Maombi ya kuwaombea Watoto wako, Maombi ya watoto, Maombi ya familia, | Vunja madhabahu kwa watoto|

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 89

  • @velonicacharles-6124
    @velonicacharles-6124 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba Mungu akawape upendo wanangu waweze kukujuwa wewe Mwenyezi Mungu na washikamane wao Kwa wao

  • @user-mj3zp5ht3b
    @user-mj3zp5ht3b 3 หลายเดือนก่อน +6

    Amen. Asante saaana maombi. Masuri kwa ku ni fungu wa maNjo na akili. Ubari kiwe sana baba yangu. Nashu kuru sana Ann lngabi napo keya nikiwa saudia mungu aku linde. Sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🇰🇪

    • @user-mj3zp5ht3b
      @user-mj3zp5ht3b 3 หลายเดือนก่อน

      Asante sana baba wangu. Waki roho Ann lngabi Amen. 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🇰🇪

  • @JOHNMUYA-g5n
    @JOHNMUYA-g5n 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amen mchungaji ubalikiwe daima mungu akupe nguvu za kutoa maombi mengine ili watu wakombolewe Amen..

  • @ambindwilemary3010
    @ambindwilemary3010 วันที่ผ่านมา

    Amen pastor maombi yako yatupeleka mahali pengine

  • @user-vv1dx7wz4c
    @user-vv1dx7wz4c 19 วันที่ผ่านมา

    Baba ninakuomba ukailinde familia yangu watoto wangu pamoja na ndugu zangu ukawape Afya njema ukawaongoze katika masomo yao Kwa maana yesu ulisema watoto wetu ni vichwa bali si mikia nami nawaunganisha watoto wangu na badhabahu haya Kwa jina la yesu 🙏🙏🙏🙏

  • @lall2037
    @lall2037 26 วันที่ผ่านมา

    Amen niombee mwanangu lukman yuko ktk mitihani umuepushe hiyo mitihani kwa jina la yesu 🙏

  • @NeemaMbena-u1e
    @NeemaMbena-u1e หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi naamini kupitia maombi haya uzao wangu utakua salam wakue kwa kumjua mungu amen

  • @brunomlay7993
    @brunomlay7993 หลายเดือนก่อน

    Mungu Baba mwenyezi naomba uwalinde wtt wngu ktk vita ya dunia.uwalinde ktk masomo Yao wawe vichwa ktk masomo tunaomba na ktk jina lako Ameni

  • @NellyKombe
    @NellyKombe 17 วันที่ผ่านมา

    Amen asante kwa maombi ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU

  • @lightnessmunisi
    @lightnessmunisi หลายเดือนก่อน

    Amina,mtumishi naamini kupitia maombi Haya watoto wangu ,na WA uzao wa ndugu zangu wamebarikiwa

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 หลายเดือนก่อน

    Amen ubarikiwe Sana mtumishi Kwa maombi MUNGU akubariki

  • @zsdhalhinai3367
    @zsdhalhinai3367 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi kwa maombi haya naami wanangu wamekombolewa Mtumishi muombee mwanangu ndoa yake ichanuwe na iwe ya kudumu wasabaratishe wanaotaka haribu ndoa ya mwanangu

  • @mamaleah646
    @mamaleah646 หลายเดือนก่อน

    AMEEEN ASANTE YESU Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa MAOMBI

  • @user-ly3rr3zf2g
    @user-ly3rr3zf2g 15 วันที่ผ่านมา

    Amen mtumish wa mungu maombi ni dawa

  • @NeemaMsangi-s8w
    @NeemaMsangi-s8w หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi naamini watoto wangu wamepona

  • @HappyMwaja
    @HappyMwaja หลายเดือนก่อน

    Amen mchungaji ubarikiwe kwa kumuombea mwanangu ubarikiwe sana amen amen❤❤❤❤

  • @HappyMwaja
    @HappyMwaja หลายเดือนก่อน

    Amen kwa kumuombea mwanangu mung akubarik mchungaji

  • @MwanaHuseni-jf2lv
    @MwanaHuseni-jf2lv 3 หลายเดือนก่อน

    Amen MUNGU akubarki mtumishi 🙏🙏

  • @user-xy6wb5vw1f
    @user-xy6wb5vw1f หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana pastor kwa huduma hii nzuri.

  • @flavianamayutta4619
    @flavianamayutta4619 หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi kwa neno nzuri na maombi haya mazuri.

  • @user-kq9je6zf3v
    @user-kq9je6zf3v 3 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu akubariki sana mutumishi wa mungu mafundisho mazuri 🙏🙏 i❤❤

  • @vmns4914
    @vmns4914 3 หลายเดือนก่อน

    Amen,,nanena baraka kwa wanangu wote

  • @FaridaKessy
    @FaridaKessy 3 หลายเดือนก่อน

    Ameni mungu nikuzie mwanangu aweze nisaidia mm badae emeniiiii🙏🤲🤲🤲🤲

  • @priscarnelson441
    @priscarnelson441 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mungu wangu kupitia maomba haya watoto wangu wapo salama

  • @RachelFrenk
    @RachelFrenk 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu bariki wanangu bright, agrey, Gianna

  • @user-gy1tu7wv8d
    @user-gy1tu7wv8d 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen 🙏🙏🙏 ubarikiwe Mtumishi wa mungu❤

  • @CelstinaCelstain
    @CelstinaCelstain หลายเดือนก่อน

    Ameni ubarikiwe na mafundisho Yako nanena baraka, mafanikia katika masoma yao

  • @loreamusanga7145
    @loreamusanga7145 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen pastor Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @HappyMwaja
    @HappyMwaja หลายเดือนก่อน

    Amen maombi ni dawa

  • @flavianamayutta4619
    @flavianamayutta4619 หลายเดือนก่อน

    Eee Mungu uwalinde watoto wangu waingiapo na watokapo.

  • @zawadiz482
    @zawadiz482 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Asante sanaa maombi

  • @elizampupua843
    @elizampupua843 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba walinde Kiroho na kimwili adui asipate nafasi moyoni mwao

  • @lightnessmunisi
    @lightnessmunisi หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi

  • @LidyaSilaa
    @LidyaSilaa หลายเดือนก่อน

    Mwanangu praise mungu aweza yote amen

  • @chalemalango8819
    @chalemalango8819 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumish nmekuelew xnaa 🙏🙏

  • @ashurarashidi4962
    @ashurarashidi4962 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen mungu naomb barik watt wangu wakinge na kila jicho la husida

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 3 หลายเดือนก่อน

    Ohoo Yesu kumbuka watoto wetu walinde Yesu wasaidie kukujua wewe Mungu wa kweli

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu

  • @marykyamba9042
    @marykyamba9042 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏. Mungu akubariki Pastor

  • @gracealuoch9957
    @gracealuoch9957 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen pastor

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m หลายเดือนก่อน

    Yesu Kristo wanasareti kumbuka familiar Yesu uwape ushindi

  • @GroliaTumaini
    @GroliaTumaini 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu akubariki

  • @AdelinaTweve-wd8gy
    @AdelinaTweve-wd8gy 25 วันที่ผ่านมา

    Amina 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @agnesmangamawalla4371
    @agnesmangamawalla4371 3 หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru kwakutufundisha namna yakuombea watoto wetu na wajukuu

  • @FaridaKessy
    @FaridaKessy 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie mwanangu faleh kwan namlea mm mwenyewe baba naomba nema juu ya mwanangu faleh napitia mangumu mnooo😥😥😥🙏🤲

  • @HappyMwaja
    @HappyMwaja หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen❤❤❤

  • @maulinemakungu5322
    @maulinemakungu5322 3 หลายเดือนก่อน

    Watoto wangu wako mbali Harvey na Kelly mungu wangu wafunike na mbawa zako uwe mwanga wa miguu yao kila kikao cha maadui navuruga katika jina la yesu kristo 🙌🙏🙌🙌

    • @Judith-mw4ys
      @Judith-mw4ys หลายเดือนก่อน

      Kelly name sake ya my 4th born 👏ooh yes dear lord remember them 🙏

  • @maulinemakungu5322
    @maulinemakungu5322 3 หลายเดือนก่อน

    Watoto wangu wafanyike baraka kwangu yeyote aliye nena mambo mabaya juu ya watoto wangu nayavuta katika jina la yesu kristo

  • @VivianFuraha
    @VivianFuraha หลายเดือนก่อน

    Amen and amen

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 3 หลายเดือนก่อน

    Alelluyah alelluyah blessed

  • @ashurarashidi4962
    @ashurarashidi4962 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomb nilindie watt wangu wakinge na kira jicho la husid

  • @Theresia-t3u
    @Theresia-t3u 12 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @HappyMwaja
    @HappyMwaja 25 วันที่ผ่านมา

    Amen amen

  • @user-qe7dt9cq1y
    @user-qe7dt9cq1y 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @maulinemakungu5322
    @maulinemakungu5322 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Judith-mw4ys
    @Judith-mw4ys หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @HappyMwaja
    @HappyMwaja หลายเดือนก่อน

    Naweka ulinz kwa mwanangu amen

  • @samwa9496
    @samwa9496 15 วันที่ผ่านมา

    Ameen

  • @elizampupua843
    @elizampupua843 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu antie nguvu

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 3 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa

  • @lall2037
    @lall2037 26 วันที่ผ่านมา

    Uyo binti aliyemkamatisha akipimwa hasionekane chochote uko hospital niombee mtumishi kwa jina la yesu🙏

  • @user-xy6wb5vw1f
    @user-xy6wb5vw1f หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @tamariamisi3540
    @tamariamisi3540 3 หลายเดือนก่อน

    Askante sana

  • @KizaTimothy
    @KizaTimothy หลายเดือนก่อน

    Mungo akubariki

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unitindie mwanangu na umpe maisha marefu

  • @HappnecPaullo
    @HappnecPaullo 28 วันที่ผ่านมา

    Ameni

  • @GabinKamwanggabin
    @GabinKamwanggabin 3 หลายเดือนก่อน

    Ameee

  • @ReginaAsha
    @ReginaAsha 13 วันที่ผ่านมา

    baba ninakuomba ukailinde familia yangu mtoto wangu pamoja na ndugu zangu

  • @gracealuoch9957
    @gracealuoch9957 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen pastor

  • @Moureenegeiza
    @Moureenegeiza หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @user-th2fb5qs9s
    @user-th2fb5qs9s 18 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @NgateMkira
    @NgateMkira 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @BernadethaKamagi
    @BernadethaKamagi 2 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @HappyMwaja
    @HappyMwaja หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-ix7kg9se1k
    @user-ix7kg9se1k หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Zaituni-c4u
    @Zaituni-c4u หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Cianadvd1
    @Cianadvd1 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @JanetOkwoyo
    @JanetOkwoyo หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @bahatichenje6224
    @bahatichenje6224 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @DelianNyambu-pu3gc
    @DelianNyambu-pu3gc 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-pe8iv3eg4d
    @user-pe8iv3eg4d 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @lilian4624
    @lilian4624 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-st8vq3me7x
    @user-st8vq3me7x 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @prisacemmanuel4182
    @prisacemmanuel4182 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @RachelFrenk
    @RachelFrenk 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @user-es4bb9pr7f
    @user-es4bb9pr7f 3 หลายเดือนก่อน

    Amina