Pastor George Mukabwa asante sana kwa mafundisho ya Biblia.Jambo LA pili naomba ikiwezekana utufundishe sana maana ya pasaka na umuhimu wake sisi kama wakristo.Barikiwa pamoja na wengineo wa Kanisa lako
Mungu akubariki pastor kwa mafundisho yako,na pia akupe Neema ya kuwafundisha waumini kuacha vitu vya Yezabili,wanapoendelea kuvishikilia wanampa uhalali wa kuwamiliki.Hizi ni nyakati za mwisho za Unyakuo..Tuishi maisha ya utakatifu.
Bwana Yesu asifiwe Mtumishi wa Mungu. Tunaomba mjitahidi kuboost sauti wakati wa mahubiri. Wakati wa kusifu na kuabudu sauti inasikika vizuri, lakini wakati wa neno, sauti inakuwa chini sana.

Asante mungu mubrik zaidi huyu pastor amen ❤❤🎉
Bwana Yesu asante kwa utetezi wako tangu pasaka ya mwaka jana mpaka mwaka huu,,,,BWANA YESU ASANTE.
Asante Bwana kwa Neno lako kupitia Mtumishi wako🙏🙏
Asante sana mchungaji, mafunzo yaliyo ndani mwako yananieka viwango vingine,, be blessed man of God 🙏🏿🙏🏿
Mungu awabariki sana mnaimba vzr san
Hakuna kama wewe baba unaenda deep mnooo tunabarikiwa mnooo baba Mungu akubariki
Mungu akubariki pastor kwa mafundisho yako,na pia akupe Neema ya kuwafundisha waumini kuacha vitu vya Yezabili,wanapoendelea kuvishikilia wanampa uhalali wa kuwamiliki.Hizi ni nyakati za mwisho za Unyakuo..Tuishi maisha ya utakatifu.
Tupe and andiko tafadhali, maana ninachojua damu na nyama haztaurithi ufalme wa mbinguni
Mungu akubariki na akuongezee maarifa ni
Natamani kunena kwa lugha 😢😢 ubarikiwe mtumishi wa mungu, nmebarikiwa sana, Asante Baba 🙏 🙏
power..... Spirituality VS Biblical.... Tumia neno kutengeneza Power. ndani yako.. Baba Asante sana
Mungu akuzidishie neema ya kutufundisha ukazidi kuwa wa baraka zaidi pia MUNGU akuinue viwango vingine zaidi ya ulivyo AMEN 🙏 🙌 👏
Mungu asiye shindwa, hakika atabaki kuwa Mungu.
Amina wanakwaya wimbo unabariki nasikia huu wimbo umenitoka mahali MUNGU awabariki nyote
Mganga alikutana na mganga wa wanganga aliyebobea,;;;uko vizuri pasta,Bwana akuinue;;;;;;;
Amina amina ni Kaelie Baba Pastor mafundisho ni muhimu sana kweli Babaa nimeona kubarikiwa kbs
Mungu akubariki sana mutumishi
Pastor naparikiwa sana na mafundisho yako watching you in Saudi Arabia thank you
Aleluyaaaah baba, asante baba kwakunipigania
Hakika mungu hufumua njia ya kumjulisha asiye jua.
Najiungamanisha na maombi haya ya shukrani KWA JINA LA YESU AMEEEEN.
Bwana Yesu asifiwe Mtumishi wa Mungu. Tunaomba mjitahidi kuboost sauti wakati wa mahubiri. Wakati wa kusifu na kuabudu sauti inasikika vizuri, lakini wakati wa neno, sauti inakuwa chini sana.
Hakika nimebarikiwa mungu wa mbinguni akuongezee mia mingi ya kuishi mtumishi
Nabarikiwa sana na mafundisho yako mtumishi
Amen mtumishi Wa MUNGU ....barikiwa sana kwa mafunzo mazuri
Hallelujah Amen Amen mtumishi wa Mungu nimebarikiwa sana na haya mahubiri
Asante Mungu Kwa kuniokoa❤❤
Amen Mungu wambinguni akutunze nakukuongezea maarifa mtumishi
Shalom Shalom Mtumishi, naomba studio waongeze kiwango Cha sauti, maneno mengi yanakuwa hayasikiki Barikiwa Asante
Mbarikiwe Kwa wimbo mzr Wana jrc hakika ametangylia mbele yetu bila yeye tusingeweza
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
So powerful altar
Ubarikiwe pastor
GOD blesses you pastor
Mungu akubaliki baba namimi nifundishe gisi yakumuomba ukiwa mwenyewe ❤
Asante Elohim
Thank you pastor
Amen pastor 🙏🙏
Tunajifunza mengi sana hapa baba yangu.
Amen amen baba
Amen
In Jesus name Amen
Shida ni sauti mtumishi hatukusikii ni mara nyingi tumetumwa comments,,,,,,tunahitaji baraka zako
Ameeeen 🙏
Mchungaji mungu Hakuzidishiye hii Neema yani kila wakati Nakufatiliya. Nasoma jambo mpiya Kiroho
Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina
❤
👏👏👏🙏
Nilisikiliza hii neno nilinena kwa kwa lugha masaa mawili nimeshukuru.
Natamani kunena kwa lugha 😢😢
YANI ANAFUNDISHA KAMA MWAMPOSA SEMA ANAZAMA NDANI SANA
Huyu yuko ndani zaid sana sana tena
Amen 🙏
Amen 🙏
MAISHA MAREFU
Ubarikiwe baba kwa hili somo nimefunguliwa leo, amen
Ameeen