Zamani freemarso walikuwa wanatoa kafara wazazi wao, baadaye wakaruhusiwa kutoa ndugu yoyote, baadaye tena wakaruhusiwa kuzaa nje ya ndoa na kutoa mtoto kafara na sasa hivi wanaruhusiwa kutengeza ukaribu na mtu kama ndugu na kisha kumtoa kafara. Sasa Sah, ngoja tuone hadi mwisho wa mchezo😊
Kwa ukaribu wako uliokua nao kwa huyo mtoto vipi mama yake asikupe taarifa mpaka wewe uone post mtandaoni? Iweje watu wengine ndio wakupe taarifa? Je, inawezekana Jojo hakukutaarifu tukio hilo kwakua amehisi unahusika? Inawezekana baba yake mzazi amechukia kwa wewe kuwankaribu na mwanaye? Mbona tukio la bodaboda unaonekana unakitunga na baadaye ukwama kutunga maneno? Watu huteka watoto ili wapate fedha kwa wazazi wao lakini watekaji hawa hawakutaka pesa ila wametaka uhai wa mtoto, vipi unahisi ni kafara? Haya mambo ni pasua kichwa sana!!
Wewe huyu ni mtoto wako au wa kulea? Maana unavyocheza na pesa mitabdao I sudhani kama angeishi maisha hayo ya kuachwa nyumbani na bodaboda asiyejulikana. Hebu nyoosha manenone wewe acha kutuchanganya.
Poleni sana familia hiyo
Umeongea safi, hongera
asante kwa hekima
Poleni sana wanafamilia wa mtoto uyo
Zamani freemarso walikuwa wanatoa kafara wazazi wao, baadaye wakaruhusiwa kutoa ndugu yoyote, baadaye tena wakaruhusiwa kuzaa nje ya ndoa na kutoa mtoto kafara na sasa hivi wanaruhusiwa kutengeza ukaribu na mtu kama ndugu na kisha kumtoa kafara. Sasa Sah, ngoja tuone hadi mwisho wa mchezo😊
Polen sana hata mimi nilikua nashangaa wanavyosema mama wa mtoto alienda kula bata jaman😢😢
Pole Sana kaka malipo ni hapa hapa duniani
Hapo Kuna dots nyingi sana zinahitaji kushikanishwa, otherwise babake halisi wa mtoto yuko wapi?? Je inawezekana huyo mtoto alitolewa kafara au?
Uko sahihi
Haya mambo yanashangaza yanauma sana
Mwandishi unamaswali ya hovyo, hujui kunyosha kiswahili😢😢
SEMENI UKWELI ILIWEZEKANAJE AKALAZWE KWA BODA BODA KWANI NYIE HATA BINTI WA KAZI HAMNA NA PESA ZOTE HIZO UTUONYESHAZO? USHENZI KABISA
Mtu wa kawaid haezi kuchinja mtoto mdogo Bro, hao ni mashetani na nia yao ni kuchukua malipo yao
Hiki kitu huyu anakijua vizuri kuongea kwake tu kunatoa picha
Kwayoyot alieusika nayy afaniwe iviv ckukamatuwa
Mashetani wanataka kafara ya mtu umpendae
Innalillah wainna ilàih rajiuna
Jamani bangi imepita kipimo, Imani imepotea sasa
Huna akili
Kwanza unaonges nini
Umefahamu bangi ni nani alievuta au unatukana tu? Wewe ndie mwenye akili.
Au na wewe ni mvuta bangi?
Itakuwa kuna issues za mahusiano hapo. So sad aisee, ukimsikiliza anayehojiwa unaelewa
Hujibu maswali yanavyotakiwa umspinda pinda tu maneno
Kweli kabisa mahusiano hapo ni chanzo
Kwa ukaribu wako uliokua nao kwa huyo mtoto vipi mama yake asikupe taarifa mpaka wewe uone post mtandaoni? Iweje watu wengine ndio wakupe taarifa? Je, inawezekana Jojo hakukutaarifu tukio hilo kwakua amehisi unahusika? Inawezekana baba yake mzazi amechukia kwa wewe kuwankaribu na mwanaye? Mbona tukio la bodaboda unaonekana unakitunga na baadaye ukwama kutunga maneno? Watu huteka watoto ili wapate fedha kwa wazazi wao lakini watekaji hawa hawakutaka pesa ila wametaka uhai wa mtoto, vipi unahisi ni kafara? Haya mambo ni pasua kichwa sana!!
Wewe huyu ni mtoto wako au wa kulea? Maana unavyocheza na pesa mitabdao I sudhani kama angeishi maisha hayo ya kuachwa nyumbani na bodaboda asiyejulikana. Hebu nyoosha manenone wewe acha kutuchanganya.
baba mzazi ni yup?
Hata mm nauliza mwenye jibu hatujibu
Mtu akiwa na pesa hata kama ni mjinga anaonekana kuwa na busara sana. Kweli tutafute hela.