@@KADALAtv255 Bado sijarudi Zanzibar niponje kwa sasa ila nikirudi Tanzania ndio vifaranga vitanifikia huko Zanzibar maana malengo yangu ni ufugaji na biashara ndogo ndogo.
Nakusalimu kwa jina la yesu naitwa aruta 6:47 ahitaji kufunga Dada Niko Dodoma hao wakienyeji na wa browira wa nyama wa mwezi mmoja dada naomba kujua hao broira sh ngapi wakiwa 100
Hatuwaelewi mna tuchanganya we umesema lakitano inatosha vifaranga Mia mwingine Ana sema milioni na LAKI tatu vifara Mia tumfate Nani na kumwamini xaxa
Kweli bonge uko vizuri
Asante ubarikiwe
Barikiwa sana niwachache Wana moyo kama wako mungu akupe maisha marefu
👏👏👏
Nitakupa ya wapi?
Nimependa the way unavyoelezea inatupa moyo nasisi tupende ufugaji wa kuku it is a good encouragement big up...
👏👏👏🌹🌹
Unaweza kuchanganya bloiler na cloiler pamoja ??
@@PaulPaul-b4p Mimi nachanganya
Ww vifranga vya bloiler unachukua kwa sh.ngap
@@PaulPaul-b4p 210000 "100"
Big up saana. Nia aina gani ya kuku ni saso au Kroila?
@@JuniorAloyce-n1h Sasso
Kiko République démocratique du Congo. Nime jenga banda tayari. N'a penda sana somo lako ❤❤❤
Asante sana kutoka Congo karibu♥️♥️♥️🙏🙏🙏
Asante Sanaa, naomba msaada naomba nijuze namna ya kuchanganya chakula
Angalia video za nyuma utauona mchanganyo mzuri
Ahsante mdogo wangu
Naweza kupata kuku wa kufuga niko arusha
Dada mungu akutunze una moyo wa upendo Sana jina roho ya kwanini ubarikiwe Sana
Mungu akutunze Asia ndugu yangu ❤️❤️❤️🌹🌹🌹
Uko wapi dada
@@YusufuYohana Tz🇹🇿🇹🇿
Hongera sana nimeipenda darasa lako nataka nianze kufuga nipe marejeo mzima niandae sh. Ngapi
Ujue kwanza unataka kufuga kumu gani then tuangalie mtaji na uandae nini. Unaweza sana Mungu akuvushe.🌹🌹🇹🇿🇹🇿
Chagua aina ya kuku then tupange🌹🌹🇹🇿🇹🇿
Dada hongera naomba namba yako please
Ipo hapo juu
Naomba namba yako tuwasiliane,
Ipo hapo juu
Aina gani ya kuku?
Naomba namba niwe mwanafunzi wk
@@CatherineYohana-j6c IPO hapo juu
Vifaranga wangu wameshamaliza chanjo zote 5 wameaza Wiki ya 6 naruhusiwa kuanza kuwachanganyia???
Aina gani ya kuku
Mi nataka wa kienyeji pure dada napataje
Dada samani mi naitaji 😢please
Asante mkuu. Lakini hicho Kizungu cha nini?
Tunajaribu kuwafikia nje ya TANZANIA yetu kiongozi
Toa namba zako Sasa unaomba darasa mtu anakupata vipi dada bila location Wala mawasiliano
Usiwe na papara namba zipo hapo wewe angalia tu vizuri utaiona.🌹🌹
Tukikutaka tunakupata wapi na ni nyama au mayai, i am interested. Asante sana
Nyama nipo Morogoro Kilombero Sugar🌹🌹🇹🇿🇹🇿
Good
Asante kwa somo zuri, nami pia ni mwanafunzi wako, nifanyeje ili niwe napata masomo yako?
Anza darasa rasmi unalipa ada tunaanza fasta🌹🌹
Mimi ninaitwa Martin, ninataka.kujifunxa,. But I,stab in..Malawi what.can..I do?
Sijakuelewa vizuri unafuga tu sio shida unajipanga tu unaanza.🌹🌹🌹❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jamani nimekupenda breeze. Halafu nimekuelewa sana yaani mi naanza kwa kweli. Asante umenitia moyo nashukuru sana.
@@elinamikaserian 🙏🙏Barikiwa🥰🥰🥰
Sasa nataka kuuliza ni vifaranga wa kienyeji au wa kisasa au wa hafukasti?
Unapatikana wapi
Karibu
Unda grupu my dear
@@neemamabena-xx5er lipo
Naomba namba ako nataka kloira
@@HasnatyNakanga Mimi siuzi kroiler tafuta video hapa nimeweka namba za wauzaji🥰🥰
dada nimekuelewa vizuri mimi niko Musoma nakutegemea kwa darasa za hawa 2024
Dada naomba namba yako
Ipo kwenye video scrow down utaziona❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nahitaji sasoo
Naomba namba yako nataka kununua vifaranga
Sina vifaranga
Nashukuru kwa ushauli naomba ushauli wanakula kiro ngap toka unavowachukua mpaka unavowatoa naomba ushauli
Nitawapataje na niko tanzania?
Hapahapa Tanzania wapo Silverland♥️♥️♥️
Karibu kwangu
Asante sana. Wapi huko?
Unaonaje dada kadala ukafungua group la WhatsApp
@@PaulPaul-b4p lipo n a tuna siku ya tatu sasa
@@KADALAtv255 naomba kuunganishwa
Unaeeza kuniunganisha kwa group lako
@@PaulPaul-b4p Unalipa elf 10 kwa no 👆tunakuunga
Barikiwa sana mama yangu
@@Bishopdavidndaki7184 Asante🙏🙏🥰🥰
Uko wapi?
Nipo Morogoro
Hongera sana dada upo,vizuri sana mungu akupe zaidi ya hapo
Asante sana nawe Mungu akuinue ufuge kuniliko
Unapatikana wapi dada Rose.namba yako tafadhari nataka darasa
Ipo hapo juu. nipo Morogoro
Uko vzr dad napataje
👏👏👏unapataje nini?
@@KADALAtv255 vifaranga dia
Mimi nimeona leo 2025 nafanyaje sasa.
😀😀😀Darasa umepata utaweza kutuhudumia vzr
Saaaaaana nitakufundisha utakuwa Bora kunipita. Ada yako tu
Mm nataka kufuga lakin bado najitafuta kwa mtaji kwanza
Habari mm nataka vifaranga
hongera Sana
Asante sana
Mm nahitajiii
Nipo mkoa wa mara Tanzania,niwapate wapi vifaranga wa saso?
Silverland Tanzzania
Ndugu naomba uniunge kwenye group lako la ufugaji
@@MarthaNkya-fj6qc sina group🥰🥰
Asalam aleykum dada nimefurah sana dada somo lako
Asante karibu
Ko kwako naweza kupata kifalanga nimepend sana
Sauti ya video iko chini.
Habari, naweza kupata mawasiliano yako?
Yapo hapo youtube angalia vizuri🌹🌹🇹🇿🇹🇿
Namba ya simu dada
Ipo hapo juu
Mm nahitaj nipo Zanzibar
Unahitaji nini mpenzi❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Na hao vifaranga wa kuku wa kienyeji wanapatikana wapi
Nazalisha mwenyewe
Ahsante kwa elimu dada samahani eti kuku 100 saso wanakula mifuko mingapi kwa mwezi
Tafuta viideo ya mifuko ya chakula uisikilize hadi mwisho.
Naomba namba yako ya simu
Chukua hapo kwa chanel🌹🌹🇹🇿🇹🇿
Mbona Kila nikitafuta namba sio jmn dada ,unanigusa sana juu ya dalasa lako
Sioni kabisaa namba
Dada naomba na Mimi unifundishe niwe mfungaji mzuri
Karibu
Mmm nimependa iyo ila umekosea ki2kimoja2 ujatoa namba zako naziomba jaman naningependa kufaamu niaina gan ya kuku hao
0752734210 voda whatsap ni airtel
Asante dada
Kila la kheri🌹🌹🇹🇿🇹🇿
Nataka kuwa mwanafunzi wako
Mimi niko Zanzibar navipataje vifaranga?
Unaagiza kutoka Dar 0620440863 wapigie hao♥️♥️♥️
Ulipata vifaranga? Au umefikia wapi?
@@KADALAtv255 Bado sijarudi Zanzibar niponje kwa sasa ila nikirudi Tanzania ndio vifaranga vitanifikia huko Zanzibar maana malengo yangu ni ufugaji na biashara ndogo ndogo.
Hujatuambia jina lako best mimi ntakutafuta nakupa jina "bonge"
No my dear hilo sio jina langu nalikataa kwa jina la Yesu. Never. Kwani umeisikia chanel inaitwaje? Hilo ndilo jina langu please.
Laki tano kweli unatoboa wee mama
Nipe darasa
Nina kuku Mia kroiler naomba ratio ya chakula wana miezi 5plz
Kwa Dar ugonjwa gani unawasumbua sana Gumboro au kideri
Kinga ni lazima haijalishi upo wapi hatusubiri ugonjwa Bali tunawakinga wasipigwe kabisa na ugonjwa wote.
Habar dada
Nzuri
Pls fugua group dada
Duuu unapatikana wapi
Morogoro
Hbr naomba darasa
Karibu utaratibu unachangia gharana za uendeshaji voda no☝️☝️then tunaanza🌹🌹
Sio kweli kuku 15 hawarudishi gharama .
Kuku 15 × 20,000 = 300,000 /-
tu .
Kuku 25 ndio wanarudisha gharama .
@@chayogasperi9783 🙏🙏
Dada hakuna namba nimeangalia kila Kona kwani ukituma hapa unapungukiwa nn
Anzisha group
Hapana🙏🙏🙏
Unapatikana wap
@@allykuyawa4832 Tanzania
Vp mfuko mmoja wa chakula nishingap dada hapa mm nimeona changamoto nichakula
Mie niwakwanza Dada naomba niwe mwanafunzi wako , asante sana
Karibu
Madam nashkulu sana
Usijali
Dada
Abeeeee🌹🌹❤️❤️
Nazidi kufatilia🙏🙏🙏
Asante na ksribu sana🌹🌹
Naomba darassa number yako please
@@PatrickAbass IPO hapo juu
Mimi ni na vifaranga Ila nimeanza na 25 Sina pesa ya kununua 💯 ! Je darasa nalipataje
Nampenda Sana kufuga Ila kila nikijitahid nafeli naishiwa kupoteza garamatu had nachoka
Why my dear hujapata tu muongoza mzuri unaweza Anza f
Tena utaweza tu
hawa kuku wana miezi mingapi
V
Miwili tu
Nakusalimu kwa jina la yesu naitwa aruta 6:47 ahitaji kufunga Dada Niko Dodoma hao wakienyeji na wa browira wa nyama wa mwezi mmoja dada naomba kujua hao broira sh ngapi wakiwa 100
Mimi siudhi kampuni ninakonunua mimi ni 200000
Ni unganishe na hao wanaouza vifaranga wa kienyeji dada
Mi nielekz chakula kizuri cha kuchanganya mwenyew
Scrow down utakuta MCHANGANUO mzima WA kuchanganyia chakula
Je awo kuku tutawapata Wapi wanapouzwa na kwanjia gani ?
Kampuni itakuelekeza namna ya kuwapata🌹🌹
Jambo jema dada
🙏🙏🙏
Hatuwaelewi mna tuchanganya we umesema lakitano inatosha vifaranga Mia mwingine Ana sema milioni na LAKI tatu vifara Mia tumfate Nani na kumwamini xaxa
@@nesterchipeta Endelea kuchanganyikiwa my dear.
Nipo nyakato mwanza,mimi nimwanafunzi wako mzuri,tatizo sina namba yako yasimu ili muda mwingine niwe nakupigia simu
Asante sana mama 😍🇧🇮🇧🇮🙏
Amina, karibu tufuge
Napenda Sana ufugaji
Unapatikana wapi?
Moro
Naomba namba yako
Naomba namba Zako dada
ZIPO hapo
Na mm nakufatilia sana ila shida namba na hukuwa wapi sioni
Fungua group la wasap madam..tunahtaj hii elimu
Sawa. Asante nitafanya hivyo. 075273421
0752734210 correct
@@KADALAtv255 nitakucheck whatsapp
@@veronicaanosisye4160 okay karibu tena
Tatizo ujatoa namba za sm tutakupatage naitagi darasa upo mkoa Gani mi nipo ars
Nataka kufuga hao kuku nifanyeje my dear
Anza maramoja🌹🌹🌹
Naitaji iyo elimu
Karibu Kwa Whatsap
@@KADALAtv255 mbona simu yangu haipati huko whatsapp
Hicho chakula cha kuchanganya tusaidie fomula yake
Daah itafute kwenye hapa kwangu ipo nimeizungumzia zaiidi ya mara 3♥️♥️