti kadhaaliki
Allahumma amiyn!
Alhamdulillah Rabbi l
MashaAllah MashaAllah MashaAllah
Ma shaa Allah Sheikh Othman, Barakallah.
Alhamdulillah Rabbi l
Mashaallah shekhe nimekupenda kwa ajili ya Allah nataman Ata niwe mke wako wa Tatu Ata wanne
Ila najifunza kupitia mawaidha yako
Najifunza mengi ila wanaume wengine hata uwafanyie nini
Mtafute kwa namba zako apate ujumbe wako hapa sijui kama atauona
Masha allah
@@zenahassan345 Aliyeamua kumkataa Muumba wake hutamuweza nafsi yake huyo haraka jiepushe naye kabla hayajakukuta makubwa.
MASHAALLAH
Mashallah tabark allah
Leo nimefurahi maiza mazuri
Toba roho yangu hahahaha ahsantee sheikh Allah akinipa mume in shaa Allah nitayafanyia kazi
Amiyn!
Allah akujalie inshallah
Dah.! Wapo wapi wanawake wenye sifa hizi. Wallah kuna watu wanapitia hali ngumu katika ndoa zao.
Wap ila niwachach
Niwengi mnoo
Tupo hapa
Huyo mama hajielewi utatembeaje na mama mkwe
Shekh mayko wwe kiboko SHILAMOO SHILAMOO.ALLA AKUPE PEPO
Asantee kwamafunzoo
Masha allah tabarakallah jazzakallahu kheri shekh othman
Alhamdulillah Rabbi l
Barakallahu 😊
Faa uko wp Tanga
Barakallah fiq shekh letu much love much respect🥰🥰🥰🥰🥰
Jazzakumlah khair
Mwenyezi Mungu akulipe kila lakheri sheikh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sijutii kukusikiliza kwakweli napata maarifa kwakweli Mungu akubariki sanaa