DIAMOND Aguswa Na Injili Ya ROSE MUHANDO, Nilikuwa Muislamu, Ipo Siku Yesu Alienitokea Atakutokea..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 161

  • @mamaal6949
    @mamaal6949 ปีที่แล้ว +18

    Rose is soo powerful full of holy spirit
    when she talks devils runs she shakes the kingdom of hell
    Glory to God

    • @isihakambalawa
      @isihakambalawa 7 หลายเดือนก่อน

      Huyu😂 ni msanii kama wasanii wengine Amna chadini Wala nini

  • @PaulKala-md6ur
    @PaulKala-md6ur ปีที่แล้ว +50

    From Kenya gonga like kwa huyo mama

    • @IsmailLoi
      @IsmailLoi 8 หลายเดือนก่อน

      Hapo huyo dogo wa kigoma hamna rangi hamtaona anawachora tu hiyo ya Nairobi ni sampo mnamdhihaki Mungu wetu na ni ustaa wa kumpa shetani nafssi

    • @TunaelMhema
      @TunaelMhema 8 หลายเดือนก่อน

      Safi sana

    • @TunaelMhema
      @TunaelMhema 8 หลายเดือนก่อน

      Hongera mama

  • @سيدا-ص1ز
    @سيدا-ص1ز ปีที่แล้ว +6

    Barikiwe sana dada rose kwa ijijli nzuri sana mungu wa mbinguni akulinde milele

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 ปีที่แล้ว +4

    Nasikia Furaha sana kuwa na Muimba injili bora Tanzania kama Rose Muhando, Ubarikiwe Mama

  • @mauriceabuyeka2298
    @mauriceabuyeka2298 ปีที่แล้ว +6

    Nampenda mtumishi wa Mungu Rose Muhando,malkia.Kenya tunakupenda

  • @johnlazaruz4699
    @johnlazaruz4699 ปีที่แล้ว +10

    Wooow this lady is blessed aky,

  • @gilbertrono7921
    @gilbertrono7921 ปีที่แล้ว +13

    Rose kweli anaongea kweli hata kuliko mwanamke mwingine ...wueh she is powerful

  • @emmawayua8474
    @emmawayua8474 ปีที่แล้ว +1

    Glory be to almighty God 🙏🙏🙏🙏, wow my mentor MUM ROSE, mungu na azidi kukuinua🙏🙏🙏🙏🔥🔥

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 ปีที่แล้ว +14

    Roho mtakatifu yupo ndani ya Rose muhando Asante Kwa injili hii kubwa

    • @radegundapeter4205
      @radegundapeter4205 ปีที่แล้ว +2

      Yeah! huyu ni mwinjilist.. ni swala la muda🙏🏻

    • @heritier5119
      @heritier5119 ปีที่แล้ว

      Avae mavazi ya utukufu

  • @lizahadongo1801
    @lizahadongo1801 ปีที่แล้ว +8

    Rose muhando nakupenda sana 🇰🇪

  • @eddyneyfhh7034
    @eddyneyfhh7034 ปีที่แล้ว +2

    Haleluya urimuona uyomungu kbx na tusishangaye kuona diamond ameokoka juyamamboyote kunanguvu Zamungu njosimesababisha anakuja kwamukutano uyo

  • @rhodalissu6953
    @rhodalissu6953 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Rose Muhando nabarikiwa na huduma yako, pia naomba ushauri wako ktk huduma yangu ya uimbaji dada

  • @catherinepeniel202
    @catherinepeniel202 ปีที่แล้ว +7

    Amina. I receive this powerful of holy spirit ndani ya Malikia ikuje na kwangu 🙏🙏

  • @sylviambinya3972
    @sylviambinya3972 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ni wa maana sana Mama na Mungu akutendee unapomtumikia.....napokea izo baraka namimi

  • @gracewanjiru3136
    @gracewanjiru3136 ปีที่แล้ว +1

    Aki rose wagusa roho yangu sana God bless you sister

  • @EvaluneKhalnziri
    @EvaluneKhalnziri 10 หลายเดือนก่อน

    Mama rose good bless you much love from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 keep shining ma'am

  • @motonkaantony2081
    @motonkaantony2081 ปีที่แล้ว +1

    Rose Muhando is beyond the radiation of thoughts, may God Bless her new year 2024.

  • @RepherBuyeshe-ee4by
    @RepherBuyeshe-ee4by ปีที่แล้ว +4

    Amen ushuhuda huo uko powerful sana❤❤❤

  • @thomsonstephano606
    @thomsonstephano606 ปีที่แล้ว +1

    Usimjaribu bwa na mungu Aliyeziumba roho na mwili wako na utukuzwe baba wa mbiguni kwakijana huyu aliye wakumbuka watumishi wako amina

  • @virginianganga2556
    @virginianganga2556 ปีที่แล้ว +6

    Amen dada Rose Mungu akubariki

  • @Nimubonaegide-hd7iw
    @Nimubonaegide-hd7iw ปีที่แล้ว +4

    Dada yetu mama yetu misse you roza marikiya mama mungu akuongezeye maisha marefu Mami nakutakiya maisha marefu urindwe unatubarikisana mama

  • @saidakwamboka4739
    @saidakwamboka4739 ปีที่แล้ว +2

    Yaani rose nimupli kweli anasimama kama mwanamke mwenye jasiri❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @DeiMwakingwe-js3cu
    @DeiMwakingwe-js3cu ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu alie hai

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว +2

    Huyu ni motivation speaker

  • @charlottesindayigaya2030
    @charlottesindayigaya2030 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki saaaaaana mtumishi wa Mungu dada Rose Mhqndo kwa ushuhuda na Neno la Mungu. Nimebarkiwa saaaaaana kukusikilisa wewe ni Jeshi kubwa la Bwana Yesu. Be blessed ❤❤🙏🙏🙏🇳🇴🇳🇴❤🤗

  • @lamerckmsuya5513
    @lamerckmsuya5513 ปีที่แล้ว +3

    Rose anaimba mbaya, Mungu akubariki,Amina

  • @rosemarykisuke7223
    @rosemarykisuke7223 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe wajina Mungu ameweka kitu cha tofauti

  • @moraramaggy9506
    @moraramaggy9506 ปีที่แล้ว +5

    God above all mama yetu we love you as Kenyans injili isonhe mbele amen

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 ปีที่แล้ว +2

    Mie huyu dada nampenda Yuko unic Sana yaan Yuko halisi haigi uzungu mwingi

  • @BahatiAssey-lu4sj
    @BahatiAssey-lu4sj ปีที่แล้ว +2

    Eeh yesu kristo mungu tusaidie tupemacho tuyaone mengi utuokoe usitutie katika vishawishi

  • @LovenessDaudi
    @LovenessDaudi ปีที่แล้ว

    Mungu akubari sana nabariliwa na huduma yako mungu azidishe neema juu yako

  • @deborahfuraha9477
    @deborahfuraha9477 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana mama umesema kueri kabisa mungu amubariki sanaaaaasamia ❤❤❤

  • @PhaustineSimiyu-zo8dc
    @PhaustineSimiyu-zo8dc ปีที่แล้ว +2

    Nampenda Rose sana, nyimbo zake huwa za kumgusa mtu moyo, ata uwapo majaribuni unaposikiza nyimbo zake unafarijika

  • @bainomwanamboka
    @bainomwanamboka ปีที่แล้ว +2

    Nampenda huyumama zaidi kwawimbo SITANYAMAZA

  • @annshelvy-ok5xs
    @annshelvy-ok5xs ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukuinua from 254

  • @stevensosipita2851
    @stevensosipita2851 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana dada yangu rose mhando

  • @EvethaKinyaiya-qv1dz
    @EvethaKinyaiya-qv1dz ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana rozi miando mungu azidikukupa kibali ameni🙏

  • @marthakavemba7495
    @marthakavemba7495 ปีที่แล้ว +1

    🎉🎉🎉🎉hongera sàña mamà Kenya túkó pamoja nawe

  • @gladwellgichuki8329
    @gladwellgichuki8329 ปีที่แล้ว +2

    Go higher and higher mammie 🙏

  • @naghemsuya5218
    @naghemsuya5218 ปีที่แล้ว +2

    Jmn naomben mnisaidie kumwambia huyu dada nampenda nataman nimuone live

  • @hannahkinjo4322
    @hannahkinjo4322 ปีที่แล้ว +1

    Superstar🎉 tunakupenda sana hapa Kenya+254

  • @happinesssamwely4796
    @happinesssamwely4796 ปีที่แล้ว +1

    Amina dadaang unanipaga moyo wakutokukata tamaa napata nguvu mno

  • @daviskyslate1826
    @daviskyslate1826 8 หลายเดือนก่อน

    Hii injili ya rose ni sawa, yule mungu aliyemtokea saa tisa ya usiku amtokee diamond pia

  • @braitonmwandata404
    @braitonmwandata404 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa mtumishi rose

  • @isayajuma5870
    @isayajuma5870 ปีที่แล้ว +2

    Mtasikia Diamond ameokoka!!!hamtaamini

  • @DeniseNishimwe-zc7no
    @DeniseNishimwe-zc7no 7 หลายเดือนก่อน

    Watu wamung muw macho sana.bwana Yesu Kristo yukaribu kurudi

  • @FrankMwakambonja-ej6wm
    @FrankMwakambonja-ej6wm ปีที่แล้ว +2

    Rase ubalikiwe na mungu aendele kukusimamia

  • @salimamwasankinga
    @salimamwasankinga ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kukuinua!

  • @brianmutindaofficial8564
    @brianmutindaofficial8564 ปีที่แล้ว +4

    Yaaani nkiskia rose akiongea naskia kupenda mungu zaidi

  • @gladnesssanga1601
    @gladnesssanga1601 8 หลายเดือนก่อน

    Rose is my favorite ♥️♥️

  • @ElipendoGunda
    @ElipendoGunda ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe San mama angu

  • @desderiapaulo4465
    @desderiapaulo4465 8 หลายเดือนก่อน

    ROSE MHANDO,NAKUPIA BIG UP.UMEFANYA JAMBO ZURI

  • @YvonneAchieng-d2k
    @YvonneAchieng-d2k ปีที่แล้ว

    God bless you my mama Rose

  • @RachelLeonard
    @RachelLeonard ปีที่แล้ว +46

    Yani Rose anaongea mpaka unatamani imani aliyo nayo ihamie kwako..

  • @estermachea3373
    @estermachea3373 ปีที่แล้ว +3

    Love you mama ndio vita yako umetutetea. Sanaaa

  • @hamisjuma9632
    @hamisjuma9632 11 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee dada roz napnda vile un aongea yan nkikuskilz ak nahis uwepo wa mung naon roh mtakatf yup mahal nnapokusikilza yan cjui ukipat nafs yakuhubir aiseee shetan atakaa mbal san mung akubark san sanaaa

  • @GnessLeah
    @GnessLeah ปีที่แล้ว +2

    Asante rose Kwa kuamin kwamba mungu n mueza

    • @GnessLeah
      @GnessLeah ปีที่แล้ว

      Mungu akusaidie ❤

  • @reganringo9058
    @reganringo9058 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU AKUTUNZE DADA ROOZ

  • @reemaalwad3ani616
    @reemaalwad3ani616 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki mama rosa ❤❤❤❤❤❤

  • @BeatriceMmbuji-ox4hg
    @BeatriceMmbuji-ox4hg 5 หลายเดือนก่อน

    Dada Rose nimeipenda hiyo

  • @beckyafandi6545
    @beckyafandi6545 ปีที่แล้ว

    Rose ubarikiwe zaidi🙏🙏🙏🙏🙏

  • @vumiliamtenda39
    @vumiliamtenda39 ปีที่แล้ว +4

    Rozi unaweza kuhubiri

  • @deborahfuraha9477
    @deborahfuraha9477 ปีที่แล้ว +2

    Haleluya wapedwa wa yesu mubarikiwe

  • @rennyray96
    @rennyray96 ปีที่แล้ว +3

    Weeeh vile nasikia Sina maoni lakini rose anaweza Fanya mtu kuregreat dhambi zenye umefanya😢😢😢Mimi hapa pressure is getting worse🙆

    • @AsAs-kb5xc
      @AsAs-kb5xc ปีที่แล้ว +1

      Blood of Jesus cleans all

  • @babyzuchu3866
    @babyzuchu3866 ปีที่แล้ว +4

    Subhaallah Allah msiba Huu

  • @leonardmathias9948
    @leonardmathias9948 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa kwa imani kwa
    Mungu wako

  • @EliceMasanja
    @EliceMasanja 6 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda da rose

  • @nsanzeemmanuelobi8131
    @nsanzeemmanuelobi8131 ปีที่แล้ว +1

    Glory to be to GOD amen

  • @gres1182
    @gres1182 ปีที่แล้ว +4

    Amen amen 🙏🙏🙏🙏

  • @bainomwanamboka
    @bainomwanamboka ปีที่แล้ว +2

    Rose muhando umefufuka MUNGU akubariki

  • @AbelSM254
    @AbelSM254 ปีที่แล้ว +2

    Rose muhando it's God used you diamond atamrudia mungu by the blood of jesus

  • @kerubojane7606
    @kerubojane7606 ปีที่แล้ว +4

    Hallelujah 🙌 🔥 🔥 🔥

  • @MusoleErna
    @MusoleErna 8 หลายเดือนก่อน

    waouh🎉

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb ปีที่แล้ว +2

    sir pleasure
    1 day ago
    mathayo12:34 Enyi wazao wa nyoka, mwawezaje kunena mema, mkiwa wabaya?

  • @stellamutegi9036
    @stellamutegi9036 11 หลายเดือนก่อน

    Rose mungu akumbariki humeambia shosho hukweli

  • @Fondo0
    @Fondo0 ปีที่แล้ว +5

    Ushuhuda mkubwa sana! Ujasiri wa huyu mama hunibamba sana! Lakini sasa najua Shusho anasikia wivu na waru Kwa Koo!

  • @gladnesskombe1664
    @gladnesskombe1664 ปีที่แล้ว +3

    Hubiri mama Rose najua umeshawishiwa tu kuwepo hapo na wajanja wa mjini kuficha aibu ya watu

  • @annalaizer7142
    @annalaizer7142 ปีที่แล้ว +1

    Amina Amina

  • @rhodalissu6953
    @rhodalissu6953 ปีที่แล้ว +1

    Uishi maisha marefu dada Rose shuhuda zako zinagusa moyo wangu

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 ปีที่แล้ว +1

    Uongooo 🤸

  • @hassanjattani8466
    @hassanjattani8466 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH awaonyoshe njia ya kweli

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 ปีที่แล้ว +6

    MUNGU azidi kukupigania Na akuinue mpaka viwango vya juu. MUNGU akutete Na akutimizie haja ya moyo wako.

  • @nahimanajeanne411
    @nahimanajeanne411 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah

  • @RashidiWhite
    @RashidiWhite 7 หลายเดือนก่อน

    Maishaa hayoo. NCAA. Hiyo. Vyovyote. Utakavyoongea. Sawa. Kwa kuwa shenanigans ana nguvuu sanaa

  • @mamakeruth2311
    @mamakeruth2311 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @bensonmunene3997
    @bensonmunene3997 ปีที่แล้ว +4

    Diamond aokoke aone mwangaza

  • @marthakavemba7495
    @marthakavemba7495 ปีที่แล้ว +1

    Àmiñà 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @falialawelole565
    @falialawelole565 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤❤

  • @RepherBuyeshe-ee4by
    @RepherBuyeshe-ee4by ปีที่แล้ว +2

    Diamond twakusubiri kwa injili

  • @rubefabi8366
    @rubefabi8366 ปีที่แล้ว +3

    Swali langu je kuna ushirika gani kati ya nuru na giza?

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akiwa upande wetu nani aliye juu yetu?

  • @reganringo9058
    @reganringo9058 ปีที่แล้ว +4

    HAIKA MKEKUOKO HAIKA SANA MSHIKI RUWA NAKURINGE

  • @NazaelJuma
    @NazaelJuma 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤😍💕❤️‍🔥

  • @bainomwanamboka
    @bainomwanamboka ปีที่แล้ว +1

    Santé diamond juwa haubaguwe dini

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 ปีที่แล้ว +6

    Ndotoni au???

  • @nnno989
    @nnno989 ปีที่แล้ว +7

    Najazwa,, kwasahihi, loze, iko, naroho, mutakakayifu

    • @meck009
      @meck009 ปีที่แล้ว

      Rose huwa ana nibariki sana,si choki kumsikiliza huyu malkia wa yesu

    • @maysamwel1221
      @maysamwel1221 ปีที่แล้ว

      Rudi msalabani

  • @kizachance7745
    @kizachance7745 ปีที่แล้ว +2

    Wapi nawapi nuru naziza viwe pamoja? siku ya mwisho kila kitu kitakuwa wazi eeee Mungu tusaidiye

  • @WilfredRweyemamu-rp5re
    @WilfredRweyemamu-rp5re 7 หลายเดือนก่อน

    Angalau umehubiri injili

  • @sheikhismaelramadhankenya8928
    @sheikhismaelramadhankenya8928 ปีที่แล้ว +1

    Wacha uongo hakuna mtu ashawahi mwona yesu. Nashangaa sana wakristo. Sisi waislamu hakuna mtu anaweza sema nilimwona mtume muhammad ama yesu. Rose muhando wacha ukafiri rudia mwenyezi mungu. Miziki ni haramu

    • @chmarkdambala6816
      @chmarkdambala6816 ปีที่แล้ว

      Una Iman potovu wewe kafiri la kislam

    • @halimahbwelele694
      @halimahbwelele694 ปีที่แล้ว

      Kafiri ni ww usie na dini ama lete andiko ukristo ni dini

  • @abigaelwanyonyi7434
    @abigaelwanyonyi7434 ปีที่แล้ว +1

    Pokea utukufu Rose mhando nenda nenda huwa tunabarikiwa saana

    • @talispares6174
      @talispares6174 10 หลายเดือนก่อน

      Utukufu ni WA Mungu dada yangu