SISI WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO TUNATAKA KULIPA KODI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 6

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanza nizima Serikali ielewe KARIAKOO ni biggest MALL ambayo iliji unda yenyewe sasa Serikali na jiji iboreshe mitaa iweke mpangilio bidhaa zikae kwa jina la mtaa bango lionyeshe bithaa zilizopo

  • @birianination7097
    @birianination7097 3 หลายเดือนก่อน

    Mgomo huu ni tata, utaleta mgawanyiko wa watu kati ya machinga na maduka, inabidi kabla ya kuleta sheria mpya watu hawa wakae kwenye mdahalo wa pamoja tena mbele ya umma

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 3 หลายเดือนก่อน

    Wazir wa fedha wazir wa mipango wazir wabiashara na wazir mkuu inatakiwa wajihudhuru mwaka jana wametudanganya wafanyabiashara wakaenda kumdanganga na rais ndio maana mgomo umejirudia tena wameshindwa kufanya kaz zao wateuliwe watu wengine wamalizie miaka ilobak ya Mama

    • @birianination7097
      @birianination7097 3 หลายเดือนก่อน

      Kero hii nitofauti, tena ni tata

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 3 หลายเดือนก่อน

    Acha ujinga machinga wanamastoo makubwa wanapesa kuliko wewe

  • @RamadhaniMadanga-ne7jk
    @RamadhaniMadanga-ne7jk 3 หลายเดือนก่อน

    Duuuh hii balaaa