HAKUNA ADHABU NYEPESI KAMA TIMU ZETU KUFUNGIWA KUSAJILI WACHEZAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 18

  • @chillogeorge1383
    @chillogeorge1383 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie ni wanahabari, sio wanasheria. Sheria zimewekwa sio tu ili zidhibiti mambo, bali pia zipo kutoa faida pia kwa wadau wake.
    Kinachotakiwa ni kuztumia fursa zinazotokana na sheria husika.
    KESI YA MADAI HAIWEZI KUHUKUMIWA KAMA ZA JINAI.
    Tafuteni elimu kwa wataalamu wa sheria husika

  • @Stevmwamba2090
    @Stevmwamba2090 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna utoto hapo mzee kudaiwa hata nchi inadaiwa mbn.. au na nchi iache utoto????

    • @MussaKaminyoge
      @MussaKaminyoge 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 nayo nchi iache utoto

    • @jacobkilagalila-gu2mh
      @jacobkilagalila-gu2mh 3 หลายเดือนก่อน

      Ndiyo nchi iache utoto ni ujinga kukopa kopa😅

  • @pilato.wagadugu
    @pilato.wagadugu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wa kwanza leo nipeni like zangu😂😂

  • @MussaKitaluta
    @MussaKitaluta 3 หลายเดือนก่อน

    Wee oska acha ujinga kudaiwa siyo utoto. Kwani Yanga ikifungiwa wewe inakuhusu nini? Achana na sisi

  • @DouglasChuwa-ec7mv
    @DouglasChuwa-ec7mv 3 หลายเดือนก่อน

    Nakujua wewe no mnafiki mwambie acha maneno ya kinafiki nenda kwenu kigoma

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona akina mudadhili walifukuzwa kwa ajili ya kudai haki zao azam

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 3 หลายเดือนก่อน

    Kama wachezaji wasipotokea Pre-Season shuda ni malipo basi Madunduka mujitathmini

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 3 หลายเดือนก่อน

    Unapiga kelele za deni,...wakati oscar unadaiwa adi bar

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 3 หลายเดือนก่อน

    Ww ni fala India kwenye page za fifa ni timu nyingi sana Duniani sema hamsomi pumbavu

  • @Abuukarmaxme
    @Abuukarmaxme 3 หลายเดือนก่อน

    Kenge we mungu peke yake ndio hadaiwi lkn sisi sote binadamu madeni ndio zetu

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe acha dharau. Pesa unazochangia ni kiasi gani?

  • @masterlazar6745
    @masterlazar6745 3 หลายเดือนก่อน

    Vilabu vyetu vibadilike kwasasa

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 3 หลายเดือนก่อน

    Semeni Utopolo waache utoto kila mwaka kesi na wachezaji

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 ndo cc tunapendaga ... Na nyie c mnapenda kutokuchukua makombe 😂😂😂

  • @freddyjonasjonas
    @freddyjonasjonas 3 หลายเดือนก่อน

    Utopolo inawahusu

  • @KiteteKitete-n2q
    @KiteteKitete-n2q 3 หลายเดือนก่อน

    Babalevo upo wap?