I have been sick for the last two weeks ..listening to this just uplifted my soul.Give me a like ..I believe I will write a testimony of how God has healed me❤
Sitakufa pamoja na watoto wangu tutaishi tusimulie matendo ya Mungu wetu, God bless you servants of the Most Hight God❤❤ huu utakuwa ushuhuda wangu in Jesus Name
MIMI SITAKUFA NITAISHI NIYASIMULIE MATENDO YA BWANA...🥰🥰 Wakenya, TRM, Tanzania mko wapi msikie hii, Mimi sitakufa,...habari ya kifoo NOOO kwa JINA LA YESU.....💪💪 powerful..
Thanks guys for watching,Kindly dont forget to SUBSCRIBE this is a new channel, the previous channel was hacked and deleted,kindly plz together we can ashame the devil by building this channel again to reach many people,may this song minister to you all shalom.
Mama Francie my best content creator and the best gospel icons this is the best song of the year.i also declare and decree I shall not die but live to testify lords doing in my life .nitaishi!!
Wenye tuko huku juu ya mammie francie nipate like❤❤❤❤
Nimemuona mumie France
Skufanana😊
@@carolinederi5690ni yeye sikufanana❤❤
❤❤❤
Kumbe ni yeye mm hadi nadhani ni watu kufanana
Mummie Francie brought us here. Much love from her Tiktok fans. Gonga like tukisimulia matendo ya Bwana.
Wow,, I was confused if it's her, nimewatch 3times niconfirm,, love to mummie Frances ❤❤
Wapi likes za mamafrancie on this wakenya thanks the song ooh my God nasikiza after maombi ya hasubui mungu nisimulie mate matendo yako😢😢😢😊😊😊
Kam umepend huu wimbo gonga like hapa ....kam unaamin utaishi gonga like weeeee nitaishiii bwan mie sio wa kufaaa mbarikiwe watumishii
Team mummy Francis frome tiktok let's gather here 🥰🥰
Aaaww our own was featured....keep winning mummie Hakika tutaishi tusimulie matendo ya Mungu
Wapi likes za mummie Franci❤❤❤❤❤
Hallelujah hallelujah sure ❤👏👏👍👍👍 sure tutaishi kusimulie matendo ya Jehovah Nissi, Jehovah El-shaldai.
Wapi likes za Tanzania and Kenya, kazi nzuri 👏👏👏👏
Senje mukabwa continue shining 'Nitaishi' mpaka nami niishi kwa hizo majumba na my family all of them,na driving those big cars Senje
Team Mummie Francie , Hoyeee. Nakupenda Bure keep chasing ur talent swir❤❤
wow,wimbo unatia moyo sana sana....God bless you wamama wa nguvu💪💪
Mimi na familia yangu hatutakufa mapema katika jina la Yesu Kristo. Tutaishi tushuhudie matendo yake kwa jina la Yesu Kristo Amina.
It's more than 🔥 🔥 🔥 🔥 🎉🎉🎉🎉🎉🎉CONGRATULATIONS MALKIA WETU!!!❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Finally mummy francie amekua vixen kwa gospel song 😘😘😘
Sitakufa nitaishi nishuhudie ukuu wa Mungu huku duniani na ni enjoy fedha dhahabu malimali na vitu vyote vya dhamani vya babangu huku duniani
Like za Dar es salaam Tanzania
Kama hupendi rose muhando you have a problem. Wow❤wow
@Mummiefrancie-this gal is just amazing....hakuna likushindalo dada....bravo
🎉🎉🎉🎉🎉when you watch your three strong women..my favourites..mama Francie eiih ...❤❤❤❤😂😂😂kumbe unaeza imbaa😂😂😂
Team Jesus❤Team rose muhando ❤team @mummie Francie ❤❤❤❤❤#lazima tutaishi tusimulie.......
Rose muhando mungu amekupa kipawa sauti Yako tu shetani anakimbia
Kazi nzuri....likes za mummie francy ❤❤❤
Napenda huu wimbo kushinda maisha yangu❤❤❤❤
I have been sick for the last two weeks ..listening to this just uplifted my soul.Give me a like ..I believe I will write a testimony of how God has healed me❤
Hadi nmeomba mungu anisamehe dhabi zangu😢😢😢,,,,weeh hii imeninguza aki,,
Sitakufa pamoja na watoto wangu tutaishi tusimulie matendo ya Mungu wetu, God bless you servants of the Most Hight God❤❤ huu utakuwa ushuhuda wangu in Jesus Name
Sitakufa...nitaishi nisimulie matendo ya Bwana !!
Likes za wakenya
This lady resembles @mummie Francie if u know her♥️
@@roselinekerubo5321 yes I know her
Nice song ❤
Amazing song
Wow 😮tutaishi tusimulie matendo makuu y BWANA🙏
Mummie francie ,Annastacia Mukabwa and Rose Muhando ❤❤ great collaboration
Mummie ❤
th-cam.com/video/tYkF9rno8wM/w-d-xo.htmlsi=TY-spkjMn83oatpl
Sikufi mpaka nijengee mom her dream house❤❤❤❤
MIMI SITAKUFA NITAISHI NIYASIMULIE MATENDO YA BWANA...🥰🥰 Wakenya, TRM, Tanzania mko wapi msikie hii, Mimi sitakufa,...habari ya kifoo NOOO kwa JINA LA YESU.....💪💪 powerful..
Mimi sitakufa mapema nisimulie Neema ya Mungu
Amen amen sitakufa nitaishii in Jesus name
Hakika sitakufa bali nitaishi nami nitayasimlia matendo ya BWANA ZABURI 118:17. Mungu awabariki sana 🙏🙏
Kupitia hu wimbo naomba mungu wa binguni amponye otwoma Ili asimulie matendo ya bwana🙏🙏
May you receive healing in Jesus name
Amen 🙏🙏
Kabisaa otwoma receive healing in Jesus name🙏🙏
Amen
😂😂😂😂😂Am here for my queen 👑 rose ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Mummie France good job my gal . tunangoja yako ❤❤❤❤😂😂and more grace to you ladies ....iwill tell astory about the doings of the lord 🙏❤️💯
Here from mummie francie tiktok. Hongera mummieee ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉.... 💃 💃 💃 💃 💃 nisimulieni 😊
Nitaishii nisimulie matendo ya bwana🙏🙏
Wow 😳 moto kuliko ya Jana weeee nawapenda nyote ninabarikiwa sana sitakufa nitaishi kwani Iko Nini kwa Jina la Yesu kristo🙏💯💯💯🎈🎉🎈
Team Mammie Francie mko tent gani siwaoni😊😊
@Rose muhando makeup Iko sawa
Sitakufa mapema bila kumtumikia BWANA kwa JINA LA YESU
Thanks guys for watching,Kindly dont forget to SUBSCRIBE this is a new channel, the previous channel was hacked and deleted,kindly plz together we can ashame the devil by building this channel again to reach many people,may this song minister to you all shalom.
Oooooohhh pole sana dada ila bado injili hususani ya Tanzania inakuhitaji
Amen mam glory to God 🤚🙏
Amenii
Oooow mummie France I c you ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
Be blessed mamy
This powerful 👌, @Mummyfrancie i act was owesome, keep going, join that crew😍
Mummy Francy yeeey congratulations baby girl 😘😘😘
Following from Nairobi Kenya 🇰🇪 Pongezi sana waimbaji wakweli wa Nyimbo za injili 🙏👏👏
Aminaa
One love ❤❤team mummy gongaa like tukisonga💓🥰🥰💓💘🙏🙏🙏
And you live to declare the doings of the Lord anastacia...miracle in Jesus name
Muhando together with mukabwa always 🔥🔥🔥🔥
Bonge nyimbo ilaa video no chenga kimahidhui na qult VI
Safiii sanaaa
Mummie Francie nakupenda Bure you're the reason I'm here I love you bibi ya mbaba
❤❤ Hakika iko poaw.... Mbarikiwe ila ukweli Malkia umetokelezea 🥰😇😇 style ya nywele meipenda
Familia yangu itaishi kwa Yesu katika jina kuu la Yesu kristo 🙏🙏🙏
More grace legends
Nani alikuw anasubir kama mm Mammy francie atupie mstara kadhaa? Women of power❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hatutakufa tutaishiiii tuyasimuliye matendo ya Bwanaa... Team #Mummie mko wapii❤❤
Jamn mummy France 🥰🥰 kazi nzuri
😂😂😂😂😂😂am here for my queen 👑 rose ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Bado sijahubiri injili,nitaishi in Jesus' Name
Nimeona solomon mukubwa mahali❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ much solo
❤❤❤❤❤❤❤ nitaishi sitakufa niyasimulie matendo ya Bwana
My new favourite hit 🎯 👏. Lazima niishi milele nikisimulia matendo ya Mungu Wangu 🙏🙏🎉🎉🎉
th-cam.com/video/tYkF9rno8wM/w-d-xo.htmlsi=TY-spkjMn83oatpl
Dada Rose nabarikiwa sana labla Kuna siku utakuwa pastor ili nipate mengi zaidi uliyobalikiwaa....Dada Anastasia, mumy Francie ❤❤❤❤
Yes , nitaishi nisimulie matendo makuu ya bwana ❤
Muhando vibe mummie 🔥anastacia💯 big up komarock modern nitaishi nisimulie❤❤❤
Powerful message!!!Mumie Francie ensure your prayerful Kukhu watches this...she will be happy...God bless.
Nitaishe nitangaze yesu hanaweza❤❤❤
Amakweli Kwa Yesu nitaishi. Na Yale yote aliyonena juu yangu lazima yakamilike. Amen. Mbarikiwe.
Nitaishi kwa Jina la yesu mubarikiwe ❤❤
Mama Francie my best content creator and the best gospel icons this is the best song of the year.i also declare and decree I shall not die but live to testify lords doing in my life .nitaishi!!
I'm one person that will always love and celebrate mummie🎉🎉🎉❤❤
Ladha tamuuuu.... #Anastasiaisback
Wimbo una ujumbe mzuri. Rose looks younger and beautiful in that hair style
Sitakufa Mimi nitaishi. Amen!. Love from Kenya
Very nice song,,,(psalms) sitakufa bali ntaishi
Mummy Francis am here for you ❤❤❤❤. Nice song 🎉
Sita kufa nitaishi nisimulie matendo ya Bwana Yesu
Congratulations mummy Francie 🥰🥰🥰👏👏
Sitakufa Mimi Nitaishi.🙏🙏
Wow! Rose,Anastacia, Mummie Francy,nice combination ❤❤
Mummie Francie hoyee🎉🎉
Mummy this song is beautiful nawapenda watumishi
Mummie amefanya nitafute huu wimbo .wapi likes zake
When 2 legends meet, they deliver to the fullest💯🤗❤️🇰🇪
L❤❤0
Mummie Francie ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nitaishi nisimulie matendo ya Bwana 🙏🙏🙏🙏🙏❤️
I will never die,I will live to testify God's great work in my life in Jesus name amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Anywhere mummie francie ako no doubt like tukisonga 😊
Hawa ni tabibu wa moyo sifa na utukufu zimrudie Mungu aliyewapa kipawa hii ya uimbaji ❤❤❤🥰🥰🥰🙏
Na wapa ongera toka congo
Kam umeona Rozi yupo kam mtoto wa miaka 18 gonga like
Napenda mlivyo mfano mzuri kwa waimbaji wenzenu.. From Mombasa much Love mum Anastasia and Rose.. Nawatambuambua sana
Muhando makes gospel hits with so much ease
Absolutely 💯
🇰🇪🇹🇿🎉💞
Hatari sana
A powerful song Tunangoja video ya hatulaaniwi mum Anna
Waooh team rose muhando gonga like
Mammie Francie good job mama 💪💪🙏
Kingdom sisters making God, Jesus Christ and the Holy spirit so proud, driving the bastrad (devil) crazy.
A prophetic song my dear you will leave and declare the wellness of the Lord.
Hallelujah!! Nitaishi nisimulie matendo ya Bwana.
Ma Francie wapi like zako ❤