JINSI YA KUBADILISHA MAJIRA MAGUMU KWENYE MAISHA YAKO || PASTOR GEORGE MUKABWA || 12/05/2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @Judith-mw4ys
    @Judith-mw4ys 5 หลายเดือนก่อน +3

    Nimejua neno la mungu kwa undani kupitia mtymish wa mungu 👏long live the man of God 🙏

  • @ChristinaSanga-pl5jm
    @ChristinaSanga-pl5jm 5 หลายเดือนก่อน +2

    Pastor wewe ni wa pekee sana ktk kufundisha unaeleweka sana napokea mafundisho Yako nikiwa hapa Dar Mungu azidi kukufunulia Siri za kimbingu

  • @FreddyNdayikunda
    @FreddyNdayikunda 8 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe Baba yangu wakiroho tunakupenda sana

  • @SarahAdamba
    @SarahAdamba 5 หลายเดือนก่อน +4

    Happy mother's day to me and all mothers Long life full of God's grace and favor 🙏🙏🙏.

  • @janemuthoni7122
    @janemuthoni7122 5 หลายเดือนก่อน +1

    Listen from Kenya 🇰🇪 na pst amekuwa mbaraka sana kwangu nmejuwa neno la mungu zaidi

  • @StephenShiling-mk3pj
    @StephenShiling-mk3pj 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli hata mimi nimependa mafundisho yake yako in deep sana ,mteule yeyote akimsikiliza lazima apate kitu cha tofauti,ambacho kitamsaidia kwenda mbele zaidi katika maisha ya kiroho,na katika kujenga ufalme wa mungu aliyehai ,inthe name fo jesus amen

  • @DomyBaganya-pm4sh
    @DomyBaganya-pm4sh 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu asifiwe arie kuiita na akutuma Uwe mwalimu. nimejengwa sana na mafundisho Yako Siku zote nikikufuata Pastor

  • @NannyNanny-fo9yh
    @NannyNanny-fo9yh 5 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏🙏🙏,nimefuatilia mafundisho Yako mtandaoni,nimebarikiwa sana, Asante,nko 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Ngutaiagnes814.
    @Ngutaiagnes814. 5 หลายเดือนก่อน +3

    Happy mothers day to all beautiful mum's outside there may God grant you the wishes of your hearts

  • @KeruMokash
    @KeruMokash 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mungu kwa kulituma neno lako kupitia kwa mtumishi wako kwa hakika limeniponya Mungu wangu asante maombi yangu kwa pastor george Mungu azidi kukuongezea neema zaidi

  • @chikamajenisia2244
    @chikamajenisia2244 5 หลายเดือนก่อน +4

    Mimi siyo muumini wa hili kanisa lakini kama nisingestuka na kuanza kufatilia mahubiri na mafundisho ya huyu Mtumishi wa MUNGU shetani angenidhalilisha sana. kiufupi shetani na mama mukwe wake wanalia. Asante sana MUNGU kwa kunipatia baba mzuri wa Kiroho. Shetani umekaria misumari.😮
    Nimeokoka Nimeokoaaa.
    Nimeokoka

    • @ibrahimukikwilili4368
      @ibrahimukikwilili4368 5 หลายเดือนก่อน

      Bwana yesu asifiwe sana tunabarikiwa sana na mafundisho yako umande wa mbingu uwe juu yako na manono ya nchi nayo yawe juu yako na uzao wako ukabarikiwe na mavuno ya ardhi viwe juu yako pia

    • @MariamBahat
      @MariamBahat 5 หลายเดือนก่อน

      Nimeanza kufatilia haya mahubiri Kuna kitu nimekipata hakika Kuna mungu kwa huyu pastor

  • @JudithNinah-lr2wz
    @JudithNinah-lr2wz 5 หลายเดือนก่อน +21

    Am passing hard time 8 years in marriage without a child, nimejaribu kufatilia mafundisho yako na kuyaeka kwa action sija fanikiwa but I still keep my faith to God the creator of heaven and earth,naami ni Mungu asiyekuwa na mpinzani

    • @cerecere5758
      @cerecere5758 5 หลายเดือนก่อน

      Utapata dia usife Moyo, Luke 1: 37

    • @naseeralbishi4726
      @naseeralbishi4726 5 หลายเดือนก่อน +2

      Amen Mungu asikie kilio chako

    • @abbyimbukwa3835
      @abbyimbukwa3835 5 หลายเดือนก่อน

      Eccle 3vs 11 God made everything beautiful in its time... keep going never give up

    • @FAUSTERMATHIAS
      @FAUSTERMATHIAS 5 หลายเดือนก่อน

      Kutoka 23:25-26

    • @BerthaChija
      @BerthaChija 5 หลายเดือนก่อน

      Wafilipi 4:6,7

  • @RosemaryOwori
    @RosemaryOwori 5 หลายเดือนก่อน +2

    Happy mother's day to all I'm proud to be called a mother in Jesus Name Amen 🙏🙏🙏

  • @elishasamweli-me1kn
    @elishasamweli-me1kn 4 หลายเดือนก่อน

    Amina mchungaji napokea uponyaji kwenye family yangu

  • @Edinahnyaboke-b9o
    @Edinahnyaboke-b9o 5 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana mutumishi wa mungu mafundisho mazuri kweli 🙏🙏🙏🙏🙌❤️ ❤️

  • @marymessay2768
    @marymessay2768 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa siri hii ya maneno yako kupitia mtumishi wako asante libarikiwe jina laYesu ninaamini hali yangu imebadirika na kufanikiwa sanasana

  • @estherkamene3942
    @estherkamene3942 5 หลายเดือนก่อน +2

    Powerful teachings, God bless you🙌👏👏👏🙏🙏

  • @JemaRashidi
    @JemaRashidi 3 หลายเดือนก่อน

    Asanteee sanaaa mtumishi umenifanya kuniamsha kiloho adi mwili

  • @SophiaSteven-nc1li
    @SophiaSteven-nc1li 4 หลายเดือนก่อน

    Amina baba ubalikiwe sana

  • @patiencemapenzi4188
    @patiencemapenzi4188 5 หลายเดือนก่อน +2

    Happy mothers day to me and all mothers. Si rahisi kuwa mama.

    • @devothasimbi6495
      @devothasimbi6495 5 หลายเดือนก่อน

      Jamani mbona huku niliko mothers day bado au huwa zinapishana

  • @ibrahimukikwilili4368
    @ibrahimukikwilili4368 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana na kukupa umande wa mbingu na manono ya nchi viwe juu yako na mavuno ya ardhi viwe juu yako na uzao wako ukabarikiwe sana mtumishi wa Mungu umekuwa baraka mno kwa ulimwengu wote wanaokufuatilia

  • @josephinelauwo4947
    @josephinelauwo4947 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante Mungu kwakunipa nafasi ya kusikiliza mafundisho yko hakika Mungu amenibadilisha kupitia mafundisho yk Mungu azidi kuku tunza baba

  • @MaryKadzo-s6d
    @MaryKadzo-s6d 5 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi w mungu azidi kukupaka mafuta unanibariki sana na haya mahubiri 🙏 🙏 🙏

  • @GetrudeJaliya
    @GetrudeJaliya 5 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa mafundisho mazuri yakunijenga nikweri nilikuwa natengemeya kuomba musanda kwawanandamu na tangia nivoaza kufatiliya mafundisho nawona yananijenga kumutazama mungu asante mungu akubariki mutumishi wamungu naitaji zaidi maombi isiyubishe kwahali niliyonayo nizindi kumug' ag' niya mungu amen

  • @EuniceKago-r6q
    @EuniceKago-r6q 5 หลายเดือนก่อน

    U olways have a word for me . blessings

  • @rehemanswila1565
    @rehemanswila1565 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante paster

  • @LeticiaShoka-me2wq
    @LeticiaShoka-me2wq 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 nabii wa Bwana

  • @aurelialucas2541
    @aurelialucas2541 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mwaminifu akubariki mchungaji na huduma yako ikue kwa kiwango cha lami.Toka nime anza kufatilia haya mahubiri yako sija baki kama nilivyo.

  • @MatundaModesta
    @MatundaModesta 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu unaeishi

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu 5 หลายเดือนก่อน

    nimependa Sana mahubiri na mafundisho haya,Mungu akubariki mtumishi

  • @assiasolomon1418
    @assiasolomon1418 5 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani nilikuwa naomba sana kuongea na pastor George please 🙏

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi ninakushukuru kwa mafundisho yako.
    Naomba upako.wa.kupokea eneo la familia pale mlandizi
    Napokea uponyaji,ndoa upenyo utiisho kwa.ji a Yesu.

  • @RuthMomanyi-bh3ez
    @RuthMomanyi-bh3ez 5 หลายเดือนก่อน

    It was so powerful and interesting sermon be blessed pastor

  • @matadd9401
    @matadd9401 5 หลายเดือนก่อน +2

    Happy mothers day to me ❤

  • @FridahOriyo
    @FridahOriyo 5 หลายเดือนก่อน

    Asante muchungaji nabarikiwa nikiwa Nairobi kabete

  • @Susan-ot8wq
    @Susan-ot8wq 5 หลายเดือนก่อน

    Be blessed pastor from Kenya

  • @LeticiaShoka-me2wq
    @LeticiaShoka-me2wq 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @AgnesNyaleso
    @AgnesNyaleso 5 หลายเดือนก่อน

    Amen happy mother's day ❤❤❤

  • @SporahappymacxMkomekwa
    @SporahappymacxMkomekwa 5 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @cedricmwavaka4484
    @cedricmwavaka4484 5 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwa to sana mafudisho yako ni ya ukweli na mungu akuonekaniya

  • @ayubusadiki9902
    @ayubusadiki9902 5 หลายเดือนก่อน

    Amina ,Amina ,amen;;;;

  • @EsthermlongoEsther
    @EsthermlongoEsther 5 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 🙏 🙏🙏

  • @WINNERBOYKE
    @WINNERBOYKE 5 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen

  • @hellenmroso6786
    @hellenmroso6786 5 หลายเดือนก่อน +6

    Niliposikiliza mafundisho yako yahusuyo maombi ya usiku wa manane na kuyafanya, ndipo nilijua aina ya mgeni niliyekuwa naishi naye ndani

  • @bettkipkiruimichael3469
    @bettkipkiruimichael3469 5 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @محمدمم-م8ي
    @محمدمم-م8ي 5 หลายเดือนก่อน

    Shalom wapendwa Bwana awabariki mbona huyu binti haongozi ibada ss hivi sauti yake ni nzuri sana inaupako

  • @mosscherry
    @mosscherry 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pray with me am.oses but hawa wengine ni bure tu

  • @doreenephraim4057
    @doreenephraim4057 5 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @sophiaathumani393
    @sophiaathumani393 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeteseka na uchumi kwa miaka 11 sasa
    Nina deni la m16 biashara zote zimekufa na imani yangu inatindika naomba mnisaidie tuombe pamoja

    • @devotamwandete
      @devotamwandete 5 หลายเดือนก่อน

      Mungu ninayemuamini akufanyie mlango wa kutoka ukapate ushuhuda kwa jina la YESU ameen

    • @sophiaathumani393
      @sophiaathumani393 5 หลายเดือนก่อน

      @@devotamwandete
      Amen dear niombeeni tu Nina Hali ngumu sana

    • @NivessKomba
      @NivessKomba 5 หลายเดือนก่อน +1

      MUNGU ATUJALIE TUMAINI JEMA WANAWAKE WOTE TUNAOPITIA MAGUMU. HAKIKA SIKU MOJA TUTAFURAHI PAMOJA NA TUTA MSIFU MUNGU KWA PAMOJA.

  • @NeemaMuro-o3o
    @NeemaMuro-o3o 5 หลายเดือนก่อน

    nipo moshi ni muumini wako mkubwa na ibada zako zinanibariki na kunifungua sana

  • @asteriankwera541
    @asteriankwera541 5 หลายเดือนก่อน

    Naombeni anayeuza kiwanja DAR ES SALAAM kwambei nafuu kabisa

  • @priscaonesmo1416
    @priscaonesmo1416 5 หลายเดือนก่อน

    Natafuta Wadada wenzangu kutoka huku kanisani ambao tunatakaa kubadili majira na nyakati tuombe pamoja sina watu wa kuomba nao kabisa

  • @julmuwanje5281
    @julmuwanje5281 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @Saranabwire
    @Saranabwire 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @hellenmroso6786
    @hellenmroso6786 5 หลายเดือนก่อน

    Niliposikiliza mafundisho yako yahusuyo maombi ya usiku wa manane na kuyafanya, ndipo nilijua aina ya mgeni niliyekuwa naishi naye ndani

  • @rachelwilliam3585
    @rachelwilliam3585 5 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🏾