CHIARA : SIMULIZI MPYA, By Ankojay

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 230

  • @ankojay_
    @ankojay_  ปีที่แล้ว +16

    Part 02 yake bonyeza hapa th-cam.com/video/i_S1QIN4dvs/w-d-xo.html

    • @monicamnungusi4479
      @monicamnungusi4479 ปีที่แล้ว +3

      Mm kama mm nimeshakua mlevi wa simulizi za anko jay jaman mungu awabariki waandushi na anko wetu kipz anakitu kwakwel atafika mbali anko

    • @shaffieheugene6813
      @shaffieheugene6813 ปีที่แล้ว +1

      Naomba namba yako J

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 10 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 anko wewe uko zituko 😂😂 kuchekesha lakini mashabiki wako tunapenda❤❤❤❤❤❤❤🙏🇰🇪

  • @Mejumaa-x9f
    @Mejumaa-x9f 10 หลายเดือนก่อน +3

    nice story tunasikiza tukiwa Saudi tuko pamoja Sana Anko Jay

  • @sarafinahprince4265
    @sarafinahprince4265 ปีที่แล้ว +4

    Hiko kicheko jmn mie anko j you are killing it

  • @angelantinda1009
    @angelantinda1009 ปีที่แล้ว +5

    Jamniiii anko sawa tulimmis lissa lakn nisikilize na mimi vip kuus miss Abby part 3

  • @shukransaid9736
    @shukransaid9736 ปีที่แล้ว +4

    Niseme ukweli anko j unanikosha na saut yako nzri balaaah,tamu atari, naisi wifi yetu anainjoy eeee

  • @sharifashabani
    @sharifashabani ปีที่แล้ว +6

    😂😂😂ankojay kuacha kipaji cha simuliz.pia ni mwalimu mzur wa english..nataman pia utufunze tusio jua

  • @ZinaTanzani
    @ZinaTanzani ปีที่แล้ว +3

    Shukran anko Jay pia da lisa mwara Allah akuzidishie umri mrefu riziki anko tupe raha akunaga karaha

  • @SophiatembaTemba
    @SophiatembaTemba ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂 anko j umetisha😅😅😅😅😅

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +2

    aaaam ha ha haaa ndio hayo mabolo 😂😂😂😂😂

  • @annakinyi218
    @annakinyi218 ปีที่แล้ว +15

    Wow simulizi mpaka kwetu kenya woow🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🙌🙌🔥🔥

  • @ARa-k8h
    @ARa-k8h ปีที่แล้ว +4

    Asalamwalekum warahi matulilah mpz bwana shikamo❤

  • @EdinaAosa
    @EdinaAosa ปีที่แล้ว +7

    Uko vizuri ,Fanya mpango wa Ile movie ndio tutashindwa kupumua,😂😂😂kweli kweli

  • @suzanachambo4206
    @suzanachambo4206 ปีที่แล้ว +10

    Anko asante sana kwa sauti nzuriii ya kiume na madem lisa mwala ngoja tuangalie yaliomo yamo wanapenda wote❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SophiatembaTemba
    @SophiatembaTemba ปีที่แล้ว +3

    Ank j uyo onyango ni wa mchezaji wa simba au kijaluooo hahaha

  • @reginarichard3349
    @reginarichard3349 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ni nzuri sana hiii❤❤❤

  • @christinekanza5394
    @christinekanza5394 ปีที่แล้ว +4

    Ankojay simulizi pao sana but wapi part 2 waiting.... lovely 🌹🌹❤

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo ปีที่แล้ว +3

    Waoooh I like it anko jay penda sana wewe jmn

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo sauti zilizohusika kwa wahusika zimefiti sana asante sana anko j,unayaweza saaaana kaka yetu mdogo

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 ปีที่แล้ว +9

    Listening 🎧🎧 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 😂😂😂 ungeendelea tu nahicho kingereza Ankojay 😂😂😂 kilikuja na meli kigumu wacha tu but thanks sana ♥️♥️♥️♥️ much love

  • @wardashekaoneka1676
    @wardashekaoneka1676 11 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka apo mwanzo😂 unampango wakutuvuruga vichwa anko j ama😂😂😂😂😂😂

  • @esterIsabel-y4e
    @esterIsabel-y4e 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman mashabik wa anko jey sijuw mnawahigi sa ngap Ila so mbaya Nami nimo

  • @Halima133Albaluhi
    @Halima133Albaluhi 4 วันที่ผ่านมา

    Shukrn anko jay Kwan simulizi nzuri

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 ปีที่แล้ว +22

    Yan nakua wa 9 jamen 🤲 like Zen tena Ankojay ahsante Mungu akuzidie kipaji chako tena na Lissa Mwalla Mungu akumbaliki sana 🙏❣️

  • @Zinbo-pc9uu
    @Zinbo-pc9uu ปีที่แล้ว +2

    Shukran ankojay kwa simulizi nzur

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +2

    Waaacha weee
    Jamani Kupenda kubaya😅😂😅

  • @SophiatembaTemba
    @SophiatembaTemba ปีที่แล้ว +1

    Hhhhhhh😂😂😂😂 atimayee Sauti ya ebitoki imesikikaa 😂😂😂 ank j sifa nying kwako 😅

  • @beatricesemiti5997
    @beatricesemiti5997 ปีที่แล้ว +5

    Aaaah ah yaani ulivyoianza Chiara bila Shaka Ni Moto ngoja tufaidi uhondo

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 ปีที่แล้ว +6

    Waoooooooooooh Leo sijachelewa kwenye kumi bora za simulizi ya anko Jay 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @stellahrobert5
    @stellahrobert5 ปีที่แล้ว +3

    Jamani ako j simulizi zako I nzuri sana

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj ปีที่แล้ว +2

    Wow nimeipenda hii❤❤

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 11 หลายเดือนก่อน +3

    C'est ça la folie d'amour much love from Burundi❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮Merci à toi ankojay pour cette belle Histoire!

  • @Syviahalex
    @Syviahalex ปีที่แล้ว +4

    Nasahangaa jamani yani nafikiri nimewai kumbe, nimewai wa anyway better late than never, much love from saudi anko tunakupenda sana unatupa raha kwa kweli😘😘😘

  • @salmaedwin5641
    @salmaedwin5641 ปีที่แล้ว +2

    Pole chiiiii

  • @ObedMakweba-tv1rh
    @ObedMakweba-tv1rh ปีที่แล้ว +4

    Ancle J kingereza achana nacho😂😂😂kabsa hila unanipaga Raha sana

  • @ashaalii4484
    @ashaalii4484 ปีที่แล้ว +5

    Asaalam aleìķum ankoljay ,mimi niko wa nne kama cikosei,penda wewe na ànti lissa mwala ❤️ you all

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว +2

    Aaaam hahahaaaa Chimo

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 ปีที่แล้ว +3

    Wallwahiy leo nimechelewa anko ❤❤😂😂

  • @reachelchemtai2604
    @reachelchemtai2604 ปีที่แล้ว +2

    Asente kaka anko jay similizi zako zuri Sana. Hata watoto wa matajiri jamani shatani Hana wama hata kidogo. Maisha mazuri kulala kula vizuri Lakin mapenzi sumu ya kila mtu. Pole Sana Dada hukujuwa wazizi wa nakupenda Sana wana kutakia mema

  • @monamgh1557
    @monamgh1557 ปีที่แล้ว +2

    Hee ankojay❤❤❤❤

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂 ingirizi sawa dear jay nice story I'm going now to tha next part I do appreciate your job n my lovely Lissa mwala be blessed always ❤❤👏👏👏🎉🎉🎉

    • @ankojay_
      @ankojay_  ปีที่แล้ว +1

      Glad you enjoyed it

  • @RusyJackson
    @RusyJackson 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ako j iyo sauti ya mfanyakazi🤣🤣🤣🤣

  • @ladyt1471
    @ladyt1471 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Chiara unapendana na mkaka wa uswahilini kweli pole sana

  • @happysegeja2825
    @happysegeja2825 ปีที่แล้ว +3

    Anko jay unayaweza am is old

  • @LindaRobson-qn1br
    @LindaRobson-qn1br ปีที่แล้ว +3

    Me nimekuwa wa mwish jaman kaz hv duu😲😲😲

  • @RusiaRusi
    @RusiaRusi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbavu zangu mieee😁😁😁😁😁 I'm from USA 🇺🇸

  • @nadrasalum6039
    @nadrasalum6039 ปีที่แล้ว +4

    Tunaisubir ❤😊

  • @ZinaTanzani
    @ZinaTanzani ปีที่แล้ว +1

    Tamu shukran anko ja Allah akubariki nakupenda sana

  • @LissaBosh
    @LissaBosh 5 หลายเดือนก่อน

    Anko Jay mmm we hatari sanaaaa 😂😂😂😂😂😂 kwali wapenz wetu wako mbali jamani uwiiii

  • @mwanajumamohammed4356
    @mwanajumamohammed4356 ปีที่แล้ว +3

    😂 😂 😂 Lazima basi

  • @mwanamgenimohammed7904
    @mwanamgenimohammed7904 ปีที่แล้ว +3

    Anko jey jmn ungendelea tu naicho kiengereza tukosawa 😂😂😂😂❤

  • @WardaSalimu-i4q
    @WardaSalimu-i4q ปีที่แล้ว +6

    Nimekuwa wakwanza ❤❤❤ Leo

  • @khadijashabani6167
    @khadijashabani6167 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂 mbona mabolooo ya pesaaaa uwiiii anko jey

  • @RamadhanMr.d
    @RamadhanMr.d ปีที่แล้ว +2

    Ankojey ila huyo sound y chiku unanifulahish san😅😅😅😅

  • @ndayisabaneema9514
    @ndayisabaneema9514 ปีที่แล้ว +3

    Mimi sitaki like kikubwa mpeni anko jey ndo anastaili.anko saluti wewe nikiboko yao I love you so much

  • @gracekyalika4926
    @gracekyalika4926 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣 sio kwa kingeleza hiki😅🤣

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 8 หลายเดือนก่อน +2

    Cachana na kizungu kabisaa

  • @asiamodriq2933
    @asiamodriq2933 ปีที่แล้ว +3

    Nimewahi kidogo jmn

  • @zawadtwahirusuleyman1392
    @zawadtwahirusuleyman1392 ปีที่แล้ว +3

    Wao Lissa mwala tulikumiss

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😍😍😍😍😍Ako Jay Bana umeniacha hoi asate sana ako Jay wetu

  • @TifahNicky
    @TifahNicky ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aki nakupenda sana Uncle Jay

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 ปีที่แล้ว +2

    Mm katika maisha mwenye huwa namwamini kwa mapenxi ya dhati ni mzaa chema tuu mamangu pumxika kwaamani babayangu siwezi muamini vile mana alioa tuu mama alipoagaa kambo alitutesa.siwexi amini mtuu sasa mwanaume nilie zaa nayee afie mbali yani wanaume mungu anawaona...halafu anko jei naomba kujua soup ya makongoro ndo munyama gani huyoo

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 ปีที่แล้ว +3

    LISSA MWALLA tulikumis 😂😂😂kingeee tena 😂😂 hiii imeendaa hiii😂😂 ankojay 😂

  • @AsdAsd-d7f
    @AsdAsd-d7f 8 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MourineJebetkibor-vk9ti
    @MourineJebetkibor-vk9ti ปีที่แล้ว +2

    hapa tungecheka kwasababu ya kingeresa lakini si simulizi😂😂😂😂

  • @popod177
    @popod177 ปีที่แล้ว +3

    Thank u uncle..👌🏼

  • @jambo_safari
    @jambo_safari ปีที่แล้ว +2

    Thanks anko. "my name is chiara, am the 3rd born from my siblings ❤

  • @wilkisteradhiambo3072
    @wilkisteradhiambo3072 ปีที่แล้ว +2

    Wow very nice

  • @LisaYvette-f6g
    @LisaYvette-f6g ปีที่แล้ว +5

    The English killed me for real 😂😂

  • @CeciliaChuwa-q2k
    @CeciliaChuwa-q2k ปีที่แล้ว +3

    Mbona mimi na chelewa sana

  • @kevenkeven7381
    @kevenkeven7381 ปีที่แล้ว +10

    Sikunyingi sipati like jaman

  • @NawMi121-lj8cf
    @NawMi121-lj8cf ปีที่แล้ว +2

    Wee Anko Jay wewe khaa Kali jamani ndoo

  • @minahmtaki7119
    @minahmtaki7119 ปีที่แล้ว +4

    Maisha marefu kwako Anko j❤❤❤❤

  • @amimaawazi6643
    @amimaawazi6643 ปีที่แล้ว +4

    Watano leo nimewai

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 ปีที่แล้ว +2

    Tuachie part 4 plzz anko jay tunakupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @zawadtwahirusuleyman1392
    @zawadtwahirusuleyman1392 ปีที่แล้ว +3

    Nimecheka kwa saut Anko jay icho kingereza😂😂😂😂

  • @ysix-x7u
    @ysix-x7u ปีที่แล้ว +1

    Duh name enjoy kwel

  • @dianabrownie1829
    @dianabrownie1829 ปีที่แล้ว +2

    Embuuu ankoo achaaa Mamboo yakoo😂😂😂😂😂😂

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน

    😂uuuuuuh,haya mapenz yataweua watu

  • @janeschurmanns7364
    @janeschurmanns7364 ปีที่แล้ว +3

    Makorongo au makongoro 😂😂😂😂😂

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi ปีที่แล้ว

    Weweee! Chiaa😂😂😂 uliliaaa ulicheka😂😂😂

  • @HappyMshanga-xx1ob
    @HappyMshanga-xx1ob ปีที่แล้ว +3

    Wa 80 bora uhai😂😂❤

  • @SamsonMzehe
    @SamsonMzehe 6 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli kazi ipo

  • @moreenidaya1357
    @moreenidaya1357 11 หลายเดือนก่อน

    Nimechoka 😂😂😂story ya kingereza ❤

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 ปีที่แล้ว +8

    Nyie nyie jamani 😢nimetandika mkeka nikalala TH-cam ..mumeniotea nimepitiwa na usingizi mukaniovertake😢😢sijapenda kwakweli 😂😂😂wacha nisikilize kwanza ..Ahsante Anko jay kwa kigongo kipya kutoka kwa bint mrembo Lissa Mwala ❤

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂ila twendeelee tu nakingereza 😂😂❤❤❤❤🎉🎉

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ila wanaume jamani,kuwen wakweli ktk mahusiano achen kuumiza mioyo ya watoto wa watu

  • @fatumakama8760
    @fatumakama8760 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 mauwa ya kizungu chako ww anko jay🎉🎉🎉

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂Ankojay bhann

  • @madreedsulaiman401
    @madreedsulaiman401 ปีที่แล้ว +2

    Haha sasa nikisungu jamani

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤nenda tution tutachanga

  • @sadikituji-rd5od
    @sadikituji-rd5od ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana nilimmis Sana mwala

  • @tabiasalum3381
    @tabiasalum3381 ปีที่แล้ว +2

    Kwa kwel simuriz tamu sana😊😊😊

  • @DalinaSamweli-ji3fc
    @DalinaSamweli-ji3fc ปีที่แล้ว +4

    Waooooh npo nachungulia

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 ปีที่แล้ว +5

    Nimecheka hapo kwenye story ya kingereza 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @saidyaman8158
    @saidyaman8158 ปีที่แล้ว +4

    Supu ya makorongo ndo ip😅

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 ปีที่แล้ว +1

    Anko Jay na daa lissa mwatokosha kwel ❤❤

  • @aishahassan-cl2zf
    @aishahassan-cl2zf ปีที่แล้ว +1

    Ahahahahhahahhahahhahhah Yani anko jay jmn khaaa umenifnya nicheke ulipo kuwa unaongea English 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @jasminetarimo6952
    @jasminetarimo6952 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂 the English for me😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m ปีที่แล้ว +2

    Nomaaaaaaa