TANZANIA YASHITAKIWA MAHAKAMA ya AFRIKA kwa MAUAJI na HAKI za WATU WENYE UALIBINO-KESI YASIKILIZWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 หลายเดือนก่อน +3

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @zainajirani5296
    @zainajirani5296 2 หลายเดือนก่อน +20

    Viongozi wa Tanzania wanajali sana matumbo yao na familia zao tu..

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 2 หลายเดือนก่อน

      Mbumbumbu usiejitambuwa kalime nyanya, vitunguu, pasheni au tikiti maji itakwisha njaa yako, usisubiri kupewa utalalamika kila siku bwege wee.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 2 หลายเดือนก่อน +7

    Tanzania Ina uwezo kifedha kuwasaidia wananchi bila omba . omba. Shida kubwa ni viongozi wenye ubinafsi wanaoiba fedha na mali za wengi na kujinufaisha. Kwa ajili ya ufisadi haki haitendeki kwa kutoathibiwa.. Kwa u kimya wa watanzania na elimu ndogo, viongozi wanatuongoza bila ya kujali feelings za wananchi.

  • @FabiolaSulle-o4j
    @FabiolaSulle-o4j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana baba yangu Chang'a Kwa maelezo mazuri.

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg หลายเดือนก่อน

    Hang Chang Ulinitoroka kwenye fani ya misitu ukakimbilia fani ya sheria hongera sana

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 หลายเดือนก่อน +7

    Hata chadema waende huko bila hivyo wataisha. Na sis wanachi tuende watu wasiojulikan wanatok wapi Tz

  • @21elisami
    @21elisami 2 หลายเดือนก่อน +9

    af dr. janabi anasema usinywe soda ina mazara. shwaini 🙄🙄🙄akati kuna watu wamejitunza lakini kaja kutekwa na kauwa.

  • @ashakomba8034
    @ashakomba8034 หลายเดือนก่อน +2

    Sio alibino jamani watu tunatekwa tunakufa sivijana Wala wazee hii inchi imeshaharibika

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa nini viongozi wetu wa Afrika hazieshimu haki za wananchi wawo mpaka nchi za ulaya ziingilie? Kukemea tu haitoshi, bali serikali ichukuwe hatuwa za kuwasaidia kwa vitendo.

  • @veronicanabina3380
    @veronicanabina3380 25 วันที่ผ่านมา

    Duuu, miaka 6 iliyopita kumbe hata watekaji wa sasa wanaweza kuwafungulia kesi !!!!!!

  • @NabilaMohammed-x9w
    @NabilaMohammed-x9w 2 หลายเดือนก่อน +1

    fact kwamba mambo mengi ya kikatili namna hiyo hufanywa na watu wa kawaida kama wananchi hatutasimama kulindana na kujaliana mzigo mkubwa sana huo kwa serikali, tutaitia doa bure serikali

  • @mujunigoodluck9648
    @mujunigoodluck9648 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mr. Chang'a amenena vizuri kwa weledi mkubwa.

  • @childrenincrisisfoundation562
    @childrenincrisisfoundation562 2 หลายเดือนก่อน +2

    Chanzo kimojawapo mauaji haya ni imani za kishirikina!
    Serikali kwa nini hawapigi marukufu "waganga matapeli" hawa wabaki wale tuu waganga wa miti shamba WALIOSAJILIWA ????

  • @evelina9621
    @evelina9621 29 วันที่ผ่านมา

    😮

  • @sophiemsuya6507
    @sophiemsuya6507 หลายเดือนก่อน

    😢Albino ni wachache sana. Serikali iwawekee bima ya maisha au hata ulinzi wa ziada.

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 หลายเดือนก่อน

    sasa wazungu yanawahusu nini apo,mahakama ni ya africa lkn ukute waamuzi wazungu hivi tutaacha lini kuhusisha wazungu👹😡

  • @mariamkasembe5015
    @mariamkasembe5015 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona mahakamani wamejaaa wazungu tuuu na hii kesi ni ya watanzania

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 2 หลายเดือนก่อน +1

      Akili ndogo, nani alikwambia kila mtu mweupe ni mzungu? Je, kinachoangaliwa ni rangi ya ngozi ya mtu au taaluma na utaalam wake?Kama Huna hoja si lazima changie!

    • @evelinemlay5572
      @evelinemlay5572 2 หลายเดือนก่อน

      Una maana hao albino sijaona mzungu hapo bali ni albino

    • @daudimkumbo5922
      @daudimkumbo5922 หลายเดือนก่อน

      Mahakama ya kimataifa

    • @ahmed-shakirmwamba4992
      @ahmed-shakirmwamba4992 26 วันที่ผ่านมา

      Lugha inayotumika hapo Mahaksmani ni ya Kiingereza . Lugha ambayo kwa Watanzania ni Changamoto.

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 2 หลายเดือนก่อน +6

    HATA WALE WAUWAJI HAWAPATI HUKUMU KALI KAMA IPASWVYO

  • @SengalaRajabu
    @SengalaRajabu หลายเดือนก่อน

    Ñikweli lakini wakulaumiwa ni Waziri wa mambo ya ndani ,pamoja na hayo kwamtazamo wangu Uteuzi wa Viongozi hauzingatii Anayeteuliwa anataaluma na Uwezo Gani katika kitengo hicho,Hatari Zaidi anateuliwa Kiongozi kwa jinsi alivyo ,kwamaneno yake na simulizi zake ,Hilo ndilo kosa sugu litendwalo na Serkali ,huwezi kumteuwa Waziri wa Afya kumpeleka kuwa Waziri wa Ulinzi Hilo ni kosa,tatizo lingine Siasa inatumiwa katika Serkali kuu wakati inatakiwa itu Mike kwenye Chama tu.utendaji unaharibiwa na chama kuwa na mamlaka makubwa kuliko Serkali kuu,bila kuzingatia kuwa Chama ni Chama kitaongoza kwa kipindi kilichonacho,hata kama mteuliwa Hana Uwezo kwa kuwa ni mwenzetu huteuliwa bila kujali Madhara yatakayo tokea.huwo ndio uzaifu wa Nchi hii.

  • @popiya2368
    @popiya2368 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hawaoni Israel pia au

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 2 หลายเดือนก่อน

      Israel ni mambo ya wakubwa

  • @ELIACHOMOLA
    @ELIACHOMOLA 29 วันที่ผ่านมา

    Mahakamani mbona wanaonekana wazungu wengi sana Kuna nini

  • @cleophaceruta4961
    @cleophaceruta4961 หลายเดือนก่อน

    TATIZO NI NINI MBONA MAHAKAMA INACHELEWA SANA KUSIKILIZA KESI!? KESI ILIFUNGULIWA MWAKAGANI!?

  • @HellenaMky
    @HellenaMky 2 หลายเดือนก่อน

    Hata wakenya waende washikiwe. Watoto wanauliwa viungo viuzwa nawakikamtwa wahuska wanaachiwa. Nawajitapa napesa za viungo vya watu nachukia sana

  • @suzannagibai213
    @suzannagibai213 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sio albino tu wanao uwawa hata wanafunzi, pia raia wanakumbwa na vitendo vya utekwaji na unyang'anyi cm na Mali zao

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amn k2,mna chinja W2 Serikali 😢

  • @kaponasalum3648
    @kaponasalum3648 หลายเดือนก่อน

    Hao walalamikaji ni kina nani?

  • @pengefeza2563
    @pengefeza2563 2 หลายเดือนก่อน

    Ni aibu sana hii nchi ndo inaongoza kuwaua albinos

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 2 หลายเดือนก่อน

    MIAKA SITA😮

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 2 หลายเดือนก่อน

    Wanasheria angalieni kutumika na wakosa ufahamu.

  • @IsmailKitundu
    @IsmailKitundu หลายเดือนก่อน

    Watoe picha zamzee wetu apo mbele hakuwai kuku babali ujinga nyerere kipenz chetu nataja safu yamarais tanzania kama jina lako alipo ujue haupo nyerere mkapa magufur mzee waruksa wew kama hujaona jina lako subir second selection

  • @JumanneGibson
    @JumanneGibson 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa kabisa

  • @HiHi-n3s8k
    @HiHi-n3s8k 2 หลายเดือนก่อน

    Tazaniyaikosalama

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 2 หลายเดือนก่อน +3

    UJINGA Wa Watanznia wakimkamata mwizi kaiba mkate tu Anachomwa MOTO hapo hapo LAKINI AKIKAMATWA MTU KAUWA ALIBINO ETI ANAPELEKWA POLISI HAWAMMALIZI HAPO HAPO

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 2 หลายเดือนก่อน

      SibhanaAllah kuuwa kama kuuwa hairuhusiwi ila ukiuwa nawewe lazima uuliwe ukimkata mwenzio mikono nawewe ukatwe kama ulivyo mkata mwenzio hii yakufunganahii syo haki mtu alipwe kama alivyo mtendea mwizie

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz หลายเดือนก่อน

    Wapinzani.wanchi.wote nishida tu

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa hao wazungu pori mahakama ya Africa wanafanya nini ?toa manyang'au Africa hatuwataki

    • @evelinemlay5572
      @evelinemlay5572 2 หลายเดือนก่อน

      Unamaana hao albino ndiyo wazungu? Au mimi ndiyo sioni vizuri, naona albino sijaona mzungu hapo

  • @jamesmboneko2952
    @jamesmboneko2952 2 หลายเดือนก่อน

    Washtakiwe kuanzia SAMIA,IGP, Siyo ualbino tu na haya mauaji na utekwaji unaoendelea

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna viongozi wengi wa upinzani enzi za magu wamepotea mpaka leo hawajulikani walipo nani alikwenda mahakamani nilichogundua husimpe mtu uhuru Sana ndio Samia alipojichanganya watu wana utumia vibaya bora ingeendelea no sera yamagu kila mtu kimyaa na wengine kukimbia nchi,lkn leo ndio mnaona mlikuwa vipofu au woga watz kama wamarekani unafki ndio mwingi tena bila ya aibu akiwa kiongozi wanao mtaka ata akifanya madudu wanjifanya kipofu kin ayoayo akiyafanya wasiyempenda makelele Kama mijibwa

  • @ThomasMichael-w3b
    @ThomasMichael-w3b 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona Hawa chadema wasiende uko wanna gain maandamano tu watches ujinga

    • @pueblo148
      @pueblo148 2 หลายเดือนก่อน

      Huku nyingi zikitolewaga maamuzi serikali hua haitekelezi

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huu upuuzi wanaoufanya watanzania wenzetu ni kujidhalilisha sisi wenyewe,yani wasishtakiwe marekani kila sku wanakufa watu zaid ya Mia kwa kuuwawa,yani hii nchi tutaiharibu wenyewe kwa ujinga wa watu wachache

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 2 หลายเดือนก่อน

      Nafikiri hujui kinachojadiliwa!

    • @DeogratusNgujunge
      @DeogratusNgujunge 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe unaakili akiuwawa mwanao wewe utapenda hiyo hali

    • @issapandu1918
      @issapandu1918 2 หลายเดือนก่อน

      Ao marekan ndo wauwaj wakubw wa wtoto na wanawake na wanasport izrail mbon hawajchkua hatua sio watu wazur watatueka kwny vita vya wenywe kw wenywe watu wawe na busar kweny kutatua migogoro​@@DeogratusNgujunge

    • @RamadhaniKitala-gx6wc
      @RamadhaniKitala-gx6wc 2 หลายเดือนก่อน

      Yaan wee akiri yako kama wauwaji au watekaji wa tz

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 2 หลายเดือนก่อน

      Je unasemaje kuhusu kuteka na kuuwa watz wenzetu? Na serikali inasema ni drama?