#MAZRUI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • #isleblogMAZRUI KUMEKUCHA MBELE YA RAIS MWINYI.

ความคิดเห็น • 18

  • @amstain4990
    @amstain4990 2 ปีที่แล้ว +1

    Zanzibar watendaji wamezidi uvivu hongera mh wazir

  • @V24hrs
    @V24hrs 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongra sana Mazrui.

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuu kwelii

  • @hassansaid4034
    @hassansaid4034 2 ปีที่แล้ว +1

    Sawa muheshmiwa lkn busara inahitajika
    Maana majukumu tuliobeba katika sekta hii ni mazito mno so busara inahitajika hapo.

    • @amstain4990
      @amstain4990 2 ปีที่แล้ว

      Zanzibar wamezidi uvivu watendaji

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 2 ปีที่แล้ว

      Hamna kitu hapo debe tupu

  • @w4058
    @w4058 2 ปีที่แล้ว +3

    Wambile wambile hao

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 2 ปีที่แล้ว +1

    Anamkaanga tu huyo ana maana na wizara ikiwa hazifanyi kazi zake basi na Raisi na wenzie wote wajiuzulu.

  • @ashamohammed3612
    @ashamohammed3612 2 ปีที่แล้ว

    Huyu hawezi kuwa CCM kwa matendo waliomfanyia kwa kumdhalisha na kutesa kumteka na kumpiga kipigp cha mbwa mwitu

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 2 ปีที่แล้ว +2

    Kauli gani hiyo ya kusema kama wanaona mshahara mdogo waondoke..?
    Au ndo umeshakuwa ccm?

    • @w4058
      @w4058 2 ปีที่แล้ว +1

      Mnaanza kwani mbona Wazanzibar tunakuwa wanoko mshaziweya kuzezeta tu

    • @w4058
      @w4058 2 ปีที่แล้ว +2

      Huyo Nassor Hamumjui anatowa challenge hapo kwa Dr Mwinyi

    • @w4058
      @w4058 2 ปีที่แล้ว +2

      Hahaaaaaa nawecheka msomjuwa utendaji wake wa kazi ndio alivyo hivyo tumchulueni tuthamin mbio zake hayo mapesa sio ya Mwinyi wala sio ya CCM ni jitahada zake na wenzake ndio zikapatijana hebu tuwacheni utashi wa kisiasa tutizame nini anafanya kwa maslaha ya Wazanzibar

    • @w4058
      @w4058 2 ปีที่แล้ว +2

      Nasaha zangu hizo mkuzitaka sawa msizatake mna khiyari yenu

    • @fathiyasalim3946
      @fathiyasalim3946 2 ปีที่แล้ว

      Walojaa hospitali ni mibunju haiwwzi kazi eti. Mazurui ni ACT na wala habadiliki.
      Anatetea wananchi na sio kubebana hizo ni sera za ccm.