There’s difference between a signature move and Finisher move. For example you can’t see me is a signature moves and Attitude adjustment is a finisher move. Finisher moves is more important and dangerous if the performer doesn’t do it right or the opponent doesn’t receive it right… carry on Sky
Wrestling ndio mchezo ni pendao katika michezo yote inayo chezwa duniani nimefurahi kwa ufafanuzi huu Yaani kuna wehu wanaotowa habari zauongo kwenye midia zao eti WWE wrestling ni feki na ukiuliza ufeki gani wanaousema wanaishi kubwabwaja tu thank so much
Bro sky tuletee story ya yule mwana mieleka aliyeua mke watoto wawili na yeye mwenyewe akajiua.. Please ikiwezekana hebu tuelezee ilikuaje akafanya hivyo..
@@tiffanyakramJr822 Yule jamaa aliichoma nyumba yake Kwa petrol huku familia yake ikiwa ndani inadaiwa Mke wake alichepuka ndiyo maana jamaa akaamua afanye hivyo
Sky Walker utuletee na story za; 1. The Undertaker 2. Shawn Michaels 3. John Cena 4. Steve "Stone Cold" Austin 5. Goldberg 6. Kurt Angle 7.HHH 8. The Rock 9. Brock Lesnar 10. Batista
Ongezea na mkurugenz mcmahon na trump waliweka wapiganaji wao Robby vs umaga marehemu sasa, vita yao ilikuwa konk. Ilipelekea V Macmhon akanyolewa #kipara 🤓🤓🤓 trump akashinda
Pia alimbanaga batista mpaka akawa mwekundu hadi kupelekea kuzimia, hii style ya kubana kichwa kwa kutumia miganja yake mikubwa kama kono la shetani nilikuwa siipendi mno!.
MBONA MAKALA HII NI FUPI SANA? PILI MAKALA ZA SMS HUWA ZINATOKA MARA MOJA MOJA SANA? SASA KWA SISI WAPENDA SIMULIZI MNATUSAIDIAJE? INAKWAZA SANA KUONA STORY NZURY INAKUWA FUPI SI SAWA
Huo mdundo naukubali ningelipenda hata kuweka kama muito wasimu pindi nipiwapo❤
Nimekufahamu tangu ukiwa Victoria FM 90.6 Musoma. Napenda sana kazi zako Bro. Sky. Keep on soaring to greater heights hommie. Much love 💕
There’s difference between a signature move and Finisher move. For example you can’t see me is a signature moves and Attitude adjustment is a finisher move. Finisher moves is more important and dangerous if the performer doesn’t do it right or the opponent doesn’t receive it right… carry on Sky
The Great khali anakidevu kirefu km cha shaggy Rogers wa SCOOBY DOO😂😂😂😂
Noma
Tuletee story ya Tribal Chief.... Romans Reigns ☝️
Daaa😰
Finishing moves
Nilikuwa hot sana enzi hizo nafatilia na mech zote hizi nilicheki. Nilidhani mysterio angepotea maana daah. This guy is heartbreaking
Naomba makala ya romni reinzi na jey usso pliz simlizi 🙏🙏
Huyu jamaa ni hatr hapigwi hovyo😂😂😂😂😂😂 yaani yeye ni win win
Bonge la makala ila kuna vitu imekosa bro upande wa Editing
Huyu ndio kidevu Sasa Sio akina uchebe ATI na wao wanajiita uchebe
Kilichokosekana hapo ni kuonesha picha za izo mapigo za mwisho makala ni nzur
Nilitaka kulalamikia hili pia bro
619 ,RKO
Duuh atari sana wapigwa mpaka unajiuliza mimi kamq ni mume wangu na mwambia ache mano
Wrestling ndio mchezo ni pendao katika michezo yote inayo chezwa duniani nimefurahi kwa ufafanuzi huu
Yaani kuna wehu wanaotowa habari zauongo kwenye midia zao eti WWE wrestling ni feki na ukiuliza ufeki gani wanaousema wanaishi kubwabwaja tu thank so much
Tuko pamoja
Wewe ni kama Mimi ni sports ndo niipendayoo...
Nami pia
Dah mm pia hakuna cha mpira wa nn mm ni wwe tu ❤❤
MMA Dio ya kweli , Wacha akili ya kitoto
Bro sky tuletee story ya yule mwana mieleka aliyeua mke watoto wawili na yeye mwenyewe akajiua.. Please ikiwezekana hebu tuelezee ilikuaje akafanya hivyo..
Christopher Benoit huyo
Anaitwa chris Benoit
Chris Benoit 🥺🥺🥺🥺
@@rogerslwitiko3915 Ndioo Benoit jamaa m canada yule, daah asanteni bana.. Nilisahau jina
@@tiffanyakramJr822 Yule jamaa aliichoma nyumba yake Kwa petrol huku familia yake ikiwa ndani inadaiwa Mke wake alichepuka ndiyo maana jamaa akaamua afanye hivyo
Sky Walker utuletee na story za;
1. The Undertaker
2. Shawn Michaels
3. John Cena
4. Steve "Stone Cold" Austin
5. Goldberg
6. Kurt Angle
7.HHH
8. The Rock
9. Brock Lesnar
10. Batista
Ongezea na mkurugenz mcmahon na trump waliweka wapiganaji wao Robby vs umaga marehemu sasa, vita yao ilikuwa konk. Ilipelekea V Macmhon akanyolewa #kipara 🤓🤓🤓 trump akashinda
Wewe unajua wrestling
Naongezea Rey mastereo
Kwa ufupi atulete wwe story na channel zote znazorusha wwe sports 😀😀
Weka Daniel Bryan 🤓🤓
😢😢😢😢
sku walker kuna story ya mwka 2004, sito usahau Gambushi ya ZABRON, napataje kile kitabu???
Roman reings stor plz
Dah ndio ngumu za ukwer
Huyu jamaa akikupiga kofi lazima uzimie Hahahah namkubali kinoma
But Wrestling has never been real, they are all trained and plan what to show in the ring.
ALAFU KUNA MPUMBAVU MOJA ANAKWAMBIA W.W.E SIO KWELI NI EDT
R.I.P Eddie 😢
Aseeee , jana tu nilitaka nikutafute duuh Kumbe tulikuwa rohoni
Mimi ni mpz wa mieleka ila sijawahi kumpenda great khali tangu siku aliombana kichwa rey mystrio aliniudhi na nilidondosha mchozi.
hahaa kumbee unakumbukaa
Ni script dada yangu kama great khali alikutoa chozi inamaana aliifanya kazi yake ipasavyo 😅
😂😂 Ndio yani, rey alishindwa mpk kutumia lile pigo lake la kifo dadew😅
mimi nilifurahi san 😂🤣🤣🤣
Pia alimbanaga batista mpaka akawa mwekundu hadi kupelekea kuzimia, hii style ya kubana kichwa kwa kutumia miganja yake mikubwa kama kono la shetani nilikuwa siipendi mno!.
Kwa mwili huu ni lazima mtu afe maana sio poa 🤔
Tuletee story ya yule mjukuu wa bib Marley alofariki
MBONA MAKALA HII NI FUPI SANA? PILI MAKALA ZA SMS HUWA ZINATOKA MARA MOJA MOJA SANA? SASA KWA SISI WAPENDA SIMULIZI MNATUSAIDIAJE? INAKWAZA SANA KUONA STORY NZURY INAKUWA FUPI SI SAWA
Kweli
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌.
Mm hata mume kwenye kazi hii cmtaki..maana amann hakuna..maisha ya hatar
Kwani ww mwamnmke.??
Nakubali unajua mzee kutupa ujumbe
@@sampart2669 nmeshangaa ila atakuwa shoga
@@sampart2669kwan kakwambia ni mwanaume?
Young killer msodoki vs Gee Mwamba freestyle rap battle 👉th-cam.com/video/txNU3kpJQ60/w-d-xo.html
Brain conculsion may be
Hii michezo huwa siangalii kabisa.
Sina ujasiri wa kuangalia mtu anapigwa.
Kwanini
@@HASSANKAMGUNDA Basi tu najisikia uchungu.
L
Lp
Tafuta banawizka