- 1 342
- 824 448
KADALAOFFICIALTV🇹🇿255
เข้าร่วมเมื่อ 5 ส.ค. 2015
Karibuni katika TH-cam Chanel yangu tijifunze mambo mbalimbali kuhusu maisha.🥰🥰 0752734210
BROILER HATUWACHANGANYII CHAKULA TUMIA CHAKULA CHA KIWANDANI UPATE MAZAO BORA
Ndugu zangu tune makini sana tunapofuga Broiler.
มุมมอง: 343
วีดีโอ
MAJOGOO MAZITO MNO YANAWAUMIZA TETEA MIGUU WACHUNGUZE👆
มุมมอง 640วันที่ผ่านมา
Kwa sale mnaotaka vifaranga hii inawahusu sana.
SASSO WANA MIEZI 5 KAGUA RANGI YA KINYESI KUBAIN MAGONJWA
มุมมอง 5052 วันที่ผ่านมา
Kagua kinyesi rangi na vile kinakua kumara au kigumu
ILI KUKU WAKO WAWE NA MUONEKANO MZURI WAPE DCP NA VITAMIS
มุมมอง 3862 วันที่ผ่านมา
Kuku wakubwa wasikose DCP na VITAMINS
KUKU WEZO WA WAMEPUNGUZA KABISA UWEZO WA KUTAGA MAYAI. NIFANYEJE?
มุมมอง 38614 วันที่ผ่านมา
Kuna sababu nyingi kwa kuku kupunguza uwezo wa kataga mayai
JAMANI SASSO WAMEKAZANA KUTAGA NA WANANIPA BURUDANI ONA
มุมมอง 48814 วันที่ผ่านมา
Uzuri wa kuku bwana ni kama familia hiviwanakusaidia kuondoa upweke unaweza ongea nao mkacheza burudani
DAAH! SASSO NI KIBOKO WAPO RADHI WAVUNJIKE MIGUU ILIBTU WARUKE NA KUTOKA NJE 👆👆👆
มุมมอง 20914 วันที่ผ่านมา
Wanalazimisha kwa kelele na kukanyagana hapo mlangoni hadi uwafungulie mlango watoke
SASSO WAKISHAZOEA KUSHINDA NJE NDANI HAKUKALIKI AKILI YOTE NJE TU EBU WAONE👆
มุมมอง 49514 วันที่ผ่านมา
Sasso wana akili sana na wanaweza kuisoma akili ya mfugaji ni wajanja sana
KUKU WENYE AFYA BORA UTAWATAMBUA KWA MANYOYA YAO NA UPANDE WA NYUMA -ANGALIA
มุมมอง 36814 วันที่ผ่านมา
Ukitaka kujua kuku wako wana afya njema waangalie manyoya ya nyuma na vile tamejipanga
KILA WANAPOFUNGA MIEZI MITATU RUDIA CHANJO ZETU ZILE ZA AWALI ISPOKUWA NDUI. SIKILIZA HII IKUSAIDIE👆
มุมมอง 65914 วันที่ผ่านมา
KILA WANAPOFUNGA MIEZI MITATU RUDIA CHANJO ZETU ZILE ZA AWALI ISPOKUWA NDUI. SIKILIZA HII IKUSAIDIE👆
SASSO HAWA WALIOBAKI HATUUZI TENA NI KWA CHAKULA TU SASA💪💪💪
มุมมอง 41921 วันที่ผ่านมา
SASSO HAWA WALIOBAKI HATUUZI TENA NI KWA CHAKULA TU SASA💪💪💪
UTAPATA VIFARANGA HAPA AINA ZOTE FUATA MAELEKEZO HAYO.
มุมมอง 36721 วันที่ผ่านมา
UTAPATA VIFARANGA HAPA AINA ZOTE FUATA MAELEKEZO HAYO.
LEO NIMEWAPATIA CHAKULA ASUBUHI ALAFU MCHANA MACHICHA YA NAZI WAMEYASHAMBULIA
มุมมอง 58721 วันที่ผ่านมา
LEO NIMEWAPATIA CHAKULA ASUBUHI ALAFU MCHANA MACHICHA YA NAZI WAMEYASHAMBULIA
KUKU WAKIWA NA AFYA HATA MFUGAJI UNAJINENEPEA TU. WAONE
มุมมอง 40928 วันที่ผ่านมา
KUKU WAKIWA NA AFYA HATA MFUGAJI UNAJINENEPEA TU. WAONE
MSIKILIZE KWA MAKINI MJUE KAMPUNI ALIKOAGIZA VIFARANGA👆
มุมมอง 32928 วันที่ผ่านมา
MSIKILIZE KWA MAKINI MJUE KAMPUNI ALIKOAGIZA VIFARANGA👆
JE, TUNAPATA WAPI VIFARANGA VYA KUKU? BROILER, LAYERS, KIENYEJI, SASSO AU KROILER? 👆
มุมมอง 73328 วันที่ผ่านมา
JE, TUNAPATA WAPI VIFARANGA VYA KUKU? BROILER, LAYERS, KIENYEJI, SASSO AU KROILER? 👆
SIKILIZA HII ITAKUSAIDIA SANA SANA NA KUKU WAKO WATAKUWA SALAMA
มุมมอง 684หลายเดือนก่อน
SIKILIZA HII ITAKUSAIDIA SANA SANA NA KUKU WAKO WATAKUWA SALAMA
JE NI MAKOMBO YA AINA GANI WAWEZA WALISHA KUKU WAKO?
มุมมอง 506หลายเดือนก่อน
JE NI MAKOMBO YA AINA GANI WAWEZA WALISHA KUKU WAKO?
KWA MAGONJWA HAYA👆UTAYATIBU KWA DAWA HIZI👆. UKINUNUA SOMA MAELEKEZO
มุมมอง 529หลายเดือนก่อน
KWA MAGONJWA HAYA👆UTAYATIBU KWA DAWA HIZI👆. UKINUNUA SOMA MAELEKEZO
PANYA AMEMLA KUKU KICHWA, MAJOGOO YAMEISHA YAMEBAKI YA MBEGU TU
มุมมอง 458หลายเดือนก่อน
PANYA AMEMLA KUKU KICHWA, MAJOGOO YAMEISHA YAMEBAKI YA MBEGU TU
TUMEUJUA KUUZA SASSO NA BROILER CHRISTMAS HII IMEFANYA VIZURI SOKONI.
มุมมอง 312หลายเดือนก่อน
TUMEUJUA KUUZA SASSO NA BROILER CHRISTMAS HII IMEFANYA VIZURI SOKONI.
SASSO WANA UPENDO SANA WATAKUFUATA KILA UENDAPO WAKIDHANI UNAWALETEA CHAKULA ONA👆
มุมมอง 375หลายเดือนก่อน
SASSO WANA UPENDO SANA WATAKUFUATA KILA UENDAPO WAKIDHANI UNAWALETEA CHAKULA ONA👆
LEO WATAANZA VITUNGUU SWAUM KWENYE MAJI HII NI SASSO
มุมมอง 838หลายเดือนก่อน
LEO WATAANZA VITUNGUU SWAUM KWENYE MAJI HII NI SASSO
BROILER RASMI SOKONI NA CHAKULA KINAONDOKA SI MCHEZO
มุมมอง 262หลายเดือนก่อน
BROILER RASMI SOKONI NA CHAKULA KINAONDOKA SI MCHEZO
SASSO WANA FAIDA SANA LEO NIMEUZA SASSO KWA BEI NZURI YA KURIDHISHA👆
มุมมอง 576หลายเดือนก่อน
SASSO WANA FAIDA SANA LEO NIMEUZA SASSO KWA BEI NZURI YA KURIDHISHA👆
SOKO LA CHRISTMAS TUNAWEZA ANZA UZA MAPEMA YAKE KIDOGO MUNGU ATUSAIDIW
มุมมอง 290หลายเดือนก่อน
SOKO LA CHRISTMAS TUNAWEZA ANZA UZA MAPEMA YAKE KIDOGO MUNGU ATUSAIDIW
WAFUGAJI WAGENI HII KWA AJILI YENU IFUATILIE KWA UMAKINI SIKILIZA👆
มุมมอง 1Kหลายเดือนก่อน
WAFUGAJI WAGENI HII KWA AJILI YENU IFUATILIE KWA UMAKINI SIKILIZA👆
SASSO WAMEANZA KUTETEA KWA SPEED KARIBU TUTAOKOTA MAYAI. WASIKILIZE👆
มุมมอง 569หลายเดือนก่อน
SASSO WAMEANZA KUTETEA KWA SPEED KARIBU TUTAOKOTA MAYAI. WASIKILIZE👆
SASSO WAMESHINDA NJE LEO KWA MARA YA KWANZA WAMEFURAHI WABISHI KUINGIA NDANI
มุมมอง 851หลายเดือนก่อน
SASSO WAMESHINDA NJE LEO KWA MARA YA KWANZA WAMEFURAHI WABISHI KUINGIA NDANI
BROILER WA CHRISTMAS WANAENDELEA VIZURI BADO NI (ZERO DEATH) WOTE WAZIMA
มุมมอง 207หลายเดือนก่อน
BROILER WA CHRISTMAS WANAENDELEA VIZURI BADO NI (ZERO DEATH) WOTE WAZIMA
Kadala mpendwa naomba namba zako
@@MaryKihata Namba zipo halo juu kwa picha
Naomba namba zako mamdogo
Mamdogo naomba namba zakoo
Hapo Wana miez mingap
Dada una wapa chakula special broilers au ya kutengeneza share formula ya kutengeneza chakula broilers
@@malavasu6039 sikiliza video Hadi mwisho
Iyo super Kuku huwa inasaidia kitu Gani madam
@@kassimabal4862 sikiliza video nzima
Nimekupenda Sana kwa somo laki upo wapi?
Nahitaji mayai
Dada hongera
Kweli jamani mayai basi utuhamasishe Kadala
Hi kazi nzuri sana Dada je utagaji wao ukoje ?kama IPO mayai tuonyeshe kwenye video
Vifaranga wanawekewa moto kwa mda gani
Dada nakupenda sana hongera kwa mafunzo mazuri ubarikiwe
Vifaranga wanakaaa kwenye bruda kwa mda gani
Napataje mayai
Jee nifanyeje kuku wang wawe wazito zaid
@@ShakiruAli chakula
😂😂😂😂 yaani wanawake uwo wivu ulijuaje kama. Majogoo yanaumiza matetea😂 alafu bosi acha ukalii toa maelekezo mazuri
Wewe mpumbavu mkubwa unamlinganishaje mama yako na kuku mwendawazimu kama huna hoja usi comment.
Dada naomba utufundishe kuchanganya chakula Cha brela
@@NadyaHamdan-nu9qp hatuchanganyi dukani
Habar dada hiyo mbegu inapatikana wap maana niwakubwa nani aina gan dada
Mm naomba unilekeze kuchanganya chakula kuku chotara km unavyofanya wewe samahani
@@GeorgeMkude tafutaf m video nimeifanya IPO hapo
Mbona wewe dada unawawekea kwenye magazeti chakula kwani Haina shida?
@@mwanaidiomary Shwari tu
Mzima dada! Nahitaji vifaranga vya saso nitapataje
Na wee pia IV nikitaka kufuga kroila 300 natakiwa kuwa na mtaji kias gan?
Mambo,majogoo wanaaza kupanda na miezi ngapi?ama kuwika
Bei gani unauza
Hausikiki sogeza sim krbu
Asante elimu ya ufugaji
@@rehemachongolo8386 🙏🙏🥰🥰
Asantee sana kwa msaada wako usituchoke
Naomba namba yako nataka tuongee kuhusu nguruwe pia
Good
Kweli bonge uko vizuri
Mimi nimeona leo 2025 nafanyaje sasa.
❤
Go to the point
Which point are you mad? You can not tell me what to do in my page shame on you
Vifaranga wa kuanzia siku moja wanaweza kukaa kwenye Banda Hilo au mpaka wawe wakubwa
Mzm mjasiliamali? Unapata wapi vifaranga?
Madam wameshaanza kutaga?
@@beatriceMlwilo zamani
Wazur sn
@@isabelabela7765 🥰🥰🙏🙏
Nauliza muda mrefu ambao umekaa na sasso uliowafuga. Je, ni mwaka, zaidi ya mwaka? Vipi uzito wao? Nasikia wanavunjika sana miguu.
@@abusalman5139 Mimi sijawahi ona
Jamani kuku wako wana afya nzuri sn hadi raha👌👌👌
@@jacquelinepalangyo6360 🙏🙏🙏🥰🥰🥰
Kipenzi nimekupenda unatujenga plz naomba no ya wsp
@@TUNDAMAJA-d7j Hadi jungwe kwa group
Samahan dada hawa kuku wana umri gani
Shukran sana dada nakufwatilia sana nikiwa kenya umenisaidia sana mungu akubariki
@@NajmaKhamis-f6s Asante 🥰🥰
tunashukulu kwenye hii video mama tunagufuata kilasiku
@@nsengiyumvapeter9689 🥰🥰🙏🙏🙏
❤❤mwalimu mwenzangu mpambanaji wenzangu hao tulichukua siku moja na sasahiv washaanza kutaga.
Asante kwa Elimu hiibarikiwa sana
@@habibajuma-gh3zx 🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Tunaomba namba yako
@@CatherineMalima-ey4oo IPO👆
Asante Sana Kipenzi Umenifungia Sana akili
@@nitwelesimon4303 🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Tunakupenda pia. Elimu nzuri
@@ranman4910 🥰🥰🙏🙏
Ubarikiwe dada Mungu akutunze
@@DoriceMwaijulu-zx9kz Mungu akutunze pia
Dada kadala mm ni mfugaji wa muda lkn nilisimamaga,ila nimefuga sana broiler kuliko chotara na nilipoamuaga kufuga chotara nilifuga sasso,na walikua wakubwa vzr ila nilifugia moshi,lkn watu walikua wanatoka arusha wanafata kuku moshi kwangu,ss nataka nirudi upya kwenye kufuga ndo namalizia kutengeneza banda,naomba unishauri nifuge broiler au sasso?maana ht mm nilikua bado najishauri niingize wapi
Kwasasa nipo arusha kwahyo nitafugia hapahapa kwangu