KAMATA KAMATA YA TRA IMESIMAMA KWA SASA NA HAITAJIRUDIA TENA KARIAKOO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 7

  • @nurujumanne3798
    @nurujumanne3798 3 หลายเดือนก่อน

    TRA Hawasumbui tu wafanya biashara wa Maduka nchini! Hata kwa wafanya biashara wa mazao wamekua tatizo kubwa sana. Wamekua wakisimamisha magari ya mazao na kutengeneza zengwe ilimradi wakutie pesa

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 3 หลายเดือนก่อน

    Ndugu serikali gani iache kusimamia hiki haiwezekani.tunahitaji mifumo wazi na rafiki inayoendana na elimu yetu

  • @dahero160
    @dahero160 3 หลายเดือนก่อน

    Mifumo wazi ya sheria inahitajika sanaa kwa mara ya kwanza ndio najua kuwa faini ya efd ina asilimia tena inaangliwa thamani ya mzgo ndio upigwe hyo faini duuh tusio jua tunapigwa 1.5m huwenda kumbe n aslimia 15% ila wanafnya ni hela 1.5m

  • @halidomar9874
    @halidomar9874 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona kariakoo tu mikoani waendelee ama?mana huku pia kuna watu twapewa maden ambayo hatuyaelewi nahatuna uwezo wakulipa pia

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 3 หลายเดือนก่อน

    Kama haulipi ukamatwe tu

    • @OlaisMoses
      @OlaisMoses 3 หลายเดือนก่อน

      Unatakiwa kujiuliza kwanini watu wanakwepa iyo Asiliimia 18 usicoment tu kwa sababu una kabanto ka jero jiulize Kwanzaa

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 3 หลายเดือนก่อน

      @@OlaisMoses we jinga sana huelewi, bando la jero umenunua