Asante sana Ankojey, simulizi ni mzuri ila huyo Chiara alipaswa kuwa na msimamo Katika Maisha yake, pia kuwa na busara ya kiutu uzima, halafu asingechanganya masomo na mapenzi, halafu asingepaswa kuwa mwizi Kwa kumdanganya Mme Wa ndoa Alipaswa, kuheshimu Maisha ya ndoa kubaki na MTU mmoja
Shukran sana Anko Jay, Mwandishi wetu mahiri beautiful Lissa Mwalla shukran pia kwa Anko Jay Simulizi kwa Simulizi za kimataifa twaisuri sana coz tushamaliza kindly pia Anko Jay twaomba mwisho wa miss Abby tafadhali
hahahaha yaan Leo ndo nimejua kumbe nimekua addicted na simulizi zako loooh nimesikia part 4 ni leoleo nimechekeleaa mweee 😂😂😂iwe tu ni kweli ....big up kwako msimuliaji na mwandishi
Japokuwa nimechelewa lakn tuendelee asante anko jay sina chakukulipa lakn asante sana mwenyezi mungu akulinde na akupe maisha marefu love you so much ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Heheeee part 2chiara kidogo apelekwe milembe sasa part hii naona ni mathare express mnajua hii simulizi iko both side kenya vs Tz sijui mnaelewa ee,,,haya mapenzi yacheni tu 😢😢😢
Nimependa hii simulizi, lakini sikupenda mafunzo ya chiku kwa Chiara mwanzoni mwa simulizi, badala amuambie aweke mapenzi kando asome kwanza yeye anamfunza jinsi ya kufanya mapenzi ni kushika uume wa mwanaume ilihali alijua huyu bado mwanafunzi na mtoto nilikereshwa sana
Umesema kweli kabisa violetmulya Chiku hafai kabisa katika malezi. Lakini ni fundisho kwa mabinti na wazazi pia wasiwaamini sana wadada wa kazi na ni kweli kabisa wapo wa dada wahovyo sana ,ndyo maana amezalishwa na bado anaishi kwa waziri, sijui aliyempachika ujauzito kafia wapi, ama kweli muosha huoshwa, alimpotosha Chiara,sasa naye kimemkuta Pia ile sehemu ya kwanza dk 1:12:00 nimeona ni vigumu mno watu wako katika matibabu ya mama Kai, halafu dada yake Kai anamtukana Chiara hali akijua yeye ndiye msaada kwa matibabu ya mama yake, kiuhalisia alipaswa kumshukuru sana, maana mama huyo ameugua muda mrefu, walikosa Pesa ya kumtibia.Labda inawezekana dada wa Kai hazimtoshi na huenda anatumia vilevi fulani, kwa akili za kawaida ni vigumu sana kusema aliyoyasema hospitalini ikiwa anautimamu wa akili, kiuhalisia haiwezekani.Na jambo lingine ambalo haliwezekani kabisa ni lakumpiga Chiara hadi mimba ikatoka, wakiwa hospitali watu wakishuhudia, halafu wasichukuliwe hatua yeyote, duuu hainingii akilini kabisa au POLISI wamestaafu wote, je hospitali hakuna walinzi tena ukizingatia ni mtoto wa mbunge 🤔🙄. Lissa namkubali sana katika utunzi wake wavitu vinavyowezekana katika maisha hapa ametreza 👌★Mie nawakubali hasa watunzi watunzi WAWILI WANAJUA ni Edgar Mbogo huyu mwamba anajua mnoo pia msimuliaji wake Felix Mwenda nimesikia sauti yake katika simulizi ANA UWEZO MKUBWA SANA sauti nzuri sana pia kipaji kikubwa sana 👏*Mtunzi wa pili ni Lissa Mwalla na msimuliaji Anko Jay.Sio kwamba hakuna wengine wanaotunga nzuri sana,wapo lakini wanatoa moja wanapotea au zinazofuata zinakosa UHALISIA zinageuka mambo ya kusadikika hayapo.Na katika kusimulia hakuna kabisa zaidi ya hawa watu wawili★FELIX MWENDA no ONE *na ANKO JAY no TWO.kwangu mimi kwa nilivyo wasikiliza. Kuna jambo huku linaitwa Ripoti ya leo mpaka sasa sijakutana na longolongo, sijasikiliza zote ili niwe na hakika, lakini kwanilizosikiliza hadi sasa ni kweli kabisa yapo🤳👂
Chia tulia na mumeo achana na majanga Huko kuku banja ndio imekuwa nongwa?? Utamu unapata Kwa mumemeo sindio huo huo unaopata Kwa wengine Shauri Yako we chamba chamba tu mwisho wake utashika kinyesi👌
Part 04 Bonyeza hapa kusikiliza th-cam.com/video/tiE1xAJunh8/w-d-xo.html
Wewe ni mwambaa
Ankooo X vp
Naona nihalw a na cChiara naomba X ankooo
Mmmmmh,maisha ni kitendawili tega nikutege,daaaah,unategwa mpaka
Asante sana Ankojey, simulizi ni mzuri ila huyo Chiara alipaswa kuwa na msimamo Katika Maisha yake, pia kuwa na busara ya kiutu uzima, halafu asingechanganya masomo na mapenzi, halafu asingepaswa kuwa mwizi Kwa kumdanganya Mme Wa ndoa
Alipaswa, kuheshimu Maisha ya ndoa kubaki na MTU mmoja
Hujkujua bado hujuma ya baba yake
Hajali kabisa mwaya sujui yukoje
Umetudanganya kilasaha natizama nambaine nakosa kesho tusikose naipenda sana
Ukisikia kunguru ni dege la porini halifugiki ndio huyu dada Chiara👉 ngoja tuyaone
Hi Lissa Mwalla? Yan nimechelea lakini naomba link 3 basi ahsante AnkoJay Acha ni 🪑🎧🙌🙏🤭
Simulizi hii ni 🔥🤭😂🤣🤣🙏
Anko jjay wanipasua mbavu wallah
Jaman nan anasubr part 4 kama mimi gonga like tujuane💃💃💃🤛
Jamani ankojay nimecheleo tena leo sio mbaya tunaunjoi na simulizi tamuu LISSA MWALLA ❤
Asante sana Ankojay kwa muendelezo ubarikiwe sana nakupenda buree
Ujue katik waandish wte aiseeee Lisa umetisha mpnz n anko jay wng ss na yeye anvyojua kusimulia mm stress zote zinaend n upepp be blessed san
Lov uuuu❤❤❤
@@lissamwalla501 love you more ma sisi
Mhh chiara anaboa kai kai kai ata msimamo huna khaaa
Anakera sana hajali kuumiza mumewe kabisa
Duhu Lissa umekuja kwa mapigo mapya wew sihami
❤❤❤
Shukran sana Anko Jay, Mwandishi wetu mahiri beautiful Lissa Mwalla shukran pia kwa Anko Jay Simulizi kwa Simulizi za kimataifa twaisuri sana coz tushamaliza kindly pia Anko Jay twaomba mwisho wa miss Abby tafadhali
❤❤
Wow leo umerauka na sisi Anko Jey thank you
hahahaha yaan Leo ndo nimejua kumbe nimekua addicted na simulizi zako loooh nimesikia part 4 ni leoleo nimechekeleaa mweee 😂😂😂iwe tu ni kweli ....big up kwako msimuliaji na mwandishi
Japokuwa nimechelewa lakn tuendelee asante anko jay sina chakukulipa lakn asante sana mwenyezi mungu akulinde na akupe maisha marefu love you so much ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
MashaAllah girikwishaka uko speed wewe hulalagi mana kila nikijalibu kuwa wakwanza inashindikana basi hatakaanipo wambali ninakukubali Ankojy ❤
Ankojay love you more kwa simulizi tamu
Tunakupenda sana
Walah Mungu wangu akupe maisha mema na yenye mafanikio tele 🎉🎉❤
Ameen 🙏
@@ankojay_part 4 lini😢
@@ankojay_waachia mda gani tumesubiri sana part 4 plz achilia mzigo
Anko jay Iko wapi iyo ya nne tunasubili
Ankojay unanikosha mkiwa n lissa mwala kazi yenu Masha Allah 3:03
❤❤
MashaAllah asanteni saaana bi Lisa na anko kam ankojay ni🔥🔥 ampowi inabidi tujue tariki zenu za kuzaliwa tujue lakufanya sio kwaraha mnazo tupatia.
❤❤❤❤❤❤dear
Haa mungu ni mungu wa kila kitu jamani mapenzi ni zumu lakini zuri Kwa wapendanao. Hina hauwa sichazo
Asante sana anko Jay wewe ni fire 🔥🔥🔥 wakuotea mbali nakupenda sana moyoni mwangu ubarikiwe sana ❤❤❤❤❤
❤❤❤ ubarukiwe sana .anko J
Wow ngoja niangalie sehemu ya mwisho ninahamu yakujuwa❤❤❤
❤❤ nakuona mbure Anko j 🎉🎉
Nakupenda sana anko jay ubarikiwe sana kwasimulizi hiiii 😍imetufunza mengi nasubiri part 4😊
❤❤❤❤❤ okay nasubiri jmn
Asante sana Anko leo sibanduki hapa nasubiri part 4
Anko j mungu akubariki kwa sauti nzuru
Chiara ni mwanamke asiye na msimamo😮asante anko j nimepata funzo
😢
Ankojay nani kama wewe mungu akubariki
Ahsante sana
Leo umeeka mapema❤❤😊😊
Sababu nataka kupost nyingine badae, LEO NALETA SIMULIZI MBILI 😊👏 Mpate Utamu vizuri
@@ankojay_ wewe apo sawa
Very good 👍🏻 that why we love you 🥰 ❤
Walah mecheka et juzameee jamnii nipen part4
Jamani mapenzi inaumaa🎉
❤❤❤❤ nakupenda bure jmn😂😂😂
😍🙏
Simulizi nzuri ila Chiara Hana msimamo kabisa mm ananiboa anatiwa tiwa sana khaaaaaaaaaaaa
Kaka J ndio maana nakupenda mm ❤❤❤❤❤❤ asante sana Anko na Mungu azidi kukubariki 🙏🙏🙏
Ahsante sana😊
Yaan ank Jay najivunia unatufunz san kwa simuliz zako
Chiara alifanya makosa kufunha ndoa na t kisha kuamua kurudian na x wake alikuwa atowe mamuzi magum ya kubaki ma mume wake
Ankoyey unatusisimua wallahi
Anko jay Asante sana mungu akubariki
Asante anko jay kwa simuliz zenye mafunzo kwetu penda sana wewe ❤❤❤❤❤
Kaz nzur anko j❤❤❤❤ nasubir part 4 mpaka muda huu cjaiona😂
wa mwisho 😔😔😔 .......asante anko kwa simulizi
Huyu T. Nae atiliwe dawa ya panya sasa😅😅😅.anakabata kila kona kha!!!
Nimeshindwa kiskiliz nyengine coz iyo 😢
Lisawewe unapangasana nannaona ukovizurisana
❤️❤️❤️😍anko jay love you 😘
Mimi binafsi sikupenda kabisa tabia ya Chiara, Hakuna uhakika Kwa nini Kai alipata ajali, Kwa Nini alikuwa analazimisha kuendelea na Kai...
Pia mm yaani ananikera
Ananitia hasira kweli
Very stor so much 💖
Asaslaaale kudadadek!
Anabolo toba ankojey punguza
Jamani nachelewa kila siku daa😊
Asante anko jay nakupenda sana❤❤❤
yani kai eti yeye ni mke wake chiara ivi unaanzaje kusema hivyo mtu ukasema mwanamke wako wakati ni mke wa mtu
Baba chiara ni mpuzi sanaa baba bwege🤔🤔😭
aaaa! ivi nikweli wapo wanaume wa aina
hii ya T kweli👃🏿🤭
Sijui kabisa
Nimewai kidogo
Tamu sana 😊
❤❤❤ Thanks ancle na Lisa
2nasubil ankol a2jalal😊
Kusema Kweli hii story ni tamu❤❤❤
Nimewasili mapema 😂😂😂😂basi msininyime like zenu😢😢simnajua nawapenda mm pia😊
Jaman tunaomba part four
Kai iyo kwiooo😂😂😂😂
Chiara ni chiz mapenz haka katoto
Chiara utakuja kujuta kumpoteza t
Lisa mwala ongera sana tuko pamoja kila nisikapo simulizi zako nakuwa mwenye furaha ana❤️❤️❤️❤️👌
Asante, nakupenda bby
Heheeee part 2chiara kidogo apelekwe milembe sasa part hii naona ni mathare express mnajua hii simulizi iko both side kenya vs Tz sijui mnaelewa ee,,,haya mapenzi yacheni tu 😢😢😢
Duhh nimeipenda hii jamani
Ila Ankojay wewe, unatutoa udenda jamaniiii 🤣🤣🤣🤣🍆💋
Na Amufanyi Hivyo
Asante sana anko jay ❤❤❤you
Hahaaa Chiara mjinga kweli yaan unalia kumbe walilia kai ulilii shida za mume wako
CHIARA tu n'est pas Sérieuse !🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Anko please naomba no 4
Twasubiri sana❤❤
Simulizi nzuri nakuomba sehemu ya nne
Anko jay imebamba hiyo achia ya nne
Daah simuizi taaam jamani nakaribia kumaliza na nahisi kipande kingine hakitoki leo
patamu hapo😂😂😂😂
Nilijua chiara alijifunza kuhusu yaliyompata sasa kaolewa na bado anaendekeza umalaya
Asante anko kwa hichi
😊😊😊
Nimependa hii simulizi, lakini sikupenda mafunzo ya chiku kwa Chiara mwanzoni mwa simulizi, badala amuambie aweke mapenzi kando asome kwanza yeye anamfunza jinsi ya kufanya mapenzi ni kushika uume wa mwanaume ilihali alijua huyu bado mwanafunzi na mtoto nilikereshwa sana
Mtoto kalilia wembe apewe 😂😂😂
@@Pretty22750 ila sio poa angekua mwanae ama mdogo wake angempa huo ushauri
Umesema kweli kabisa violetmulya Chiku hafai kabisa katika malezi. Lakini ni fundisho kwa mabinti na wazazi pia wasiwaamini sana wadada wa kazi na ni kweli kabisa wapo wa dada wahovyo sana ,ndyo maana amezalishwa na bado anaishi kwa waziri, sijui aliyempachika ujauzito kafia wapi, ama kweli muosha huoshwa, alimpotosha Chiara,sasa naye kimemkuta Pia ile sehemu ya kwanza dk 1:12:00 nimeona ni vigumu mno watu wako katika matibabu ya mama Kai, halafu dada yake Kai anamtukana Chiara hali akijua yeye ndiye msaada kwa matibabu ya mama yake, kiuhalisia alipaswa kumshukuru sana, maana mama huyo ameugua muda mrefu, walikosa Pesa ya kumtibia.Labda inawezekana dada wa Kai hazimtoshi na huenda anatumia vilevi fulani, kwa akili za kawaida ni vigumu sana kusema aliyoyasema hospitalini ikiwa anautimamu wa akili, kiuhalisia haiwezekani.Na jambo lingine ambalo haliwezekani kabisa ni lakumpiga Chiara hadi mimba ikatoka, wakiwa hospitali watu wakishuhudia, halafu wasichukuliwe hatua yeyote, duuu hainingii akilini kabisa au POLISI wamestaafu wote, je hospitali hakuna walinzi tena ukizingatia ni mtoto wa mbunge 🤔🙄. Lissa namkubali sana katika utunzi wake wavitu vinavyowezekana katika maisha hapa ametreza 👌★Mie nawakubali hasa watunzi watunzi WAWILI WANAJUA ni Edgar Mbogo huyu mwamba anajua mnoo pia msimuliaji wake Felix Mwenda nimesikia sauti yake katika simulizi ANA UWEZO MKUBWA SANA sauti nzuri sana pia kipaji kikubwa sana 👏*Mtunzi wa pili ni Lissa Mwalla na msimuliaji Anko Jay.Sio kwamba hakuna wengine wanaotunga nzuri sana,wapo lakini wanatoa moja wanapotea au zinazofuata zinakosa UHALISIA zinageuka mambo ya kusadikika hayapo.Na katika kusimulia hakuna kabisa zaidi ya hawa watu wawili★FELIX MWENDA no ONE *na ANKO JAY no TWO.kwangu mimi kwa nilivyo wasikiliza. Kuna jambo huku linaitwa Ripoti ya leo mpaka sasa sijakutana na longolongo, sijasikiliza zote ili niwe na hakika, lakini kwanilizosikiliza hadi sasa ni kweli kabisa yapo🤳👂
@@ataamansi8941 ila kuhusu dada ya Kai, ni babake ndo alimtia maneno manake alijuaje Chiara ana hela na anatokea kwenye familia ya kitajiri?
LEO NIMEWAHI MAPEMA SANA
Chia tulia na mumeo achana na majanga
Huko kuku banja ndio imekuwa nongwa?? Utamu unapata Kwa mumemeo sindio huo huo unaopata Kwa wengine
Shauri Yako we chamba chamba tu mwisho wake utashika kinyesi👌
Tabia nyeusi
Kaankoj harakisha part 4 befor ngoma ya zuchu
Anko jay eku wape bart ya mweshu
Ni mambo ya kubandika bandua😜❤️❤️❤️❤️
Mambo ya dozi kwa dozi kwa anko j ni dozi tuu
Keee wee yaani nimechelewa 😂haaa.....Aki thanks alot Anko j receive much love from Kenya 🇰🇪
Thank you so much Sophy
Wao ❤❤❤❤
Jamani 🙏🙏🙏🙏
Ila chanzo c'ha matatizo yote ni Chiara...
Kumekucha Team Ingiliz mkuje huku
😂😂😂😂😂mecheka kama mwehu
Haki anko j ww ni wa maana sana ,hebu mpisheni akakalie ile kiti ya mbele waziri wetu na mfariji wa maisha😂😂😂😂
😂😂😂😂
Haswaaaaa
Part 4 ya hii mbona hujaeka😢
Mbona kama nimeona part 4 alafu Sai sioni tena. Au macho yangu mabovu jamani? 🤔